MALAYA MGENI PART 02 💞 Love Story | DONTA TV

  Рет қаралды 250,111

Donta Plus

Donta Plus

Күн бұрын

Пікірлер: 289
@lusamonene5643
@lusamonene5643 7 ай бұрын
Haya ni mambo yanayofanyika kila siku. Kazi njema Wana Donta.
@sundaymushi9640
@sundaymushi9640 2 ай бұрын
Aisee loveness na Tina nawapenda sana movie zenu nzuri zote mnajua sana 🔥😅😅😅😅😅
@LovelyMountainLandscape-dd4xe
@LovelyMountainLandscape-dd4xe 7 ай бұрын
Loveness alikuwa anatoa kavu ety wengine awataki kula pipi na maganda yake awasikii utamu love we noma sanaaa
@ClementejoseWilliam
@ClementejoseWilliam 7 ай бұрын
Mume ipata iyoo,,wakwansa kutoka Mozambique😂😂😂😂😂😢🎉🎉🎉🎉 3:42 😢❤❤❤❤nipeni like zangu
@RizikiZiki
@RizikiZiki 7 ай бұрын
Weuliona mutu unamupa dawa unapita unaondoka uyo madame nimuuwaji mukitaka muacane nae Tina siomutu maana lovenesi ameniumiza 😢😢
@asyawaamidu2968
@asyawaamidu2968 7 ай бұрын
Munaharibu kiswahili mutu ndo nini
@Agyy628
@Agyy628 7 ай бұрын
​@@asyawaamidu2968ili mrad umeelewa
@SakinaHassani-xm7ti
@SakinaHassani-xm7ti 7 ай бұрын
😂😂😂​@@asyawaamidu2968
@DreamreneePatrick
@DreamreneePatrick 7 ай бұрын
​@@asyawaamidu2968mm ata nmeshindwa kusoma hyo comment yake for really
@IsmailMadrelya
@IsmailMadrelya 7 ай бұрын
😂😂😂😂
@ChausikuJoseph-bd9fx
@ChausikuJoseph-bd9fx 7 ай бұрын
Love nakupenda Mamy ila unanifurahsha sana😅😅😅😅
@sundaymushi9640
@sundaymushi9640 2 ай бұрын
Love anajua sana kuigiza
@AngelPaulo-e6r
@AngelPaulo-e6r 12 күн бұрын
Kwakwel
@lulendamanyama3275
@lulendamanyama3275 7 ай бұрын
Mmeiktisha hatima ya ww boss NA wazazi wake binti ni ipi pia hatujawaona wazazi wa binti NA hatujaona mabinti wakichukukiwa NA Hao madaga wao wala virabu mfanye kazi kwa ubunifu
@MwandawaHassan
@MwandawaHassan 7 ай бұрын
❤❤❤❤ kazi nzuri ila mnatuficha mambo mengi jamani why❤
@HellenWafula-b4x
@HellenWafula-b4x 7 ай бұрын
Leo ni kweli mmewahi jamani hongera
@OvinMligo
@OvinMligo 6 ай бұрын
Ila loveness. Alikurupuka mno mtoto wa kijijin kaenda mjin kajiona yeye ndo yeye kaniuzi sana
@SimonNdoro
@SimonNdoro 19 күн бұрын
Loveless hongera mamangu
@PetrofredrickFredrick
@PetrofredrickFredrick 17 күн бұрын
Love kiboko umejua kunifuraixha
@BeatriceNanjira-u8x
@BeatriceNanjira-u8x 7 ай бұрын
Love unanifananisha kwakweli unasema mimba inatokea puwani,❤❤
@PrinceTazama
@PrinceTazama 7 ай бұрын
😂😂
@عبداللهالزعابي-ب8و
@عبداللهالزعابي-ب8و 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@DonavineNininahazwe-bu9ub
@DonavineNininahazwe-bu9ub 6 ай бұрын
😂😂😂😂😢😢😢
@EdinaKimario-i7i
@EdinaKimario-i7i 7 күн бұрын
Yan love na madam wakeeeeh wananiach hoooooiiii
@MMoriet
@MMoriet 5 ай бұрын
Imemramba tayari lkn iyo mimbo unikee mm nitalea kbs alf nikutie ingine mapema is the best ❤
@BetherMwitale
@BetherMwitale Ай бұрын
Acheni huu ujing a ila xiwashangai maan hizi ndo Kaz za Kila xik maan ajira zimekaza na hamuwez kujeng ili mpate pes kwaiy uzen 2 hivy vitumbua vyenu pekupeku mtakufa
@paulinekombe3753
@paulinekombe3753 7 ай бұрын
❤❤❤❤loveness 😂😂😂 inatoka kwa mudomo😂😂
@ISAACBARASA-yf9kh
@ISAACBARASA-yf9kh 7 ай бұрын
Nnawafwatilia nikiwa kenya 🇰🇪 ata tu like Jamani?
