Manara.....Ana akili nyingi sana. Mjanja mjanja sana. Yaani hapo anatengeneza mazingira aonekane yeye ni safi kuliko Ally Kamwe.....hapo kapata points 3.😂😂
@awetumtengera114757 минут бұрын
Kweli kabisa kumbe wamjua vizuri Manara.
@Answar.4 сағат бұрын
Ukweli unauma jezi mbaya sawa na shuka za ma ospitali,ukifua uwezi kuvaa hadi upige pasi sasa hiyo jezi,sio hizo hata za taifa hazina ubora na ndo maana wavaaji wachache sasa mwambieni atawashtaki wangapi asitafute kichaka cha kujifichia hujawahi kutoa jezi bora
@JuliethMinzani23 сағат бұрын
Ila alikamwe apunguze makaliii yamaneno aongeleea mpila asiongeleee kuusi biashala yamtuuu yeye kaajiliwa kuusumpila ila sio maisha yamtuuu nabiashalayake
Yaani huyu manara nim2 mmoja muhimu Sana hapa Tanzania
@omarbaabad270617 сағат бұрын
Manara nakukubali Sana bonge lasemaji
@bernardmboma146123 сағат бұрын
Shida manara unatafuta kiki kwenye mitandao. Ni vizuri ungekaa na Sunderland physically ukamshauri sio kwenye mitandao. Hapo Sasa ni kiki
@SuleimanJuma-dv8gt20 сағат бұрын
Mbona watu wasimba walimwambia Sheria Ngoi ametutengenezea vitenge. Sheria Ngoi hakumshtaki yeyote.
@themasimbi218 сағат бұрын
Tofautisha kati ya kusema kitenge na kusema bidhaa za sanda ni fake ? Hivi sandaland hujui kma ni kampun na brand kubwa hivo akitokea mtu akaja kusa vit vya kampun yako ni fake je ww utakubaliana nae ? Ana haribu biashara ya watu ujue.. Kikubwa alikamwe atoke hadharan aombe msamaha bas
@DavidSemu-gu6wp18 сағат бұрын
Kama hakushtaki NI utashi wake, maamuzi yake na biashara yake.
@DavidSemu-gu6wp18 сағат бұрын
Wee Haji Huna lolote unafiki mtupu moyoni Una Chekelea.
@sadicknyahi731216 сағат бұрын
Kuna shabik na kuna msemaji wa taasis tofautiaapo
@SaidMkome-q5t15 сағат бұрын
Wale c watyu uyo msemaji wa yanga😁😁🏃🏃🏃
@aminangano267016 сағат бұрын
Manara, upo vizuri sana. Marshallah
@reynahnassoor267815 сағат бұрын
Nooooop
@MinskBelarus-il2tl15 сағат бұрын
Aminangano....mimi nakufungulia Mashtaka kwa kuandika " Marshallah "😂😂😂😂
@husmallove15 сағат бұрын
Honger kak🎉
@MbendaHalfan23 сағат бұрын
Manara unajifanya unahakili sana na kucheza na hakili ya Alli kamwe unajifanya unamwombea msamaha kumbe unamkashifu Alli kamwe kweli we mwana wa fiolojia
@SULEIMAN-l8v22 сағат бұрын
Haji upo sahihi lkn ilikua uende private sio utafute sifa kwa kamwe
@BigZhumbe21 сағат бұрын
Bongo hali ngumu kila content inatafutiwa pesa 😂😂
@manenomkumba405422 сағат бұрын
Manara ww sio kiongozi wa yanga iweje ww ndio uwe wa kwanza kumuombea radhi Ally kamwe ww haji unatumika sana kuleta migongano kwenye timu yetu ww mchochezi ulie jificha kwenye kivuli cha wema
@KosovoNaiiem20 сағат бұрын
Manara muache huyo mtoto jeuri sana Kila mtu anamtukana kuwatukana mpaka wazee wetu muache ampe adabu kibuli sana mshenzi
@nurdinimzimbiri21 сағат бұрын
Manara acha unafki unamnasihi sandaland Kwa mgongo WA dini kama unaijua dini usingemuanika mkeo kichwa wazi kitovu nje achakujificha kwenyedini
@FestoMatayo-x1tСағат бұрын
Ungempigia simu private uongee nae private sio on public hivooo mnazinguwa sasa kila kukicha mnawaza kiki
@ChenChen-i8c22 сағат бұрын
Aende kwani uongo katengeneza madera mbona wao wanatutukana jezi mbovu mbona SGM au sheria ngowi hawakasiriki,mwache aende bwana eee unamuomba Nini wakati jezi mbaya
@MussaGwisu13 сағат бұрын
Manala nikitazama wewe kama wewe hunaata ukoo na ally kamwe lkn kwahiki umekionyesha juuu ya jilan yetyu nandgu yako katika sanaa yakiuandish nimakusud yake mungu kakuotesha uzungumze nn na sandalsnd hivo bas sandaland huo ujumbe so wa manara tyu bal ni nguvu zamungu kumtumia mana kukuomba hilo ishaallah.
