@@IsaacMuthama-h9x Come and visit. I will host you
@Charles-j3r27 күн бұрын
N@@malangotravelsnaeza nunua kiwanja plot au nyumba mkenya kutoka mombasa niko naishi ujerumani
@JosephNgigi-d1r15 күн бұрын
@@malangotravelsme too am a Kenyan bt loves Tanzania more, I wish I have money naeza penda sana kuexplore tz ata kama ni yote.anyway I have been to kigoma three times kupeleka dawa za binadamu kutokea Nairobi via tabora, urambo, kazuramimba, daraja la kikwete, uvinza kwa chumvi to kigoma.mzigo wa kurudi Kenya tulikuwa tunapakia mashundu ya nazi pale Sido karibia na stendi
@simonrusigwa302414 күн бұрын
Why?
@simonrusigwa302414 күн бұрын
SIDO/ Mlole. the place i have spent my teenager age
@sospeterkashusha70312 күн бұрын
Uhalisio kigoma ukiitazama balabalani unaweza padharau ndugu ingia mtaani, majengo safi na viwanja ni gali mno
@malangotravels2 күн бұрын
Sahihi kabisa
@stanslausmteme845514 сағат бұрын
Mmh
@AminaJuma-r4yАй бұрын
Kaka nakupenda sana kwa kazi nzuri kituonyesha mkoa wetu wa kigoma sisi tuliyopo mbali tunaona mkoa wetu kipitia video zako❤❤❤🙏👏🏻
@malangotravelsАй бұрын
Pamoja sana mdau
@Monika-cp2gkАй бұрын
Hi... napenda travel blog....looking forward to travel with you to daresalaam from Kenya 🇰🇪
@malangotravelsАй бұрын
Karibu 🇹🇿
@KamanaMangolwa-xe8de2 күн бұрын
Daaaaaaaaaa mkoani kwetu kabisa ❤
@malangotravels2 күн бұрын
Penyewe kabisa
@simonrusigwa302414 күн бұрын
MALANGO umetisha sana. Kazi nzuri. God bless your good job. Keep pushing broo
@malangotravels14 күн бұрын
Pamoja sana mkuu
@jobmoffat78443 күн бұрын
umenikumbusha Kigoma,, pamebadirika sana
@malangotravels3 күн бұрын
@@jobmoffat7844 sana
@kirankarthik0909Ай бұрын
Beautiful Tanzania my dream country in Africa 🌍
@malangotravelsАй бұрын
Welcome
@AllanSsenyonga29 күн бұрын
Great content. I need to add Kigoma to my travel bucket list.
@malangotravels29 күн бұрын
Please visit
@siryklyubov798928 күн бұрын
nimependa mpangilio wa mji,unapendeza. michoro mji alijua kazi yake. na pia mji ni msafi. tunashukuru kwa kazi yako,tunaona miji tofauti tofauti ya TZ na mazingira tofauti. shukran. 14.12.24.
