MAMLAKA YA KI MUNGU KUZISHINDA NGUVU ZA GIZA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 52,136

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

Күн бұрын

Kwenye hili somo Mtumishi wa Mungu ametufundisha namna gani tulipookoka/ kuzaliwa mara ya pili (kiroho) Mungu alituketisha pamoja na Mwanae pendwa Yesu Kristo, kwa sababu hiyo na sisi pia tumepewa mamlaka ya kukanyaga nge na nyoka na hakuna nguvu yoyote ya giza inayoweza kutusumbua, tumepewa mamlaka ya kuamuru na vitu vikawa.
Fatilia mafundisho haya na mengine mengi upokee baraka ambazo Mungu kutumia watumishi wake amezileta kwa ajili yako. Mungu akubariki sana.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our KZbin: www.youtube.co....
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz

Пікірлер: 86
@monicahmwalozi
@monicahmwalozi Жыл бұрын
Baba Mungu akubariki sana umenifungua macho yangu ya kiroho 🙏🙏 nitatumia mamalaka lakini sio kumlilia Mungu juu vyote viko chini ya nyayo zangu.
@michaelkmwangi1315
@michaelkmwangi1315 9 ай бұрын
Ufunuo wa ajabu. Asante Yesu kwa ufunuo kupitia kwa mtumishi wako. From kenya 🇰🇪
@patrickjosephmwikwabe223
@patrickjosephmwikwabe223 Жыл бұрын
Nashukuru sana Mungu kwani napita njia ya youtube kujifunza. Lakini natamani kujua ratiba ya Dodoma ili nami nishiriki ibada kamili.
@delishbby8542
@delishbby8542 3 жыл бұрын
Wooow! I always say ur the best Pastor ever in Tz. It's about time watu kunywa maziwa tuachie watoto na tung'ang'ane na mifupa sasa.
@lizzymachocho2948
@lizzymachocho2948 3 жыл бұрын
Toka nianze kufuatilia mafundisho yako mtumishi,umenijenga sana na Mungu amenipeleka hatua hadi hatua.Barikiwa sana na Mungu wa mbinguni azidi kukupaka mafuta mabichi kwa ajili ya utukufu wake.
@nicholausmwangomo4418
@nicholausmwangomo4418 Жыл бұрын
Nimeipenda Sana opening statement ya kuwa vita yoyote lazima upiganwe uimalize uendelee na mengineyo.
@irenejerome111
@irenejerome111 Жыл бұрын
Ni kheri ulizaliwa🙌🙌...your the best teacher and man of GOD...i real see the reality of CHRIST through you...
@christermlewa8471
@christermlewa8471 Жыл бұрын
Imani yangu inazidi kukua siku Hadi siku Kwa mafundisho Yako Sasa naweza kuzishinda nguvu za giza,ubarikiwe sana pastor Kyando
@imanirubeni9887
@imanirubeni9887 3 жыл бұрын
Amina Mungu ni mwema kwakunifunulia nakuweza kunitoa katika usingizi sasa nimejuwa namna ya kukanyaga nakushinda kila roho chafu Asante Mungu kwaajiri ya Mtumishi wako 🙏
@veronicamyovela2327
@veronicamyovela2327 3 жыл бұрын
Sina maneno ya kutosha kumshukuru Mungu kwa maarifa haya, Mungu akubariki sana Pastor Kyando.
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 3 ай бұрын
Tafadhali nakuombeni mniambie kanisa lio wapi ,lazima nifike mahali hapa
@magrethmvwango2682
@magrethmvwango2682 2 жыл бұрын
Ameni kwaimani mungu naomba niponye Mimi mwanao magreth laston nazikataa ndoto mbaya zinazo nifwatilia Kwa jina la yesu
@SaumWangeci
@SaumWangeci Ай бұрын
Ahsantii sana mtumishi kunifuza huu ufunuo
@aurelialucas2541
@aurelialucas2541 10 ай бұрын
Amina mtumishi Mungu akubariki sana kwa mafundisho mazuri.
@MagdaleneMagdalene-rz1sp
@MagdaleneMagdalene-rz1sp Жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa mungu umenifungua macho ubarikiwe sana
@akilimatoto8171
@akilimatoto8171 Жыл бұрын
Kutoka DRC UVIRA, Nabarikiwa na Neno la Mungu , Mungu asifiwe !!
@petermunuo1657
@petermunuo1657 Жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@paulmwangi294
@paulmwangi294 2 жыл бұрын
Lord God almighty, I ask in Jesus Christ name bestow upon me wisdom and revelation in every area of my life.
@angeljoseph4666
@angeljoseph4666 2 жыл бұрын
Ndiomana watu walio okoka uwa Wana furaha sn,kumbe wameketi pamoja na Kristo
@apazmunisi2133
@apazmunisi2133 3 жыл бұрын
ameen..kuanzia leo nimejuwa nimeketishwa na na KRISTO nina mamlaka ,,,asante kwa mafundisho haya pastor.
