Hii ni sehemu ya pili ya Darsa la malezi ni saba 3.Katika Darsa hili Ukht Fatma ameeleza kwa kina mambo ambayo wazazi wengi hufanya ambayo huchangia kwa kiasi kikubwa kuharibu watoto.
Пікірлер: 19
@MesalimRashid Жыл бұрын
Nakupenda sana kwa ajili ya Allah.nimekuelrwa sana.
@zuhurayusuph901 Жыл бұрын
Masha Allah! Jazakallahu khayrah ukhty Fatma, Allah akupe umri mrefu tuzidi kunufaika na ilmu unayotupatia.
@Garusahir6 ай бұрын
Tabaraka Allah Rabul Aramin ukht Allaha kupee umri mrefu tuzidii pataa manufaa na Darasa hizii
@DelightfulPenguin-wk4kv10 ай бұрын
MashaAllah tabaraka Allah ukhty Allah akuzidishie iman iyoiyo ya kutuelimisha ss wanawake wenzio wa kislam na akuajaie kheri katika mambo yako na pia uwe na mwisho mwema
@saft9482 Жыл бұрын
Jazzakalahu likhayra ukhut Fatima Allah akujalie uwemiongoni mwawatu walio salimika nyoyo za na wasema kweli
@kurusumuakimana8233 Жыл бұрын
Asante saana kwa Darsa nzuri Allah akuzidishiee kheli n'a umburi muref kwakuzidi kutufunza❤❤❤❤❤🤝🤝🤝🤝💕💕💃💃💃
@thuwaibabughe3601 Жыл бұрын
Maashaallah tabarakallah Allah akulipe kher dada
@ZainaLigopora Жыл бұрын
Maashaallah ukhty wangu,tunafanyia kazi
@zuenamsonga5274 Жыл бұрын
Jazakallah ukhty Mada imenigusa kweli Mwenyezi Mungu akulipe kheri,Tutafanyia kazi Inshallah
@fatmasaid3134 Жыл бұрын
Mashaa Allah,,, ukhty mm nataka niwe napata mawaidha yako niwe nasikiliz hata offline nifanyeje
@mwanaherimatata8571 Жыл бұрын
Allah Akubariki ukhty Fatma
@marwaabdalla9306 Жыл бұрын
MashaAllah, shukran ukhty Allah akulipe kheri
@themembinga3996 Жыл бұрын
Maashallah Allah akulipe Dada yngu
@khadijaramadhani5562 Жыл бұрын
Jazzaka llah kheir
@shuweikhahamad6392 Жыл бұрын
Mashallah
@SwalhatjafarMussa-yq2iu Жыл бұрын
Ma sha Allah shukrani
@MesalimRashid Жыл бұрын
Kweli kabisa.
@AshaIddy-kn5lk Жыл бұрын
Asalaam aleykum ukhty unapatikana wapi ninashida na wewe