@malangotravels28 күн бұрын
Pamoja sana mdau
@UnclerammaschannelАй бұрын
Malango za siku vipi Hali yako tafazali fanya video ya kibirizi na gungu vile vile soko la mwanga malengo thanks brother from London 😢😊
@malangotravelsАй бұрын
Pamoja sana mdau
@JeremiahRios2728 күн бұрын
Hi l'm Jeremiah Rios i am your New Subscriber nice video love watching your content keep up the great work ❤ Greetings from the United States of America 🇺🇸 i hope to meet you all one day i have always wanted to visit Africa 🌍 i support many African people out there in this country lets change the world to be a better place Together 💯💯💯 have a blessed Weekend god bless our year and families 😊
@malangotravels28 күн бұрын
Thank you
@CarlCare-yl4wi24 күн бұрын
You're most welcome in kigoma
@shayoshayoizm909028 күн бұрын
Napenda Tz❤
@malangotravels28 күн бұрын
Karibu 🇹🇿
@shayoshayoizm909028 күн бұрын
@malangotravels Thats the only country I wish to visit
@wm966929 күн бұрын
I was one of your first viewed when you had less than 1k views. Wow good job and keep it up. I have really enjoyed
@malangotravels29 күн бұрын
I really appreciate your support
@husseinmassawa718629 күн бұрын
Tunavyoisikia tofauti na tunavyoiona, iko very clean, lami ya kutosha
@malangotravels29 күн бұрын
@@husseinmassawa7186 Kabisa
@ababibabzee7758Ай бұрын
Malango mdau wangu i see your in kgm bro. Big up that is my home town bro. Sema umepoa sana siku hizi video hutoi like beefore
@malangotravelsАй бұрын
Mambo mengi mdau
@ababibabzee7758Ай бұрын
Exactly brother
@TimothyNtahali-hu1jx29 күн бұрын
Safi Sana ikigoma iwachu
@malangotravels29 күн бұрын
Beautiful town
@MochammdHadija-pn7nn9 күн бұрын
Hongera sana ❤❤❤
@malangotravels9 күн бұрын
Pamoja sana
@katayaloveness552927 күн бұрын
Mash Allah home sweet home 🏡 shukuran sana kutuonyesha nyumbani kitambo kweli ❤❤❤
@malangotravels25 күн бұрын
Pamoja sana
@ronaldkobbo734728 күн бұрын
I love the vibe. Subscribing right now🎉🎉🎉🎉. Kind regards from 🇺🇬
@malangotravels28 күн бұрын
Welcome
@Gregoiresidehustle10 күн бұрын
Asante kwaku tupa spotlight, I feel like my hometown as always been disregarded and forgotten by the government.
@malangotravels9 күн бұрын
Pamoja sana mdau
@BenardOdhiambo-c7pАй бұрын
Welcome back to BUNGOMA kenya sio vile uliacha kulibadilika saanaaaa
@malangotravelsАй бұрын
I will definitely be back
@SylvesterMbonimpaye-oc9yiАй бұрын
ahsante kaka video nzuri,me from kasulu kigoma
@malangotravelsАй бұрын
Asante pia
@FerdinandNgendamayoАй бұрын
Sweet home I miss this place I hope one day to come kigoma
@malangotravelsАй бұрын
Welcome
@SalimaSnD16 күн бұрын
mambo mazuri sana
@malangotravels16 күн бұрын
Sanaaa
@renemanegu855428 күн бұрын
Lumumba road waooow am proud to hear that our Hiro Lumumba IS everywhere
@malangotravels28 күн бұрын
Yes, the patriotic Patrice Lumumba
@wm9669Ай бұрын
Thanks. Never been to Tanzania , learned a lot from your videos .but when I speak to my friend I tell them a lot of things. Wanashaki mimi mtanzania lol 🕵️ 😎
@malangotravelsАй бұрын
You might be a Tanzanian 😀 Thanks for watching my videos. Pamoja sana mdau
@wm966929 күн бұрын
@@malangotravelsI really love tanzania. My be I should look on how to make it my home .
@kjb_user0077Ай бұрын
Nilikuwa huko kigoma kikazi nimetoka mwezi 04 mwaka huu,kwasasa niko Arusha naipenda kigoma
I was in Kigoma 30 years ago and the place was just a village. We stayed in Mji mwema. Lot s of improvement
@malangotravels12 күн бұрын
Visit Kigoma again. The town has Massively transformed
@saidak.923229 күн бұрын
Tanzania is generally beautiful!
