MANARA AJIBU KAULI YA DIAMOND AFUNGUKA HAYA "AMEJIZUIA KUSEMA, NIMESHUKURU KWAMBA HAJASEMA"

  Рет қаралды 119,615

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Haji Manara leo kaongea na waandishi wa habari ikiwa ni siku moja imepita baada ya Yanga SC kutwaa Ubingwa wao wa kwanza baada ya kukaa miaka minne bila taji la Ligi Kuu.

Пікірлер: 138
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 жыл бұрын
Manara usihofu...waja kazi yao kusema...Allah atakulipia Insha Allah
@subirajohn728
@subirajohn728 2 жыл бұрын
Jamani eeeeee wenye kukeleka na wakeleke Manara ndio huyoooo😳😳😳😳 na Yanga yake chezea Manara wewe hapana chezea❤️❤️❤️
@rubensaitoti6839
@rubensaitoti6839 2 жыл бұрын
Hongera sana kaka Mungu akulinde ishalaa
@vanbraiysee2858
@vanbraiysee2858 2 жыл бұрын
Jifunze kuandika sio ishalaa Ni ishaAllah
@renniepaul8765
@renniepaul8765 2 жыл бұрын
@@vanbraiysee2858 🙌🤣
@Emanuel_Shehiza01
@Emanuel_Shehiza01 2 жыл бұрын
Usipende kujisifu kwamba we ni bora mbele za Mungu
@mashaurimwita6810
@mashaurimwita6810 Жыл бұрын
Kaka nakupenda San na mungu akupe maisha maref
@muunganosenyagwa3916
@muunganosenyagwa3916 2 жыл бұрын
Hongera sana Mzee. Wa. Yanga yangu
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 2 жыл бұрын
Mm ni #Simba ila hongera sana #UncleManara wng mm ni shabiki yako wa mda wote.
@leonardgervas7515
@leonardgervas7515 2 жыл бұрын
Mungu akulinde mwana nchi mwezetu
@PanadolOfficial.
@PanadolOfficial. 2 жыл бұрын
Nikweli
@elbarrey3305
@elbarrey3305 2 жыл бұрын
Ila kwa namna nyingine yupo sahih manara.. binaaadam hatuna uwezo wa kumkomoa binadam mwenzio 😊😊
@muzdalifahameir6598
@muzdalifahameir6598 2 жыл бұрын
Kazi kazini
@zabibuboko7055
@zabibuboko7055 2 жыл бұрын
Pore sana hongeraa
@islabocco478
@islabocco478 2 жыл бұрын
Nakupenda haji 💚💛💚💛
@sultanabdillah1799
@sultanabdillah1799 2 жыл бұрын
Hongera sana bro
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 2 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅 sijui na mimi niende yanga nimfuate manara???
@jasminmgimwa8422
@jasminmgimwa8422 2 жыл бұрын
😅😅😅😅😅
@BarakaWaya
@BarakaWaya 2 жыл бұрын
Apo waandishi wa habari wanakula za uso
@hizamwaimu3918
@hizamwaimu3918 2 жыл бұрын
🦁🦁🦁ila tu bro kweli kalma unayo
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 2 жыл бұрын
Semaji la mabingwa wa nchi
@mutavijeniffer8895
@mutavijeniffer8895 2 жыл бұрын
Tambaaa
@amdanyusufu1841
@amdanyusufu1841 2 жыл бұрын
Wakele wakele
@revocatusreuben4605
@revocatusreuben4605 2 жыл бұрын
Hamna kitu wew
@dgoamo_tz8064
@dgoamo_tz8064 2 жыл бұрын
dah, hii nchi uhuru umezidi sana
@lewismpangala927
@lewismpangala927 2 жыл бұрын
Enjoy home
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
Manaraaa
@salehewaziri8231
@salehewaziri8231 2 жыл бұрын
Tambaaaa ndiohuyohuyooo
@magariabdallah8066
@magariabdallah8066 2 жыл бұрын
Imekula kwako
@abdallaali5467
@abdallaali5467 2 жыл бұрын
Allah azidi kukulinda
@musanjama7555
@musanjama7555 2 жыл бұрын
Huyu mnafiki sana kazi kuliakulia tuuu
@suleimansaid2633
@suleimansaid2633 2 жыл бұрын
Huyu jamaa tunamchukulia poa lakini huyu kaucheza mpira nje ya kiwanja na kafanikiwa... Hongera.
