Ebwana hongereni sana Team nzima ya JUAKALI ikisindikizwa na dada yetu wa nguvu Lamata!!👍🏾mmefanya jambo zuri na la kihistoria na pia mtu mzima KONDE BOI FOR EVERYBODY 🔥Ahsante sana mzazi na mwingine kaka yetu Haji manara!! Umetisha sana kaka #CancerFree💯Mwenyezi Mungu awazidi kuwaongoza na kuzidi kuwabariki kwa vile vingi mlivyojitolea 🙏🏾Amen
@azizakambenga929211 ай бұрын
Nimependa harmonize alivosema km we rafiki yako mm kaka angu
@hadija84611 ай бұрын
Safi sana 😍💯Harmonize ni namba kubwa sana😍💯
@hadija84611 ай бұрын
🙏😍
@AluvenceNdelwa11 ай бұрын
Kuwa maarufu kuna mambo mengi sana nampenda sana konde
@TabiaMwaisumo-ss7pz11 ай бұрын
Mungu awakumbuke wale wote walioguswa na swala hili mmeugusa moyo wa MUNGU kwa kuwahurumia watu wake 🙏🙏
Sema inahonekana kabisa Konde hana ushkaji na Manara jamaa kakataa kabisa kushuka 😅😅
@isaacmwaseba997211 ай бұрын
Alikuwa hajavaa t shirt hizo sare zao angeshuka bila nguo ya juu yangesemwa mengine
@michaelthobias996711 ай бұрын
Umegundua manara alihitaji ashuke jamaa kachomoa
@masukuziramadhani934111 ай бұрын
Hapo sasa hata kushuka?😢
@nanaritho685011 ай бұрын
Manara anapenda tansion mwwnzake harmo hakutaka mambo mengi yaan huyu mzees khaaaa!
@KondeMjeshi11 ай бұрын
Maisha yanatakiwa ungwana kama uo maisha ndio aya aya big up sana
@Loddy-b3h10 ай бұрын
Mimi naona manara hanataka kuona kila mtu anaishi kwa upendo na Amani Ila kwasababu wabongo ni wanafiki mnapenda kuona huwasama Kati ya vijana wa wili wakitanzania rithi rafiki usirithi adui yaani Wabongo mungeweza dimond na harmonise munge wavuruga hata kuwana Kama notorious big na pac eti manara anajipendekeza kwa lipi jamaa Ana michongo kibao mjini acheni unafiki wabongo na roho za husuda
@SilasChitui-xk2sw11 ай бұрын
Watanzania mna utoto na uswahili Sana, hapa Kenya kama si pesa hamna mtu anashughulika na maisha ya mwenziye💔💔💔
@goodlucknjau7711 ай бұрын
Huyo mzungu pori mnafiki huyoo
@JohnJonas-b6e11 ай бұрын
🐘🐘🐘🐘💥💥💥💥💥💥💥
@RealOmmy-ip7yn11 ай бұрын
Daah namba za views zinavyopanda ni nouma sana Millard Ayo 🙌. Naomba interview na Mimi tafadhali🙏
@ndaisengazoya879311 ай бұрын
😂
@ndaisengazoya879311 ай бұрын
Njoo MSN Tanzania 😂😂😂
@RealOmmy-ip7yn11 ай бұрын
@@ndaisengazoya8793 MSN Tanzania naijuwa sana.
@MunirDaniford11 ай бұрын
Unafiki ni sehemu ya maisha yetu watanzania
@Carolina-sm5zt11 ай бұрын
Safi sana na Mungu awabariki
@BashiruMussa-vo9ln11 ай бұрын
vizuli sana
@PaulEbby-n4r11 ай бұрын
Manara kajibebisha 😂😂😂
@muzafarsharif946511 ай бұрын
mbona manara kama anajipendekeza 😂😂😂
@Ibrah28711 ай бұрын
Sure hata mimi naona hivyo man
@UpendoJohn-o9g11 ай бұрын
Mungu awabariki team Juakali
@IGOFAMILY-o6q11 ай бұрын
Nzuuriiii
@allywilson415511 ай бұрын
Wote mapuwa saws sawa
@chimamilion11 ай бұрын
😂😂Harmo anajaribu kumpotezea lkn manara wap
@loner_wolf11 ай бұрын
Bugatti anataka Kuonyesha ukubwa eti "Shuka shuka " huku anamvuta mkono....... Harmonize mwenyewe Mmakonde mtu wa kujikweza na anajua yeye mkubwa maana ukuu wake sio wa kuchora ,ni kazi zake, mgongano hapo sasa .....
