MAMA WA WATU KAWAFANYA NINI ? MNATEKANA WENYEWE // SHEIKH MZIWANDA

  Рет қаралды 5,344

arkas online tv

arkas online tv

Күн бұрын

Пікірлер: 87
@KiringoMtemi
@KiringoMtemi Ай бұрын
Shekhe wangu ungejikita sana katika kuhamasisha watu kumkurubie allaah achana na kutetea viongozi wa siasa yaliyomo huyajui bora ukae kimya
@nassorochura7838
@nassorochura7838 Ай бұрын
kalma inashindwa kupanda kwa sababu ya unafiki wetu sis i waislamu tunaangamia
@MohamedMussa-il3xb
@MohamedMussa-il3xb Ай бұрын
Siyo Mmoja wengi tu mungu anasema ukiuwa mtu Mmoja tu asiye na hatiya umeuwa watu wote
@hassanshame5385
@hassanshame5385 Ай бұрын
Shekhe umeongea ukweli mtupu!!. Hasbiya allah waniimal wakiil... Allah akujaalie mwisho mwema.
@ChundiDangote
@ChundiDangote Ай бұрын
Masheikh mmekuwa wanasiasa acheni kujipendekeza wote huo uoga kweli mta amrisha jihad nyinyi
@DhaharaniJongo-gt2un
@DhaharaniJongo-gt2un Ай бұрын
Hakuna jihada ya tena jihadi ilishapigana zaman sasa ipo jihadi ya nafsi yako tu
@Majhidymhessa
@Majhidymhessa Ай бұрын
Mpumbavu weee‼️ Mbona mchungaji alivyomzomea Rais hukusema kitu...... Sheikhe Yuki sahihi kabisa.usikurupuke jitafakali kabla ya kuandika chochote
@NyumbayaWakfukkoo
@NyumbayaWakfukkoo Ай бұрын
KHOTBA YA JUMAA INATAKIWA IONGELEE MAMBO HATARISHI YANAYOENDELEA AU YATAKAYOTOKEA KWAKWELI HII NDIO KHOTBA SHEIKH WETU UMEONGEA POINT ALLAH AKUZIDISHIE NA AMLINDE DR SAMIA NA AMJAALIE AENDELEE 10 TENA. AMIN
@CHONGELAYAHYA
@CHONGELAYAHYA Ай бұрын
Ni kweli kabisa mchungaji akiongelea siasa anakua yuko sahihi ila shekh akiongelea siasa anakua amekosea sanaaa
@SaidSaid-wh4ky
@SaidSaid-wh4ky Ай бұрын
Hii ndio inayonishangaza mimi badala ya kuzungumzia mambo yanayowahusu waislam wanazungumzia siasa
@WillKilulya
@WillKilulya Ай бұрын
Shekh uko vizuri waambie ukweli waache usanii wafanye siasa.
@Burange666
@Burange666 Ай бұрын
Usilete siasa kwenye dini sasa unaacha kuongea mambo ya dini sasa umekuwa Mwanasiasa hii njaa itaumiza jamani Sheikh tunakuamini achana na siasa waachie wenyewe hao wauwaji wanaotaka kukaa madarakani maisha wewe fundisha quraan Sheikh wangu achana na siasa hao unaotetea wanajaza matumbo yao kwa mali za haramu.
@muhsinyusuph6456
@muhsinyusuph6456 Ай бұрын
Tupe mikakati sheikh.tunatokaje hapa kama waislam.Suala la maandamano linapita tu.tunataka chuo kikuu cha kiislam.
@michaelbachubira7197
@michaelbachubira7197 Ай бұрын
Mungu anakuona . lisu amepiga kelele bungeni juu ya mashekh lakini alipopigwa risasi atukukuona wala kukusikia mhmmmm !!!!!????
