Manara respect leo umekua fact safi sana huu nd urafiki ukiona anakosea unamuelekeza sio kunyamaza
@nasibujuniorbd56989 ай бұрын
Manara hongela sana kbx nimependa sana vire ulivyo muhoji diamond kiukwel hata sisi mafuns inatuumaga sana tena sana.mond si atulie na zuchu wake? Mbona zuchu ni mtoto mzuli na anajiheshimu mambo ya mchepuko kwake hanaga kbx.
@BarbaraPatience-qt9cc9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Manara asante Kwa kumuuliza na kumwambia Yale tungelimuuliza
@siaammo11049 ай бұрын
Haswaaa
@nahlahassan-fd6le9 ай бұрын
Kabisaaaa
@HappyJohn-rj8co9 ай бұрын
Yan leo tumejua ukweli kbs kuusu wao
@yusternyirenda72319 ай бұрын
@@HappyJohn-rj8cokabisa
@yusternyirenda72319 ай бұрын
Kabisa manara ametuulizia maswali yetu
@mankinemansulikine-22209 ай бұрын
Manara kalewa lakn anaonge pont za msingi😂😂
@puritymaina4679 ай бұрын
Manara nimekupenda sanaa,unamwabia ukweli apunguze kiburi,awe mnyenyevu kwa mpenzi wake,na amheshimishe zuchu kwa uuma,period
@joshuasanga92139 ай бұрын
Mondi mesenge ww ukiona umemwacha zuu ujue ata shabiki wengi watakumind sana zuuu katulia sana anajieshimu sana
@aminamussa51229 ай бұрын
You can't hold hands with your baby moma in front of your girlfriend that's so disrespectful!.
@asnathcharles98428 ай бұрын
Exactly
@LenzerWanjiru9 ай бұрын
What a wonderful and loyal friend ❤️❤️
@ZaidSeifSuleiman-q9w9 ай бұрын
Haji manara anasema kweli wala msidhani anaongea pumba kwasababu amekunywa sana yani chapombe
@namsamson34439 ай бұрын
Hawa wawili anzisheni kipindi😂😂😂😂😂😂🎉 Manara na Diamond❤
Manara leo umejivua mpe ukweli,nimekupenda kaka yangu karibu kwangu na mkeo zeylisa ,
@MohammedJaxksonlee9 ай бұрын
Sawa tutakuja dada Mimi zai nataka nikija nikupikiee
@keyla36419 ай бұрын
Manara ameongea kweli kabisa ❤❤
@aliAliAbu8 ай бұрын
SIMBA MUOE BASI ZUCHU WE2❤❤❤❤❤MY FOREVER COUPLE
@danieltsaxara91999 ай бұрын
Zungu asha lewa, mwache diamond tajiri
@ChristinaOnditi-el3xo9 ай бұрын
Wapi mzee Abduliiii,😂😂😂. Simba mwenyewe.kasema yeye maisha yake ya mtandaoni ni Diamond lkn maisha yake halisi nje ya mtandao ni Nasib Abdul
@MO12-b1q9 ай бұрын
Uyu mwandishi n mwamba sana n moto🔥🔥🔥🔥🔥
@mvmezerosamira39609 ай бұрын
Wamesikia imetosha. Zuchu wewe ni Diamond ❤❤❤❤🎉🎉🎉
@jacklinelyimo74079 ай бұрын
Manara hongera sana umemwambia ukweli hakuna mwanamke haitaji hayo anayoyafanya na Zari sio sahihi kabisa, Zuchu ana moyo wa uvumilivu
@MsAggie59 ай бұрын
Kama walikuwa wote shida iko wapi? Nahisi kuna kitu kingine sio picha na zari
@grolykimario269 ай бұрын
Kama walikua na zuchu Kuna haja gn ya kununua sasa
@Lina4285baby9 ай бұрын
Kweli kabisa 😂😂
@MsAggie59 ай бұрын
Zuchu hajiamini lakini simlaumu kama yeye alimpindua Alya na uzuri wake yeye ni nani?