@ip_header11 сағат бұрын
Kodus kwa Manara, hakika umeonge kwa hekima ya hali ya juu🎉🎉🎉
@deobenedictakyoo314022 сағат бұрын
❤❤❤nkwel ,mpira unao utani sana tuu,
@SamwelikazimbayaKitahenga21 сағат бұрын
Sasa huyo hajaitania Simba huyo anachafua brand ya mtu!angetania team ni sawa kuna Simba na Sanda land hivyo ni vitu tofauti!ila nilichoona hapa Manara kapata tobo la kutokea !hapa anachochea moto yeye angekaa kimya tuu
@MO12-b1q22 сағат бұрын
Ingekuwa vyema sana ungemfuata na sio mtandaoni aipo sawa 🇹🇿🇲🇿🙏
@romimwalu22 сағат бұрын
Yeye hakumfuata,barua IPO mtandaoni
@Chaibo-i9r21 сағат бұрын
Umeongea point sana
@RichEdison19 сағат бұрын
@@romimwalu Kwani sandaland kamfata Manara online? Acha ushabiki kwenye mambo yakijinga. Manara kaongea point ila kakosema sehemu aliyo wasilisha uo ujumbe wake angekuwa na nia njema asingemfata online. Apo nikama anamchagua sandaland na wala sio kuomba msamaha
@KassimAlly-xp4dz16 сағат бұрын
Nyamaza ww mke wa Ahmed Ali
@AngelmackieCharity4 сағат бұрын
@@KassimAlly-xp4dzmeandani wa Ally komwe toa mwiko huo
@RoseKatale16 сағат бұрын
Kwel manara nakkubal sana mwambie hyo mwenye ndevu kama sitil waya
@omarylukindo530616 сағат бұрын
Manara anajua kutembea na upepo 😂😂acha aongee yeye mwenyew ali ww mzaramo kausha
@abdullahabdul92462 сағат бұрын
Maneno umeongea mazuri Sana manara
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg23 сағат бұрын
Huyo Sanda huu ni mpira kama ni kushitaki angeshitaki Manara ametukanwa sana.
@AbrahamMohamed-o4q21 сағат бұрын
Yeye anafanya biashara kwaio apate asara kwa ajili ya utani
@EdinaLaulent19 сағат бұрын
Manara acha bwana kwan kuna kosa hapo aende mahakaman kenge huyo majezi anatoa mabovu asiambiwe hahahaha
@sadicknyahi731216 сағат бұрын
Ametukanwa na nani na katukaniwanin tofautisha, ile ni biashara manara anatukanwayeye istoshe anawezatukanwa na shabiki na c msemaji wa taasisikubwa kama yanga sc
@sadicknyahi731216 сағат бұрын
@@EdinaLaulentanaemwambia anavaa yeye anaumianin wkt wavaaji hawaumii ku bland biashara ni kazisana ikitokea mtu anaharibu kamahuyu ni kudilinaetuu
@albestboy18 сағат бұрын
Alipe fidia huyo sandarend usikubaliii alipe ili iwefundisho kwa wengneee
@babavic19776 сағат бұрын
Msemaji ni mmoja tuuu tanzania haji Sunday. Manara
Kinachosumbua ni Mtazamo utani wa mpira ni wa hovyo cha msingi ni kuvumilia maisha yaendelee
@amanedwin208216 сағат бұрын
Jezi mbaya period kusamehe nini ?
