Makovu ya maandamano Nairobi

  Рет қаралды 102,511

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Familia kadhaa za waliofariki kwenye maandamano ya kushinikiza kuondolewa kwa mswada wa fedha na uongozi bora zinaondoa maiti katika makafani ya City hapa jijini Nairobi kw amaandalizi ya mazishi. Willy Lusige yuko katika hifadhi hiyo ya maiti na sasa anaungana nasi mubashara kwa mengi zaidi

Пікірлер: 152
@lizahbianca952
@lizahbianca952 3 ай бұрын
Familia ipokee pole sana kutoka kwetu kama wakenya 😢 it's so sad indeed.
@RichardKazoo
@RichardKazoo 3 ай бұрын
May the Lord give strength to the berieved families
@Sharonnanjala-u2u
@Sharonnanjala-u2u 3 ай бұрын
Eee Siz God gives you more strength with your family at this difficult time 😥😥
@patriciaa4451
@patriciaa4451 3 ай бұрын
Pole sana. May your sacrifice for the country not be in vain. 😢
@christinekedogo9308
@christinekedogo9308 3 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭 mungu simama na family ya hawa watoto ruto utakufa vibaya kama ubwa 😭😭😭😭😭
@nancy9306
@nancy9306 3 ай бұрын
Ruto HAUTAKUFA mwenye wivu ajinyonge
@bellaki4392
@bellaki4392 3 ай бұрын
A boy from didmus barasas county 😢😢😢.. What a shame of an MP
@bellaki4392
@bellaki4392 3 ай бұрын
​@@nancy9306what if you are the one who've lost a son or brother!!!..The same God will judge all of us and our self centered intentions!!!
@joylinaentana7063
@joylinaentana7063 2 ай бұрын
​@@nancy9306Unaongea tu kama mjinga amevuta bangi,unakaa mtu hujai zaa,wewe na Ruto niwauaji tu unakaa mtu umeota mimba mingi ukitoka kafara nkt
@sabinamwema8668
@sabinamwema8668 3 ай бұрын
Comfort to the family 😢😢it's a real trying moment to the families,poleni sana
@peterkariuki9073
@peterkariuki9073 3 ай бұрын
Ruto's true colours! Sad. Ogopa serikali iliyosimika kichwa kanisani.
@neliahkaombi
@neliahkaombi 3 ай бұрын
RIP our heroes Makiwa Kwa familia
@lameckogola9757
@lameckogola9757 3 ай бұрын
Poleni sana🕊️🕊️ R.I.P 🕊️🕊️my brother😢😢😭😭
@LucieLayla-r3s
@LucieLayla-r3s 3 ай бұрын
Pole kwa familia
@magerogeorge5337
@magerogeorge5337 3 ай бұрын
Poleni sana. Nawaombea Mwenyezi Mungu awafariji.
@20daily23tasks
@20daily23tasks 3 ай бұрын
Aky pole
@abdallaabdulrahman1749
@abdallaabdulrahman1749 3 ай бұрын
Pole kwa familia....a very special talented young man gone😢😢...so 😭 😭
@HilarySigei
@HilarySigei 3 ай бұрын
Safe journey mashujaa
@abdimarco5368
@abdimarco5368 3 ай бұрын
Poleni sana very painful
@MercyMercy-l1k
@MercyMercy-l1k 3 ай бұрын
Poleni sana ndugu na marafiki
@Mutheu-k7l
@Mutheu-k7l 3 ай бұрын
Mungu n mtetezi wa wanyonge,
@RobinOyie
@RobinOyie 3 ай бұрын
Very painful
@catherineomariba3196
@catherineomariba3196 3 ай бұрын
Heroes
@asminmakoha6889
@asminmakoha6889 3 ай бұрын
Poleni sana
@phylisboat6726
@phylisboat6726 3 ай бұрын
My heart breaks for you. May the Lord comfort you all ❤
@AngelaChris-fi4cm
@AngelaChris-fi4cm 3 ай бұрын
Poleni sana kwa familia zote,,
@JoyceAntony-gm1rs
@JoyceAntony-gm1rs 3 ай бұрын
What? President call gen z to talk miguna miguna said to them not to do so 😮
@BenjaminMashudi-pw6fq
@BenjaminMashudi-pw6fq 3 ай бұрын
Sister mzuri,pole aki
@monikerjackson885
@monikerjackson885 3 ай бұрын
Poleni sana RIP ruto are you happy now?