@AnnaDaudi-ol9gd
@AnnaDaudi-ol9gd 7 ай бұрын
😅😅😅 love umeniacha hoi leo❤️❤️❤️❤️❤️
@shiraramarani1159
@shiraramarani1159 7 ай бұрын
Mm wa kwanza like kwangu 🤣🤣
@NoorEesa
@NoorEesa 7 ай бұрын
😢😢😢😢mm kutoa mimba tu ndio kitu sijawai jaribu eee mungu nisaidie😢😢😢
@EvansSaro-n8m
@EvansSaro-n8m 5 ай бұрын
Hhh😂😂😂😂😂😂😂
@FlowinGawile
@FlowinGawile 7 ай бұрын
Hawana vizazi loveness mbavu cna mimi
@EverNuru
@EverNuru 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@EzraBoboloy
@EzraBoboloy 7 ай бұрын
Kwa kweri nawapenda sana nyie watoto wa donta plus ❤❤🇧🇮
@joycemuenimutua4506
@joycemuenimutua4506 7 ай бұрын
Kazi safi kabisa 🇰🇪
@FilleMagimuteba-n7l
@FilleMagimuteba-n7l 2 ай бұрын
Loveness ume chagua njia mbaya
@veronicamnico4773
@veronicamnico4773 7 ай бұрын
😂😂😂 kwetu nakula karanga na mamihogo, ndo maana kizazi kipo
@NIWAESPOIR
@NIWAESPOIR 2 ай бұрын
Loveness unanifuraisha sana wg
@maryamrashid-s6
@maryamrashid-s6 Ай бұрын
😂😂😂loveness wanchekesha mimba itatoka na wap😅😅😅
@rizikishukuru7490
@rizikishukuru7490 5 ай бұрын
Hongereni San🔥🔥
@GeorgeKazungu-cj5zj
@GeorgeKazungu-cj5zj 6 ай бұрын
Nampenda tinah pamoja na kiherehere yake😂😂
@Noncie.M
@Noncie.M 7 ай бұрын
WA sita jameni nimewai Leo nipeeni ata like kumi
@numpefikimwaipopo
@numpefikimwaipopo 7 ай бұрын
Sasa we like za nini wewe ndo utoe like
@halemamoon1782
@halemamoon1782 7 ай бұрын
Aaaah bana apa mumezngua kwa kweli...inaishaje kienyeji
@LeahKadzo-be2qd
@LeahKadzo-be2qd 6 ай бұрын
Nakupenda loveness❤❤
@KamikaziOrnellaOrny
@KamikaziOrnellaOrny 7 ай бұрын
Loveness kumbe ww ni mu christo 😅😅
@gakobwaadija7949
@gakobwaadija7949 26 күн бұрын
Kazi nzuri from 🇧🇮❤
@DayanahMwinuka
@DayanahMwinuka 2 ай бұрын
Jaman hii ni funzo kwetu maana tunatoka kijijin tunapekwa kujiuza duuu
@JemmyMakao
@JemmyMakao 5 ай бұрын
Love we kiboko😂 mbav zangu jmn
@NovachichNdikuman
@NovachichNdikuman 7 ай бұрын
Leo nimewai nipen like zang jmn
@numpefikimwaipopo
@numpefikimwaipopo 7 ай бұрын
Like sio zako dear mnatusumbua
@maryamrashid-s6
@maryamrashid-s6 Ай бұрын
😂😂😂uko kuchekacheka kwake ndo akapachikwa mimba😆😆😆 loveness
@butoyoSafiya
@butoyoSafiya 3 күн бұрын
😂😂😂amenikausha mbavu
@AntoniamartaLuis
@AntoniamartaLuis 7 ай бұрын
Loveness nakupenda bule
@Sitiabdhallah
@Sitiabdhallah 3 ай бұрын
Waaah love hatukuwezi yaani sijui party gani inakushinda baanae ❤
@ZureaMussa
@ZureaMussa 20 күн бұрын
Kwa kwel love anajua kuingiza😂😂♥️💯
@coolbz133
@coolbz133 7 ай бұрын
Mshaniulia loveness wangu😂😂😂
@MwanyiluTz
@MwanyiluTz 7 ай бұрын
Kuigizaa ni kipajiii😢😢
@MesahMwachepha
@MesahMwachepha 5 ай бұрын
Yani mna kazi nzuri😂😂😂
@RehemaZachary
@RehemaZachary 6 ай бұрын
levo noma san jamn hiz kazi nazo zinachangamoto 😂😂😂😂😂
@HidayaMhamudu
@HidayaMhamudu 7 ай бұрын
Mh maisha haya mungu tusaidie
@NdayisabaFabrice-g6m
@NdayisabaFabrice-g6m 6 ай бұрын
Jamani kazi baya pole sana love
@AbduliShabani-wy3lj
@AbduliShabani-wy3lj 4 ай бұрын
Unajua San loveness lkn nakupenda sana Tina love you tina
@PriscaKabogo
@PriscaKabogo 6 ай бұрын
Mh pole saana mamaa ila wamama mnaoenda kuchukua watoto wa watu kijijin na kuwauza sio vzr emagin kama wangekua wenu
@NoelaKk
@NoelaKk 7 ай бұрын
