MAMA DANGOTE : NIMEWANYONYESHA DIAMOND PLATNUMZ NA ROMY JONS ZIWA MOJA

  Рет қаралды 318,347

Wasafi Media

3 жыл бұрын

Пікірлер: 269
@anethmlingi967
@anethmlingi967 3 жыл бұрын
Kumbe mama dangote sauti yake Kama esma mungu akupe maisha marefu mama
@nandelelwandiko
@nandelelwandiko 3 жыл бұрын
Aisee, what a beautiful story they have😩 Mom Dangote did an amazing job to take care of these two brothers
@aminamarie2387
@aminamarie2387 3 жыл бұрын
I love mama dangote akeeeer,👍🏻👍🏻👍🏻🇹🇿❤️❤️
@swabrinahtkhamisy8523
@swabrinahtkhamisy8523 3 жыл бұрын
Mashallah mama Leo anafuraha sijapata kuona kaongea na ujasiri kwa wanawe mashallah Mola azidi kuwabariki
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 3 жыл бұрын
Mama. Anapenda kucheka uyu jmn HD raha umepitia mengi kweli na mwanao mashaalah kila raha mama
@agnesoqwaa9848
@agnesoqwaa9848 3 жыл бұрын
Umenifulahisha sana mama nasbu mungu akubaliki sana kula matunda ya wanao nihaki yako jamanii😘😘
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
Jamani mama anacheka kama Esma leo ndio nimeona vizuri
@aminajuma5091
@aminajuma5091 3 жыл бұрын
Jamani
@queenwinnie256
@queenwinnie256 3 жыл бұрын
Kabisa
@charleszachariashillatu5743
@charleszachariashillatu5743 3 жыл бұрын
@@aminajuma5091 itiwiggeo
@Umande83
@Umande83 3 жыл бұрын
Mama Dangote, yani unafurahia sana history ya wanao. Mashallah
@punguzauzitofurahiamaisha
@punguzauzitofurahiamaisha 3 жыл бұрын
Nimependa Sana Hii Story Ya Maisha Yao. Nassib Upo Na Haki Zote Kumpenda Mama Yako. Mungu Aendelee Kukusimamia Na Awabariki Nyote Muendelee Kufanikiwa.
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 3 жыл бұрын
Sn yn
@melikiadikanyara9450
@melikiadikanyara9450 3 жыл бұрын
E
@janeonyancha2662
@janeonyancha2662 3 жыл бұрын
Ee liked it
@selemanijidonge3172
@selemanijidonge3172 3 жыл бұрын
Jaman mie nmechelewa kucomment nampenda mama dangote
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 3 жыл бұрын
Oooh mama Nasib very interesting kwa unavyoongea na baki hivyo hivyo kwa nywele zako very natural Big up mama Dangote🙏🏼🙏🏼💕💕
@mtanzaniahalisimungunimwem673
@mtanzaniahalisimungunimwem673 3 жыл бұрын
Namkubali mama dangote milele Ni mama anayejitambua mengineyo Ni maisha tuu
@stevenbugas7554
@stevenbugas7554 3 жыл бұрын
Nani mwingine kafurahishwa na gisi mama Diamond anavyo cheka😀
@rehemavickie6521
@rehemavickie6521 3 жыл бұрын
Mimi apa
@fadhilahaji8719
@fadhilahaji8719 3 жыл бұрын
Anacheka kama esma
@salmadalaquimane2364
@salmadalaquimane2364 3 жыл бұрын
Atar kkkkkk
@bekaali8930
@bekaali8930 3 жыл бұрын
Daa! yaani we mchunguzi kinoma nilipoona tu mm mwenyewe nimecheka.