@lucyndegwa4514
@lucyndegwa4514 3 ай бұрын
I have the power glory to God ameeeeeen
@annaclement2723
@annaclement2723 2 жыл бұрын
Ansate mtumishi kwa fundisho hili
@neemangowo1453
@neemangowo1453 3 жыл бұрын
Oooh, nimejisikitikia sana kwakuchelewa kujua nilipo,Ahnte sana mtumishi kwa mafunuo mazuri ,Mungu akubariki sana
@leahtitiha2445
@leahtitiha2445 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa mafunzo yako mazuri. Nimejifunza mengi tangu nikujue!
@phidesk2390
@phidesk2390 3 жыл бұрын
AMEN . My spiritual eye's are really opening wide. Barikiwa zaidi Mtumishi uendelee kutufundisha nasi tutoke gizani. We have been victims as a family but from now on ì believe things are not going to be same. Tutamkanyanga kabisa. Jina la MUÑGU litukuzwe.
@MlaleJulia
@MlaleJulia 3 ай бұрын
Barikiwa mutumishi
@flobad.mhubiri
@flobad.mhubiri 4 ай бұрын
Amen baba.🇨🇩
@madamleticia94
@madamleticia94 Ай бұрын
Ameeeen 🎉🎉🎉
@mathiashalawa3766
@mathiashalawa3766 2 жыл бұрын
You have a very broad understanding on how to conquer the powers of darkness. Asante sana MTUMISHI WA MUNGU.
@subirapallangyo5670
@subirapallangyo5670 2 жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu, kiukweli nimejifunza mamlaka yangu ktk ulimwengu wa roho
@theklakikoko2767
@theklakikoko2767 2 жыл бұрын
Amina balikiwa sana mtumishi kwa kunifungua macho ya rohon na kunipa ujasili
@modestamedard8901
@modestamedard8901 2 жыл бұрын
Kwa kweli mi wachawi wana tabia ya kunichanja hii hali siipendi baada ya mafundisho haya naamini ntakua salama hawatachezea mwili wangu tena kwa jina la Yesu
@emmanuelwith1812
@emmanuelwith1812 2 жыл бұрын
Karibu Bukoba 🙏🙏🙏
@jeanbaptiste5512
@jeanbaptiste5512 2 жыл бұрын
👏👏👏 Respect mtumishi wa MUNGU Aliye Hai somo sahihi ubarikiwe sana
@immaculatasangu4197
@immaculatasangu4197 3 жыл бұрын
Amen, Bwana Yesu tufundishe
@wilbard3692
@wilbard3692 3 жыл бұрын
Aseh Mungu ni mwema sanaaa namtukuzaa sanaa Mtumishi hili som very powefull yaan mpka nasisimka
@liliankeyabaraka8195
@liliankeyabaraka8195 Жыл бұрын
Powerful message MUNGU akubariki sana pastor
@gracemdugo5446
@gracemdugo5446 9 ай бұрын
Amen pastor
@peterngulili7301
@peterngulili7301 2 жыл бұрын
AMINA.MTUMISHI,.MUNGU MUWEZA YOTE AKUBARIKI
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 2 жыл бұрын
Mafunzo mazuri ingawa maombi ni kazi kuhubiri ni rahisi
@emmanuelwith1812
@emmanuelwith1812 2 жыл бұрын
Nabalikiwa sana
@jacquelinembanda
@jacquelinembanda 3 жыл бұрын
Amen amen Sifa na Utukufu kwa Mungu
@josephntandu
@josephntandu Жыл бұрын
Very Powerful 🔥! Apostle & Teacher of this Generation.I tap to this Grace and annoiting! Mungu azidi kukutunza Pastor.
@jackiemaggy2484
@jackiemaggy2484 2 жыл бұрын
Ameeeeeen man of God
@rebecanipeninumberyakenimu5498
@rebecanipeninumberyakenimu5498 2 жыл бұрын
Aise yaani nimebarikiwa hadi naona nimechelewa kumjua huyu pastor anajua kufundisha sana neno la Mungu
@Jastus100
@Jastus100 2 жыл бұрын
Rebeca nipeni number yake nimuelekeze dawa babere
@yustinmbilinyi671
@yustinmbilinyi671 3 жыл бұрын
Yani nabarikiwa sana aisee mwalemi mtumishi unafundisha vizur sana
@herriethhenry2043
@herriethhenry2043 3 жыл бұрын
Amen napokea malakai ya kiungu tangu sasa kwa jina la Yesu
@leah1187
@leah1187 3 жыл бұрын
Asant mtumishi nmeelew sana
@esaiehakizimana5783
@esaiehakizimana5783 2 жыл бұрын
Mungu azidishe kuwa Pamoja na nyinyi Kira Siku upenzi wa Yesu Kristo
@mwarabujohnson812
@mwarabujohnson812 2 жыл бұрын
amina mungu ni mukubwa
@tabithamsuya4235
@tabithamsuya4235 3 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi.... Iwepo na part two
@alainkanobayire2078
@alainkanobayire2078 2 жыл бұрын
Amen! ili somo safi! Ubarikiwe mtumishi. Sasa wenye kua inje ya Tanzania wanatoa sadaka kwa njia gani?
