MANARA NUSU AZICHAPE NGUMI NA ASKARI MAGEREZA VIWANJA VYA KMC COMPLEX / HUWEZI KUNITOLEA AMRI MIMI

  Рет қаралды 67,144

Manara TV

Manara TV

Күн бұрын

Пікірлер: 110
@AlphanMbundamila
@AlphanMbundamila 4 сағат бұрын
Wakuabudiwa ni mungu tu hongeraaa sanaaaaaaaaaaaa manara👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@GadsonEnos
@GadsonEnos 8 сағат бұрын
Safi Sana Haji Umemujibu Vizuri Huyo Mjelajela Anafikili ww wa Kayenze.
@DavidJackson-b9b
@DavidJackson-b9b 5 сағат бұрын
@@GadsonEnos Hana akili ya kujiongeza
@weizsymo6257
@weizsymo6257 4 сағат бұрын
Tuachie kayenze yetu bro. Unamjua majid wew😢😢
@avitusmichael5
@avitusmichael5 4 сағат бұрын
Kayenze
@TwahirMohammed-x2h
@TwahirMohammed-x2h 5 сағат бұрын
Safi sana bugati wanayanga tupo pamoja na wewe❤❤❤
@AbdulrahamanBakari-s6k
@AbdulrahamanBakari-s6k 8 сағат бұрын
Good talking brother big support to us wea really very proud of you.
@ZuhuraAwadhi
@ZuhuraAwadhi 8 сағат бұрын
Manala mwanaume anatakiwa awe hivyo Big up bro umeonesha sifa ya mwanaume ni kujiamini
@AminoKhalif
@AminoKhalif 9 сағат бұрын
Oyeeeeee Bugatti mungu akulinde bro ❤❤❤❤❤❤❤
@Kimweri_tz
@Kimweri_tz 4 сағат бұрын
😂😂😂😂 safi sana El Bughatti
@rehemawamwarami3854
@rehemawamwarami3854 5 сағат бұрын
Askali kayafyataaa😂😂😂
@abdallahamad4682
@abdallahamad4682 5 сағат бұрын
Buggati mmoja tu. 💪
@aziziabeid6052
@aziziabeid6052 9 сағат бұрын
Hatupaswi kutishwa
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 8 сағат бұрын
MUNGU ni mwema karibu Sana Tena Sana Ebugadi hongera Sana kazi njema kila la kheri kwenu kazi kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga shalom
@AmisiJaribuni-gz1zd
@AmisiJaribuni-gz1zd 8 сағат бұрын
Manaraa nitumie nmbaa nkutumiee Ela ya soda😂😂
@KamonaKintu-or2gs
@KamonaKintu-or2gs 5 сағат бұрын
Safi sana mechi yaleo nimefirai sana gamod alikua ametupoteza ushauli wangu kwa pacome katunyima goli Leo makocha wampe ushauli
@tinanyanda
@tinanyanda 4 сағат бұрын
Mbona ameingia kwenye gari, ye angetulia tu, watu wapo kazini 😁😁😁
@dunstankihaa2383
@dunstankihaa2383 8 сағат бұрын
Hahahahaha daaah el Bugatti hiki ni chuma kweli kweli et kawaambie wafungwa wenzio huko
@osumsafi2095
@osumsafi2095 9 сағат бұрын
Ila Bugatti 🔥🔥🔥🔥🔥
@lucasbatano333
@lucasbatano333 7 сағат бұрын
Ila manara😂
@BenjaminiThomasi
@BenjaminiThomasi 6 сағат бұрын
Amemjibu vizuri mazunguzo yao na gari la magereza inahusiana vipi!,
@massuraja1796
@massuraja1796 9 сағат бұрын
Yanga bingwa
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 7 сағат бұрын
Dah kajamaa kanapenda ugomvi kinoma 😀😀😀😀😀😀😀
@HosseinJuma
@HosseinJuma 5 сағат бұрын
😂😂😂 manara we atar sn huo ndio uwanaume kaka
@blues4life633
@blues4life633 6 сағат бұрын
Askari wa bongu wanataka kumpanda kichwani kila mtu, haya sasa kula Chuma hicho kwa el Buga🔥🔥😂
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 6 сағат бұрын
Manala nakubali sna😅😅
@MussabhalengaBhalenga
@MussabhalengaBhalenga 5 сағат бұрын
Hao magereza watakua wamelewa pombe hao
@ramadhansaid5348
@ramadhansaid5348 7 сағат бұрын
Hapa haji umekosea
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 6 сағат бұрын
Amekosea na nini?