Leo nimewai ripen. Love❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ThomasKirogi
@ThomasKirogi 6 ай бұрын
Hizo like vip toen maon achanen na like
@rahmalove531
@rahmalove531 7 ай бұрын
Jifunzeni kitu jameni iyo kazi Halifax 😂😂😂😂😂
@aishaallyaishaally3220
@aishaallyaishaally3220 7 ай бұрын
Kazi nzuri
@fatmaibra149
@fatmaibra149 6 ай бұрын
Kama mtu unafanya kazi kwanini usipange chumba chako ukajipelekesha mwenyew wanaume wakupelekeshe na boss tena kwanz kazi ngan mabos kibao
@liliannafula-wv2jg
@liliannafula-wv2jg 7 ай бұрын
Love kweli unanifanyia nicheke sana 😂😂❤
@MarthaMkulo
@MarthaMkulo 7 ай бұрын
Good job🎉🎉
@MonicaSamwel-e5t
@MonicaSamwel-e5t Ай бұрын
Uwiiiiiiih loveness et nikaruke majokaa mm nimecheka nusu kujikokojolea 😁😁😁😁😁😁
@butoyoSafiya
@butoyoSafiya 3 күн бұрын
😂😂😂 loveness umefanya nacheka kwasauti
@Nabobi-pv3nj
@Nabobi-pv3nj 28 күн бұрын
Ila lavunesi 😁❤️
@PrettyAmmy-l6e
@PrettyAmmy-l6e 5 ай бұрын
Hahaha love bhn nakupend bureee
@bihatih
@bihatih 7 ай бұрын
Karuke majoka love ata usiwaze😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Irankundasadiki-yx1vf
@Irankundasadiki-yx1vf 6 ай бұрын
Kazi hiyo mimi siezi yiweza mbona ninapenda nijiunge nanyi lakini niko kijana🤣
@AUGUSTINkambale-ey5qm
@AUGUSTINkambale-ey5qm 6 ай бұрын
Kazi ngumu
@Baraka-dd6do
@Baraka-dd6do 6 ай бұрын
Love unajuwa kujizima data
@sundaymushi9640
@sundaymushi9640 2 ай бұрын
Sana nimemfuatilia movie zake kama nne aisee Yuko vizur sana
@silviaamakweliukweliutajul8395
@silviaamakweliukweliutajul8395 7 ай бұрын
Mnavyoomba like mmeigiza nyie?
@Phoebenafula
@Phoebenafula 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂loveness umenimaliza
@NaggaStampid
@NaggaStampid Ай бұрын
Uy madamu ni mkatili sana
@MohamedShekihiyo
@MohamedShekihiyo 7 ай бұрын
😂😂😂loveness ww nomaaa aiseeee unanivunja mbavu hukuuuu
@AnaDamiani-cn6cz
@AnaDamiani-cn6cz 5 ай бұрын
mko wazuri,mnaweza sana .nawapenda wote.
@IreneEgbat
@IreneEgbat 4 ай бұрын
Uskubarii jmn rove
@CathrineMlialia
@CathrineMlialia 7 ай бұрын
Ingeendelea ❤ nawapenda sana love na Tina
@JanethMgoly
@JanethMgoly 7 ай бұрын
Love damu inatokea puani😂😂
@Estherwiliam
@Estherwiliam 2 ай бұрын
Uwongo😂😂😮
@ANNAMdttz
@ANNAMdttz 6 ай бұрын
Hahahaha lavnes ulikuw unakula makaranga na mihogo
@saidy5669
@saidy5669 4 ай бұрын
Nawapend san❤
@HappynesAnthony
@HappynesAnthony 4 ай бұрын
Love nakupenda Sana malaika watakupokea my dear
@MimahDoreen
@MimahDoreen 4 ай бұрын
Jamn mnanifurahisha sana watot wa donta
@irenematena1018
@irenematena1018 7 ай бұрын
Mtoto wa watu jameni🥺🥺 ndo kasha kufa ao fipi
@GraceVISAMAYANI-gj1xm
@GraceVISAMAYANI-gj1xm 7 ай бұрын
Uruma
@LinetMusau
@LinetMusau 4 ай бұрын
Kutoa mimba sio mchezo 😂😂😂 ni chungu kuliko kuzaa❤❤❤❤
@ChristineMaloba-hk9je
@ChristineMaloba-hk9je 26 күн бұрын
Kumbe ushai toa mama marehem😢
@AminaAmina-of5mv
@AminaAmina-of5mv 7 ай бұрын
Labda hawana vizazi love😂😂😂😂
@saumJuma-q3e
@saumJuma-q3e 7 ай бұрын
Jmn nimecheka mimi tina alivyokuta akifuta harufu yani yuko surius san na kaz ambiwa sjui panya huyu cjui paka uwiiiii😂😂😂😂😂
@IreneKemilembe
@IreneKemilembe Ай бұрын
Very nice❤❤❤
@OvinMligo
@OvinMligo 6 ай бұрын
Mmmmmh huyu madam muuaji hii amezaa kweli??.