@somoehussein7948
@somoehussein7948 3 жыл бұрын
@@fadhilahaji8719 kumbe pia ww umeona kabisa kama esma
@vanessajames1567
@vanessajames1567 3 жыл бұрын
Mama hongera kwa malezi na usimamizi wa ndoto za wanao naamini wanawake wengine wanaolea watoto wao watapata nguvu ya kupambana bila kukata tamaa na Mungu atawasaidia watafanikiwa
@queenwinnie256
@queenwinnie256 3 жыл бұрын
Tupo ndudu wallah naipenda sana hii family maana story ni nzuri mwishoni mavuno yanaonekana,
@restutasweya2358
@restutasweya2358 3 жыл бұрын
@@queenwinnie256 kabsaa
@wamsufitness3217
@wamsufitness3217 3 жыл бұрын
My love from 254 for this fam in unconditional mama D you've made my night 😘💕
@rachelcostantine8065
@rachelcostantine8065 3 жыл бұрын
Nakupenda Sana mama Dangote Mungu akupe maisha marefu yenye baraka ♥️♥️♥️♥️
@khadijaomar2723
@khadijaomar2723 3 жыл бұрын
Dah wanawake kweli tunaweza hongera mama dangote
@queenwinnie256
@queenwinnie256 3 жыл бұрын
Tena sana
@stellandege5594
@stellandege5594 3 жыл бұрын
Hongera mama unamoyo mzuri ndo maana Mungu kakubariki kupitia mwanao kumbe haki yko utambe🙏
@annachuma247
@annachuma247 3 жыл бұрын
Kwa Mara ya kwanza nimesikia sauti ya mama diamond,anaongea kama mwanae esma,love you mama dai
@zabibunduwimana4612
@zabibunduwimana4612 3 жыл бұрын
Bibi Tiffa hongera sana Mama ulitoka mbari sana na wototo wako yani unacheka kama Esma💞💞
@edisonmaliva1719
@edisonmaliva1719 3 жыл бұрын
Safi sana mama dangote.uliamin ukasimamia ndoto za watoto wako,now unaona matunda ya upendo na uvumilivu wako.barikiwa sana
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 3 жыл бұрын
Mashallah, mama ulipambana, hongera sana Bi Sandra 🙏
@elizabethmapunda6806
@elizabethmapunda6806 3 жыл бұрын
Mother material ma dangote big up
@deboramuhoja1777
@deboramuhoja1777 3 жыл бұрын
Hongera mama Dangote, wew ni mama wa nguvu,
@samanthaali873
@samanthaali873 3 жыл бұрын
Mama ni Mama ila matukio yako ya insta khaa punguza
@hellenashely2167
@hellenashely2167 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Hongera mama kweli ulikua na upendo ndo maana umemuambukiz na mwanao anaupendo kama ww be blessed chimamaa
@brendalisahfredrickk8221
@brendalisahfredrickk8221 3 жыл бұрын
Hongera mama dangote umevaa nguo ya heshima leo
@moshiomarymnyeda8907
@moshiomarymnyeda8907 3 жыл бұрын
Mashallah 💖 mama acheni ajivuminie utajiri wa watoto wake
@marycianajulius8831
@marycianajulius8831 3 жыл бұрын
Nani mwingine kama mama? ,hongera mama mungu awape maisha marefu wakina mama wote dunian
@amidasuleiman3983
@amidasuleiman3983 3 жыл бұрын
Nassib Ana haki ya kukupenda mom acha wa kusema waseme Kila mtoto na historia yake
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 3 жыл бұрын
Mashallah jamaniii nimeipenda kweli kweli mungu awaangazie nuru popote na mamayao mlezi mashallah
@tabithamogire9670
@tabithamogire9670 3 жыл бұрын
This woman is beutiful
@lightwilliam4443
@lightwilliam4443 3 жыл бұрын
Jomoni mami yuko so fresh😙
@magrethmagretotwara6521
@magrethmagretotwara6521 3 жыл бұрын
Mama wewe ni mzuri sana bibi tiffa
@queenwinnie256
@queenwinnie256 3 жыл бұрын
Mama anazidi kuwa binti
@marthaigobeko1124
@marthaigobeko1124 3 жыл бұрын
Ndo maana mwili ulikataa, kunyonyesha vidume wawili so mchezo hongera mama diamond na romyjons.
@mananuracheal4731
@mananuracheal4731 3 жыл бұрын
😄😄😄😄
@stevenbugas7554
@stevenbugas7554 3 жыл бұрын
😂😂😂
@predatorbamboo7557
@predatorbamboo7557 3 жыл бұрын
Latbaino
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 3 жыл бұрын
NI mwili wake tu nae kwa maisha alionayo sasa angekuwa na mwili mkubwa bc angekuwa bonge kuliko ata huyo dada ake
@queenwinnie256
@queenwinnie256 3 жыл бұрын
Tena watoto wakiume nasikia wananyonya sana
@letionnews310
@letionnews310 3 жыл бұрын
Mashaallah, mama Naseeb kwel nimeamini unayokila sababu ya kujivunia kuwa na watoto hao.. Allah aendelee kukulinda wewe na wanao
@flinchclassic1726
@flinchclassic1726 3 жыл бұрын
Mama huyo jamani much love
@judiththobias3234
@judiththobias3234 3 жыл бұрын
Mama Romeo anaona aibu ajamrea kabisa mtoto wake
@solangekubota9487
@solangekubota9487 3 жыл бұрын
Mama Romeo mzuri uyo wahuu
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 3 жыл бұрын
Interesting story...wow
@winfridagama2042
@winfridagama2042 3 жыл бұрын
Hongera mama Daimond.