@ndayishimiyeabdulkabir9793
@ndayishimiyeabdulkabir9793 2 жыл бұрын
Allah kareem baba🙏🙏🙏
@allymarijani6869
@allymarijani6869 2 жыл бұрын
mwananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiih
@hamzahassan2079
@hamzahassan2079 2 жыл бұрын
Aluatani Haji manala Weww umejaaliwa shee Wanaumia bule binadamu juu yako Wewe ni mkubwa sana sasa wao Awapendi
@hamzahassan2079
@hamzahassan2079 2 жыл бұрын
Tatizo mtu Akisema Yupo tasnia ya michezo basi kama sibaba mama Atamwita tu wewe ni Manala
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 2 жыл бұрын
Mkubwa mungu tu
@hamzahassan2079
@hamzahassan2079 2 жыл бұрын
@@NR-ll4sr duniani pia Tunawakubwa wetu sawa
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 2 жыл бұрын
@@hamzahassan2079 kwa kauli uliotoa hapo haimaanishi wakubwa km wazazi, wewe umemaanisha mkubwa hasaa,,,,trust me mkubwa mungu tu ,,,always praise God utafanikiwa, sio kiumbe mwenzako👏
@hamzahassan2079
@hamzahassan2079 2 жыл бұрын
@@NR-ll4sr urikua ujafahamu nnacho kimaanisha bc Natengua Kaurii Iritu ...🏆
@mpmchuma
@mpmchuma 2 жыл бұрын
kaka Milard Ayo umepotelea wapi facebook hatupat habari zako
@aminaally8475
@aminaally8475 2 жыл бұрын
Eti wakere anawaker nani hasa hakerek m2 hpa akazane kuurowanish mdomo wake uckauke
@hosea7919
@hosea7919 2 жыл бұрын
Semaaaa👌🏻👌🏻
@ozildabetie4475
@ozildabetie4475 2 жыл бұрын
Ngoja yanga wakutusi na wao haya bna c tupo
@julaimalidadi6394
@julaimalidadi6394 2 жыл бұрын
huna lolote tahira kwa mpra gan ulio kuwa unacheza kelele tu za maneno
@aishaswalehe6848
@aishaswalehe6848 2 жыл бұрын
Yaaanga tamu
@edwinjohn6334
@edwinjohn6334 2 жыл бұрын
sasa manala kwani uwezi kuongea mpaka uitaje simba pumbavu zako😂😂😂😂
@gracengonde8553
@gracengonde8553 2 жыл бұрын
Bwege bwege linatumiwa 😏😏😏
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 жыл бұрын
Diamond kanileta hapa
@augustineaugustine2696
@augustineaugustine2696 2 жыл бұрын
Caf.Champions league. atakua kimya acha aongee saiz...
@amosirwegachungura9045
@amosirwegachungura9045 2 жыл бұрын
Ila jamaaa anaipenda sana simba
@luckyvenance4576
@luckyvenance4576 2 жыл бұрын
Mbn Skuile simba ilivyofungwa uliduwaa kwanza badae Ndo ukaanza kushangilia et why
@aminaally8475
@aminaally8475 2 жыл бұрын
Atajua hajui na hatuta teterek we kazan kuhangaik. Huwez ongea bila kuitaj cmba?
@zulfaismail4680
@zulfaismail4680 2 жыл бұрын
Naenda kule
@ashurasiaini7654
@ashurasiaini7654 2 жыл бұрын
Nani kama yanga
@hosea7919
@hosea7919 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 manara wewe unajua kukera haswaa
@hasasu4532
@hasasu4532 2 жыл бұрын
Mmb
@sinanindola93
@sinanindola93 2 жыл бұрын
Haiombwi ivooo 🤣🤣
@jumadavis2921
@jumadavis2921 2 жыл бұрын
Kumbe we mshamba unashindw kusungumzia club Yako unalopoka
@tonietonietonie1454
@tonietonietonie1454 2 жыл бұрын
Manaraaaaaaa
@kisinza.emmanuel.7683
@kisinza.emmanuel.7683 2 жыл бұрын
Manara kwenye ubora wake, semaji la afrika.
@emmanuelmwanzalima8337
@emmanuelmwanzalima8337 2 жыл бұрын
Manara haujielewi
@rajiboy9485
@rajiboy9485 2 жыл бұрын
Yanga mabingwa tutaongoza miaka ata kumi
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 2 жыл бұрын
Huna lolote,,,na huyo Daimond afanye music asijitie kwenye fitna
@christopherhilary9453
@christopherhilary9453 2 жыл бұрын
Mhh nani kamkera huyu mtuuuu
@habibunguvumali3331
@habibunguvumali3331 2 жыл бұрын
Simba inakuumiza sana
@daudkhatib4678
@daudkhatib4678 2 жыл бұрын
Mungu. Amewalaani. Haoo. .mskoloooo. Wenginee. Wapo apoo
@hamisilutungu7293
@hamisilutungu7293 2 жыл бұрын
Anaonesha Tako,Diamond lafiki yangu we chawaaa...
