Amen Amen ❤❤. Nafungua malango ya kufanya mapenzi ya MUNGU Ili niingie mbinguni.
@mbulabalenzi379022 сағат бұрын
Haya ni maneno ya kweli.Hata wanaopagawa mapepo yanakiri kuiogopa siku ya kurudi YESU.
@CastoBenjamin20 сағат бұрын
AMEEEN NI KWELI KABISA MTU WA MUNGU!🫡
@jefwakalama433617 сағат бұрын
MUNGU akubariki sana muchunga, Emmanuel Jefwa ktk Lamu Kenya
@paulpeter21087 сағат бұрын
@@jefwakalama4336 amina
@masabosimeon950217 сағат бұрын
"It will happen, it's matter of time only because all the signs are already here"
@remmyalfred673617 сағат бұрын
🇹🇿ASKOFU GWAJIMA ANA MAARIFA NA MAFUNUO MAKUBWA SANA BAADHI YA HAYA ANAYOYASEMA MWL MWAKASEGE ALIONGEAGA HII MIAKA MICHACHE ILIYOPITA KWENYE MASOMO YAKE NI UNABII UNATHIBITIKA, BIBLIA INASEMA KWA VINYWA VYA MASHAHIDI WAWILI WATATU NENO LINATHIBITIKA..
@oprahpelle253117 сағат бұрын
UNAWEZA NISAIDIA KICHWA CHA HIO VIDEO YA MWAKASEGE ILI NIPATE KUSIKIA MTUMISHI
@remmyalfred673616 сағат бұрын
@oprahpelle2531 HAPO HAUSIKII? JIFUNZE KUPOKEA NA KUMKUBALI ROHO ANAYOONGEA SIYO MTU ANAYEONGEA, ACHA ROHO YA UDHEHEBU WEKA IMANI YAKO KWENYE NENO SI WANADAMU. HAUTAJIBIWA!
@pastorhermantv542014 сағат бұрын
Msaidie jina la somo mbona imeandikwa qakuombaye mpe?@@remmyalfred6736
@JordanRichard-s2d13 сағат бұрын
@@remmyalfred6736kaomba sio kwa ubaya ili ata na yeye ajifunze zaidi , neno sineno tu! Halibadiliki. Kwaio kama unakumbuka Io clip tusanue ili tuwaubirie wengine.
@veronicanestory166212 сағат бұрын
@@remmyalfred6736 Ameni jibu sahihi mtumishi
@paulsibu577014 сағат бұрын
Mtumishi Wa Mungu Ubarikiwe na tuwe pamoja Siku ya unyakuo.
@BonaventureKayuni14 сағат бұрын
Amen baba neno ili ni kweli tupu haina ubishi ❤
@adriannebatakanwa69042 сағат бұрын
Asante mtumishi kuifundisha kweli. Siyo watumishi wanapotosha wakristo hawajui hata Yesu akujaje? Eti atapitia Airport na kupanda magari yao.
@EmmaroseJoseph21 сағат бұрын
YESU atakakuja kunyakua walio wake hatakanyaga ardhi ila watakatifu watavikwa uwezo na ROHO MTAKATIFU wa kupaa na kumlaki YESU mawinguni mara ya pili YESU atakuja kuhukumu wazima na wafu
@malkiarosemuhando331016 сағат бұрын
Soma Daniel
@ElishaVenance-q6y15 сағат бұрын
Mungu akubariki sana umetufumbua ufahamu
@paulpeter21087 сағат бұрын
@@ElishaVenance-q6y barikiwa
@gracenyangusi623021 сағат бұрын
Ameeen 🙏 🙏 Baba
@paulpeter21087 сағат бұрын
@@gracenyangusi6230 amen
@josephmichael843815 сағат бұрын
Amina Amina. Haya ni mambo ya Muhimu KABISA.
@AbelAlsen14 сағат бұрын
Gwijima nakupenda na pia nakuelewa sana
@levispaultitus862323 сағат бұрын
Maneno hayo ni Hai na Uzima Yesu kristo aliye hai atukumbuke
@paulpeter21087 сағат бұрын
@@levispaultitus8623 amen
@PamelaGodfrey-q9b17 сағат бұрын
MUNGU akubariki
@RestitutaNjau-k8xСағат бұрын
Kazi kweli
@user-oi5tw8zi2f15 сағат бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeen Mbeba maono wa Dunia
@RestitutaNjau-k8xСағат бұрын
😂😂😂😂😂
@EmmaroseJoseph21 сағат бұрын
AMEN AMEN AMEN ❤❤❤❤❤❤!
