Bwana asifiwe sana mchungaji nilkua na ufimbe ndani ya koo na nikazikiliza somo kuhusu maombi ya kutamka. Kila siku nilikua nashika koo nakariri fungu lisemalo "mimi ni haki ya kristo",vile ulivyo ndivyo tulivyo na kwa kupigwa kwako uliyaponya magonjwa yote"baada ya miezi kadhaa nilipona sina uvimbe tena walk uchungu.nashukuru mungu
@davidmmbaga36429 ай бұрын
AMEEN. MUNGU ATUKUZWE SAAAANA
@josephinepeter95849 ай бұрын
Mungu atukuzwe
@rachelmanongi70649 ай бұрын
Shalom! Siona namba inayopita hapa chini tafadhali
@aleroalero2779 ай бұрын
Sifa na Nguvu ni za Muu gu muumba wa mbingu na nchi.....Mungu aliyekukumbuka wewe anikumbuke na mimi
@NeemayaMungu-x8c9 ай бұрын
Amen 🙏
@CarlenGift8 ай бұрын
May the Heaven Father give us the new Heart.... AMEN
@stevenaakiney13228 ай бұрын
Mungu akubariki Sana pasteur
@williamjumbe198810 ай бұрын
Pastor muombee mdogo angu anaumwa Sana, takribani mwaka Sasa hapati nafuu, Mungu anikumbuke anapo ponya wengine amkumbuke na yeye
@MahubiriPrMmbaga10 ай бұрын
Poleni saaana. Ninamuombea
@deogratiasmazangi-mk4fp9 ай бұрын
Amina sana Mchungaji wangu,Ubarikiwe kwa somo zuri
@AgathaStephen-ul6yy9 ай бұрын
pr. Mungu akubariki Sana. Ninaomba unikumbuke kwenye maombi Hali yangu ya kiroho siyo nzuri na nasumbuliwa na nguvu za Giza muda WA Mwaka miwili.
@lusajokamundu14599 ай бұрын
Mungu atukuzwe kwa ujumbe mzuri aliokupa kwa ajili yetu be blessed ombi langu kwako niombee nipate kazi ya kudumu na pia mapando yote ya mwovu yaondoke ndani yangu
@jdm145910 ай бұрын
Amina Naomba mchungaji uniweke mikononi mwa Mungu anipe kibali cha kuhama nikaungane na mme wangu pia anipe moyo wa kujitoa katika kazi yake
@MahubiriPrMmbaga10 ай бұрын
Mungu akutendee muujiza
@mariamwenge28229 ай бұрын
Mungu Wetu asifiwe kwakazi mnayofanya mmewasaidia watu wengisana
@ezekielbarnaba57859 ай бұрын
Namshukuru Mungu kwa kumuwezesha mwanangu kuwa katika hali nzuri alikuwa haioni ila saiv anaendelea vinzur naamini mwenyezi Mungu atamuwezesha ataona kabisa mwamini Mungu hata kama itagarimu maisha yako bora mwili ufe ila nafsi iokoke
@joliea295610 ай бұрын
Asante pasta, neno kupitia wewe nimeokolewa na nakuombea sana Mungu akulinde,❤
@JosephMunyao-l9q2 ай бұрын
Amem
@rahimajuma530610 ай бұрын
Naomba mumuombee mwanangu juma na rama waache digsra na bangi
@HlLh-g9r10 ай бұрын
Thanks pastor for the great topic tuombee ili tuweze kushinda haya yanayotusuua kusikiliza neno la Mungu kwa uaminivu
@AgathaStephen-ul6yy9 ай бұрын
Asante Sana Na Mungu akubariki unapofanya hivyo
@marynasyieki37839 ай бұрын
Amen mchungaji nmekuelewa Sana Mm hdi imefika wakati nkaogopa kwenda kanisani juu y mchungaji wangukuna vl Alianza maongeze yenye c mazuri lkn nmemsamee Sasa Ata sadaka nmekua stoi.
@JohnMduma-rk3cw9 ай бұрын
Mungu atukuzwe na aendelee kukupatia Mafunuo.
@PetroMartin-rd9bl9 ай бұрын
Kweli nashindwa kujizuiya umenibadilisha Sana kiroho maana nilikatatamaa katika maishayangu munguakulindesana
@kabalizasekanabomarko606310 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu. Kwa kweli nimekumbuka sana mahubiri yako ya natuombe. Mungu akuzidishiye nguvu tena zaidi na zaidi.