@PrettySalmah-tt8bh
@PrettySalmah-tt8bh 7 ай бұрын
Love utatapik mtoto atatokea mdomon 🤣🤣🤣🤣love hatak vidonda jmn🤣🤣🤣🤣love anatak mwarubain bas maan hayo madude hajazowea 🤣🤣🤣
@belysenibitanga2786
@belysenibitanga2786 7 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Vicky-m7t
@Vicky-m7t 5 ай бұрын
Et hawana vizazii😅😅😅
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 7 ай бұрын
Loveness unalia kama unaumwa uchungu wa kuzaa
@MOSESMTEGULE-ix6gq
@MOSESMTEGULE-ix6gq 2 ай бұрын
we love mi bibi yako😂😂😂😂
@ChristineMaloba-hk9je
@ChristineMaloba-hk9je 26 күн бұрын
😂😂😂😂
@SikudhaniHamisi-k9m
@SikudhaniHamisi-k9m 6 күн бұрын
Hii Nd Dunia mung tunusuru
@JesckaJuniortz
@JesckaJuniortz 7 ай бұрын
Hhhhhhhhha walahi boss kazi unao
@HamisiForogo
@HamisiForogo 7 ай бұрын
Shuka Aina hata damu
@EstherWilliam-x6b
@EstherWilliam-x6b 6 ай бұрын
Kidondaaa is typing 😂😂😂😂😂
@SakinaHassani-xm7ti
@SakinaHassani-xm7ti 7 ай бұрын
Good job❤🔥🔥💯
@HidayaNzunda-f3f
@HidayaNzunda-f3f 3 ай бұрын
Love anakizazi jaman 😅😅😅😅😅😅😅😅
@Sitiabdhallah
@Sitiabdhallah 3 ай бұрын
Huyu madam ni muuwaji masking love wangu siti kutoka kenya
@HadijaHamisi-yt3pn
@HadijaHamisi-yt3pn 7 ай бұрын
❤❤❤❤leteni vitu
@HafsaHassan-bz6th
@HafsaHassan-bz6th 7 ай бұрын
love pambeee🎉
@HaisamDecoration
@HaisamDecoration 7 ай бұрын
nimeipnda hyooooooo
@Fatma99-ve7ys
@Fatma99-ve7ys 7 ай бұрын
Jamani bora iyendelezeni
@appsplay4324
@appsplay4324 7 ай бұрын
Much love ❤❤❤
@EmmaJoseph-jh3jm
@EmmaJoseph-jh3jm 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 love apana jmn mbavu zangu mm
@samfanuely-e1x
@samfanuely-e1x Ай бұрын
😂❤loveness umetisha
@ChachaCharmathe
@ChachaCharmathe 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂 lavnes ulikua unakul kalanga 😂😂😂 hak nakupend san
MALAYA MGENI PART 03 💞 Love Story | DONTA TV
14:59
Donta Plus
Рет қаралды 146 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
BEFORE I MET YOU 💔 { 8 }
20:25
Donta Plus
Рет қаралды 50 М.
SHEMEJI ANATAKA TENA 💞 Love Story | DONTA
31:50
Donta Plus
Рет қаралды 500 М.
NEVER GIVE UP 💪 Full movie
1:37:31
BabaJoan
Рет қаралды 614 М.
DADA WA KAZI  💞 Love story | DONTA TV
24:13
Donta Plus
Рет қаралды 1 МЛН
MALAYA MGENI 💞 Love Story | DONTA TV
22:35
Donta Plus
Рет қаралды 525 М.
TRUE LOVE FULL MOVIE
1:01:50
hemedy chande TV
Рет қаралды 1,5 МЛН
SIRI YANGU ❤️ | Starring #MALAIKA #MATUTU
24:20
MATUTU MEDIA
Рет қаралды 31 М.
DADA WA KAZI 💞 HOUSE GIRL PART 1 | Love Story  | DONTA TV
20:31
Twizy Dady Tv
Рет қаралды 89 М.
CHOZI LANGU 💞 Sad story | DONTA TV
30:04
Donta Plus
Рет қаралды 970 М.