Hongera sana Kwa movies tamu na yenye mafunzo YANI kaka uliemsaidia sele kama mwanao na kuatarisha mausiano yako kweli nimekupenda buree nikupe mauwa yako maana unaujuwa unajuwaa tena
@AminaEmanuely-p7bАй бұрын
Adfjc suixzùfui9sg k during f
@LewisHamiltonGLD Жыл бұрын
My first time kuona babake sele akicheka much love 💕 from Kenya Steve na watu wako pongezi sanaaaaaaaa
@SteveOchola-n4w11 ай бұрын
Mimi hata kama hii ni movie , have truly taken it so personal ,nimeumia moyoni sana, kweli mama asiyekulea tumboni miezi tisa haezi kajua uchungu wa mwana . Am hrted
@sharonlisapaul78557 ай бұрын
Wallah mpnz mama yako ni wako tu
@MaishaBarhafumwaolivier4 ай бұрын
😢
@sylviambayi51622 ай бұрын
Kweli❤
@Judithjackisoni11 ай бұрын
Kwamala ya kwanza Julia kwenye move bongo st and sele nawa kubali sana❤
@aminaomary556711 ай бұрын
Aziza,sele ongeren sana kwa kazi nzuri sana.❤❤❤❤❤
@kinkinatv6988 Жыл бұрын
Wow wanapokubali kwamba film hii inatesa ebu nipeni like 👍
@ElizabethIsichiАй бұрын
That is it
@tumuramyejoab4852 Жыл бұрын
Sijui kwanini nalia machozi wakati wa kutazama hii movie,,,too impressive and emotional😢
That's why I love to much my mom ❤❤. Then I love it to much for this movie. Steve mweusi nakuponguesa kwenhe KAZI zako nsuri sanaaa❤❤ we na mwalimu mgueni munaiguisa sana vibaya uno🎉. Good bless you to your job. I'm from Mozambique 🇲🇿 my name is Carlos Naba. Naomba iyi film itendeleh na vipandi vienguine.
@Jaydannychawaboy. Жыл бұрын
Nishatokea jamani nipeni like zangu basi Kwa ajili ya Steve mweusi 😢😢😢😢❤❤❤😂😂😂😂
@PenninaYohanaZabron10 ай бұрын
❤❤❤❤
@SweeterMueni7 ай бұрын
😂
@RamadanKhamis-ls8ru5 ай бұрын
Aky hii move nikikumbuka natka machoz
@damagemweusi Жыл бұрын
Thats why I love my mum❤❤❤Kama wa kwanza nipeni like zangu
@MakoloChabene Жыл бұрын
❤
@AminaRomole11 ай бұрын
👍👍👍
@SosiSaeed-y6i10 ай бұрын
Wamama wote nawapeeni heshima zao,na c tafadhali
@EthanWaweru-co7ns7 ай бұрын
@@MakoloChabene1n8mq^(9eooeew
@JuliuxAlfredy5 ай бұрын
j😊nl
@yoshiexplores1284 Жыл бұрын
STEVE weeeh naipenda sana na kweli inafanyika really gd memories to all family 👉🙄
@MelivnWesonga29 күн бұрын
Ata akuw kipofu
@jonastumwesigye5018 Жыл бұрын
Ashante Kubwa kwa Steve Mweusi. Tunashukuru kwa kazi mnayo fanya kutufulahisha na kutufundisha
@WitnesBwanakoo Жыл бұрын
Aise hongereni Kwa movie nzr San ❤❤ tunaonba muendelezo bas
@KatotonKashupavu Жыл бұрын
Wale walio 😢😢lia kuanzia mwanzo hadi mwisho naombeni likes 5 tafadhalini mob love from kenya❤❤
@SAIDEALI-eu1yb8 ай бұрын
Kecheche
@FaithOronga6 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@SaknaMayenga6 ай бұрын
Jamn mmenilza xana ma'ana imnikumbusha mama yang xana
@PedroMbengani5 ай бұрын
@@SAIDEALI-eu1yb111
@mainakane5 ай бұрын
Hiyo aki ni. Noma😢😅😢
@CharlesMs25Daghaly5 ай бұрын
Inamana hawa wenye jopo hli wanafanyag mamb kuwa serious na sio serious wanaupig mwing hao Hongeren sana na ❤❤❤❤ sana
@esthermaina627711 ай бұрын
inauma kama kidonda,wenye roo za unyama mungu awatekeketeze
@TausiAthuman-e3z11 ай бұрын
Kwa kwel mama wa kambo nishida sanammmmm 😊😊😊😊😊
@sharonlisapaul78557 ай бұрын
Amin
@CentrineMusivale2 ай бұрын
Ndo maana nampenda mamangu kama unakubaliana na mm like
@kenkijana3502 ай бұрын
Kweli kabisa
@JescaNyakoaАй бұрын
Namwombea maisha marefu
@EbeiEpur-f1v29 күн бұрын
❤❤❤
@lilinalamri7643 Жыл бұрын
Amezing 🥰 stive Kazi nzuri unafanya 👏👏 kongole to babake sell pia I like your vibe kaka proud of you 👏👏 loveness mama I love you too unajuwa kuigiza mamy 🥰🥰❤️
@celestinenanjala3291 Жыл бұрын
Movie nzuri sana! Nampenda Sele sana... I really find no reason for watching Nigerian movies if our TZ brothers can do such an amazing article
@MaryCharles-u1u11 күн бұрын
😮😮
@ElizaNziza-dh9dl10 ай бұрын
Nmeumia sana kuanzi mwanzo wa move , kweli mam niwamuimu sana kweny maisha usmuzalau mam wa mwenzio , mama ni mam Tmpatie taji yake mama big up
@charlessteven11 ай бұрын
It is one of the best movies I have ever watched in Tanzania. I am a Tanzanian living in Kenya. This movie has reminded me of the old days of Charles Steven Kanumba. The movie depicts some real life situations. Big up guys.