@yusuphjafarijr7583
@yusuphjafarijr7583 3 жыл бұрын
MashaAllah
@fallymetoo191
@fallymetoo191 3 жыл бұрын
Interesting 👏👏👏👏
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗jamani mama 🤗🤗🤗🤗
@punguzauzitofurahiamaisha
@punguzauzitofurahiamaisha 3 жыл бұрын
Huyu Mama Ana Bahati Sana. Hongera Sana Na Mshukuru Mungu Sana. Inawezekana Rodo Yako Nzuri Ndio Maana Mungu Kakupa Watoto Wenye Faida Na Busara. Mungu Akupe Maisha Marefu Mama Yetu
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 3 жыл бұрын
Bahati au laana
@TamuzaKale
@TamuzaKale 3 жыл бұрын
@@h.alshidhani8971 Laana tena? Aisee!
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 3 жыл бұрын
@@TamuzaKale kwani hujui kama mwimbaji ana hasara kama ni muislamu?
@TamuzaKale
@TamuzaKale 3 жыл бұрын
@@h.alshidhani8971 Duh! Mvinyo wa dini umetukubali Waafrika. Kazi badi ipo sana!
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 3 жыл бұрын
@@TamuzaKale na wala haiishi mpaka qiyaama kisimame.
@xbdbdgdgsbdbbxx4254
@xbdbdgdgsbdbbxx4254 3 жыл бұрын
Mungu akuongezee umri Mama ake na kina Romeo's. Bi Sandra mwenyewe MashaAllah, watu wanakuchukia na kukusema bureee. Wewe ndio nguzo ya maisha ya mwanao kula lala furaia hiyo maisha. 🙌🏾
@user-zz7ep5of2m
@user-zz7ep5of2m 6 ай бұрын
Mama uyu ajiheshimu mungu akusamehe
@shaphyally7838
@shaphyally7838 3 жыл бұрын
she make me drop my tears
@aminakilahama1839
@aminakilahama1839 3 жыл бұрын
umependeza mama
@najmandanshau3316
@najmandanshau3316 3 жыл бұрын
Mama huzeek wallah...kweli pesa sabuni ya roho hakika
@sanuraissa3834
@sanuraissa3834 3 жыл бұрын
Nimeipenda sana hii story jamani bi sandra wewe ni super women
@khamysamursally5932
@khamysamursally5932 Жыл бұрын
Kiukweli nakupendaga sanaa Da Sandra mungu akupe mwisho mwema
@YusufAli-ib6xu
@YusufAli-ib6xu 3 жыл бұрын
Lovely mummy ❤️❤️❤️
@queenwinnie256
@queenwinnie256 3 жыл бұрын
Wallah mama umepambana wacha tu wakupiga midomo waongee vibaya juu ya mwanao na family yako maana midomo ni nyumba za maneno, na naamini dua zako zinasikika sana kuliko hata ya maneno ya watu juu ya family yako, ni haki watoto wakakupenda wewe kuliko hata baba zao maana ni mama mpambanaji, miaka mingi kwako,
@pfhpeacefullheart
@pfhpeacefullheart 3 жыл бұрын
Nampenda uyu mama mimi
@munawarkhamis7495
@munawarkhamis7495 3 жыл бұрын
Hii nimeipenda....
@ucjvvjcjjvih9934
@ucjvvjcjjvih9934 3 жыл бұрын
Am muna from TZ pendeza sana mama lao piga kelele kwa dangote
@alajmialajm8794
@alajmialajm8794 3 жыл бұрын
Oooh sasa nishajua kwa nn romy wamuita mwanao... kumbe ww ndo ulomlea hata walinyonya ziwa moja na mond,hongera mama
@ancyrom6929
@ancyrom6929 3 жыл бұрын
Roho Safi mama
@anuaryally6177
@anuaryally6177 3 жыл бұрын
Mama d anasauti kama msichana mdogo inapendeza zaidi
@khamysamursally5932
@khamysamursally5932 3 жыл бұрын
Huwa nakupenda bure Mungu awajalie masikilizano na mapenzi yake zaidi na wanao
@firdaussheikh4817
@firdaussheikh4817 3 жыл бұрын
Mamake dangote nakuheshimu
@vivianchawe7561
@vivianchawe7561 3 жыл бұрын
Mama dangote umependeza
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 3 жыл бұрын
Mama simbaaaaaaa
@ManaTV957
@ManaTV957 3 жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza nasema hongera MAMA
@hassanchauluwa7308
@hassanchauluwa7308 3 жыл бұрын
mama dangote anazidi kua kijana
@shallinemerry4660
@shallinemerry4660 2 жыл бұрын
I thought they were blood brothers wow may God bless this woman 😍😍🙏🥰
@sduduzilelambrance1600
@sduduzilelambrance1600 9 ай бұрын
How are they related I don't understand Swahili
@Sppah697
@Sppah697 3 жыл бұрын
The story is very touching
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 3 жыл бұрын
N'a Ricardo jee hujamnyonyesha vipi about mze nyange hujamnyonyesha
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 3 жыл бұрын
ubarikiwe mama!!!!
