MAMA MZAZI WA MBALAMWEZI: AMEUAWA KINYAMA NAIOMBA SERIKALI IFATILIE ILI UKWELI UJULIKANE
Пікірлер: 44
@aminamgaya75115 жыл бұрын
Dahh pole mama angu haki itatendeka tu yupo mungu ndio atakaewaumbua wote waliotenda unyama huu
@zulekhaomar55865 жыл бұрын
Jaman binadamu wamebadilika sna una muuwa mwenzk kinyama ivo wakaty hujujui utakufa vp inshaallah mungu atkulipia bro😥😥😥
@rehemamsekeni96405 жыл бұрын
Pole sana mama mwenyezi mungu akutie nguvu pole sana
@mrway94325 жыл бұрын
Dah inauma sana kwa huu unyama mungu akatende haki kwa kila aliyehusika na kifo cha mbalamwezi
@shakirawilbard86385 жыл бұрын
😭😭😭😭 jaman kaka wawa2 napenda akiimba Dooou ele allah mpumzsh
@hadijaabdallah54775 жыл бұрын
Hii Familia imefanana Hatariiiii
@hadijaabdallah54775 жыл бұрын
Acha uongo sio mama ake mzazi
@hammybrown63135 жыл бұрын
Naamini kuna kiongozi mkubwa , Anasoma comment za watanzania ! Rip man
@shamsahassan25865 жыл бұрын
mungu amlipie marhum inshallah
@magesawambura43135 жыл бұрын
Dah inauma sana jmn... Mungu atie wepesi ktk hili.
@meedaafarai96775 жыл бұрын
Poleni na msiba. Mungu akujalie kauli thabit
@maureenmwimano19735 жыл бұрын
poleni sana kwa family
@naimanurdin28465 жыл бұрын
Poleni ssna wafiwa
@shamsalulanje41515 жыл бұрын
Dahh inauma kiukweli mtu keshamuua unamvua nguo jaman binadamu tunaelekea wapi mwezio unamzalilisha ivyo malipo duniani hapa hapa
@portinagodson66945 жыл бұрын
JAMANI HATAKAMA NI MAMA MLEZI LAZIMA AUMIE MAMA NI MAMA SI LAZIMA AKUZAE.
@hamedmohammedjafari61145 жыл бұрын
Jamani mi cmjui ila pia cjaridhika na maelezo......sina raha kabisa namfikiria kweli mtoto wa watu mna c kwa unyama ule...Haki itendeke ...tunahamu yakujua tu kipi kilimsibu baassss......
@phil_kioko_5 жыл бұрын
Pole mama
@elizabethmwanake81215 жыл бұрын
Jamen watz polen aki 😥😥 my condolences to the family
@azizaomari43485 жыл бұрын
Huyo ni mamaake mkubwa mamaake alifarik alimuacha na Miaka 4 huyo mama ndio kamlea
@umojamedia41675 жыл бұрын
Mwanzo kuna jamaa alisema hana mama wala Baba asa uyu tena ni mama mzazi ??? How
@Jefriez5 жыл бұрын
wasafi media hata mi sielew huyu sijui mama gani sasa
@chibudenga89775 жыл бұрын
Mama yake mlezi uyoo
@alfredmsambaa14435 жыл бұрын
Mung ailaze mahal pema pepon ndg ye2 mbalamwez😱😱
@portinagodson66945 жыл бұрын
HIVI NYINYI MLIOMUUA MNAJISIKIAJE HUKO MNAKUNYWA MAJI YAKASHUKA KABISA MANINA ZENU NYIE😭
@Jc-wl6yf5 жыл бұрын
Ivi jamani n kosa gani mtu anaweza akakukosea hadi unamtendea unyama mkubwa kiasi hicho!!!
@Papa2thaE5 жыл бұрын
Inaniuma sana mama. 😡hule unyama mmno.
@hamedmohammedjafari61145 жыл бұрын
Maskini mama mzazi bado ywalia
@jutonmbilinyi36265 жыл бұрын
Jaman hiz media hamuelewek Mara wazaz Hana Mara anae mlez tu ila n mipango ya Mora
@goodboi98215 жыл бұрын
Watanzania mnapenda kuhoji watu wanapo omboleza kweli ata utu hamna
@munnawwaryaqoob34145 жыл бұрын
Mnafikiria kufiwa ni raha?huyo mama anaumia tumbo la uchungu maswali gani mnauliza hayo
@خسنموس5 жыл бұрын
Polisi wafuatilie hili haki itendeke coz atujui aligongwa na gari au kauliwa na watu, so sad rest in peace bro.
@naimanurdin28465 жыл бұрын
Jamani sisi masikini haki zetu ngumu sna kupatikana ila tunamuomba mungu asimame juu ya hili
@خسنموس5 жыл бұрын
@@naimanurdin2846 Ameen
@winnievesso44735 жыл бұрын
Mbona mnatuchanganya? Mara Mama mzaz' mara mama mlezi tushike lip
@hadijaabdallah54775 жыл бұрын
Huyu mama mlezi mama mzazi alisha fariki
@khadijanjama90165 жыл бұрын
Kwa nini ukweli unafichwa na mtu kauliwa
@mwanaisharashid73495 жыл бұрын
Masikin anaga haki walah moto wa jahanamu utachuwa watu weng
@arafahassan12565 жыл бұрын
So sad
@binttsulu6475 жыл бұрын
pumba nyinyi ichi kichwa chenu fyuuu
@mzenjikichaa86955 жыл бұрын
Sad
@johnselestine92815 жыл бұрын
Du inauma Sana binadam tukumbuke kila nafs itaonja mauti acheni dhambi
@shersaid79885 жыл бұрын
Someni halbadiri afedheheke aliomuua.insikitisha sana
@winnievesso44735 жыл бұрын
Mbona mnatuchanganya? Mara Mama mzaz' mara mama mlezi tushike lip