@azruntravel4306
@azruntravel4306 Ай бұрын
uliza nani alienda kumfariji na kumpa haqi zake
@ClanChiefl-gr9zj
@ClanChiefl-gr9zj Ай бұрын
Mungu akuzidishie kila lakheri na akuepushie kila lashari. Chuki za watu wa kanisa mungu aziangamizie mbali
@Worldunite
@Worldunite Ай бұрын
Viongozi muwe makini sana,msituletee udini hapa, mtatuvurugia amani
@mosesmnape9444
@mosesmnape9444 Ай бұрын
Sheikh anasema saa8 ametekwa na😮 kuuwawa hata Azo police anzeni nae
@RAJABUSELEMANI-m4w
@RAJABUSELEMANI-m4w Ай бұрын
Mungu akubariki katika ukumbusho mana usahihi nakuweka amani unaanzia ndani ya dini wasio jua wanaweza kubeza ila dini ndo kila kitu ili kuondoa kaovu na mabaya yanatotaka kuidhulu dunia
@FredrickMnyakiwele-j1s
@FredrickMnyakiwele-j1s Ай бұрын
Uko vizuri sanaaa
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg Ай бұрын
Safi sana sh mziwanda wape ukweli hao wasojijua
@ShamteMohmed-ed2kk
@ShamteMohmed-ed2kk Ай бұрын
Sawa kabisa shekh , umesema kweli.
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Ай бұрын
Ila kweli
@hamadfaki7625
@hamadfaki7625 Ай бұрын
Shekhe upo sahihi sana, makanisa yanashabikia udin
@HamadiZulfa
@HamadiZulfa Ай бұрын
mungu akuhifadh
@SalumKomba-r4l
@SalumKomba-r4l Ай бұрын
Kama unaona mama anashambuliwa mbona wakati magufuli anaua waislamu kibiti nyinyi mashekh hamkutoa hutuba Wala kukemea unafiki ni mwingi sana nchi hii hasa Hawa mashekh njaa mungu akupe mwisho mbaya akulaani na siku ya kiama akutie katika moto wa jahanam
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj Ай бұрын
Enzi za Marehemu Magufuli waliifyata mikia yao 😢
@hilalskach6205
@hilalskach6205 Ай бұрын
She kaongea pwenti namsizungumze kwamba asichanganye siasa kwenye dini ww umesomalakini naona kama ww huijui dini qur ani haijaacha kitu ktk hii dunia iyosiasa imondani ya kitabu kitukufu nayoni quran someni msiongee pumbatu nakaongea na visibitisho vyote naushahidi mtuakikwambienikweli ccm sivyo Amani kwenyenchi Muhim angalia Libya amaniimetoweka ss wanajuta aslam aleikum
@sharifamuhd4554
@sharifamuhd4554 Ай бұрын
TUOMBE AMANI IENDELEE KATIKA NCHI YETU.AMANI NI MUHIMU KULIKO UTAJIRI.
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa Ай бұрын
Ni kweli kabisa wachungaji.wana chuki na uislamu hata jipindi cha kikwete kila siku walitoa waraka lakini kipindi cha magu kimya eti rais anatukanwa polisi wanakaa kimya
@McT-m1m
@McT-m1m Ай бұрын
Mziwanda hujielewi wakina mselemu walikuwa mahabusu na watu walijua huyu alitekwa na kuuwawa pia na huyu alikuwa muislamu
@Thwahasopayiikaji
@Thwahasopayiikaji Ай бұрын
Wewe mcT ndiyo hujielewi Shekhe wetu Ana sema kweli nawewe ndiyo mnafiki
@Thwahasopayiikaji
@Thwahasopayiikaji Ай бұрын
Tena usi waongele mashekhe vibaya ukomee
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Ай бұрын
Mapolisi wanateka watu na kuwauwa nchi nzima wacheni kujipendekeza kwa MADHALIMU CCM.
@ShahaMakame-ei2ri
@ShahaMakame-ei2ri Ай бұрын
Kweli makafiri hawapendi kwasababu wanaongozwa na muislam lkn Allah atamsaidia
@joezeno8
@joezeno8 Ай бұрын
Acha udini bro
@CajerMomade
@CajerMomade Ай бұрын
Udini wanaleta wakristo
@Worldunite
@Worldunite Ай бұрын
​@@CajerMomadehuyu mkristo?