@muxinbildady3679
@muxinbildady3679 2 жыл бұрын
Unaowa tu 🤣
@danieljs4285
@danieljs4285 2 жыл бұрын
Bughatiii
@ybmtaakwamtaaofficial3415
@ybmtaakwamtaaofficial3415 2 жыл бұрын
El bugatti
@hassanmudy.yahoo.comhassan9528
@hassanmudy.yahoo.comhassan9528 2 жыл бұрын
Mavi yamekubana ww
@maymur19scales
@maymur19scales 2 жыл бұрын
Dah mpiganaji kelele wa chura
@cymone6159
@cymone6159 2 жыл бұрын
Kwahyo mwarabu ndo chanzo cha ubingwa uto😅😅 basi Mayele na wenzake hawana kazi pale pitch
@zainayolamu6486
@zainayolamu6486 2 жыл бұрын
Huyu naye anaongea nini kwani
@hamisibakali9271
@hamisibakali9271 2 жыл бұрын
AWAKAMILIKAGI AWA
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 жыл бұрын
jamaa ana maneno ya shombo saaana miaka sita mfululizo dah haya!
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 жыл бұрын
Wee kweli chawa Kila Mtu Maarufu bc wewe unajidai Rafiki yako wacha upuuzi huo
@kingdardykingdardy1205
@kingdardykingdardy1205 2 жыл бұрын
bila kuongeleya cm ulipwi kaziunayo 😂😂😂😂 pambana mshahara upande unakaunawaza watuu mashayakoyanakushinda motounakukaribiya. We jiachiyetuu
@qpwisdomchengula8947
@qpwisdomchengula8947 2 жыл бұрын
Mbna una ujasiri Mungu anavyo ishi apo kileleni usishangae ukabaki tu kuongea
@tanzaboy4824
@tanzaboy4824 2 жыл бұрын
Sema uyu jamaa mbona aongelei yanga
@chedielimrutu6955
@chedielimrutu6955 2 жыл бұрын
Acha kulalamika kila siku wewe kwani una nini? Ngoja tuone huo uongo wako wa back to back tulia kula hela usipayuke sana.
@josamjoel2079
@josamjoel2079 2 жыл бұрын
Katika zile back tu back kwan mpka sahv kuna alipokosea kusea back to back au kuna ambapo kapungukiwa
@hdmsasa3355
@hdmsasa3355 2 жыл бұрын
Gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomkalisha MBOSO KHAN kzbin.info/www/bejne/eZXcqZ1rrtKCiJY
@nasrakambimton9522
@nasrakambimton9522 2 жыл бұрын
Yani ili nijeu Sana ataraman Wala ata yamsing akun kajambe mbele
@mohayussuf2057
@mohayussuf2057 2 жыл бұрын
Porojo bla blaaa domo kaya
@zanzibar.
@zanzibar. 2 жыл бұрын
Huyu jamaa kichwa kibovu sana
@lastsimbatv1497
@lastsimbatv1497 2 жыл бұрын
Huko umefata doo na umaaruf only that hakun back back hata 2 Ynaga one day utataman kurudii simba
@hashimahashimu7366
@hashimahashimu7366 2 жыл бұрын
Ujapaka mafuta mbn sura iményauka
@taseleli9181
@taseleli9181 2 жыл бұрын
Sasa unajitamba nini si uendelee tu kula maisha huko uliko punguza mdomo nawe unadhani Mungu ni wa kwako tu? Kila mmoja ana Mungu acha kubwabwaja.
@OmAn-jo8mr
@OmAn-jo8mr 2 жыл бұрын
Huna sitara hata kidogo ujijuwi tu huyo damondi anaishi kwa uchawi wewe ndio unampapatikiya nase tumsikiye mpumba tu
@ramosrobert7656
@ramosrobert7656 2 жыл бұрын
Huna Akili punguza upuuzi
@tenijabu4403
@tenijabu4403 2 жыл бұрын
Hayo maneno yatakuponza kaka kumbuka unaposema maneno mengine weka akiba utakuja uumbuke .