@ShabaniSaidi-y1e11 ай бұрын
Haji m 4:10 4:10 sanii pia
@jailosibrahim8811 ай бұрын
Katika viumbe wasioeleweka basi haji manara ni mnafiki sana subili siku akikutana na barbra utaelewa hiki nachosema
@collineedson996411 ай бұрын
Maisha yanapaswa kuwa hv achen migogoro
@BilaliHamadi10 ай бұрын
Hormonize kwel ndo msanii nnaemkubal nyimbo zake
@King_Of_Everything11 ай бұрын
👊✌️👍.
@Mufti-c7t11 ай бұрын
Niwaulize suali? Hivi mnahisi nani anajipendekeza kati ya big na uyo ----?
@oscarjulius572311 ай бұрын
❤❤
@lawskuli987611 ай бұрын
Ni dhahiri jamaa anampapatikia Chinga
@ShabaniSaidi-y1e11 ай бұрын
Matajili wote
@makischocho461311 ай бұрын
Vizuri sana kabisa ......wa Tanzania nawakubali kuchezea media
@samwelsilas62911 ай бұрын
Kama anajipendekeza hv
@ifozatv251311 ай бұрын
Ht mm nmeona 😂
@HussainMaula-d1g11 ай бұрын
Hao wote tabulele kwanini wasipatane
@flm153011 ай бұрын
Tangu lini ufalme wa shetani ukapingana wote ni kitu kimoja
Manala naomba uwakutanishe diamond ft harmonize watoe nyimbo
@zeyadazeyada805011 ай бұрын
Ume ona vibaya
@bebebebe567711 ай бұрын
Lamata unampenda San dorah
@ContentGoldenDoodle-uv2xo11 ай бұрын
Huyu mana ni chawa wa domond ndo maana tembo yuampotezea lakin manara haoni😅
@nkanenoel835711 ай бұрын
Konde
@CathyPeter-zu1jw11 ай бұрын
Diamond ndio maana hakukupa hela kwenye birthday yako ameshakujua ni mnafiki
@happynkya977011 ай бұрын
kuna kauli mbili hapo za hamonize nimezipenda, moja kasema ww diamond ni rafiki yako mm ni kakakngu, akasema tena usikiamini kila kinachotokea kwenye mitandao
@erickndunguru182411 ай бұрын
Nilizan nakajala yupoo😂😂
@Nyangondeog11 ай бұрын
Alikuwepo😂😂
@Fabianielihaj11 ай бұрын
Wewe ni lafiki yako ila kwa kond ni kaka yake
@happynkya977011 ай бұрын
mkakosa kbsa size ya tshrt ya dora
@nth351211 ай бұрын
Baadh ya watu maarufu hutoa misaada km agizo la shetani, so msipumbazwe na matendo yao
@saidilome-ue2df11 ай бұрын
Bangi anatumia akili kuongea na media,anajitambua sn yy ni nan na afanya nin.anaelewa lipi lakuongea na wapi
@mahadshekh39811 ай бұрын
Chawa tu huyo anajipendekeza kwa Harmonize.Body language ya Konde inaonyesha wazi.
@athumanikadria692511 ай бұрын
Tofauti ya manara na harmo ni kwamba harmo ni star zaidi ya manara ila manara anae kibunda wajomba so poa
@Bayothomusic11 ай бұрын
angalia hii kzbin.info/www/bejne/fV7WZ4KNhZuWmMU
@redtk297111 ай бұрын
Mmachinga mjanja sana kajua kuwa jamaa anaitaji views kwenye chaneli yake ndio mana kamalizana nae kinafki😂
@samirmswahili11 ай бұрын
Kitu kizur konde
@ShabaniSaidi-y1e11 ай бұрын
Haha
@ramadhanitokwete806911 ай бұрын
Manara ni brand kubwa kuliko harmo
@MakameJumaa-f2y11 ай бұрын
Hebu chunguza camera zinamulika kondeboy au manara
@ramadhanitokwete806911 ай бұрын
@@MakameJumaa-f2y manara ni brand kubwa! Period
@ContentGoldenDoodle-uv2xo11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂brand kubwa yuapagawa na 🐘 atapewa mkonga mwishowe eti konde shuka kwenye gari kama yey brandy si ampotezee jeshi kwn lazima aongeee nae
@naimasbuguza239511 ай бұрын
Hivi mwanamke kunyoa kipara ni maamuzi yake binafsi au ya bwana wake??
@saniaidrisa392011 ай бұрын
Sio maamuzi ya bwana ake bali ni maamuzi ya mume wake Kama ni bwana ake tu bas hana maamuzi hayo🙏