Well said brother. Wengi tuna ndoto za abunuwasi yaani tunafikiri ofisi ni milele na tukifikia muda wa kustaafu tunashtuka kujifunika shuka wakati kumeshakucha. Hapo kwenye kutafuta vyanzo mbadala vya mapato ni pa msingi Sana na ni vyema vyanzo mbadala vya mapato viwe based ktk passion ili tukistaafu tufanye kazi zinazotupa kipato mbadala lkn bila stress na hivyo kupunguza matatizo kama presha nk. Well said brother 🤝
@erickshingashinga212628 күн бұрын
Well said HRO
@LunodzoMwinuka4 жыл бұрын
Asante sana Kaka.
@TheHRChannel4 жыл бұрын
Lunodzo Mwinuka pamoja sana kaka
@wambekenyeraaa3965 Жыл бұрын
Watumishi wengi hatupendi kusikia habari za kustaafu utadhani hizo kazi ni zetu milele