@Rukaka_jr16 сағат бұрын
Mbona GSM hajatia njaa wanavyomchafua kuhusu ubaya wa jezi zetu na masuala ya rangi na mambo ya kununua mechi, kwan hao makolo wanao ushahidi wa kuthibitisha kuwa GSM ananunuaga mechi? Watulie dawa iingie, kamwe hawa makolo bado wanapumua piga ya kwenye MBUPU ili wafe na maumivu
@gabrielmwambogo389115 сағат бұрын
unaropoka t huna point
@husmallove14 сағат бұрын
Yes kk🎉
@Rukaka_jr6 сағат бұрын
@gabrielmwambogo3891 wee mwenyewe point mbona hujatoa sasa pimbi wewe, hakuna kuomba msamaha wala nini na hizo B3 mtazisikia kwa bomba
@soudsangandara29946 сағат бұрын
Hapana, cha msingi nihicho alichoongea manara, sio unachosema kuhusu GSM, tofautisha kauli za mashabiki wa timu husika, na kauli ya afsa habari wa timu husika.
@JosephJackson-f1sСағат бұрын
Ruaka we ni msenge tu Sheria hujui we nyoko
@DanielNyirongo-b7e2 сағат бұрын
Huo ni unafki manara kwani yeye anashindwa wapi kuomba msamahaa 😊
@ngundalinus610119 сағат бұрын
Unapoongea jambo kumbuka yupo Mungu, Manara kaongea jambo kubwa sana, kumbuka hakuna mwanadamu asiye na kosa au hakuna ambaye hajawahi kumkosea mwenzake. Je kama Mungu angeamka kuhukumu kila kosa nani angesimama mbele zake? Mara Mungu akubariki sana kwa busara zako. Achaneni na maneno ya michezo yakawa uadui, mbona mpira una matani mengi, na ili mchezo mmoja laxima atanie mwenzake jamani. Mechi ili inoge ni laxima wawe watu wawili
@DanielMfinanga-t6z53 минут бұрын
Una busara sana manara lakini muache huyo mjinga afundishwe adabu hanahshima
@AdamHamis-sg6zz19 сағат бұрын
Sawa atasamehe ila aombwe msamaha ndipo asamehe.!! Mungu mwenyewe hatoi msamaha kama mkosaji hajatubu, hajampigia magoti kujutia dhambi zake.!! Ali kamwe ajitokeze aombe msamaha bc finish, Mbona barua inajieleza kua aombe msamaha .!! Na unavyomsakama Sanda sasa utafikiri Kamwe alikua sahihi kuponda biashara ya Sanda
Manara hili jambo halikuhusu upunguze kiherehere unataka kujifanya mwema kumbe unafiki mkubwa
@rahmaabdallah4514Сағат бұрын
Umeongea vizuri lkn usijisahau uliwasema wangapi na kashfa kuwatia haji hadi rangi ikakubadilika uliwaza na ww kuwaomba radhi mana dini yako nayo inakuruhusu pia kuwaomba radhi....
@saudamwinyipembe574923 сағат бұрын
Kamwe adabu hana hakuna siku aloniuzi kama kumuita kocha mgunda andaz awe na adabu huu ni mpira asiwavunjisheria na kukosa adabu kwa watu
@kinojakinoja767423 сағат бұрын
Kwa kweli hata mm iliniuma sana😢
@MahaSaeed-hf3gs23 сағат бұрын
Ndo malipo yake hayo SASA maana kamdomo kamdomo
@StephenNjau-y4y15 сағат бұрын
Heri mpatanishi maana ufalme wa Mbinguni ni wake
@AsifuSule16 сағат бұрын
Uko sawa manara mwambie mwezio kaambiwa katengeneza vitenge mbona ajasema kitu haya ni matani tu mtu akipenda kitu atanunua tu ta ukimwambia kibaya ss wanawake tunakata sare japo mbaya lakn ndo sare umependa shuhuli utakata tu humsikilisi kitu
@RichEdison19 сағат бұрын
Manara umeongea vizuri lakin umeongea kwa namna yakumu attack Sandaland aonekane mbaya kwa kufungua iyo kesi
@kalebphilip342619 сағат бұрын
Kwann usingemfata uso kwa macho kuliko kuongelea kwenye mitandao
@STELLAMARCELY15 сағат бұрын
Alitaka asikike mtandaoni...