@noelmbosa273617 сағат бұрын
Mungu atusaidie sisi wote maana siku hiyo inatisha
@stephanosospeter170914 сағат бұрын
Ameen ❤
@beatricefilbert11714 сағат бұрын
Nakupenda baba yangu
@OmbeniGeorge18 сағат бұрын
Amina baba
@Rebekaeliazer8 сағат бұрын
Amena kubwa
@WalterpeterMasawe18 сағат бұрын
Mkuu Mungu anakila mtu wa kila aina usimwangalie yeye sikiliza ujifunze pambania roho yako
@jastinmkoba6 сағат бұрын
I feel ver happy
@ezrandubula935718 сағат бұрын
Amini nawaambieni HILI NENO NI LA KWELI hapo anaongea toka Rohoni na unyakuo upo OLE WATAKAOBAKI KTK UNYAKUO
@happinessmchome910118 сағат бұрын
Yesu tusaidie
@mbulabalenzi379022 сағат бұрын
NI KWELI,NI KWELI,NI KWELI JAMANI NENO HILI NI KWELI
@NyorokaNyenge21 сағат бұрын
Uongo huo
@fredymponji142316 сағат бұрын
Very physical
@JoshuaMwita-l8y15 сағат бұрын
Shida ipo kwenye ufafanuzi wa maandiko na kama huna roho wa mungu wakkufunulia uelewe huwezi kuelewa kabisa ninyi mnaopinga sio kosa lenu tatzo ni kwamba hamjachunguza maandiko yanasemaje kuhusu uamsho na unyakua wa kanisa asko gwajima yuko sahihi kabisa jaman ndugu zangu chunguzen vzuri maandko
@paulpeter21087 сағат бұрын
@@JoshuaMwita-l8y barikiwa lakn samahani mtumishi naomba andiko hilo la unyakuo
@AmosiTimoteo6 сағат бұрын
Wewe jifunze maandiko vizuri kwa mujibu wa kitabu cha ufunuo na Danieli utagundua askofu amechemka kwenye ufafanuzi
@BoazimakolobelaMakolobela5 сағат бұрын
Yuko Sawa sanaaaa mwambie mungu akupe machoo@@AmosiTimoteo
@MalaikaHome-b6r14 сағат бұрын
Mwambaaaaaaaaaa kabisa
@harrywarren6115 сағат бұрын
Nimeipenda Aleluya mwana kondoo yupo duniani huumle nani😂😂
@Jeremia9h23 сағат бұрын
Amen
@janethmwihumbo128922 сағат бұрын
Ila wavue mapambo unakuta sifa za kunyakuliwa wanazo ila wataishia jehnm
@malkiarosemuhando331022 сағат бұрын
We nae
@Werema376022 сағат бұрын
■Acha mawazo mgando ya KIMAPOKEO.
@janethmwihumbo128921 сағат бұрын
@Werema3760 Kama kwenda kuzimu nimapokeo haya utadaiwa wewe Mbingu silelemama
@Celestineshikuku-i4x19 сағат бұрын
Ukweli unauma. Hakuna makeups zitaingia mbinguni na marastas. Lazima mjikane
@janethmwihumbo128919 сағат бұрын
@Celestineshikuku-i4x hakika mtumishi
@nehemiahmguluka199616 сағат бұрын
❤❤❤❤🔥🔥🔥
@melkizedekiromani29185 сағат бұрын
Natamani sana kama ungekuwa na radio yako au tv. Mahubiri haya ni nyeti sanaa..
@LisaKavura4 сағат бұрын
Tv inaitwa Rudisha tv
@MalaikaHome-b6r16 сағат бұрын
Baba yangu
@lusianbenedict616613 сағат бұрын
Mimi nipo Sana
@DominikiChristian4 сағат бұрын
Jamni tu sali twendeni kwenye ibala tusiwe na chuki na wenzetu tupendaneni
@AysaAysa-qs7be3 сағат бұрын
Wasafishe inje mwanzo unyakuo uamusho hauji Kwa hali hiyo bila utakatifu uamusho hauji
@knight67572 сағат бұрын
M.MUNGU NDIE MIPANGO ZAKE NI KAMILIFU !!!