@douglasomare147
@douglasomare147 3 ай бұрын
Pole sana kwa familia
@AsiaOmari-w8q
@AsiaOmari-w8q 3 ай бұрын
Polen ndugu zetu 😢😢wa kenya inauma sana😢😢😢
@karimimartha1621
@karimimartha1621 3 ай бұрын
Mungu arehem familia 😭😭😭
@Sharonnanjala-u2u
@Sharonnanjala-u2u 3 ай бұрын
So.painful.. Rest in peace bro😢😢😢
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 3 ай бұрын
Poleni
@dorischengo3848
@dorischengo3848 3 ай бұрын
Poleni sana Wana familiar 😢😢😢😢 mungu awafariji kipindi hiki kingumu 😢😢
@janinesaiti6242
@janinesaiti6242 3 ай бұрын
Pole sana.mungu awape nguvu
@titusmaina1949
@titusmaina1949 3 ай бұрын
May God comfort you.
@MareMa-kb3iy
@MareMa-kb3iy 3 ай бұрын
Poleni ndugu zetu 😢😢😢😢😢
@johnteKim-zx5sw
@johnteKim-zx5sw 3 ай бұрын
Aky poleni
@mourineanyango2082
@mourineanyango2082 3 ай бұрын
Waah 😢😢😢my condolences to the family
@badisylvia3236
@badisylvia3236 3 ай бұрын
Rip Wilson Sitati my cousin
@agnesmbuli1699
@agnesmbuli1699 3 ай бұрын
Mungu na awape nguvu
@sarahkanyaamwangangi4117
@sarahkanyaamwangangi4117 3 ай бұрын
Wisdom
@benadettewagio83
@benadettewagio83 3 ай бұрын
So painful, may his soul rest in eternal peace
@marywambui9710
@marywambui9710 3 ай бұрын
❤❤❤😢😢 oooooh my goodness. That's painful. May Jehovah give the family peace. ❤❤ Nice one sister.
@AsminKhaoya
@AsminKhaoya 3 ай бұрын
Neno lamungu linanena yule hallie hatsa kutabuka neno lamatamano hikiwa nimusazi kwa hutumuwa wavijana kuhatamana nakuhuliwa huwomuziko wamafaa kwa matamano niwake kwa sababu neno lamungu liko nalinatukana neno matamano hatusitaili hutumishi wake kutumika kwetu hiyo nikufuja hamuri zamungu naniteyari halie hatsa matamano halifuja hamuri zamungu kwa mahuwaji kwake yamatamano
@aishasaidi1784
@aishasaidi1784 3 ай бұрын
Sio machafuko polisi ndo walitumia nguvu kwa waandamanaji na nguvu za polisi ni kufyatua risasi kiholela holela
@nevilokuthe398
@nevilokuthe398 3 ай бұрын
Poleni sana Mungu awape nguvu
@officialshennyz
@officialshennyz 3 ай бұрын
This is very painful 😢
@RodahOndiek
@RodahOndiek 3 ай бұрын
Rlp brother
@sallykendi6125
@sallykendi6125 3 ай бұрын
Akh pole kwa familia
@badmaned2285
@badmaned2285 3 ай бұрын
Poleni sana ,,very painful indeed
@daudajamada3422
@daudajamada3422 3 ай бұрын
This is why the fight against impunity should not stop until Ruto steps down.... We must continue!!!
@ruthamisi4492
@ruthamisi4492 3 ай бұрын
Poleni sana...rest in peace my son😢
@JonesMinayo-cl2dy
@JonesMinayo-cl2dy 3 ай бұрын
😢😢😢Why
@georgekamau9855
@georgekamau9855 3 ай бұрын
Kenyans will pay even more tax repairing & building all what was destroyed by the unruly demonstrators. God bless Kenya.