@MsatiOne19 сағат бұрын
Ally kamwe hawezi kua msemaji kwa sababu hapo Azam Bado so mfundisheni kutembea anachafua brand za watu ivi Leo Ahmed ally akichafua brand za GSM watakubali
@edchrisbeatz89766 сағат бұрын
Mahakamani wanafungwa kwa vipoint vichache sana kuna sehemu kamwe kateleza yani ukisema jezi za simba ni mbaya imekaa vzr ila ukiweka sunderland jez zao ni feki hapo umeingiza personal business kwasababu sunderland hauz jez za simba pekee kuna vtu ving vinafanyika chini ya mwanvuli sunderland ,hata ahmed ally mara kibao anakose sema yanga sijui hawana muda au wanasheria wanao zisemea brand za gsm nk ?!,cha msingi aombe radhi mambo yaishe lasivyo itakuwa mbaya kwa upande wake kikaz na masilah pia
@BoazLizinda-c8h4 сағат бұрын
Hakika kaka manara ww ni aicon ktk mpira wetu na unachokiongea mm binafsi nimekuelewa
@JechaMakameIssa-gs2bl22 сағат бұрын
Huyu jamaa anamcheka Kamwe ila kama huna D 2 huwezi kuelewa Kamwe ndio sababu ya Haji kutimuliwa pale Yanga kwa majungu jungu yke
@salama111322 сағат бұрын
yani kweli kama huna d 2 imekula kwako wakati yy aliwah kumsema nakusema yy ndo alimunganisha AZAM
@alphablondponera236723 сағат бұрын
Mbona sasa haya maongezi yamefika kwenye mitandao ya kijamii wakati ni private
@FahadAbubakari-y3f23 сағат бұрын
Jamaa si unamjua anapena kuwaka kila wakati
@sautikuu2127 сағат бұрын
Ila Haji anajifanya mjuaji sana na hapa kama ukimsikiliza kwa makini kuna kitu analemga kwa maslahi yake binafsi
@Really-football16 сағат бұрын
Ali kamwe atoke aombe radhi we Manara usijifanye simoni wa kirene bhana anae beba misalaba ya watu.
@zainahassani396621 сағат бұрын
Samehe sana mara sabini naungana na Manara
@AbdulazizPacha17 сағат бұрын
Manara umeanzavizuriushauriwako lakini usiseme haisaidii inasaidia kupunguza mihemuko maana inafika wakati tunaingilia maisha ya watu inatosha kuzodoana sisi mashabiki au kuwambia clabu mmevaasanda au vitenge na batiki lakini sio kumvaa mzabuni moja kwa moja
@GODLuck-h1f22 сағат бұрын
Ahmed Ally anaongea vitu vingi sana vya zihaka! Mbona anachukuliwa poa
@officialjay_nyanga31321 сағат бұрын
Hajawahi kuongea maneno ya kejeri wewe unasahau hata Azam wangetaka kufungua kesi juu ya huyo dadaenu wangemfunga SEMA Azam hawakuwa na makuu hivyo mwambieni apunguze mdomo
@gmai4466 сағат бұрын
SANDALEND USI MSAMEHE HUYO MTOTO NI MSHENZI SANA
@Really-football16 сағат бұрын
Kaka lipeni billion 3 za Sandaland vya karisali mwachieni karisali na vya Mungu mwachieni Mungu.
@Neematitus-hs1cb23 сағат бұрын
Ushauri mzuri
@mengikiguruwe675010 сағат бұрын
Manara ni mnafiki sana kwanza hajaombwa na Ally Kamwe, pili ingekuwa busara akamfuata Sandaland faragha. Anakichofanya hapo ni kuonyesha jinsi Ally Kamwe asivyo muadilifu mbele ya Yanga na GSM kwa maneno mengine anaendeleza vita vyake na Ally
@frankthomas65097 сағат бұрын
Apn standard kj mtandaoni koanatakiwa kujibiwa mtandaoni
@IddyMawenge18 сағат бұрын
Sandaland unamfaham alipo nenda kamwambie kutoboa wameshatoboa wengi mwambie aache dharau sasa Sandaland na Masoud yamekujaje hapa
@fredyluoga582021 сағат бұрын
Hv kwamfano hayo mambo yangemkuta #ahmed ally wasimba ungetetea ivo pengne ndo ungekandamiza kabsa
@MunaMohammed-j3m22 сағат бұрын
Nyie hamuelewi manara anaelewa ndio maana anaingilia jambo hili
@ChondoOmmy7 сағат бұрын
Huyo sanda ameingia kwenye taasisi kubwa Tena zenye utani mwingi hawezi ajiondoe kwenye kutoa jezi za timu hii kubwa kwani lazima zitatiwa ila kiutani wajitia aibu
@KS-iw7qv21 сағат бұрын
Kwani Ali Kamwe si Kasema SANDA..... kampuni ilioshitaki SUNDERLAND Ila akome......