@SarahAlila-m1y10 ай бұрын
Namshukuru Mungu kwa masomo yko siku zote, Mm nna changamoto ya kuumwa tumbo kwa muda sasa naomba uniombee
@yakobofumbuka-ry4mh10 ай бұрын
Ubarikiwe pastor kwa neno zuri
@LubinzaHassan9 ай бұрын
ubarikiwe sanaa pastor kwa mafudisho mazuri
@ZaharaKamota10 ай бұрын
Naomba muombee mwanangu Baraka aliyekua mlevi wa kupindukia na sasa Bwana ameanza kumfungua, jumamosi alianza kweda kanisani, jambo ambalo hatukutegemea
@StephenMuriuki-xs9dz2 ай бұрын
Ombea kazi yangu
@lucyrehema620710 ай бұрын
Amen amen nabarikiwa Sana Na mahubiri yako pastor Mungu akubariki Nami nna hoja Kwa AJILI YA Mme wangu amekua akitafuta kusafirri Kwa siku nyingi lakini haijawezeka Ila hatujakata tamaa nnaimani Mungu atafungua njia Na atasafiri
@joharissa202010 ай бұрын
Amen pastor ubarikiwe sanaaa ,kweli tulikuwa tumekumbuka iki kipindi.
@abigaelmwadena226210 ай бұрын
Ameen barikiwa sana mutumishi kwa mafundisho hya mazur
@irenewaluse50749 ай бұрын
Naomba kuombewa mwanangu anaumwa degedege kwa muda mrefu Pia kuombewa biashara yangu ikue Ili niweze kufanya kazi ya Mungu
@MahubiriPrMmbaga9 ай бұрын
Pole sana. Tunamuombea kuanzia sasa hivi
@JumaKitundu-u1d10 ай бұрын
Nabarikiwa Mchungaji ,Amina ubarikiwe sana
@beatricenyiro591310 ай бұрын
Amina mtumishi asante kwa naombi binti yangu nashukuru amepata kazi ataanza 1st week of next month jina la Bwana lisifiwe
@kabalizasekanabomarko606310 ай бұрын
Naomba maombi kwetu congo. Watu wanakufa sana, Mungu wetu atujaliye ili vita isiendeleye kwetu tumechoka.
@davidmmbaga36429 ай бұрын
MUNGU ATENDE KWA AJILI YA CONGO
@shukranjulius952610 ай бұрын
Barikiwa zaidi pastor hakika umekua baraka kwa wengi
@NeemaSitta-i2b9 ай бұрын
Ombea ķizazi changu, na mungu anisdamehe
@PendoSamson-s1k10 ай бұрын
Pr barikiwa Kwan Mungu anakutumia Kila wakati kufikisha ujumbe ambao nihitaji rangu kwaakati huo
@user-josephine.323210 ай бұрын
Amen.naomba uniombee pastor ndoa yangu iwe na amani
@PriscaJoseph-v2z9 ай бұрын
Nabarikiwa sana pr naomba uniombee naumwa kwa mda mrefu
@rosekemunto66010 ай бұрын
Niombee paster,nipate kazi. Niweze kusomesha nakupata poma ya watoto wangu.
@JohnMduma-rk3cw9 ай бұрын
Barikiwa Pastor
@rahabuzephania94969 ай бұрын
Pr natiwa moyo saana na mahubiri yako Mungu akuzidishe kuna namna unagusa moyo wangu , niombee nahitaji kufanya recording Video lakin kila nikitaka kufanya changamoto inainuka niombee
@ZaireShema9 ай бұрын
Muchungaji uniombee Mungu afunue hakili zangu kulifahamu neno la Mungu nakulielewa
@mkubwahasani491610 ай бұрын
Ubarikiwe sana pastor, naitaji maombi maana naitaji kuoa, pia tunaitaji maombi kuusu mwanamke ambaye Niko naye kwenye mausiano kunamashambulizi sana katika familia yao maana kuna roho ambazo zinawafuatilia ili kuwaangamiza Kwa njia zote( katika maisha ya ndoa na kadhalika ......)
@davidmmbaga36429 ай бұрын
MUNGU AKUPE KILICHO SAHIHI
@leticialawi956910 ай бұрын
Pastor Mbaga barikiwa sana unazidi kufungua fahamu zangu Kila ninapokusikiliza
@BahatiAnthony10 ай бұрын
Namshulu mungu Kwa faziri zake
@JacklineMoti10 ай бұрын
Waiting for you pastor 🙏🙏
@fatumasika951910 ай бұрын
Tuombeye inchi yetu Congo DRC. Mauaji yanazidi.