@CharlesLobulu
@CharlesLobulu 5 сағат бұрын
Wewe raia wa kawaida dhubutu kumwambia afande hayo maneno kama ujala virungu vya magoti.
@scopy0428
@scopy0428 9 сағат бұрын
Bugatti
@robbyhans1436
@robbyhans1436 2 сағат бұрын
Nyie msifieni tuu ila huyo askar kaomba kiustaraabu sasa huyo haji manara amejibu jeuri sababu ya mashabiki wake wapo wengi kuna mda tunatakiwa kuheshimu vyombo vya dora
@geraldlaurent6750
@geraldlaurent6750 5 сағат бұрын
Manara awe mshaur wa timu yetu
@IsmailiSindiyo
@IsmailiSindiyo 4 сағат бұрын
Yanga bingwa
@kapondadr5840
@kapondadr5840 5 сағат бұрын
Bugatti bhna eti hizo Shari ndo anazipenda 🤣🤣🤣🤣
@AminaTanzania
@AminaTanzania 5 сағат бұрын
Yanga hatutushiwi yauu
@VeronicaAdam-lx8yd
@VeronicaAdam-lx8yd 5 сағат бұрын
Manar Msenge nanyinyi munao mshangria hamnazo
@mrben227
@mrben227 5 сағат бұрын
Ah ww acha tu kka ila kimsingi alichokifanya manara si kitendo cha uungwana mana askari alikuwa kazini
@hidayaomary8611
@hidayaomary8611 3 сағат бұрын
Bugatti ni mmoja tu nakukubali sn nigutahi sn kukuona kiwanjan 🎉
@bhuzahope2746
@bhuzahope2746 8 сағат бұрын
Ndiyo shida ya manara
@mosesaugustino5518
@mosesaugustino5518 8 сағат бұрын
Bahati mbaya siku moja ufanye kosa hata kwa bahati mbaya upelekwe kwao ndio utawajua vizuri askari Magereza..
@RamadhanHuseni-v7e
@RamadhanHuseni-v7e 8 сағат бұрын
Akionekana tuu bassss ushindi tumeula
@roberttagaya9098
@roberttagaya9098 5 сағат бұрын
Watu wanasifia ujinga
@abdulnasuma9729
@abdulnasuma9729 4 сағат бұрын
Sasa hawa askari kama hawataki gari yao kuonekana si wangekaaa gerezani sio kwenye mpira
@MussaRqjqbu
@MussaRqjqbu Сағат бұрын
Kauli za mashoga hizo kawaida
@saidkanji9882
@saidkanji9882 5 сағат бұрын
Etii mpuuuzi dar
@allygoodboytzsdoneintanzan3970
@allygoodboytzsdoneintanzan3970 4 сағат бұрын
😂😂😂kakimbia kwenye gari mpeni kichwa hivyo hivyo namaneno yake ya shombo
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 3 сағат бұрын
@@allygoodboytzsdoneintanzan3970 kichwa Gani apewe wakat anachoma sasa
@JeniAlex-e4v
@JeniAlex-e4v 7 сағат бұрын
Eee manara
@dainamichael5624
@dainamichael5624 4 сағат бұрын
Kwani yanga mechi iliyopita kapoteza?
