No video

MAMBO 14 YA KUEPUKA WAKATI WA KULA

  Рет қаралды 879

MASOMO YA KARNE

MASOMO YA KARNE

Күн бұрын

Mangonjwa mengi kwa miaka ya karibuni yamekuwa yakisababishwa na mitindio ya maish ya watu mbalimbali hasa kwenye swala la chakula. wengi wamekuwa wakipuuzia swala zima na vyakula. Huku watu wakijilia chakula wanavyojiskia bila kufata utaratibu wa Mungu na wa kiafya. hivyo kwenye video hii fupi nitazungumzia mambo makubwa 14 ambayo yanatakiwa kuepukwa wakati wa kula ili kuweza kuboresha afya zetu na kumtukuza Mungu. Karibuni wote.

Пікірлер: 28
@cellinakimbe5290
@cellinakimbe5290 3 жыл бұрын
Ahsante kwa somo
@emmanuelbenjamin4656
@emmanuelbenjamin4656 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Rafiki
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Amina sana kakaangu
@sethchupaza8599
@sethchupaza8599 3 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri
@rafaelemmanuel5133
@rafaelemmanuel5133 3 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Amina
@dottomvunyenge2988
@dottomvunyenge2988 10 ай бұрын
Barikiwa sana' Ev. Mgomba
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 10 ай бұрын
Amina. Ubarikiwe sana pia Rafiki
@victorlyimo3612
@victorlyimo3612 3 жыл бұрын
Tunabarikiwa sana mtumishi
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Amina
@ayubumwenda3084
@ayubumwenda3084 3 жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi.
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Amina
@YOMYSTUDIOS
@YOMYSTUDIOS 3 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi somo zuri sana hili
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Asante rafiki, ubarikiwe pia
@SangaRicha
@SangaRicha 3 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA EV. MGOMBA
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Shukrani sana. Jina la Bwana litukuzwe zaidi
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 8 ай бұрын
Upo sahihi bro mgomba❤️🙏
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 Ай бұрын
Shukrani sana rafiki. Mungu atukuzwe
@esperanto6972
@esperanto6972 3 жыл бұрын
Asanteeee Sana mtumishi kwa somo zuri. Bwana azidi kuinua huduma yako.
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Amina, shukrani sana. Tusambaze zaidi links
@medardjn4986
@medardjn4986 3 жыл бұрын
God bless you friend
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Amina sana, Mungu atukuzwe sana
@saidilabu279
@saidilabu279 10 ай бұрын
Asante sana
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 10 ай бұрын
Amina
@manjebemanyama6923
@manjebemanyama6923 3 жыл бұрын
Kula katikati ya mulo Mkuu hapo bado
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Hutakiwi kula chochote muda ambao siyo wa kula rafiki yangu, ndo kanuni bora za afya, sikiliza tena vizuri maelezo
@JoseahMayugu-gw2yu
@JoseahMayugu-gw2yu 7 ай бұрын
Na nyenyekezwa na wewe kiongozi MUNGU akutumie vyema kwa kalama uliyo nayo ya maswala ya afya
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 6 ай бұрын
Amina. Ubarikiwe rafiki. Share zaidi kubariki wengine
MAMBO HAYA MANNE (4) LAZIMA YAKUPATE
20:59
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 634
MAMBO HAYA 3 NI HATARI KWA AFYA YAKO
9:05
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 5 М.
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 9 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 5 МЛН
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 16 МЛН
MAMBO SABA (7) YANAYOFANYA UKATE TAMAA
13:03
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 387
LIVE : SABATO YA KUITIMISHO  || MAKAMBI MTAA WA ZANZIBAR CENTRAL 2024
1:13:10
NJIA 6 MUNGU ANAZOTUMIA KUZUNGUMZA NA MWANADAMU- EV. MGOMBA
12:55
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 204
UKWELI WA AJABU KWA KARNE HII -UTANGULIZI
8:19
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 435
LIVE || MAFUNDISHO MAKUU || KAMAMBI MTAA WA ZANZIBAR CENTRAL 2024
36:09
LUKUVI NGORONGORO  AUSEMA UJUMBE ALIOAGIZWA NA RAIS SAMIA
5:54
Mwananchi Digital
Рет қаралды 69 М.
E361 Navigating the Bible: The Pentateuch
44:18
Saddleback Church
Рет қаралды 217 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 474 М.
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН