MALI ZA MAREHEMU FULL MOVIE/BONGO MOVIE FILM

  Рет қаралды 79,025

BabaJoan

BabaJoan

2 ай бұрын

Пікірлер: 64
@BabaJoani
@BabaJoani 2 ай бұрын
JAMANI MASHABIKI NAOMBENI RADHI KUNA CHANGAMOTO ZIMETOKEA KATIKA MOVIE HII NDIO MAANA HAYA YANATOKEA TUWIE RADHI SANA 🙏🙏🙏🙏
@EverlynKenneth
@EverlynKenneth 2 ай бұрын
Sawa kaka ,napenda sana kaz zako naninajifunza VINGI mno MUNGU awatunze, nakuweka wepesi pia tuzid kujifunza
@user-oj5di2df7m
@user-oj5di2df7m 2 ай бұрын
Ko muendelezo haupo tena dah
@dianaqueen7967
@dianaqueen7967 2 ай бұрын
😢😢 bored
@Michaeldeo-xd9mv
@Michaeldeo-xd9mv 2 ай бұрын
Kama imeisha sijapenda ulivyomaliza tunatikiwa tufahamu hatima nyumba imeuzwa au haijauzwa...
@fgfvgggf6993
@fgfvgggf6993 2 ай бұрын
Kwahivo mali za marehemu iliishia hapo
@HakimJohn-ey2dd
@HakimJohn-ey2dd 2 ай бұрын
Duuh noma sana aise sikuzote kichwa cha familia kikitoweka lazima kuwe na changamoto za maisha ila big up sana baba joan ila ndio imeisha ivyo au
@user-pp2dr9jk5r
@user-pp2dr9jk5r 2 ай бұрын
Kazi zuri sana tunawapenda sana kutoka kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤
@bonneygymkhaled1279
@bonneygymkhaled1279 Ай бұрын
me too,from Kenya 254🎉baba Joan all the best
@JosephineMomanyi-jp8tv
@JosephineMomanyi-jp8tv 12 күн бұрын
Baba Joan kazi nzuri na endelea mnatufanya tunakaa poa bila kurangaranga
@maimunamselemo8427
@maimunamselemo8427 6 күн бұрын
Movei zako nazipeñda sana mwanzo mwisho
@bahatichilosa3490
@bahatichilosa3490 2 ай бұрын
Mwanzo mzr lakn umaliziaj mbaya sijapenda
@frankvicent3059
@frankvicent3059 2 ай бұрын
Mnafanya vizuri ila umaliziaji wenu mbaya mpaka nashindwa kuwaelewa😮
@reginaodeta473
@reginaodeta473 2 ай бұрын
Jamani muendelee tuone mwisho mbona munaimaliza vibaya jamani 😊😊😊❤❤
@user-xr6kh2pu4d
@user-xr6kh2pu4d 2 ай бұрын
Congratulations naivuatillia sana kutoka kenya,nzuri sana baba joan pongezi.
@user-rx6of5fm3f
@user-rx6of5fm3f 2 ай бұрын
Watching from Kenya always. Baba Joan you are the best. I love your episodes.
@kondebouy1308
@kondebouy1308 2 ай бұрын
Tuko addicted na hii movie kunaendaje tena,, 🤔
@williammwaisunga3407
@williammwaisunga3407 2 ай бұрын
Hongera kwa hadith nzuri
@senedsalum2963
@senedsalum2963 2 ай бұрын
Uko sahihi baba joan nyumba isiuzwe
@AishaShabany
@AishaShabany 2 ай бұрын
Nawakubal sana
@DanielKioko-vd7te
@DanielKioko-vd7te Ай бұрын
Nakumbali movie zenu san
@atifosalimo
@atifosalimo 2 ай бұрын
Mbona mwafanya Ivo amuoni kama mwatupeleka mbari
@MalikeLebokicha-ky3lt
@MalikeLebokicha-ky3lt 2 ай бұрын
Nawakubali sana ❤❤❤❤❤
@philohmutua2968
@philohmutua2968 2 ай бұрын
Mbona mwatupeleka nini❤❤❤
@HebronImani
@HebronImani 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana nakukubali miaka buku
@JosephineMomanyi-jp8tv
@JosephineMomanyi-jp8tv 12 күн бұрын
Vicky tabia mbaya ajana heshimu sabina please
@likungeme
@likungeme 2 ай бұрын
Iko vizuri sana
@maimunamselemo8427
@maimunamselemo8427 6 күн бұрын
Asante kwako pia
@user-dx6qd3ox2c
@user-dx6qd3ox2c 2 ай бұрын
Ongezeni bidii ili mov inoge zaidii
@user-jz3qu8mi4g
@user-jz3qu8mi4g 2 ай бұрын
Tunawapenda from congo
@user-eb3zt3wc4b
@user-eb3zt3wc4b 2 ай бұрын
Mbna haina mwisho Jamn am mawazo yameishia apa 😮😮😮
@waryobahamza8559
@waryobahamza8559 2 ай бұрын