@suzankasile80939 ай бұрын
MUNGU awaokoe kwakwel
@Azizaah-g5t10 ай бұрын
Mungu hakubariki mchungaji ❤ hakika nimebarikiwa
@mutharimimukindi493010 ай бұрын
nimebarikiwa sana pastor
@shukranjulius952610 ай бұрын
🎂 🥳 🎉 🎈 🎁 🎊 KAKA MKUBWA MUNGU AKUPE MYAKA YENYE BARAKA ZAIDI❤❤❤
@dominicmithiaru41219 ай бұрын
Ubarikiwe mchungaji
@NaomiSamson-wc9cl10 ай бұрын
Amina, hakika Mungu anatenda
@StanfordChim10 ай бұрын
Ubarikiwe Pastor
@eddamsalilwa487610 ай бұрын
Barikiwa Mtumishi
@Danielcherwon88810 ай бұрын
Amen Amen Amen
@junessalama912910 ай бұрын
Be blessed Pastor 🎉🎉
@NamsfuDaniel10 ай бұрын
Mchungaji nashukuru Mungu kupitia wewe nabarikiwa naomba unikumbuke kwenye maombi Nina shida ya maden mpaka Sina aman ya kukaa nyumban kwangu Nina marejesho ya Kila wk hapa nilipo Sina hata mtaji na Kila nikikopa kwamba nipate mtaji najkuta naangukia kwenye den Sina furaha Wala aman niombee Mungu anitoe kwenye hili janga mchngaj najua kwa Mungu linawezekana
@TugesyegeMwakatumbula10 ай бұрын
Ili tatizo sio wewe tu ndg madeni yanazaliana kama kumbi kumbi hali ni mbaya ili pepo la madeni ni noma kuliko yote yaani linatukosanisha na Mungu live live
@TugesyegeMwakatumbula10 ай бұрын
Ila Mungu mwema tutashinda
@suzankasile80939 ай бұрын
MUNGU akuponye akuokoe nikushuhudie MUNGU ni mwaminifu nilikua nachangamoto hyo zaidi yako MUNGU alinijibu ila hutakiwi kuwaogopa wadeni wako jivike nguvu muombe MUNGU akupe utulivu wakati wa changamoto utulivu unahitajika Sana usipotulia utazidi kuharibu
@SamwelMagoti10 ай бұрын
Nimebarikiwa sana na somo la Leo.
@twazeranicholaustuvako18609 ай бұрын
Mungu akubariki mchungaji naomba namba ya maombi umesema inapita lakini sijaiona mchungaji.
@GeneriMwakuna10 ай бұрын
Muombee Mama angu katika uchumi wake na afya yake iweze kuimarika pastor
@RoseMomanyi-d3p10 ай бұрын
Amen paster
@rahimajuma530610 ай бұрын
Naomba mumuombee kaka zangu wawili waache pombe
@EzekielMpare-cr3dc10 ай бұрын
Nimebarikiwa sana,
@lilianeerica331810 ай бұрын
Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen
@magrethsindabaha185110 ай бұрын
Biashara yangu, Mungu aigus,na aguse moyo wangu Ili akinibariki nisitaman kutumia zaka na sadaka
@sarahwambui8799 ай бұрын
Asante Sana mchungaji ubarikiwe pamoja na Family yako, naomba maombi kwa Familia yangu Kuna changamoto nyingi zinazo tukumba
@JuliaLumande-r4p10 ай бұрын
Nikweli 🤔ubarikiwe mshungaji ❤❤🙏
@rhinakiza10 ай бұрын
Amen Asante pastor 🙏🙏👏🏻
@purity13410 ай бұрын
Amen
@tumainiaroni798010 ай бұрын
Pr nabarikiwa Sana na masomo unayoyafundisha.
