Tanzania inapitisha sheria ya kupiga marufuku ujenzi wa nyumba na mali nyingine za biashara pembezoni mwa barabara, kwa kuwa jambo hilo linaleta hasara kubwa kwa kila aina kwa nchi, ikiwa ni pamoja na hasara ya binadamu... ujenzi wowote lazima ufanyike angalau mita 70 kutoka kwa barabara yoyote
@InsideSouthAfrica24717 сағат бұрын
Barabara mbovu hiyo from dar to chalinze
@malangotravels14 сағат бұрын
@@InsideSouthAfrica247 from Kibaha
@jeremiaaugustino718710 сағат бұрын
hata haujui inaishia wapi.................
@InsideSouthAfrica2477 сағат бұрын
@@malangotravels yeah from kibaha to chalinze ni mbovu.. Expressway itakua poa sana
@helper109914 сағат бұрын
Ni Hivi hiyo Barabara ya zamani iachwe kwenye hizo sehemu zinazopita katikati ya miji kama Kibaha mjini. Express way izunguke nje ya miji. Hiyo ya zamani iwe business road.
@malangotravels14 сағат бұрын
@@helper1099 Hakika
@egdldm49815 сағат бұрын
Eti hii ni barabara kuu ya kimataifa?😮 Sawa na barabara za vijijini!😊