@madamaggy4668
@madamaggy4668 3 жыл бұрын
Woooow
@rehemakaberege8119
@rehemakaberege8119 3 жыл бұрын
Hongera mama
@jonathanicrisatijonathanic6708
@jonathanicrisatijonathanic6708 3 жыл бұрын
Mucheki jiva ana ngoma kali sana
@nandulehamisi1461
@nandulehamisi1461 2 жыл бұрын
The only
@rehemamsamba8596
@rehemamsamba8596 3 жыл бұрын
Mashallah 🙏
@sherylachieng4660
@sherylachieng4660 7 ай бұрын
Mashalah
@jumarwambo7420
@jumarwambo7420 3 жыл бұрын
Imagine mama Romeo iyo kauli anajisijiaje kuwa mwanawe hakukaa nae
@queenwinnie256
@queenwinnie256 3 жыл бұрын
Hahahaaa inauma, watu wa interview kesho kutwa utawasikia,
@maryamjuma9816
@maryamjuma9816 3 жыл бұрын
Maa shaa allah 🤩🤩😅😅
@aminanaftali5181
@aminanaftali5181 Жыл бұрын
Mama.shikamoo
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 3 жыл бұрын
Very interested storry
@rayanalmahrooqi4661
@rayanalmahrooqi4661 3 жыл бұрын
Mashaallah hadi furaha😢😢
@bonnypaul1516
@bonnypaul1516 2 жыл бұрын
Wewe ni mama mugani
@samicutebby3450
@samicutebby3450 3 жыл бұрын
Hadi raha jamani😍😍😍
@kingswaggerkitoko6014
@kingswaggerkitoko6014 3 жыл бұрын
good job
@iddiseleman396
@iddiseleman396 3 жыл бұрын
Uyu mama bule
@florameza3491
@florameza3491 3 жыл бұрын
Mama una pendeza sana ukijiachia hivyo
@alvismumkaranja3360
@alvismumkaranja3360 3 жыл бұрын
Mama dangote dio kila kitu kwa modi dio maana anampeda sana
@halimaallyazizi4443
@halimaallyazizi4443 Жыл бұрын
Amen amen
@fainnamvungi4364
@fainnamvungi4364 3 жыл бұрын
❤❤❤❤
@bashiryusuf9670
@bashiryusuf9670 3 жыл бұрын
Poleni rudini kwenye uislamu ww mama Kesho utakwenda mbele ya Allah utajibu nini bd washeherekea jee utasheherekea kifo pia ?itaki llah mche Allah na muache upuzi
@queenwinnie256
@queenwinnie256 3 жыл бұрын
Hayo mambo hata mzee yusufu sasa yamemshinda,
@ritalissu1123
@ritalissu1123 3 жыл бұрын
Mm na mpenda huyu mama jamni
@henriettenkuba7078
@henriettenkuba7078 3 жыл бұрын
Uyu mama kinachomshina niliongea alafu cheko Kama la msichana ambaye anatongozwa barabarani
@queenwinnie256
@queenwinnie256 3 жыл бұрын
Kafurahi atajizua vipi hata ESMA mwanae yupo hivyo msikashifu sana wakati wenyewe wameridhika na style ya maisha yao,
@Mjingafaki
@Mjingafaki 3 жыл бұрын
Mama unaeleza vizur sana huku unacheka
@janetsesay9861
@janetsesay9861 3 жыл бұрын
❤❤💯
@SuperKibwana
@SuperKibwana 3 жыл бұрын
Mmemkatisha mama alikuwa anaendelea jamani.
@tonykkabwe9937
@tonykkabwe9937 3 жыл бұрын
❤️
@winnesakara6957
@winnesakara6957 3 жыл бұрын
Waaqaa
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗😇😇😇😇😇😇queen🤗🤗🤗🤗🤗
@mwahamedychilungu8981
@mwahamedychilungu8981 3 жыл бұрын
uyu mama ni nikuma tuu anajipya msenge uyu muuwaji uyu
@jacklineulomi7780
@jacklineulomi7780 3 жыл бұрын
😂 😂 😂 daah mama ngote yupo vzur