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
Aumbuke vp ? Nam2 anatafutaa
@zainabucharles6841
@zainabucharles6841 2 жыл бұрын
SSa unalalmika nini hakuna la maana njaaa inakusumbua wwe nani subiri kimataifa kutwa kujilalamisha hovyooo
@amosrurwechu3283
@amosrurwechu3283 2 жыл бұрын
Ila jamaa yani unajiona kama yani bila wewe yanga awashindi
@tahiyasaeed
@tahiyasaeed 2 жыл бұрын
Kajambe huko 🤣🤣🤣🤣🤣. Ila all the best 👏🏻👏🏻👏🏻
@anthonymushi1369
@anthonymushi1369 2 жыл бұрын
Pigia kelele saani yako isivunjike ila usisaau akuna binadamu wa kuaminika kazi kwako mze wa Tambo
@tonietonietonie1454
@tonietonietonie1454 2 жыл бұрын
Na nyimbo walisha zitunga mze muvi usiseme
@zaitunihasani2189
@zaitunihasani2189 2 жыл бұрын
Huyu mwe mwakani atalia hazarani
@kuluthummmetisha4630
@kuluthummmetisha4630 2 жыл бұрын
Manara karama tosha
@dakotakipaji2270
@dakotakipaji2270 2 жыл бұрын
We munafik sana kila kitu simba kuma wew msenge una ufalume gani
@yahkiwera3611
@yahkiwera3611 2 жыл бұрын
Mhh
@BigDreamsWorldwide
@BigDreamsWorldwide 2 жыл бұрын
Hahahaha ila huyu jamaa kama demu sasa apo kaz usemaji ipo au michambo nara sasa simba wenyewe wapo tu
@kijanisaini5688
@kijanisaini5688 2 жыл бұрын
Makolo mnahenyeka
@ahmedhuwel9588
@ahmedhuwel9588 2 жыл бұрын
Mpumbavuu huyoo mbona anahangaikaa na vitu havimhusu
@khalifasaidi7003
@khalifasaidi7003 2 жыл бұрын
Wwe mwimba taarabu mzuri
@ludigoludigo3010
@ludigoludigo3010 2 жыл бұрын
Chunga Domo Hilo, si utulie basi, mdomo wa Nini? Ndo kweli shoga hana akili
@hamisiomari7624
@hamisiomari7624 2 жыл бұрын
Matuc ndugu
@allymtungunyu2425
@allymtungunyu2425 2 жыл бұрын
Una stara wewe ulosema unashindwa kwenda gest sababu ya umaafu na kulindwa? We geuza tu maneno ujifariji leo unawadanganya et miaka 10 nilosema maana yake 6 ya yanga 4 iliyopita ndo simba km hawana akili watakuelewa
@husseinmaula5914
@husseinmaula5914 2 жыл бұрын
Mpaka leo Bado unaumia Kwa kua una maisha ya ziki ulipo
@amaniabdallah1359
@amaniabdallah1359 2 жыл бұрын
Huyu manara bado anaumia na simba lakini walimjua ni mtu wa fitna kila sehemu anayokwenda hapo yanga wamekjvumilia sababu wamepata ubingwa tu umemfanyia nugaz fitna mpaka ukamnyang'anya kazi yake alafu unajidai mtu wa munguu wakati ubingwa wenyewe mmewadhulumu baadhi ya timu wadhulumishi
@mariamkalekwa4918
@mariamkalekwa4918 2 жыл бұрын
Rudia
@doison4493
@doison4493 2 жыл бұрын
Sema huyu kafyobe hana akiba ya maneno. Muisilam gani mwenye kinyongo kiasi hicho Simba 🦁 kashaondoka kutwa nzima yeye na Simba 🦁 halafu mwanaume mzima itakuwaje uwe na kinyongo na mwanamke huo niufinyu wa fikra
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 2 жыл бұрын
Na hao wanaomdhalilisha vipi?
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 2 жыл бұрын
Kwani wewe unatetea nini, usimba?
@OmAn-jo8mr
@OmAn-jo8mr 2 жыл бұрын
Damondi mshenzi kama wewe usiofazira na wara ufaziriki
@Lassana755
@Lassana755 2 жыл бұрын
Fadhila, wala, hufadhiliki. Jifunze kuandika kiswahili vizuri kuma wwe
@hdmsasa3355
@hdmsasa3355 2 жыл бұрын
Gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomkalisha MBOSO KHAN kzbin.info/www/bejne/eZXcqZ1rrtKCiJY
@janethjustin2041
@janethjustin2041 2 жыл бұрын
Huna jipya manara Kama ungekuwa unajiweza usingeenda yanga timu uliyoitukana na kuikashifu mnafiki mkubwa wewe
@mudighurayra
@mudighurayra 2 жыл бұрын
Mpira hauna ivo boss
@ayubjeremia8509
@ayubjeremia8509 2 жыл бұрын
We fala tu sijawhi kukuelewa ww zeruzeru2
@ramsonramadhan4156
@ramsonramadhan4156 2 жыл бұрын
Sasa Manara Clip nzima unalalamika tu ...Mbona huongelei mpira? wewe ni msemaji wa team kubwa sio Kujiongelea mambo binafsi
@yussufritzy7684
@yussufritzy7684 2 жыл бұрын
Analichokifanya ni kuongelea comment ya Mondi,,, ambayo ilikuwa ni swali alilokuwa ameulizwa
@djfeda3988
@djfeda3988 2 жыл бұрын
Mbona unaongea mipasho wewe mchina
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 41 МЛН
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 11 МЛН
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 24 МЛН
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 2,7 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 41 МЛН