@malangotravels29 күн бұрын
True that
@okelinabilenganya292622 күн бұрын
Can you please visit Makere I want to see how it looks like now and the changes they have made
@malangotravels22 күн бұрын
@@okelinabilenganya2926 Next time
@55goodmenАй бұрын
gd video well done
@malangotravelsАй бұрын
Thank you
@ibrahimmaabadi1586Ай бұрын
Asante sana
@malangotravelsАй бұрын
Pamoja sana
@habibabarker164422 күн бұрын
Nyumbani kwa mama wajombani hiiii mama ❤️
@malangotravels21 күн бұрын
Karibu ujombani
@halisuhamimu861729 күн бұрын
Kigoma ❤❤❤
@malangotravels29 күн бұрын
Thanks
@NoelChamboАй бұрын
Ebwana Kigoma pazuri
@malangotravelsАй бұрын
Sana
@joycelinelyimo-fenske8745Ай бұрын
Nice 😊
@malangotravelsАй бұрын
Thanks for watching
@NdizeyeEric-wx4feАй бұрын
Wow long time
@malangotravelsАй бұрын
@@NdizeyeEric-wx4fe we're back
@renemanegu855428 күн бұрын
much love from Congo
@malangotravels28 күн бұрын
Visiting Congo soon
@platinumphonesandcomputers29 күн бұрын
I have not seen any rubbish on the streets 👏🤝
@malangotravels29 күн бұрын
It's a clean town
@abangaabanga467729 күн бұрын
Good one, though in this episode there was no talk or rather explanation of the places, of course we still appreciate the sub titles but its much more appealing when you explain or talk about the places like u do in other videos
@malangotravels29 күн бұрын
Noted with thanks mdau
@TonnyOkello15 күн бұрын
In Uganda we would call this a city !
@malangotravels15 күн бұрын
@@TonnyOkello Oh well
@JamesMhilluАй бұрын
Kigoma changed a lot. Left Kigoma 2012 after staying for four good years
@malangotravelsАй бұрын
Sure, Kigoma has changed
@clovissibo229923 күн бұрын
@@malangotravels I left it in 2000 and I have sweet memories since, even if I did not get all the freedom to know it due to my status. God bless Kigoma and Tz
@sharifahmed7346Ай бұрын
Found not fround Dr David Livingstone and Stanley meet Ujiji Kigoma, usinikasirikie kwa kuku correct , maana kutenda kosa si kosa bali kosa ni kurudia pamoja kijana kazi njema, mbona hujatuonyesha Lake Tanganyika
@malangotravelsАй бұрын
Typo. Thanks. Lake Tanganyika next videos
@KhallaadAlFarsi29 күн бұрын
Sharif Ahmed. Stop trying to be smart. Unajuwa uzuri anybody can err during typing. Wewe mwenyewe hujapata ku type wrongly? It's people like you who yearn to debase other mortals.
@abuukajembe-to6sd27 күн бұрын
Nimepamic sana
@malangotravels25 күн бұрын
Karibu tena
@AnnieEkalaАй бұрын
We have Kigoma Street in DRC. Now I know where the name came from🤔
@malangotravelsАй бұрын
Exactly
@ShauriMdengeАй бұрын
Hi brother, imechukua mda Sana bila kutupa utamu,Kazi nzuri Vipi tutarajie nini au lini video nyengine??
@malangotravelsАй бұрын
Tuko pamoja mdau
@gracekagoma323128 күн бұрын
❤❤❤🎉
@ElijahOmollo-v9y18 сағат бұрын
Please wekA picha nyingi za watu na Tanzania mzima hebu morogoro Kwa mwaruka
@malangotravels16 сағат бұрын
@@ElijahOmollo-v9y Okay
@ChunguzanaАй бұрын
Malango travels umenikumbusha mbali sana toka 2007 kigoma imebadilika ukilinganisha na miaka 18 nyuma mitaa yangu yote hiyoo
@malangotravelsАй бұрын
Sawa swa Mzee wa POrt Elizabeth 🇿🇦
@ramadhanitokwete806917 күн бұрын
Duh hii mikoa mingine😂😂😂😂
@malangotravels16 күн бұрын
Imefanyaje mdau 😀
@Sidrasidra63622 күн бұрын
Kigoma Burundi 😅
@mamlomamlo906429 күн бұрын
Si watu wastarabu mie ninapo ishi nipo karibu nao hapa mtaa wa amana dsm wanaingiza milori mikubwa na mabasi makubwa wanapakia na kupakua mizigo saa zote tena hawana yard wanafanya nje tena wanamakelele ,halafu wana ubaguzi ile kitu uzawa
@tommbalanya9515Ай бұрын
Hatujaona lake Tanganyika.