@RizwanAbdallah
@RizwanAbdallah Ай бұрын
Huyu shehe nikama nayeye niwalewale
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw Ай бұрын
Shekhe useme uko huru kama wao walisema katika kanisa uwafamishe watu waelewe ubaya wao
@nassorochura7838
@nassorochura7838 Ай бұрын
ama kweli dini inahalibiwa innalillahi wainnalillahi rajiuni kweli njaa mbaya huo ni mkutano au khutuba mkiambiwa njaa mbaya mnachukia huo ni uchonganishi wa wazi kabisa mungu anakuadalia moto
@aooshosho4255
@aooshosho4255 Ай бұрын
Kwani kuna ubaya kutetea kiongozi wenu rahisi tena muislam... waislamu tuna shida akiongoza kafiri oh oh kafiri oh oh Allah tupe kiongozi muislam..mko nae mnampiga vita yafa mtetee..iwe iwavyo kiongozi muislam shukuruni
@MussaBakar-p2p
@MussaBakar-p2p Ай бұрын
Huyu nae katoka wapi pepo
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 Ай бұрын
Hao wanataka kuharibu usalama sio kwavingine ni roho mbaya kumchukiya uyo mama wawatu n'a fitna zakuuchukiya waislam Allah atawaangamiza ma shetani ao
@khalidmdotta3843
@khalidmdotta3843 Ай бұрын
Shikamoo njaa
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc Ай бұрын
Ongea Kiswahili wewe Acha mbwembwe lakini je? Kwenye kofia ubwabwa upo ?
@joezeno8
@joezeno8 Ай бұрын
Huyu jamaa ni NANI? Acha kutafuta KIKI! Weee acha Bangi
@jkifutu7936
@jkifutu7936 Ай бұрын
Unatumika eheee
@B23-i8p
@B23-i8p Ай бұрын
Waislam wenzenu mmeshindwa kuwapigia kelele mnategemea chadema wa seme,watu wadini mna unafki wenyewe kwa wenyewe
@Mariam-w9s3b
@Mariam-w9s3b Ай бұрын
Sehemu ya kumuongelea mungu unaongelea habar za Dunia makumbusho ya Allah unaleta siasa kweli njaa mbaya
@mubatailormbaraka9263
@mubatailormbaraka9263 Ай бұрын
Msikilize vizur Shekh , yupo sahihi
@Mariam-w9s3b
@Mariam-w9s3b Ай бұрын
Sijakataa ila tusishindane nao sisi tufundishane na kuelekezana mafundisho ya mungu maswala ya wakristo na vyama tuwaachie wao inajulikana kuwa wakristo ni maadui zetu tangu enzi za mitume​@@mubatailormbaraka9263
@suleimanaliy4001
@suleimanaliy4001 Ай бұрын
Apo hamna njaa mbaya wala nn ukweli usemwe tu
@samuelmuthui4699
@samuelmuthui4699 Ай бұрын
Sio Njaa. Wanamuonea mama. Makafiri wanatafuta Kila sababu
@Abubakar-cb1er
@Abubakar-cb1er Ай бұрын
ufaham tunatofautiana saana pole saana
@salimramadhan-z7w
@salimramadhan-z7w Ай бұрын
upo sahihi hao maskofu niwabaguzi wapo kidini Hilo hatahukukwetu lipo tusipokuamakini waisilam tutaburuzwa Allah akulidne
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza Ай бұрын
Kwan unatetea nn udin au daa kwr waisram Majin yen mabaya au rais n imamu wa msikit yte kuw na akil kwny mamb y nchi kwmb w unahuruma sn kz kudanganya wt kupitia kiarabu
@nabilsuleiman2586
@nabilsuleiman2586 Ай бұрын
Tulieni kamuulize papa ushoga umeruhusiwa kwenye bible mashoga nyie
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Ай бұрын
We punguza shobo alie kwambia waislam ni majini nani?
