Zitto na Lissu mimi nawakubali sana ajabu kuna wa tz wengi hawajielewi wanakurupuka kushangilia tu
@GSMTZTUTORIAL7 жыл бұрын
Isimbula Wa Isimbula good
@saidfahari24887 жыл бұрын
tatizo tumezoea kupuuza ushauri wa wapinzani kwakuona kila jambo wao wanapinga ikiwa wanaushauri mzuri kwa serekali yetu. wore nitaifa moja na jukumu la viongozi wetu ni kulitumikia taifa katika misingi bora naku hakikisha rasilimali za taiga zina nufaish watanzania.Ccm wasiwe wabishi kwakila jambo wawe wasikivu na wachanganue mambo kwa kina siyo kila kitu wao kubisha wawa ulize wenzao dhamira yao kwani wote in wabunge Wa taifa moja na wawe na historia ya vitu vilivyo tokea nyuma tusije kujikuta sisi ni watu wakulipa fidia kila siku wote ni watanzania tuwe wamoja
@fafi90927 жыл бұрын
Zitto ramadhan kareem
@andrewsadiki99147 жыл бұрын
Gud staff Ayoo God bless you kwa clip wenye akili zinazofanya kazi tushawaelewa Zito na Lissu hahaha kawaida yao Ccm wapo kichama na family zao zaidi kuliko nchi hahaha
@markkayuni97757 жыл бұрын
haki sio kuzia mchanga tunacho takiwa kufanya tubadilishe sheria ya madin kwanza unapo anza kuzuia mchanga kosa kwa mujibu washeria ya nchi yetu nimekuelewa zito
@geofbeka16697 жыл бұрын
hawa wapinzani ndo wanaelewa mjadala mzima wa masuala ya madini, ccm wanaojivika uzalendo na kujifanya wana uchungu sana wakati wao ndio walioharibu kwa miaka zaidi ya 20 wanafanya mchezo wa siasa tu
@matanofamiliy44347 жыл бұрын
Ndio maana nyinyi watanzania muko nyuma sana na kujifanya kwenu nyote wajuwaji daima musimame pamoja muache hizi hizi za kila mtu ajua afirca mtabaki nyuma na huu ujanja wenu
@patricktravis65757 жыл бұрын
kabwe anacho kisema ni sahihi kabixa na hata raisi wetu alicho kifanya kuzuia mchanga ni kitu sahihi kbxa ila xhida iko kwa viongozi wetu walio pita ndo walifunika yote haya
@chrismgaka60297 жыл бұрын
Aya mambo yanachanganya kweli
@aljazeeratanzania22587 жыл бұрын
Ndo maana Mbowe alikufukuza chadema maana ww ni kiongoz wake
@harounali90577 жыл бұрын
Mimi katika changia changia zangu nilisha wahi kusema kama, sikuzote CCM wao wanajiona ndio wakamilifu ,hata kama wapinzani watasema jambo la msingi kwa kuwa ni wapinzani basi hutiwa kapuni halina maana. Haya masuala wapinzani wali yapigia makelele siku nyingi lakini wabunge wa CCM wao kaziyao ni kusema ndiooooo!!!!!!!!. Hivisasa sakata la mchanga wamegeuziwa kibao wapinzani na kuitwa wizi ,kwa nini wanasema au wanakosowa kisheria na kosa ni lao wao serekali ya CCM hawataki maoni ya wananchi,ukisha mpa mchimbaji leseni ndio usha milikisha sasa una kuja kukamata na kusema wezi sasa mwizi vipi na sheria za serekali ya CCM zisha mmilikisha ni mali yake sasa wapizani wana tazama madhara ya huyu ulie mkamatia mali zake akikushitaki nini madhara yake. Tundu lisu ameliona hili lakini UZALENDO wake ukawekewa kikomo kwa kuambiwa anatetea mali za nchi kuibiwa, kumbe si mali za nchi tena ni zamchimbaji. Nilicho kifaham kwa nini Zito kaamua kusemea nje ya bunge, kwa kutaka wananchi waelewe makosa yalio fanywa na serekali ya CCM, na kama atasema ndani ya bunge basi malipo yake ni kuitwa mwizi kwa sababu CCM hawakubali kukosolewa.