@malangotravelsАй бұрын
Video ya Leo utaona
@yvesBigirimana-c9k29 күн бұрын
Kigoma ni Burundi wana.
@malangotravels29 күн бұрын
@@yvesBigirimana-c9k He Burundi tena? 😀
@abdallahselemani6423Ай бұрын
Halafu mseme nchi haiendelei
@malangotravelsАй бұрын
😀
@EliezaRichard28 күн бұрын
Kwakina daimond na baba levo na mwijaku linex kaseja
@malangotravels28 күн бұрын
Kabisa 💯
@augustynnecko169626 күн бұрын
I WANT TO BUY A SMALL PIECE OF LAND HERE..WHATS THE PRICE
@malangotravels25 күн бұрын
Depends
@PaulNjorogeАй бұрын
Wapi Lake?
@malangotravelsАй бұрын
Video ya Leo utaiona
@PaulNjorogeАй бұрын
@@malangotravels Freshi, cant wait
@Purity-j5jАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kabisaaa
@malangotravelsАй бұрын
Ndiyo
@abdallahselemani6423Ай бұрын
Kigoma inapendeza Sasa kushinda baadhi ya county za kenya
@malangotravelsАй бұрын
Pamoja mdau
@Familydollar25Ай бұрын
Hom kbs kwasasa nipo USA 🇺🇸 dah
@malangotravelsАй бұрын
Wape salamu huko
@NsavyimanaAnicet29 күн бұрын
Kugoma mukoa wetu wa Burundi hapo kare kurikuwa na kiongozi ambapo alikua anaitwa jina lakagoma ndomaana waitwa kigoma mufano mukoa Rumonge kulikua kiongozi aitwaye kimonge au Bujumbura kulikua nakiongozi aitwae kajumbura mikoa nyingi ya Burundi waliita majina lawatu walikua wanaitawala kabla wakoloni kuja kutuvuruga mkoa mwingine ambapo uko Tanzania nabado hujarudi nimukoa wa ng'ara kule na hapo kale Burundi tulikuwa tunaita Bugufi maana ndojina lakiongozi wao hapo enzi zakale kabla wakoloni kuja eti kulikuwa nini nimakuvaliano ya wakoloni wa kingereza nawa berge wakisema wajenge barabara la trileni kutoka sauza hadi Misiri na kuachiwa shehemu ndogo ya bandari huko ili mzigo yaburundi ikitua dar sar lam isiwe inalapa sasa vyote hakutimiya kwahilo ndomana Tanzania haipendi Burundi ipateamani ili isije kudai sehemu yao pia waipe nafaida myaka wamepatumikia mufano Rwanda warisha warudishia maana wao waliona vimegoma wakaabia wakoloni wawaludishie wakawarudishia eti Burundi napo eti ni kwanini Huwo wakati wakudai turudishiwe mfalme wa ufundi alikuwa anaaga dunia kisha kukaja kijanaake wa miaka mitatu sasa hapo hakuwa na uwezo wakwenda kuwakumbusha ila sisi tunaimani kwamba hatarudia kabisa hata harama zakuonyesha niburundi zipo
@ISSACKNTACHO-u3y7 күн бұрын
Hahahahaaaa,,,,
@UnclerammaschannelАй бұрын
Mjini mwema vile vile
@malangotravelsАй бұрын
Inakuja...
@kamanda00729 күн бұрын
Maaaan, Kigoma wanahitaji Elimu namna ya kuendesha na kutumia barabara, kinachofanyika ni hatari sana