@ODENILWILA
@ODENILWILA 5 сағат бұрын
Huyu mzungu pori anajifanya kijana wakati kazee 😅😅
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 4 сағат бұрын
Acha wivu inakuhusu nn
@bennamush4616
@bennamush4616 2 сағат бұрын
Mzungu pori lakini anavuta pumzi unayoivuta wewe
@salimumsoloni
@salimumsoloni 7 сағат бұрын
Dah pa1sanabugat
@bakarithegeoinformatician7406
@bakarithegeoinformatician7406 7 сағат бұрын
Katika asikari ambao huwezi kuwanawa ni magereza! Sema wamekustahi tu! Maneno machafu tu, sijui walikufanya nini siku umewekwa ndani kwa kula ela ya chama cha mapinduzi😂
@sarapianmatiku5689
@sarapianmatiku5689 6 сағат бұрын
Siku akifika magereza ndio atawajua umuhimu wao sio hayo maneno yake kutaka kumdhalilisha Kamanda
@AlphanMbundamila
@AlphanMbundamila 4 сағат бұрын
Kamanda wap wewe mshamba wew kamanda ni mungu tu
@IssaSaid-l6l
@IssaSaid-l6l 8 сағат бұрын
Penda xnaa manara tumemic vitu vingi tunaomba uje uwe msemaji wa yanga pengo lako alitazibika
@JeniphaSamwel-r9j
@JeniphaSamwel-r9j 8 сағат бұрын
Nice
@Suzannachazzy
@Suzannachazzy 7 сағат бұрын
sijui leo waandishi wataongea nn maana wanasubiligi yanga wafungwe wapate cha kuongea mbaya zaidi ni kupondea wachezaji na kocha wao
@RichardMassawe-ss7cy
@RichardMassawe-ss7cy 7 сағат бұрын
Ifike mahal Sheria uchukue mkondo wake huwezi kasea sana kumzarau huyo askar
@mwansasujonny3536
@mwansasujonny3536 3 сағат бұрын
Buga buga Bugattiiiiii
@AminaTanzania
@AminaTanzania 5 сағат бұрын
Raisi yipo anapesa kama vua ya mawe
@rachelcheyo-p5z
@rachelcheyo-p5z 9 сағат бұрын
Bugati
@iptisamismaill-f6h
@iptisamismaill-f6h 2 сағат бұрын
Kufuata taratibu ni jambo la lazima sio ombi
@SehlmMchemia
@SehlmMchemia 8 сағат бұрын
Sawasawa manara akaamrishe wafungwa wenzie uko kuma uyoo askar
@DavidJackson-b9b
@DavidJackson-b9b 6 сағат бұрын
Kuma mwenyewe
@fadhilikikulacho
@fadhilikikulacho 4 сағат бұрын
Acheni kufurahia vitu vya kipumbavu manara amekosea msimpe kichwa bhana mbona wamefuta kule kwenye page yao wapuuzi hawa heshima ni kitu cha bure
@HamisiMaupa
@HamisiMaupa 5 сағат бұрын
Nataman urud kwenye nafas yako watu wanaisema ovyo ovyo yanga hakuna mwenye uwezo wa kuwanyamazsha
@Juventbenzema
@Juventbenzema 2 сағат бұрын
Yeye kaongea ila askari wote wamesikia ila awajajibu so kwamba ni wajinga ila ni swala la mda tu
@nwadzombotsuma4035
@nwadzombotsuma4035 9 сағат бұрын
usitishwe, bughati,,,,
@Kafuku-q2v
@Kafuku-q2v 4 сағат бұрын
Hakuna anae penda kuwa mfungwa kila mtu anataka akae na familia yake ipo sku yako inakuja hakuna aliye juu ya sheria ata raisi anaweza fungwa sembuse mwehu ww makosa huja na hakuna anaepanga ata uwe na hela unafungwa na huo uzeruzeru wako utakiona cha moto apo utapata kuona kuna tofauti ya askari na mfungwa hao uliowatusi leo utawaomba wakulegezee alafu watakumbuka shombo yako juu yao maji utaita mmaaa
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 3 сағат бұрын
@@Kafuku-q2v huyu sio mwenzenu anakula na wakubwa hakuna chakumfunga manara labda kamba maana ikulu nyumbani ao kina gms kasimu majaliwa anashinda nao kama nguo zake nani wakumfunga unazani kajibu tu pasipo Kinga anajiamini jibu ww uone
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 6 сағат бұрын
Hatutaki kuwakosea heshima Askari wetu hata kidogo Magereza lazima mfunguo kesi huyu ama sivyo jamaa atajifikiria yuko juu ya kanuni
@bakariomarimndeme6059
@bakariomarimndeme6059 6 сағат бұрын
Wafungue kesi kwa lipi haswa.nshi hivi ni huru kila mtu ana haki yake wangemwendea kwa kumheshimu maua angewajibunkwa heshima.
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 3 сағат бұрын
@@MohamedIbrahim-bn1gz ww Sheria unalijua kweli tangia lini ukawapenda maaskali au ukolo unakutesa Aya anashtakiwa kwa kesi gani
@shaelshael2191
@shaelshael2191 6 сағат бұрын
Mwehu huyu baba
@AMOSISOSO
@AMOSISOSO 8 сағат бұрын
Aisee kuna mashabiki viazi kweli et Nimekuja kuiona timu yangu na mashabiki wanashangilia Hivi kwa akili zenu manala ni shabiki wa Yanga kweli
@HusnaHamidu-z6p
@HusnaHamidu-z6p 7 сағат бұрын
Kumbe inawauma eee??