@robertphilip38519 сағат бұрын
Sandalend siyo kampuni Wala haiko kwenye usajili wa makampuni Tanzania Yani Brela sandalend ni kampuni ya kitapeli
@husseinhamis489223 сағат бұрын
Kaka manara Tulia Hamna kesi apo
@michaelmasalago80683 сағат бұрын
MADAI HAYANA MASHIKO, ALI KAMWE ENDELEA NA MAJUKUMU YAKO. NAWE MANARA ACHA KUJIKOMBA SANDA.
@RashidiHiyana21 сағат бұрын
Mambo utani ktk mpira yy kaenda kushtaki mahakani looo😂😂😂
@shaurimtanda828519 сағат бұрын
Soma kijana hapo iliyoshtaki siyo simba bali brand iliyoingia mkataba na simba ndiyo imeharibiwa biashara
@kelvinMakene17 сағат бұрын
Wana yanga wengi hawaelewi @@shaurimtanda8285
@omarylukindo530616 сағат бұрын
Acha ushamba ww,hakuna utani wa mpira kwenye brand.tatizo Ali kachafua brand ya mtu Wala sio swala la Simba na yanga,
@jabaamohamed891122 сағат бұрын
Mmezoea sana nyinyi ,kama ulikuwa na thati usingekuja huku ,
@nicelawrance966710 сағат бұрын
We manara mbon una block watu kıla siku kisa wamekusema vibaya kuhusu mpira
@shaameshaame283721 сағат бұрын
Sisi tumeona SANDA hyo LAND wanaiona mashabiki wa simba kama haamini aipeleke mahakamani hyo jezi ikasomwe. Kama biashara imekua ngumu auze vijora kwani hata BACALONA ilipoona biashara ngumu walitengeneza vijora wakauza
@marthagodwin991319 сағат бұрын
Manara anataka kuonewa huruma Yanga ndio maana anajiongelesha kujifanya kumwombea msamaha Ally kamwe ,punguza porojo Haji hupati kazi NG'o Yanga GSM atamaliza Na Sanda
@MohamedMgwami-nw6bl23 сағат бұрын
Haji manara shauri hili halikuhusu muache huyo Ali kamwe atekeleze masharti aliyopewa na hii itakuwa mfano kwa wengine wenye tabia ya kuropoka ropoka hovyo na kuwavunjia watu heshima,na hata wewe umeshayafanya haya haya lkn bahati yako wenyewe walikuacha tu,
@pendoshayo-bo4fp22 сағат бұрын
Ashitak watanzabia wore Jez mbovu
@vicentbunzal734221 сағат бұрын
Weww ni matako kabisa,kati ya jezi ya Simba na yanga mbaya ni jezi ya yangu Kama matambala ya kudekia chooni.
@nurdinjullu18 сағат бұрын
Uko good broo achana nawenye maneno yakejeri tena umezungumza neno maridhawa broo
@noelmakere138123 сағат бұрын
Aende mahakamani huyo fala tu...kwani nani kasema Ali Kamwe kakosea...kwani uongo? Jezi mbayaaaaa
@StevenMgaya-h9l22 сағат бұрын
Nikweli aende mahakani,we utakuwa wakili wake wa kumtetea, brand ya mtu inatakiwa iheshimiwe
@loner_wolf17 сағат бұрын
MANARA TULIZA KIUNO WATU WAMEWEKA PESA HAWAJAWEKA MANENO . JAMAA AKITAKA KUSAMEHE EWALLAH LKN SIO KWASABABU ETI WEWE UMEOMBA ACHA UZWAZWA .
@KateniManeno21 сағат бұрын
Mimi ningeomba kama sanda haujui utan wa yanga na simba akae mbali na mpira tena anajishusha hazi ukiona unahasila kawekeze kwenye timu za wamama au wekeza sehemu nyingine tofaut na mpira
@officialjay_nyanga31321 сағат бұрын
Unajua maana ya bland? Wewe
@IsmailOmary-b8n21 сағат бұрын
Wewe msenge kweli nenda kaongelee Mambo ya yanga au timu ya mama yako boya wee
@AllyMaya-yj3xd20 сағат бұрын
Utani kwenye biashara ya mtu sio uongee mambo ya ajabu umuharibie biashara yake.Analipa bilioni 2 simba kwa mwaka kwa jezi tu alafu umuharibie biashaara
@julaimalidadi639422 сағат бұрын
Ww manara mbona huna jipya ndugu yangu vipi acha kiki Simba ilikutangaza lkn now haupo kwny fomu acha kufatilia Vitu vya vijana kama sisi
@RashidiMsuya-r2r21 сағат бұрын
mbona jezi za yanga walizita vitenge
@givenmbunahussein188315 сағат бұрын
Sandaland alipwe huwez halibu biashara ya mtu aliewekeza billions of money
@marcynhumbi353422 сағат бұрын
Mbona jezi zetu za yanga mnazisema,Nini maana ya utani wa jadi.Nyie sandland tulieni babu
@ramamabinda506322 сағат бұрын
Daah aisee kweli chawa hua haachi uchawa.
