Hii mahindi hata haiwezi zaa ,hapa ni wakati tunapoteza😀
@faithwachira6688 Жыл бұрын
😀😀😀 chairman ATI chakula inapoa finally no githeri ni ngumu itari chai
@AlexMuriukiMunene-dn1yv Жыл бұрын
Avocado boilo na supu ya nguruwe chairman mzima😂
@moseswaswa Жыл бұрын
huyu mzee man nduati its good to have him on board🔥🔥
@a.e.k6806 Жыл бұрын
😂😂😂hz zishilaman zinanichekesha😅 had nataka kuanguka kwa udongo😂😂😂
@faithwachira6688 Жыл бұрын
ATI alikuwa ameenda kukaanga kitunguu 😂😂😂 ATI Haina haja ya kukula 😂😂😂
@faithwachira6688 Жыл бұрын
Kilimo haitaki uzeembe napia huwezi fanya kazi bila kukula 😂😂😂
@hassanhammad9648 Жыл бұрын
Mnadhulumu man duati,,,,, shamba yake mlilima dakika 2 , mkahepa 😂😂😂 na aliwapa githeri mpaka mkabeba take away ,,, anyway much love wazee wa Githioro❤❤❤