@FANUELODHIAMBO-g1m
@FANUELODHIAMBO-g1m 3 ай бұрын
Poleni wenzetu
@lucymwangi655
@lucymwangi655 3 ай бұрын
Poleni familia mungu awafariji
@ANDREWMILIMO-l1k
@ANDREWMILIMO-l1k 3 ай бұрын
You deserve to be the governor of bungoma county..ulijenga daraja kule mirurii kibingei ward,sai ndo huyu unasaidia familia iliofiwa...mungu akubarikii bwana Zacharia Baraza
@AlfredBango
@AlfredBango 3 ай бұрын
Hizi ni consequences za mucocezi babu owino ashikwe ama next maandamano auliwe Bure KBS
@peterkariuki9073
@peterkariuki9073 3 ай бұрын
Wewe mjinga sana!
@juniorkellytv6811
@juniorkellytv6811 3 ай бұрын
Kalejinga
@johniem2176
@johniem2176 3 ай бұрын
Wacha wakufe walisema wako tayari!! 😂
@ruzindazajonas8506
@ruzindazajonas8506 3 ай бұрын
Kenya bwana! Kwa sababu ya kutoa makafaa kwa shetani wanakua chanzo cha damu kumwangika kila mara! 2002 , 2007, 2017 , 2022 now 2024! Wazazi wawe na nidhamu kufundisha watoto wao kutojiingiza ktk maovu anaoletwa na wanasiasa , wanasheria na wanaKZbins wapumbafu.
@ruda4444
@ruda4444 3 ай бұрын
Dance with angels baby boy
@khadijanjama8721
@khadijanjama8721 3 ай бұрын
Laanatu llahi
@werecollo7256
@werecollo7256 3 ай бұрын
who wrote that head line,it should be" makovu ya polisi"
@Mutheu-k7l
@Mutheu-k7l 3 ай бұрын
Poleni sana kwa familia
@lydiamoraa1253
@lydiamoraa1253 3 ай бұрын
😢😢😢😢 Pole Sana sister
@ibrahscharo2703
@ibrahscharo2703 3 ай бұрын
Pole sana kwa famiy
@EmmahAwuor
@EmmahAwuor 3 ай бұрын
Very painful haki ,poleni sana
@lucymburu7082
@lucymburu7082 3 ай бұрын
Poleni sana family
@MagutiRoda
@MagutiRoda 3 ай бұрын
Pole kwa familia
@ElizabethMatanda-h4k
@ElizabethMatanda-h4k 3 ай бұрын
Mbona mlituma mzigo siku ya maandamano
@missnellytv2149
@missnellytv2149 3 ай бұрын
RIP our heroes we salute you all😢😢
@jameskenyansa4574
@jameskenyansa4574 3 ай бұрын
Poleni sana
@Chrispina-r2h
@Chrispina-r2h 3 ай бұрын
Poleni sana
@skybilak5135
@skybilak5135 3 ай бұрын
😭😭😭my God please
@edwardwangari7441
@edwardwangari7441 3 ай бұрын
May the souls of our hero's rest in peace ❤❤
@MwanamisoAbdallah
@MwanamisoAbdallah 2 ай бұрын
Kwanza pole dada kwa kumpoteza Kaka pili ruto must go atumtaki kabisa acha akalie dipozit yni haende Zake
@faithkuri5675
@faithkuri5675 3 ай бұрын
It very painful to is parents
@kenmacron4068
@kenmacron4068 3 ай бұрын
Poleni sana kwa familia
@OldisGold1982
@OldisGold1982 3 ай бұрын
It's sad my condolences
@francisjaluu5763
@francisjaluu5763 3 ай бұрын
So heartbreaking
@ForeveryoungNana2019
@ForeveryoungNana2019 3 ай бұрын
There should be no negotiations with a killer, ICC where are you for God's sake! You are our only hope🙏🙏🙏
@jeptookotos3347
@jeptookotos3347 3 ай бұрын
Don't your hope in Icc, put your hope in God
@ForeveryoungNana2019
@ForeveryoungNana2019 3 ай бұрын
@jeptookotos3347 speaking of the truth mnaekelea mungu vitu zingine hazifai, a police with no heart should face the harsh decipline.