@wahidabakar4 сағат бұрын
tatizo manara unamuombea mtu msamaha yeye mwenyewe ali hata hajali
Kazidi kuropoka sana ally kamwe mwache akome kwanza.hana adabu huyo mtoto.mbona sisi mashabiki haturopoki km yeye.
@asinahussein217617 сағат бұрын
Msemaji wenu
@mgendihdellicy621011 минут бұрын
watu wanatoka mbali kusimamisha brand za biashara zao,mapambano ni makubwa kila mmoja anajua,utani wetu usifikie kuharibu biashara za watu
@mosesmsuka569119 сағат бұрын
Nyie mnataka kumtengenezea zengwe tu Ally Kamwe mbona Ahmed Ally amemdharirisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza mbona hakumshitaki huyo Sanda atafute hela halali sio hiyo njia
@Saada-m8u16 сағат бұрын
Wana pressure zao hao nao achananeni nao
@MasanjaMasanja-mz3ll21 сағат бұрын
Ni kweli hakuna jezi hapo😅😅😅 hata muende mahakamani bado jezi ni mbovu.
@selemanmcharazo5 сағат бұрын
Manara huyu akiwa msemaji wa Simba alipata kusema mashabiki wa yanga wote hawana akili ispokuwa baba yake na Rais kikwete hamna aliyeshitaki acha kuzingua, Ally hatolipa hiyo pesa huo ni utani wa Simba na yanga zimemdodea jersey hakuna kesi hapo
@abuunayfatu870119 сағат бұрын
Huo utanani upo mda mrefu sana sema jezi za simba sio nzuri na hazitembei ...... Mbona mashabiki wa simba walisema jezi za yanga ni vitenge mbona ynga hawajachujua hatua ya kwenda mahakamani..???
@Emmaa-Joshu112 сағат бұрын
Naona kuna watu wanachukulia hii issue kishabik sanaa
@RashidHaruna-o8m23 сағат бұрын
sasa unatakiwa umuambie uyo mkosaji amuombe msamaa alimkosea sasa unaomba wwe atajuwaje uyo aliyekosa maka amekosee alaf muache ushabiki kwenye biashara za watu yanga na simba akuna kazi ya kudumu
@biggievandar25422 сағат бұрын
Nikweli jezi mbovu sasa usiambiwe mbna mnakashifu jezi zayanga
@mchaleteknik14 сағат бұрын
....hapo mpira hauhusiki...hii biashara bhn,,acha unafiki manara...
@FEISALAHMED-p4j23 сағат бұрын
Kama jezi mbovu ni mbovu tu hata ukienda mahakamani bado ni mbovu tu
@HasnatMustafa-n1q23 сағат бұрын
Kuma www
@nkoydavid965815 сағат бұрын
Ingekuwa nzuri ungevaa?
@ZahorSalum-h9q21 сағат бұрын
Mm nimwana simba. lkn naomba Ali achiwe. Kwahl .kwasababu Hana. Hela anatafuta tu kimkidhi nafamilia yake. Muache kaka. afanye kz .waislam .. tumehimizwa .kusameheyana.
@ndeleimanasayumwe6709 сағат бұрын
OYAAA MZEE SANDA WW LALA NAE MBELE. AMEZIDI KAMDOMO KAMDOMO
@edwardyohana19019 сағат бұрын
Haji nae anakosea Anavosema “bahati nzuri wewe ni Muislam” kwamba as ingekua Muislam ingekuaje
@alexkyando715519 сағат бұрын
Hili ndo kosa kosa kobwa watu wanakukosea makusudi wakaija wataomba radhi na utaachilia... Haipendezi kabisa... Hata Biblia imesema Mshahara wa Dhambi ni mauti