MAMA ATAKA MWANAYE AOMBEWE AFUFUKE BAADA ya KUFARIKI GHAFLA - FAMILIA YAMZUIA KUONGEA na WANAHABARI

  Рет қаралды 3,094

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@globaltv_online
@globaltv_online 11 күн бұрын
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@GreysonMdee-x3n
@GreysonMdee-x3n 11 күн бұрын
Amtafute Sheikhe amsomee aya ya kwenye QURAN inayosema "kul nafsin dhaikal tul maut" Kila nafsi itaonja mauti kama hyo aya itakuwa ni uongo basi mtoto wake atafufuka ila kama aya ni ya kweli asahau kuhusu mtoto wake kufufuka. Na QURAN kamwe haisemi uwongo ni haki tupu
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 11 күн бұрын
Hayo ya kwako . Waachie wengine waamini wanavyotaka. Kwa wakristo ipo mifano mingi ya watu walofufuliwa. Kitabu chao pia hakisemi uwongo
@SaadaAlsheibani
@SaadaAlsheibani 11 күн бұрын
Nawaombe tuone afufuke Wala hatujawahi kuona au kusikia na haitatokea
@MgeniKhamis-g9t
@MgeniKhamis-g9t 11 күн бұрын
Wewe umemuona Nani kafufuka nawamfufue bas
@MgeniKhamis-g9t
@MgeniKhamis-g9t 11 күн бұрын
Kazi kudanganya watu tu
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn 11 күн бұрын
Una yako uwenda uliyendika ivo Wala sio Muslim basi tu kutaka kuwachafua waislam na Qua'n yake Toka lini ukasikia Muslim anasema Kuna Aya inafufua Komwe lile kama School bus km auna Cha kukoment kalale uko 😏😏 poleni sana wafiwa Mungu awatie nguvu 😭😭🙏
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 11 күн бұрын
YEREMIA 23:1 YEHOVA ACMA OLE WAO WACHUNGAJI WANAO WADANGANYA KONDOO WNGU.
@mohamedkisenga6654
@mohamedkisenga6654 10 күн бұрын
Afrika hatujitambui mijitu mijinga sanaa wakoloni walitudanga tuamke jaman mtu afe afufuke dini hiz upigaji tuu
@ZainbAbubakary
@ZainbAbubakary 10 күн бұрын
Wamuweke tu nawamfanyie huduma zote kama yule aloachwa miezi 3 simliona alivyofufuka eee😂😂😂
@hamidmussa838
@hamidmussa838 11 күн бұрын
Wale wale tu!
@lailafakhihaji
@lailafakhihaji 11 күн бұрын
Mhh huu ni mtihani
@AshaMwamba-m5x
@AshaMwamba-m5x 11 күн бұрын
Mmmm
@MwanaHussein-s2n
@MwanaHussein-s2n 11 күн бұрын
Hivi nyie tangu lini mtu akifa akafufuka?? Yaani watu wa namna hii hupoteza jamii... KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI wekeni Imani kwa mungu anapoaga Dunia mmoja wenu basi mtambue muda wake wa kuishi umefika kikomo.. Allah ampe subra mama kupoteza mtoto sio kitu rahisi tunamuelewa kama wazazi lkn tatizo lipo kwa Hao wengine wanazidisha mafuta kwenye moto
@faridaamenye8405
@faridaamenye8405 11 күн бұрын
Yaan walokole😂
@hamidmussa838
@hamidmussa838 11 күн бұрын
Nani kafufuka wachenn hiyooo!hata aibu huna.
@noelmbosa2736
@noelmbosa2736 11 күн бұрын
kama karogwa atafufuka kwa maombi tu, msikilize katekela atawaambia habari za watu wanaochukuliwa kama misukule kazi ndogo hapo, mama yake kama anaamini basi atafufuka tu sio uongo
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 11 күн бұрын
Kama kweli kafa huyo hafufuki.
@KkhamisKha
@KkhamisKha 11 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅jmn
@martinchambala9399
@martinchambala9399 11 күн бұрын
Hawa walokole wanazinguaga sana yaani
@irenenicesngkwayu3919
@irenenicesngkwayu3919 10 күн бұрын
Duh
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 11 күн бұрын
Wacristo mnaboa bwana
@hamidmussa838
@hamidmussa838 11 күн бұрын
Ww nani anafufukawachani uwongo.
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
It's OFFICIAL!!!
24:24
Neo KirchBaby
Рет қаралды 2,1 М.