@DottoPaschal-x4d12 сағат бұрын
PASTOR GWAJIMA KUNA JAMBO LINANITATIZA SANA MPAKA NAOGOPA KUOA,NAOMBA SOMO LA KUHUSU MAPAMBO AU KUSUKA JE,,!! NI HALALI MWANAMKE KUSUKA ? UKIJIBU UTAKUWA UMENISAIDIA AMINI.
@annkim26905 сағат бұрын
Nenda Kwa channel inaitwa promoverTV utakutana huko na kina Aston Mbaya Na mdada mmoja anatoka Tz Esther Masanja utapata jibu
@karebukaminyoge7 сағат бұрын
Okay kumbe
@bamag-0217 сағат бұрын
Huo ufasiri wa maandiko sio sahihi
@BoazimakolobelaMakolobela5 сағат бұрын
Wewe yuko sawaaa utakuwa msabàto wew
@adriannebatakanwa69042 сағат бұрын
Nimeota ndoto ya unyakuo! Inatisha
@IskariMasawaСағат бұрын
Kanisa halita nyakuliwa mpaka lipitie kwenye dhiki kuu hii habar mnayofundisha kuwa watakatifu hawatapitia dhiki kuu ni ya uongo. Dhiki kuu lazima tupitie tu
@lukafbbwebelof387414 сағат бұрын
Napenda sana jinsi alivyo sema, sikiliza wewe utakaye bakia kila mtu anajua maisha yake anavyo hishi mbele za Mungu na siwezi kuwatia moyo. 😂😂😂
@braisonjohnnzunda6 сағат бұрын
Hakka ni kweli
@salvatorybuha43285 сағат бұрын
Ameni mi naamini hata utabiri wa Raisi Trump uliongea yakatokea
@huldamichael44452 сағат бұрын
Catastrophy management 😅😅😅😅ila Gwajima
@huldamichael44452 сағат бұрын
Sikilizeni mtakaobaki😅😅😅😅😅😅😅
@paulpeter210816 сағат бұрын
1thesalonike 4:15-17 kila mmoja atamuona kristo akija na sio unyakuo wa kimya kimya si kweli!!.
@pastorhermantv542014 сағат бұрын
Unaongelea unyakuo upi?
@paulpeter21087 сағат бұрын
@pastorhermantv5420 anaouzungumzia huyu wa watakatifu siku yesu anarejea ,,watu wote walio hai watamuona mwana wa adamu ila watakatifu tu ndio watanyakuliwa na sio kunyakuliwa kimya kimya ni tukio halisi ,,waovu watauawa sababu ya utukufu wake mwana wa adamu
@annkim26905 сағат бұрын
Shida yako unasimamia andiko moja Tu mwenzako Askofu Gwajima ana maandiko zaidi ya 3 na sasa. Ukisema hayuko Sawa pia Christopher Mwakasege hayuko Sawa coz nimeona hapa Kwa comment pia yeye alisema kama Gwajima
@Jastus1005 сағат бұрын
@@paulpeter2108imeandikwa wapi waovu watauawa
@paulpeter21084 сағат бұрын
@@annkim2690 yote hayo yanakutana na andiko Moja tu hilo la thesalonike yote yanajikita hapo ,,,biblia haijipingi Wala hakuna chapa ya kupigwa muhuri kama elektroniki ni suala la Vita ya ibada hakuna mtu atakayelazimishwa Kwa kuendeshwa kama umeme naumia sana watu wanavyodanganywa
@GODFREYMUHANGI-cj4zu16 сағат бұрын
Unamaana gani kusema uongo wewe uliesema uongo, soma neno uelewe, mimi namuelewa sana kwani naona anatumia neno la mungu ambalo linatuweka huru, aliyesema mlokole aruhusiwi kuwa mwana siasa ninani? Dunia hii ni ya watu wamchao bwana, sio ya mafreemason, ukiwa mtu na bado mpaka wamchao bwana wachukue uraisi ndio utashangaa. Wewe baki hivyo hivyo wewe ulie wapa mamlaka wanaotegemea nguvu za giza.
@AsheryRabani15 сағат бұрын
Watu Wanakomenti wanasema eti uongo huo sio uongo Hilo nineno la mungu kabisa
@AmosiTimoteo6 сағат бұрын
Hiyo tafsiri ya hayo maandiko sio sahihi ni kama mafuta yaliyochanganyikana na maji,ukweli kidogo uongo mwingi someni ufunuo sura ya 20,21 na 22
@JoshuaMwita-l8y15 сағат бұрын
Dhiki kuu ni baada ya unyakuo
@paulpeter21087 сағат бұрын
@@JoshuaMwita-l8y barikiwa ,,naomba andiko hilo mtu wa MUNGU
@Isack-b9k19 сағат бұрын
Sasa ww mchungaj mda huohuo mwanasisa act utawahubirije wakuamini , waliookoka ni waumini wako?