@ilovejesus93037 жыл бұрын
Sawa hatujakataa Kabwe, asante kutuelewesha ila pointi ni kwamba tumeshtuka tunaibiwa, so hakuna haki hapo na ndio maana tunatafuta haki za Watanzania. Please tuwe na ushirikiano kurekebisha sheria na katiba zetu as soon as possible kunusuru mali zetu na hapa tunatakiwa kuanza na KUMUUNGA RAISI WETU MIKONO YOTE MIWILI. Lets be one ndio tupeleke hayo mashauri, ila kwa sasa inakuwa ngumu sababu kuna watu kama nyie na Lissu mnaonekana kuwa upande mmoja, hatuwaelewi.
@lucky92857 жыл бұрын
I love Jesus Tulishtuliwa zaidi ya miaka 15 iliyopita Serikali hawakusikia 😀😀😀
@jedidiahmathias77677 жыл бұрын
Ndo mnashtuka leo, basi nyie ni vilaza sana hamstahili kuongoza hii nchi
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
acheni kutuchanganya nyinyi rais anajuwa kuliko nyinyi hayo yote mliosema ni maneno tu ya kawaida ila kazi ndio imeanza
@deogratiusminja23027 жыл бұрын
Elimu elimu elimu rudi shule sio dhambi
@saidiathumani74407 жыл бұрын
asa nyinyi sindio mlitunga sheria wabunge au?
@mbowefadhily90347 жыл бұрын
huwezi kusema tunaibiwa mm cfungamani na wanao sema hivyo. hivi mnajua kinacho endelea juu ya nchi hii? cjaona jipya hapa juu ya madini mikataba miaka100 kunahakili hapo.
@sirnyoniinspirationstv53277 жыл бұрын
Tuambieni suluhu
@williammajani21527 жыл бұрын
baba mjadala umemaliza nilitamani kusikia hii baba
@julianamasunga34587 жыл бұрын
hawa wanatupoteza maana wananjifanya wanajua jamani ni magufuli tu ndiyo msemakweli!!!!!
@kfastak7 жыл бұрын
Juliana Masunga ,!
@harunamos83173 жыл бұрын
👏👏👏nimekuelewa
@mwaitelekeosiana41787 жыл бұрын
mnachotaka nyie ni nini???mana cjui lengo lenu ni kutaka mchanga uendelee kusepa au niaje,afu mtambue nyie wabunge mna majukumu meng sana ya kuhakikisha mnawasaidia wapiga kura wenu so kuja kubishana kwenye vtu ambavyo mwsho hamtapata majibu,achen alieanzisha amalize na muache siasa siszo na kichw wala migu mana ukwel mnaujua but mnajaribu kuupotosha
@upendomunisi94827 жыл бұрын
Mwaiteleke Osiana wanachotaka sheria na mikataba ijadiliwe na kurekebishwa ili tusiibiwe tena,according to zitto na lisu sheria inawaruhusu madini kuwa mali yao na si ya watz,mbona kitu rahisi kuelewa
@anonymous-ps8iu7 жыл бұрын
tatzo la hawa sijui ndo wabunge hamtoi njia au nn kifanyike. sasa mko upande wetu ama.
@ahmedbakari707 жыл бұрын
Reginald Lyamuya lyamuya Mbona solution zimetolewa toka miaka 15 iliyopitq sema watanzania wamelala sana
@kfastak7 жыл бұрын
Reginald Lyamuya lyamuya wewe inabid tufafute ubao Na chaki ndio tutaelewana!
@josephmasanja78597 жыл бұрын
nisawa lakini kama huo mchanga hauna kitu iweje wausafilishe siwameshatoa kitu husika iweje wasafilishe nainatakiwa huo mjadala uingie bungeni mfikie itimisho sio kwamba magufuli ana zuia uchafu wale wangejua niuchafu wasingeusafilisha zitto nishakuelewa sana mpeni sapoti laisi
@ahmedbakari707 жыл бұрын
Joseph Masanja sikiliza vzr kisha comment tens utaelewa tu