@SengaLukomya10 ай бұрын
Amina
@polinejohnson278010 ай бұрын
Ameni
@nezerinejuma551010 ай бұрын
Amen 👏🏾👏🏾❤️❤️❤️
@blessedkidsofgod801910 ай бұрын
Amen
@PriscaJoseph-v2z9 ай бұрын
Barikiwa pr tunaomba namba ya maombi
@Edinahnyaboke-b9o10 ай бұрын
Amen hallelujah 🙏🙏🙏
@joycemashikolo90969 ай бұрын
Hili somo ni langu. Baraka mingi sana Pr. hapo kwenye vifaa vya kusaidia hesabu nimekumbuka mwl mmoja wa shule ya awali aliangiza kila mtoto apeleke maandazi kumi kumi ya kusaidia kuhesabia. kisha mwl anauliza nikila moja yanabaki mangapi ? 😅😅😅
@jennifersimon10489 ай бұрын
Naomba namba ya kutuma maombi
@BeatriceNangabo10 ай бұрын
Mimi nipo USA naomba mchungaji unisaidie Kwa maombi maana huku nilipo na familia yangu watu wako busy Hawajiusushi na maswala ya Mungu Hawana mda wakufikiria kumuomba Mungu Kwa kweli ukweli kuhusu Mungu huku ni mdogo na Kwa watu wachache sana Naomba namba za watssap maana nina mengi mno Ila kikubwa ni kuomba Mungu na kuweka Imani siku moja
@lucykarii686010 ай бұрын
Amina
@HalimaMziray10 ай бұрын
Hakika napata vitu vipya kila niangaliapo mahubir haya..MUNGU akupiganie ktk yoote na kukubariki pastor
@user-ipallangyo10 ай бұрын
Pray for me I have a serious issue
@MahubiriPrMmbaga10 ай бұрын
Am praying for you
@MariamuSalumu-v4h10 ай бұрын
🎉😂mchungaji nabarikiwa sana masomo yako lakin ninachangamoto niombee sana mume wangu anatumiwa na roho chaf ya madeni lakini yy hajitambui tunateseka sana kama mafamiria na hili nimeligundua baada ya mafundisho yako niombee mchungaj hakika kupitia mafundisho yako nimemuona yesu maishani mwang niombee mchunga
@wmunyiva181110 ай бұрын
🎉bwana yesu asifiwe niombeeni nipate bwana nilikuwa na bwana ninimpenda sana lakini mother in law akanitoa kwa mdoa shida alioa mwana make aina ya ushirikiana niombeeni mungu aniinue nipate mme mwingini
@marigolddiamond361910 ай бұрын
Amen.
@eliasmatalamototv28509 ай бұрын
Naipateje namba ya uyu Mchungaji na shida nayo
@PatriceZalamba9 ай бұрын
Naomba namba za maombi pasta
@mahenzosamuelmahenzo73539 ай бұрын
hii ndio nlitaka kusikia
@PendoAlex-y4x10 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉
@GraceMasawe-y3f10 ай бұрын
Mtumish naomba nipate namb ya sim tafadhali
@AnnShua-lh2yk10 ай бұрын
Mchungazi nabarikiwa sana na mahubiri Yako pls Rembrandt my daughter in prayer she have prolong bleeding 5this is fourth year tumeenda hospitals Hawaii pona
@BeatriceNangabo9 ай бұрын
Tunaomba hizo namba za watssap
@NancyIngutia10 ай бұрын
Pastor niombee safari yangu hii ya gulf nimalize salama
@virginiav459510 ай бұрын
Unikumbuke.kwa.maombi.nina.umwa.na.kifua.
@nkurunzizalydia172010 ай бұрын
Number ziko wapi
@Dorcas-j4s10 ай бұрын
Pastor nisaidie kuombea kanisa langu tupende maombi maana tunasema tukutane wensday kanisa ya watu mia tano tunajikuta watu 7 wakati tuko wengi swala la maombi tumeliongea miaka mingi imeshindikana
@RoseMomanyi-d3p10 ай бұрын
Naomba usaidizi paster ya maombi yako ili nipate mtoto naongea kutoka kenya
@callmemaggie2549 ай бұрын
my dear nunua nguo za mtoto na kuwa na imani kuwa uko na mtoto , mungu wa mbinguni atakutendea be on your kneel kwa kushukuru kuwa ametenda
@MwaminiAlly-n4w9 ай бұрын
Ubarikiwe mchungaji ila mimi nina swali, mimi huwa natamani sana kusoma bible lkn huwa nasoma kama gazeti huwa nashindwa kupambanua, kwaiyo mchungaji huwa naishia kusikiliza mahubiri tu KZbin ili nielewe swali ni kwamba je nakosea sana kuto kusoma biblia???
@n.dvillagirl327210 ай бұрын
Naitaji namba yamaombi haiko hapa
@MahubiriPrMmbaga5 ай бұрын
+255 755 932 283
@pollyj14109 ай бұрын
Naomba kusaidiwa na WhatsApp number ya kutuma shuhuda na ombi tafadhali