@NellyDibaling14 сағат бұрын
Kwan dhambi kuongozwa na mtumishi wa mungu
@paulmathias8107 сағат бұрын
Kwani Musa, daud, sulemani hawakuwa wanasiasa? Je mbinguni wapo au hawapo?
@godfreyaugustino38135 сағат бұрын
Luka mwenyewe mwinjilisti alikuwa daktari. Hiyo haimnyimi haki ya yeye kuwa mtumishi wa Mungu tusikariri tuelewe mambo.
@lusianbenedict616613 сағат бұрын
Mtu WA nne aliposhuka Kwa kina Daniel moto ulikosa Nguvu pia walikuwa na amani na Simba
@BongoCryptos23 сағат бұрын
Ikiwa watu watanyakuliwa kwa namna hiyo, Je, Yesu atarudi mara yapili kufanya nini?
@AsifiweTweve-y8h23 сағат бұрын
Upatwe mabaya kuanzia leo
@BongoCryptos23 сағат бұрын
@AsifiweTweve-y8h Hahahaaa, hakuna baya lolote linaloweza kunipata kwa usema ukweli.
@kilianmtotowamungu388522 сағат бұрын
Apatwe na mabaya tena???? Aiseeeeeeeee
@danielaloyce468421 сағат бұрын
@@BongoCryptos Soma ufunuo wa Yohana. Sisi kama binadam tunazoea sana dunia, tunadhani tupo hapa kupata mema tu. Ila upendo usingekua upendo bila mabaya
@danielaloyce468421 сағат бұрын
@@BongoCryptos kuja Kwa Yesu ni Kwa ajili ya kuchukua watu ambao wamepitia mengi, usihofu kuhusu haki, tunaposema haki ya Mungu, yeye pekee ndo aijuae haki. Imani ni sauti ya Mungu iongeayo ndani yako ikiambatana na matendo yako😊
@GODFREYMUHANGI-cj4zu16 сағат бұрын
Someni biblia nyinyi mnao question
@RichardRere11 сағат бұрын
Nyie mnaosema uongo mtupu haya leteni ukweli wenu
@paulpeter21087 сағат бұрын
@@RichardRere barikiwa,, smahani naomba andiko hilo la unyakuo mtu wa MUNGU
@linusmwicwiri931716 сағат бұрын
Nadhani Hilo fundisho aliko sahihi.Nasema hivi kwa sababu biblia inafundisha kuwa dhiki kuu itatokea kabla ya unyakuo.
@lukafbbwebelof387413 сағат бұрын
Nazani ungeli tafuta Hilo adiko na kuliweka ili tulisome pia. Shukrani
@BongoCryptos23 сағат бұрын
Uongo mkubwa
@kilianmtotowamungu388522 сағат бұрын
Ukweli ni upi ?
@davidjoseph114322 сағат бұрын
Dawa ni upuuze uje uone
@BongoCryptos21 сағат бұрын
@@davidjoseph1143 nimesha upuuza.
@BongoCryptos21 сағат бұрын
@@kilianmtotowamungu3885 Ukweli ni kuwa aliyoyasema ni mawazo yake sio maandiko.
@Isack-b9k19 сағат бұрын
@@kilianmtotowamungu3885 siasa zactanzania
@AmosiTimoteo6 сағат бұрын
Someni sura ya 21 ya Ufunuo mtagundua hizi ni porojo
@annkim26905 сағат бұрын
Unaonaje ukifungua channel yako utufunze. Na wewe au uende Kwa hizi channel za promoverTV au Davistamata ukajieleze huko tuje tukuzikize
@BongoCryptos23 сағат бұрын
😂😂😂UONGO MKUBWA
@WillBat-gc9ex21 сағат бұрын
Ibilisi we
@BongoCryptos21 сағат бұрын
@WillBat-gc9ex ibilisi ni huyo anayepotosha maandiko
@CastoBenjamin20 сағат бұрын
Ukisikia mpinga Kristo ndo wewe sasa!,huna adabu ama hujui usemalo!