Рет қаралды 20,346
Brand ya @OfficialNandy imevuka levels za story tupu! Unaweza mzigo mezani ndipo kazi inafanyika! Unaambiwa El Bugatti @hajismanara alilipa Tsh Million 50 kama ada ya kumilikishwa project ya wimbo wa DAH kwenye project yake na mkewe @zaiylissa • #XXLyaCloudsFM •