@BrotherKaka-j4z
@BrotherKaka-j4z Ай бұрын
Kaka njaa usiendekeze
@DaudiSaid-bj7dh
@DaudiSaid-bj7dh Ай бұрын
Hakuna mwenye ushahidi lakini nani amesimama kuonyesha Yuko pamoja na wahanga?? Mnakaa kimya mpaka muone mambo yanayumba ndo mnaongea. Halijakufika hivyo unaweza ongea vyovyote lakini yatakapokufika ndo utajua
@Worldunite
@Worldunite Ай бұрын
Mtaleta udini hapa
@joezeno8
@joezeno8 Ай бұрын
Anatafuta Kiki
@MohamedMussa-il3xb
@MohamedMussa-il3xb Ай бұрын
Mahadi
@Worldunite
@Worldunite Ай бұрын
Jamani misikitini tusiongelee mambo ya kisiasa jmn
@CajerMomade
@CajerMomade Ай бұрын
Kanisani waongee
@Worldunite
@Worldunite Ай бұрын
@@CajerMomade hata kanisani wasiongelee
@KingCza-kb2bv
@KingCza-kb2bv Ай бұрын
We ni shekhe au shehena?acha kuropoka vitu usivyovijua umekuwa mpelelezi kuanzia lini?usilete uchawa wewe
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj Ай бұрын
Haki isemwe SS yupo mwanamke tena sio WA bara ikichanganyika na dini bas vichwa vinawauma 😢fanyeni maamuz SS tup tayar kwa hali na Mali
@Chemba67
@Chemba67 Ай бұрын
Dah ...huyu jamaa vp , ishu ni kubwa mno kuliko anavyoiona .......watu wamepoteza ndugu zao tena pande zote waislam na wakristo na wasio waislam. Huyu bwege kweli......leo namwita Bwege Ustadh wangu na sioni hatari.......😮‍💨😮‍💨😮‍💨Ivi kwa kuvurunda huku kwa Samia hata huo ujasiri wa kumkingia kifua unautoa wapi ??
@nassorochura7838
@nassorochura7838 Ай бұрын
serikali haina dini na wewe ni mwanadini sasa wewe ni nani shekhe unatuchanganya waislamu kwa ujumla kweli njaa mbaya maana mambo ya mungu yanakuwa mambo ya siasa
@jumanneomary2997
@jumanneomary2997 Ай бұрын
Kwani wewe ninani simchumia tumbo tu wewe unaweza kumkosoa Sheikh wewe kaa kimya
@CajerMomade
@CajerMomade Ай бұрын
Yule askofu wenu akileta siasa kanisani sawa?
@B23-i8p
@B23-i8p Ай бұрын
Kipindi cha magufuri chadema waliongea acha kupotosha,walikimbia nchi kisa nn,viongozi wa dini ni ccm, hatuwaoni kwenye mikutano ya chadema ila ccm mpoo,kwani katekwa huyo tu wametekwa mpka watoto,inabidi upeleke ushahidi polisi mana wanataka mwenye information
MZEE WARIOBA USITUCHOKORE WAISLAMU// SHEIKH MZIWANDA
30:00
arkas online tv
Рет қаралды 26 М.
DINI IMEVAMIWA HII NI DALILI YA KIYAMA // SHEIKH OTHMAN MAALIM
38:40
arkas online tv
Рет қаралды 17 М.
I Turned My Mom into Anxiety Mode! 😆💥 #prank #familyfun #funny
00:32
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,7 МЛН
Who's spending her birthday with Harley Quinn on halloween?#Harley Quinn #joker
01:00
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 14 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 101 МЛН
KISA CHA ABUDHARI KUSILIMU KWAKE //SHEIKH MSELEM
34:54
arkas online tv
Рет қаралды 22 М.
KILICHOMTOKEA NABII YUNUS TUMBONI MWA SAMAKI // SHEIKH OTHMAN MAALIM
26:31
INAJUZU KUOA MKRISTO?
5:32
Ustadh Khatib Omar
Рет қаралды 6 М.
MIUJIZA YA WADUDU HAWA  // SHEIKH IZUDINI ALAWY
35:36
arkas online tv
Рет қаралды 53 М.
SHEIKH MZIWANDA - MASWAHABA WA MTUME NA UISLAM
54:47
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 29 М.
KISA CHA MWENYE KUMTEGEMEA ALLAH //KHUTBA YA IJUMAA
28:41
arkas online tv
Рет қаралды 3,4 М.
MISIMAMO YA MASHEIKH  DHIDI YA USHIA KUNAKO MANENO YA SHEIKH MZIWANDA
28:05
I Turned My Mom into Anxiety Mode! 😆💥 #prank #familyfun #funny
00:32