@mayaspanic221
@mayaspanic221 3 ай бұрын
Fly to Jesus, our fallen heroes, may our almighty grant your souls rest and peace.❤
@kelvin_mwalimu
@kelvin_mwalimu 3 ай бұрын
Rutooo is murderer
@kelvin_mwalimu
@kelvin_mwalimu 3 ай бұрын
Rutoooooo, dictator
@GeorgeOdhiamboOndiek
@GeorgeOdhiamboOndiek 3 ай бұрын
so sad bro(R.i.p)
@bellaki4392
@bellaki4392 3 ай бұрын
Willy lusige really knows how to conduct himself ❤... may God Almighty console all the bereaved 😢😢
@rosemaryauntie3872
@rosemaryauntie3872 3 ай бұрын
Those police officers that shot those heros nothing will be done to them in 21days the bill will become a law and thats Ruto for Kenyans the altar Nation of Africa
@WitnessKuboja
@WitnessKuboja 3 ай бұрын
Pole sana
@langatgeoffrey-tf7cp
@langatgeoffrey-tf7cp 3 ай бұрын
Wewe huna akili ulimwona Rais akiwa na bunduki?
@abdulkadirkassim4806
@abdulkadirkassim4806 3 ай бұрын
Hakuna njia ya kukaa na Ruto kuzumza Ila ni maandamano
@aishasaidi1784
@aishasaidi1784 3 ай бұрын
Lahilahillah lahilahahilala inalilahi waina lilahi rajiun 😢😢😢😢😢😢😢
@hellopharmacy552
@hellopharmacy552 3 ай бұрын
Poleni
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 3 ай бұрын
Poleni
@AloyoMary
@AloyoMary 3 ай бұрын
Pole sana,so sad .
@otienofredrick2656
@otienofredrick2656 3 ай бұрын
Gteat sorry for the bereaved families,may Our good Lord restore Peace in your hearts ❤ though it's painful 😢.RIP Y'all remain our legends in our hearts.
@MaryMwacharo
@MaryMwacharo 3 ай бұрын
Pole sana familia. Very sad,very hurting
@pauline71
@pauline71 3 ай бұрын
Poleni sana watu wngu wa Gen z
@everlynewanyama3804
@everlynewanyama3804 3 ай бұрын
Makiwa Kwa familia
@LucyOnyango-uj6vg
@LucyOnyango-uj6vg 3 ай бұрын
Poleni sana 😢😢
@issacknurow6153
@issacknurow6153 3 ай бұрын
Kuchocha nayo
@edithabong3561
@edithabong3561 3 ай бұрын
Poleni sana
@doreenwanjohi9877
@doreenwanjohi9877 3 ай бұрын
Poleni sana Mungu awape neema na awape faraja kila kitu utendeka kwa wema it is so sad😢😢😢😢😢😢😢
@johniem2176
@johniem2176 3 ай бұрын
Msiba wakujitakia...! Walisema wakifa wako tayari.... 🤣
@syombuamutisya2786
@syombuamutisya2786 3 ай бұрын
Poleni sana
Wabunge 3 wa Mlima Kenya wabatili saini zao bungeni
3:05
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 11 М.
Naibu Rais Gachagua apata pigo na kesi ya kupinga vikao kesho
2:39
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 7 М.
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 26 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3 МЛН
Makali Ya Gen Z: Kizazi cha Gen Z chasimama kidete na kuikosoa serikali
29:11
Mmiliki wa kiwanda cha gesi Embakasi ajisalimisha
3:23
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 17 М.
Ndugu wawili walumbania nyumba za kifahari mtaani Kihingo, Kitisuru
1:52
Family says Kware murderer suspect disappeared from home many years ago
4:44
Safari za treni zarejelewa baada ya miaka 15 Nairobi-Kisumu
3:46
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 49 М.
SHAJARA NA LULU | Simulizi ya Joseph Kimeu
43:30
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 96 М.
Rais ageuza nia kuhusu ujenzi wa ghorofa Eastleigh
3:48
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 43 М.
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 26 МЛН