Hongera sana mama, saivi ni muhimu sana kujenga vyuo vya ufundi ili watu wajikite sana katika elimu za kiufundi zaidi kwa ajili ya kujiajiri. Soko la ajira ni gumu sana wacha tuangalie PLAN B
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Mashallah, Tanga yetu🔥🔥🔥🔥 😘😍
@hajimgwami52242 жыл бұрын
DAAAH HUYU MAMA YETU ANAMTAZAMO MKUBWA SANAAA KWA TAIFA LETU, ALLAH ANEDELEE KUMUIFADHA RAIS WETU....
@sdeshnjwetr67072 жыл бұрын
VIVA TANZANIA 🇹🇿💪🇹🇿❤💚❤👍
@gamechangeryoutubeofficial79282 жыл бұрын
Vyuo kama hivi vinatakiwa viwe katika kila kata. Tukifikia hapo tutakuwa tumewakomboa vijana wetu wengi. Alafu viwepo vyuo maalum vya kitaifa kila wilaya au tunaweza anzia na kila mkoa. Hapo ndipo natamani Tanzania yangu ifikie, tusiwaache vijana wetu na elimu documentation isiyokuwa na uhalisia wala applicable
@drmussa12202 жыл бұрын
DAWA YA KUMUACHISHA MTU POMBE NA UZINZI m.kzbin.info/www/bejne/jISupaljjc1mgsk