@anjuadnani26079 ай бұрын
Hana akichoongea ukweli yake yamemshinda
@aliAliAbu8 ай бұрын
Daimond kabambwaa😂😂😂😂eti sicheat😂😂😂simbaaaaa ILA MZEE WA NGENGE NIKIOZESHAWANNGU WANNGU NA KUTAFUTA HODARI MASHALAH ❤❤❤
@BarbaraPatience-qt9cc9 ай бұрын
Asante Manara
@TatianaSadik-d8l9 ай бұрын
SaFi saaan manara umeupiga wingi shukrani❤❤
@nahlahassan-fd6le9 ай бұрын
Manara yupo sahihi💯💯💯💯uyu mondi si bure anahitaji therapist wa ubongo, elimu haipo hapa kichwani ana nyota tu yakutafta pesa lkn mapenzi zero hana upendo wa ukweli mondi, sio mwanaume wa kuush nae wala kuoana nae, yeye anahis mwanamke kumpa pesa ndomapenz jinga ilii
@freelancer63689 ай бұрын
Diamond hayupo desperate kuoa ndio mpaka leo hajaoa coz hataki hayo majukumu ya ndoa na kugawana mali alafu sio yeye pekee alafu anazo hela zake nyota superstar nyinyi mpambane na elimu yenu na kunyenyekea ndoa
@ZanzibarTanzania-hc4sy7 ай бұрын
Sasa daimond muoe zuhura utufunge midomo
@LuluMalima-j1w9 ай бұрын
Manara muambie huyo, Zuchu ni diamond kwake hajalitambua, that woman loves you but una mess up. Respect her and really love her. Zuu usizae mpaka akuoe for real.
@HalimaSaid-w2j9 ай бұрын
Thank u much Mr.Hajj Manara,umeongea point nimependa sana,Mwambie nasib akomae na asucheze na hisia za kila mwanamke hiyo n laana.
@wahidabakar9 ай бұрын
Hongera manara
@YvonneAchieng-d2k9 ай бұрын
What a true friend
@grolykimario269 ай бұрын
Ila zuchu unapendwa mama
@leonidamachuru59609 ай бұрын
Manara ❤❤❤❤❤
@ZainabuIddy-r1o9 ай бұрын
Dar nawakubali sana jaman wanaume zetu wa kiafrica ila kweli haji Umeongea point sisi wanawake tunapenda eshima hata kama unafanya mambo zenu fanyeni nyuma ya Camera Diamond shemeji yetuuuu Kwa Tanasha Dona a k a mama Nuseeb Jnr muombe Zuhura msamaha
@ChristinaOnditi-el3xo9 ай бұрын
Ila haji ninekupenda sana umemwambia ukweli sana wa wazi kabisa
@شعيبشعيبمحمدعمرالعوبثاني5 ай бұрын
Kwelimhaji
@Judy-dy4zt9 ай бұрын
Safi manara umesema ukwer
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM9 ай бұрын
Safi sana Haji manara
@izoohjack66879 ай бұрын
Dah kweli sukari hakuna sasahivi Tz
@kevinoguna38079 ай бұрын
😂😂
@raymondkimbe54169 ай бұрын
Hennessy siyo mchezo
@shadiwaigwa92309 ай бұрын
Hongera manara, mwanamke lazima apewe heshima
@salamafair11699 ай бұрын
Kabisa huyu baba Ana mambo mengine tu ila kwa hili mimi namuunga mkono💯
@rashidfatma21379 ай бұрын
Nakushukuru Saana, Haji Manara, Nirafiki, Ndugu Wa kweli, Mondi unabahati kupata Kaka Wania insaf!
@HenryMikidadi-fk2ct9 ай бұрын
Ukweliii sana bro wengne sisi uwa tunaelewa upo kazn natunaelewa una nongwa aunaga shit zisizoeleweka nakukubal sana umeongea point
@mariasalomemelchiorkaigaru19749 ай бұрын
Ila interview nzuri sana.jibu tunalo,hawajaachana na leo watakuwa wote zanzibar
@mickeykhan20799 ай бұрын
Kumbe haji mlevi laaa
@Makevo089 ай бұрын
Haji angalia mond atapitana hiyo pisi ya kibondei
@DottoKomba9 ай бұрын
Manara kalewaaa hapoo
@Chaotic-c2p9 ай бұрын
Greetings from Senegal . I love you my Tanzanie people .
@amostaita44299 ай бұрын
Mmmmh mke wa manara anavyo mchek mondi sasa 🏃🏽♂️🏃🏽♂️
@PhinaGeorge-o5m9 ай бұрын
Anamtamani labda
@kimah98559 ай бұрын
Still watching hii video😂😂Nipmependa sana
@mercybarasa36749 ай бұрын
😂😂adi mm
@mohammadoman89639 ай бұрын
Sawa diamond ww ni msanii lkn muwekee heshima zuchu anakupenda sana
@KosovoNaiiem9 ай бұрын
Kumbe manara ukilewa unasema kweli mwambie huyo mond aache umalaya
@naimanimo49259 ай бұрын
Thank you hajj that's true Diamond stop playing zuchu Maskini zuchu I feel hurt
@janeobure30066 ай бұрын
Nawapenda sana zuhu na nasibu.msisikilize maneno ya watu.