@anyigulilemwaigomole3012
@anyigulilemwaigomole3012 3 жыл бұрын
Sauti ipo chini sana
@gemalucas5863
@gemalucas5863 3 жыл бұрын
Your the best teacher
@yustinmbilinyi671
@yustinmbilinyi671 3 жыл бұрын
dah! ubarikiwe sana mtumishi saana yani sana
@paulmwangi294
@paulmwangi294 2 жыл бұрын
Amen hallelujah
@Pdom100
@Pdom100 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana. Usikivu wa sauti umepata changamoto
@danielzablon8388
@danielzablon8388 2 жыл бұрын
Fundi mitambo sauti mdogo Sana.
@Pdom100
@Pdom100 3 жыл бұрын
Pastor Ubarikiwe sana kwa shule nzuri.
@wilbard3692
@wilbard3692 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa ma ufunuo makubwaaa
@dianaobadia6107
@dianaobadia6107 3 жыл бұрын
Amen Baba nimebarikiwa
@emmanuelwith1812
@emmanuelwith1812 2 жыл бұрын
Amen man of God
@julietmboya3021
@julietmboya3021 3 жыл бұрын
May God bless you pastor 🙏
@angeljoseph4666
@angeljoseph4666 3 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@happinessakim2679
@happinessakim2679 3 жыл бұрын
Be blessed,,,,,man of God 🙏🙏🙏
@agnesalex4761
@agnesalex4761 3 жыл бұрын
Asante mtumishi wa mungu nabarikiwa
@salumsamesame1741
@salumsamesame1741 3 жыл бұрын
Amen, Amina
@kuziririzaisabatosiitegeko7088
@kuziririzaisabatosiitegeko7088 3 жыл бұрын
Ameen
@mhamdahmd7758
@mhamdahmd7758 3 жыл бұрын
Amen
@dominamaganga164
@dominamaganga164 3 жыл бұрын
🙏
@florencendatila9183
@florencendatila9183 3 жыл бұрын
👏
@joycemwangende4101
@joycemwangende4101 2 жыл бұрын
Mchungaji nimecheka Hapo pa kupoteza identity 😀😀😀
@dicksonmagari8803
@dicksonmagari8803 3 жыл бұрын
Channel haina sauti
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 2 жыл бұрын
DODOMA KUSANYIKO NI WAPI?
@realityofchristchurch
@realityofchristchurch 2 жыл бұрын
Ibada inafanyikia Ukumbi wa Dear Mama, Area C njia panda ya kuelekea Arusha. Karibu sana.
@adammnyenyelwa5996
@adammnyenyelwa5996 2 жыл бұрын
@@realityofchristchurch habari mtumishi wa Mungu.huduma yako ipo wapi Kwa Sasa natamani kufika
@BeullahBujah-lk3sx
@BeullahBujah-lk3sx Жыл бұрын
Hallelujah
@francksindano9582
@francksindano9582 2 жыл бұрын
Amen 🙏🏿
@christinesavai884
@christinesavai884 3 жыл бұрын
Amen
@fatmakizimba744
@fatmakizimba744 3 жыл бұрын
Amen.
@deolohay7630
@deolohay7630 3 жыл бұрын
Ameen
@loycegodson7754
@loycegodson7754 Жыл бұрын
Amen...
@evemailos9976
@evemailos9976 3 жыл бұрын
Ameen
@manaseluhumbika5354
@manaseluhumbika5354 3 жыл бұрын
Amen
@gilbertwanje
@gilbertwanje 3 жыл бұрын
Amina
MATESO YA FAMILIA - VI (MAOMBEZI)- PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:35:59
Reality of Christ Church
Рет қаралды 19 М.
ROHO ZINAZOZUIA MATOKEO (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:22:23
Reality of Christ Church
Рет қаралды 23 М.
Непосредственно Каха: сумка
0:53
К-Media
Рет қаралды 12 МЛН
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН
VITU VINAVYONYA NGUVU YA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO - Innocent Morris
1:14:39
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 11 М.
ROHO MTAKATIFU (SEHEMU YA TATU) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:30:38
Reality of Christ Church
Рет қаралды 36 М.
NAMNA YA KUFANYA KAZI NA ROHO MTAKATIFU PART 1
1:42:28
Reality of Christ Church
Рет қаралды 132 М.
JUA NAMNA YA KUVUKA VIZUIZI - PASTOR SUNBELLA KYANDO & PASTOR JOHN SEMBATWA
1:46:11
Reality of Christ Church
Рет қаралды 62 М.
ISHARA 7 ZINAZOONYESHA ROHO MTAKATIFU YUMO NDANI YAKO - Innocent Morris
1:07:20
MUNGU ATAINGILIA KATI MAMBO YAKO? | PR.DAVID MMBAGA -
1:23:37
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 101 М.
KWANINI HAVITOKEI KWA WAKATI (I) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:03:05
Reality of Christ Church
Рет қаралды 31 М.
JINSI YA KUFUNGA MILANGO YA NGUVU ZA GIZA  || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 21/07/2022
1:17:29
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 32 М.
Непосредственно Каха: сумка
0:53
К-Media
Рет қаралды 12 МЛН