Waislam tuje na msukumo tutaku kujua haya mambo ya waqfu yaliendaje kma vile msukumo wa marufuku ya kupinga muguka
@nazraseiban10826 ай бұрын
Hamna sauti
@stambuliwash.abdillahinass81236 ай бұрын
Inshaa'Allah, Mwenyezi Mngu atatupa sauti kwa ridhaa yake, na kwa wakati ufaao.
@mwangimuhammad-sx9hb6 ай бұрын
Mbele ya zakayo hizo ni low lying fruits.
@Fm-MornStar20145 ай бұрын
Waislamu oyee. Tunapenda kulalamikia kila kitu. Kweli si kweliii! Sasa tujue nchi ni Kenya na kila kundi, iwe dini au kabila, hatutafika mbali kama Taifa!
@h456-m1lАй бұрын
Sidhani rais alipuuza,nadhani kuna mirengo tofauti ndani ya serikali ambayo ina haja na ajenda kwenye jopo hilo. Itabidi wapwani mzidishe juhudi, otherwise grabbers will abuse that commission