@ChrispusBaraka-zn8dy10 ай бұрын
P😊
@ChrispusBaraka-zn8dy10 ай бұрын
P😊
@ChrispusBaraka-zn8dy10 ай бұрын
P😊
@ChrispusBaraka-zn8dy10 ай бұрын
P😊
@ChrispusBaraka-zn8dy10 ай бұрын
P😊
@Angel-r6q6p10 ай бұрын
Hongereni jamani mnatufunza vyema japo inaniuma san da
@SifaSierra Жыл бұрын
Mmefanya vzr kweli ❤❤
@AminaRomole11 ай бұрын
Mama ni mama hata kama hana kitu inasikitisha sanaa😪😪😪😪
@daniravonga2612 Жыл бұрын
Nimelike hiyo movie Sana Son and the mum am from Kenya ❤
@SimonKioko-o6r9 ай бұрын
So touching....am wat hing from Kenya ...thanks daddy wa. Sele .....af sele shukrani umesimama na mum sana big up..
@NeemaStephen-oe4ww Жыл бұрын
Steve mweusi tafadhali muendelezo japo kidogo ili mama sele amjue aliye Lea mwanawe mmeifupisha sana!
@millieakungwi76728 күн бұрын
True
@RevinaMathias-m4f2 күн бұрын
Kabisa
@Raymaheastfamily8 ай бұрын
Mwanzo niwashukuru wahusika wote afu @Steve mwanzo wakaa kichaa 😅😅😅afu ivi mbona unakitu kakangu😂😂😂.....hongereni sana Steve,dogo,babaake na sele pamoja na mametu kichaa ila Steve una wivu sana mbona kidogo haungeongeza apo maisha ya babake sele na mamake kidogoo😂😂 ila CONGRATULATIONS nmefuraia
So emotional ..lot of tears but steve mweusi anapanguza machozi
@janewanjiku5884 ай бұрын
Nimeipenda movie hii kwasababi Ina mafunzo tia kwa sele
@nasimiyumusamali2634 Жыл бұрын
Wah! Inauma sana hadi ninalia ika ina mafunzo mazuri
@magambojuma53856 ай бұрын
Steve unaweza move hongera kaka nawapa hongera wote nakundi laki mnafanya vizuri sana
@-landcoach Жыл бұрын
Hapo fresh stive wazeee wa frash mmetukumbuka ❤❤❤
@AaX-w6g Жыл бұрын
❤❤❤❤ nakupenda sana mola akuongoze
@loveCatholic254 Жыл бұрын
From 🇰🇪 Naipenda hii filamu ina mafuzo mengi Sana, hivi nawezaje pata nafasi nije Tz niweze kujiunga nanyi napenda sana kuigiza ❤, salaam ziwafikie wausika wote kwenye filamu nawapenda nyote ❤🫂😘
@BelindaApindi11 ай бұрын
😢😢😢😢😢
@SarahTsuma-g3r11 ай бұрын
Ahsanten movie nzur yenye mafunzo
@AlmaamuruMady11 ай бұрын
Duhu gem inatufundisha kwa wale tulopitia kwa wamama wa kambo ni z ya hapoo ila tulee watoto wetu vzr pia tuawaheshm mama zetu nan km mama😂😂😂
@CareenMasinde-s1m16 күн бұрын
Jameni nimelia ,,nmefeel the pain of the little one 😢😢😢,,mama ni mama tu hata akue Kwa Hali gani,,, thanks 🙏 for that movie
@DeboraKwayu5 ай бұрын
Jaman mungu wasaidie sana watoto wasioish na wazaz wao, inaniuma sana i feel like I'm the one doing such a thing
@XadamShafii-re3of3 ай бұрын
Kwakwel maana mama wengine mitihan tyu
@mmnn3579 Жыл бұрын
Inauma sana😢😢😢😢😢😢❤❤nipend movie
@ErickChacha-y9m10 ай бұрын
Mhhhhh
@ErickChacha-y9m10 ай бұрын
Mov hii ina sikitisha
@leahwanjiku5466 Жыл бұрын
Steve you deliver yet you are not pregnant, much love from Kenya ❣️🥰❣️❣️🥰
@aysha1537 Жыл бұрын
Daaaa imeniliza sana sele unaweza na unatia imani
@AminaWaimba10 ай бұрын
l love mama wewe niloho yangu sele apewe pongezi anajua anajua anajua tena
@AsnathJuma2 ай бұрын
Asnathjuma. We kaka uliyemsaidia sele umetisha nikupe managed yako pamoja na sele ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@rizikirashid119911 ай бұрын