@Godelivemwamba-z6p9 ай бұрын
Kweli haji manara kweli unsnifurahisha saaana na yale maneno yenye unamwabia Daimond kweli mwenywzi mungu azidi kukulinda na kukujaliya
@Godelivemwamba-z6p9 ай бұрын
Kweli Daimond unasemankweli inabidi vile zuchu kujuwa kama business ni business na mapenzi ni mengine.
@oku49009 ай бұрын
Umeongea Haji broo Safi sanaa umempa akili kichwani kwake iliyo bakia
@OmanOman-dn6dj9 ай бұрын
Tishu haina box zinatolewa kavukavu zinatupwa juu ya menza wakati kuna dastibin ndogo safi za kuwekwa hapo karibu..mnapeana tishu kizamani na uchafu
@Zuu6739 ай бұрын
😂😂😂😂manara kamkalia koo jamani
@zayanazayana55189 ай бұрын
Hadi nashangaa Utadhani ni babake Nasibu
@RehemaKatana-m6lАй бұрын
😂😂😂
@ageemo93529 ай бұрын
Diamond and Zuchu wanapenda sana kiki
@Esthermgani19 ай бұрын
Anayemsikia mzee wa ngenga alike Na sauti yake mashaallaah ❤❤❤❤
@jaffjeff69129 ай бұрын
Kalivuuee
@Spagles9 ай бұрын
Ila mond kashazama kwa zuchu knoma😂
@yusternyirenda72319 ай бұрын
Kabisa umalaya wake wote kwa zuchu amempenda mno na amekwama kabisa walai kila shetani na mbuyu wake
@grolykimario269 ай бұрын
Kwel bwana
@ZanzibarTanzania-hc4sy7 ай бұрын
Daimond tulia kaka na zuchu❤
@ZanzibarTanzania-hc4sy7 ай бұрын
Sasa imebakia ndoa
@fatmaalnabhani36099 ай бұрын
Manara Asante kwa kutuonesha hizo glasi za pombe 😮😮
@irakozesandra9 ай бұрын
Manara ongera sana Tena sana
@naimarishedy15239 ай бұрын
Kwenye Hilo Daimond mie timu Yako 💯ilakwa huyo Zari umetuvuruga maana Zuchu kafundwa unapomuona mkimya halafu pesa ukaitanguliza kuliko kuheshimu mtu anayekuheshimu na kuheshimu kazi Yako nimechukia sanaaa. Namkubali Manara kakueleza ukweli ila dunia inakuona Simba.🤲
@andreatutu61799 ай бұрын
kwa upande mwingine diamond yuko sahihi
@grolykimario269 ай бұрын
Kwel kabisa
@typohneprofiel5159 ай бұрын
Kweli kabisa. Dee ni msanii waache kumuonea vile hasemi. Na penzi si lazima. Zuchu atafute chali mwingine. Wabaki tu mtu na boss wake. Mapenzi hayalazimishwi
@wardawarda65359 ай бұрын
Asante Hajji Sunday Manara Al buggati ❤️
@mwanamisidogo19859 ай бұрын
Good ❤ diamond kaongea ukwel jaman yy ni msanii na maisha ya msanii ndo ivyo so dada zuuu rudi kwa mumeo 😢
@MsAggie59 ай бұрын
Ndo nashindwa kama alikuwepo kwa nini akasirike? Hii kiki! Pale alivyokuwa na fontana ilikuwa wazi alilala nae maana ma kiss kama yote zuchu alikuwa na haki ya kukasirika lakini hili sio kweli labda kuna lingine
@Lina4285baby9 ай бұрын
Manara 👏🏾👏🏾👏🏾
@irenembura80459 ай бұрын
Simba you are Right!!
@IsabelaJohn-z3k9 ай бұрын
Kalewa manara😂😂😂
@zenabibiye9 ай бұрын
Kweli kabisa manara
@IsaacPhilemon-w3q9 ай бұрын
Si Manara si Diamond sioni wa kumshauri mwenzake kuhusu ndoa,wote shida tupu.