Ndo mnapo feria ndo maana sometimes watu tunasema bongo movie hazieleweki tunaangalia KOREA maana wanajielewa
@maimunamselemo8427
@maimunamselemo8427 6 күн бұрын
Madada mnanifuraisha kweli
@Michaeldeo-xd9mv
@Michaeldeo-xd9mv 2 ай бұрын
Baba joan umezinguaa..
@JacklinePetro-mg1ed
@JacklinePetro-mg1ed 2 ай бұрын
Nzur sana na mimi pia napenda kuigiza
@RebmanDamian
@RebmanDamian 2 ай бұрын
Malizia bas baba Joan umetuacha njia panda
@AishaShabany
@AishaShabany 2 ай бұрын
Mpo vizuri sana 💕💕
@RehemaElphas
@RehemaElphas 8 күн бұрын
Hamjamalizia Poa naomba mmalizie basi
@user-eq7lt2jz8u
@user-eq7lt2jz8u 2 ай бұрын
Mbona siwaelewi imeishaa au vip bado inaendelea
@Mamalyzzy004
@Mamalyzzy004 2 ай бұрын
Umeboesha mkuu
@goodluckmhagama5363
@goodluckmhagama5363 2 ай бұрын
M nlikua namkubali huyu baba joan kumbe nae miyeyusho tuh😂😂😂
@BabaJoani
@BabaJoani 2 ай бұрын
Changamoto
@cletusdeusdedit6740
@cletusdeusdedit6740 2 ай бұрын
Tuambien mwendelez up0?haup
@michimwana1574
@michimwana1574 2 ай бұрын
Mnaboa na huko mwisho.
@blessthegreat6210
@blessthegreat6210 2 ай бұрын
@BabaJoan umefeli..
@LievinBigirimana-gv1cs
@LievinBigirimana-gv1cs 2 ай бұрын
ivi kwel imeisha?
@SamuelAloo-qv3kg
@SamuelAloo-qv3kg 2 ай бұрын
Baba Joan na kundi lake mko sawa
@KheriHamadi-lp5rz
@KheriHamadi-lp5rz 2 ай бұрын
Okay
@user-jz3qu8mi4g
@user-jz3qu8mi4g 2 ай бұрын
Plz nusiogeze kukawiya
@fidesvenancemshanga5492
@fidesvenancemshanga5492 2 ай бұрын
Baba Joan, kwani episodes zimefikia mwisho? Hivo huendelei Tena au?🤔🤔😔😔😔😔
@NelcyAfrica
@NelcyAfrica 2 ай бұрын
Soma mwisho vile wamepeana maelekezo ya tamthilia
@hamadkhamis2368
@hamadkhamis2368 2 ай бұрын
Unefeli baba joan mbona imemaliza vibaya
@goodluckmhagama5363
@goodluckmhagama5363 2 ай бұрын
😂😂😂Waigizaj wa kibongo Huwa hawajui kumaliza story,RIP kanumba
@Kelvin-fn5ms
@Kelvin-fn5ms 2 ай бұрын
53
@SarahWanyonyi-dz6hq
@SarahWanyonyi-dz6hq 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪
@KareemDady-hc4tr
@KareemDady-hc4tr Ай бұрын
inamuendelezo?
BAD STUDENT | FULL MOVIE
1:00:01
BRAVOO GENIUS
Рет қаралды 95 М.
PINK STEERING STEERING CAR
00:31
Levsob
Рет қаралды 23 МЛН
ОДИН ДЕНЬ ИЗ ДЕТСТВА❤️ #shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 7 МЛН
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 31 МЛН
DADA WA KAZI MCHAWI (full movie)
1:00:37
BabaJoan
Рет қаралды 882 М.
IBANGA EP 112: Niyori yijyaniye ubutumwa/ Money online
35:59
Miss Nyambo
Рет қаралды 60 М.
NEVER GIVE UP 💪 Full movie
1:37:31
BabaJoan
Рет қаралды 396 М.
Nafsi Sita | kama una moyo, tazama filamu hii | A Swahiliwood Bongo Movie
1:30:37
RIVERWOOD BONGO MOVIES
Рет қаралды 157 М.
BABA YANGU KIPOFU Full Episode/9/ #love
20:54
BabaJoan
Рет қаралды 144 М.
Roho ya Mama Yetu  Part 1 - Latest Swahili Bongo Movies
53:17
RIVERWOOD BONGO MOVIES
Рет қаралды 2,2 МЛН
Зря они к ней полезли 😳 #сериалы
0:57
KINO HOUSE
Рет қаралды 5 МЛН
Do you love helping homeless ? #homeless #youtubeshorts #comedy
0:55
Mr 99cm Kindness
Рет қаралды 15 МЛН
Қосағыңмен қоса ағар | Алдараспан 2024 | Жаңа бағдарлама | 🔥🔥🔥
27:07
Алдараспан театры-Нуржан Толендиев
Рет қаралды 161 М.
Yoshi Papa's funny video🤣🤣🤣
0:19
Yoshipapa / よしパパ
Рет қаралды 16 МЛН
Каха ограбил банк
1:00
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
Children deceived dad #comedy
0:19
yuzvikii_family
Рет қаралды 5 МЛН