Wazaiz wa kiumu mlio achana na wake zeno mkaachewa watoto muwa na mad wa kazungumza na watoto wenye kuusu wanayo pitia nyumbani
@ZahraAlrashdi-p5x7 ай бұрын
Dd aziza una moyo wa kuekti mwehu ongera sana tena sana love you❤
@PascasieUwimana-q4iАй бұрын
Nanikama mama mueshimu mama tena umupende sana thanks mo
@LucyMwari-c8v Жыл бұрын
Uovu haulipi. Kazi safi sana naikubali
@eliudlyoto19308 ай бұрын
Eeeeeeee jaman mungu atusaidie wametukumbusha ambao tuna watu was mamna hii tusiwatenge tuwapende tuu ❤❤❤❤❤❤❤❤
@DianeMpawenimana-qs4fk Жыл бұрын
I'm proud of this movies mungu awabaliki sana
@stevenwonder777 Жыл бұрын
Somo movie iko vizuri
@RahmaMkonongo11 ай бұрын
sitivu nimekukubari wewe safi hadi peponi
@user-bc7burundi Жыл бұрын
Dogo sele na stive mweusi nakubali sana nataka BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@NeimahNeimah3 ай бұрын
From kenya congratulation sele mama n mama na pia malpo n hapa dunian
@rahelhechei8743 ай бұрын
Kweli😢
@ShashaKingo-e5v5 ай бұрын
kazimzuri kwenu wotee ongeleni mungu awazidi shie❤❤❤
@belysebigirimana281011 ай бұрын
Ubalikisana sele ulinifulahisha sana kwa film😭hiyi
@gracenyambura3033 Жыл бұрын
thanks for the firm very educative tafadhali kaka endeleza usituache hanging
@jonastumwesigye5018 Жыл бұрын
Hapa Uganda tunawapenda mno
@PrinceMbwana-i5oАй бұрын
movie nzuri sana jamani inafundisha zidini kutoa vigongo vingine vizuri zaidi muwapite wengine nawependa sana mbarikiwe sana na MUNGU aliye hai mfike mbali mzidi kutuelimisha ameni ameni ameni
@MajobPeter5 ай бұрын
No body can replace your umbilical cord much love to my mom bear❤❤
@JasmineMagomba-j6p8 ай бұрын
Jaman kumbe mmeshutia apa kwetu
@rsharasgyoop7294 Жыл бұрын
Kazi nzuri steve hii imetufunza kitu lkn steve mugeindeleza mama Sele wakaona na baba mlezi wa Sele good job broo
@NeemaStephen-oe4ww Жыл бұрын
Kweli kabisa haikuisha vizuri
@Jescah-i2q Жыл бұрын
Huyu mwanaume apewe maua anajua kulea🎉🎉
@sharonlisapaul78557 ай бұрын
Ya allah nmpe mama tangu maisha marefu ya rabbi nami nipe maisha marefu ya kuweza kulewa watoto wangu wawilili
@NEEMALUKUWI3 ай бұрын
Aisee movie nzuri inafundisha sana Yani sele kajua kuniliza big up son
@dianacherotich10677 ай бұрын
🔥🔥🔥japo inasikitisha nimependa jinsi kijana Sele anavyoigiza pongezi🥰🥰🥰🥰❤
Steve,Niko Congo drc,mungu akulinde nakundiyote,kwahi movie
@PierreNsengiyumva-y9f3 ай бұрын
😢😢 kwakweli naipenda sana sele nitamuona vip nampenda sana huo mtoto mimi nipo Burundi mkowa Boda Muyinga naomba anipe nembe yake ya mtandao tukawasiliane asante.
@EvyMelick3 ай бұрын
Jamaan maama Mungu akupe nn uzima jaman mkatulee mama zetu
@GetrudeThomas6 ай бұрын
Jamn me nimelia mwanzo mwisho istoshe sele anafanana sana na mwanangu nakupenda sana sele nikiangalia kazi nahic kama ni mwanangu
@Hamaton-l9d8 күн бұрын
Mama mzazi ndiye ajuaye uchungu wa wanawe❤❤
@virginiawandia752929 күн бұрын
Mungu nisaidie in my life niswai waacha watoto wangu wateseke hivi😢😢😢😢😢😢😢 mama ya kambo si mama
@gibebelucas11362 ай бұрын
Mamani mama hatakama no kicha tuwapende mama zetu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