@FettyHamisi-jm4np7 ай бұрын
😅😂umetoa siri 😂
@Salbatrani129 ай бұрын
Haji manara upo vizuri
@HassanJalala-x2l9 ай бұрын
Ani sijapenda kabisa zuhura kunung'unika😢
@RebeccaMuhimba-be1pj9 ай бұрын
Nyie mmesikia maneno ya mwisho ya mondi hawajaachana
@GaheshiFunny-zw2nj9 ай бұрын
Zuchuu hajiaminiii kwayule mama mtoto weeeeh
@aminaramadhani54259 ай бұрын
Diamond uko sahihiii endelea na mama wa too ma Ti na Nilan
@MgeniHamisi-g5w9 ай бұрын
Family first😅😅😅
@rosetreffert41799 ай бұрын
Mond ❤❤yuko sawa
@KennethCiclone5 ай бұрын
Eu concordo com Daimond, onde ele disse k sempre as pessoas k se ama têm que haver problema
@wahidabakar9 ай бұрын
Acha kumdhalilisha mwenzio diomond
@KhalimaMasanja9 ай бұрын
Nampenda Sana diamond wallah
@landmadvdmbeyacity95619 ай бұрын
Fala ww
@freelancer63689 ай бұрын
@@landmadvdmbeyacity9561sasa kakufanyia nini mpaka unamuita fala au wewe ndio zuchu
@RehemaPanton-kg6lf9 ай бұрын
Manara uko sw kabisa mpe ukweli
@productivityprogressprince51569 ай бұрын
Nasibu kaongea mazuri kuhusu zuchu lakini wala huyaoni haya mazuri huko insta! Amakweli binadamu wanapenda kuendekeza mana ya 😓😓
@raymondkimbe54169 ай бұрын
Kalewa lakini kaongea ukweli kabisa
@ingabirecharlotte73969 ай бұрын
Kbs
@ingabirecharlotte73969 ай бұрын
Kbs
@samehewaliokukoseya26059 ай бұрын
Hajimanara unatukoseya sana ujuwe😂😂.atupendi warundiyane bhana. Tunamupenda Zari 😂😂😂😂😂😂
@souvenirweber71699 ай бұрын
Nyokoooo 😂zuchu ndio ana nafasi moyoni mwa Diamond mwacheni mke wa mganda
@Juddy10179 ай бұрын
Both point,but Diamond nimependa msimamo wako, na umeongea point
@irenembura80459 ай бұрын
Zuchu si alijua Ana deal na nani? Kama hawezi ajiachiieee tuuu!!
@MaulidNdunda-cl3gz9 ай бұрын
Hapana zuchu kubusu ishu ya zari mim sidhani coz nimemsikiliza zari anasema zuchu alikuwepo kwenye hii wanavyoshoot labda issues zingine before hizo maana zari naye kaeleza vzur
@unkown24299 ай бұрын
Zuchu akomae tu kwenye mziki aachane na huyu kaka. Diamond will never settle for one woman. Tayari ana watoto na hajali kumchafulia binti mwingine yeyote. If i were Zuchu i could just move on completely. That family also haimheshimu mwanamke yeyote they are hypocrites. Zuchu if you see this my sister just move on. Utapata mwanaume atakuheshimu na kukupenda na kutokukuzalilisha kama anavyofanya . Say enough is enough
@mohammadoman89639 ай бұрын
Tabia ya diamond sio nzuri kwa ujumla mzazi mwenzako sawa lkn si mshaachana iwe na mipak Zuchu anakuheshimu na anajilinda ila ww diamond humueshima zuchu unafanya vitu km huna akili
@kimah98559 ай бұрын
Haji umeongelesha ndugu ako vizuri MashaAllah👌Allah akupe baraka ❤Sasa Nasibu Aowe ahalalisha tu😄
@freelancer63689 ай бұрын
Ndoa haina maana
@RuthMnyazi-ix5vt9 ай бұрын
Aki manara nakupongeza kwa ushauri wako kwa huyu mkaka..sababu tunavyoona kama wakenya hangeomba msamaha sababu sio zuuu pekee anae ndio sababu anakejeli😢
@UcutiyabakireRiziki9 ай бұрын
Kwaiyo zuchu yeye siomwana mziki ?mbona zuchu yeye hayafanyihayo unayo yafanyawewe
@aminamussa51229 ай бұрын
Duh kasema na pale kulikua na mtoto wangu Latifa anajua Nillan sio wake 😂
@Tanafa-j9q8 ай бұрын
Masikini ndo mlichobksha
@HenryMikidadi-fk2ct9 ай бұрын
Team moja young president
@zmccenter1239 ай бұрын
Wanawake wa kizenji watamu nyie msisikie😂😂😂
@Chaotic-c2p9 ай бұрын
Lakini my bro Diamond unajitahidi it s not aesy
@shishgal22749 ай бұрын
Zuchu woyee..umejua kufanya Simba ahahe
@aisharamdan83589 ай бұрын
Wala ahahi kwani lazima awe nae sio lazima
@BarbaraPatience-qt9cc4 ай бұрын
Yaani kweli
@123228799 ай бұрын
Haji anajua sana 😂
@RehemaKatana-m6l2 ай бұрын
Nmecheka sana ..eti mwenywe yangu yanishindq😂😂😂
@sharon66749 ай бұрын
Haji Manara kaongea ukweli na ni rafiki wa kweli wa Diamond.