@yanganasimbasasaivprince2183
@yanganasimbasasaivprince2183 4 сағат бұрын
Mshabiki wa ndanda
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 3 сағат бұрын
@@AMOSISOSO sasa ww unaumia nn makasiliko fc badala mchangie viti mlvyong'oa unakazi ya kualisha umu wanya manara shabiki wa Simba inawaongezea nn au sio shabiki wa yanga inatupunguzia nn alafu kaa ukijua manara hawezi kuwa kama ww mfia timu manara anajua thamani ya pesa ndomaana hakuna atali kutoka Simba kuja yanga naa akawapa jina makolo ss kwetu raha kama mtagombana Simba kwa Simba hivyo waache watu wamshangilie na ww ambae unashabikia timu haikupi vikombe pesa Wala kujiamini endelea kuipenda presha ufe ukiwa mdgo
@akrajackson854
@akrajackson854 2 сағат бұрын
We unaonaje😅
@hamadabdullah9702
@hamadabdullah9702 7 сағат бұрын
Hamn lolote uy jamaa anajipendekz TU yang wewny hawamtki
@AbdulifatahKiwope
@AbdulifatahKiwope 6 сағат бұрын
Lakini manara kama amekimbia maana intavyu ameishia kati
@jumanneomari2964
@jumanneomari2964 9 сағат бұрын
duu bugati punguza jazbaa
@RehemaKomba-pv2le
@RehemaKomba-pv2le 8 сағат бұрын
Mamluki huyoooo
@josephlondo1988
@josephlondo1988 7 сағат бұрын
Huyu mbufu mwongo mnafiki
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 8 сағат бұрын
Naona enginea amerudi kumsujudia mchawi manala ndo maana wanashinda sasa hivi
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 8 сағат бұрын
Ata ww ukimsujudia mumeo yanga utashinda mechi ijayo
@AwardHakimu
@AwardHakimu 7 сағат бұрын
😂😂
@azizially557
@azizially557 7 сағат бұрын
We zeruzrezu fala sana kunasiku utafia kwenye mikono ya watu unaringia uzeruzeru wako iko siku utakutana na watu wenye akili kama yako ndo utajua dunia haina huruma
@jamesmwanakombe
@jamesmwanakombe 5 сағат бұрын
Mungu siyo ndug yako tengua lali
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 3 сағат бұрын
@@azizially557 mwenzio zelu zelu kakuzidi Kila kitu www unaetambia rangi na akili zako zakuvukia barabar unajiona mjanja manara sio mwenzio beba chuki upate mimba ya mahuti bwege ww
@ODENILWILA
@ODENILWILA 5 сағат бұрын
Hicho kipolo askali wamekiweka ipo siku uatkuja kumbuka kua askali hawasahau ataingi kwenye 18 zao si mwekundu huyo atakuja kua kama mkaa
@AlphanMbundamila
@AlphanMbundamila 4 сағат бұрын
Kipolo gani ACHA kufananisha manar na kaasikari mageteza bhana manara ni mtu mkubwa sanaaaa
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 3 сағат бұрын
@@ODENILWILA kama nikipolo yanga taifa kubwa tutampashia atakula na kisavu Cha Jana na mbilimbi hakuna matata
@LeonardMakoti-v8i
@LeonardMakoti-v8i 7 сағат бұрын
Huyu mzee k sana
@GeuziYohana
@GeuziYohana 9 сағат бұрын
Huyu manara mbona anavyoongea kama sio mwenzetu jaman huyu raia tuwe nae makini huyu mamluki
@ajiaally3269
@ajiaally3269 8 сағат бұрын
Ww ni simba
@Elihurumamathew
@Elihurumamathew 6 сағат бұрын
Sasa kwani huyo askari magereza angemwacha anaendelea na mahojiano yake asinge maliza tatizo askari wanatabia yakupanda kuwatisha watu kisa kuwa askari bila kujua ni kazi tuu
@IDDIMANDI
@IDDIMANDI 7 сағат бұрын
Haji anakosea aheshimu Kila mtu amemzalilisha jamaa sio sawa cjapenda
@blues4life633
@blues4life633 6 сағат бұрын
Pumba
@GilbertHonesphory-li7ve
@GilbertHonesphory-li7ve 8 сағат бұрын
Uyu askari kapiga kozi kweli unatolew maneno mazito kisa raia ni maarufu alafu unatulia fanya umshitaki kakuzalilisha
@yusufm1
@yusufm1 7 сағат бұрын
Unavyoona kulikuwa na ustaarabu kati ya Yupi hapo? Haji ameanza vizuri very polite ila askari amemchukulia kama mnyonge which is unfair. Wangekuwa wameshinda wangekuwa na Haraka ya kuondoka? Mtu anafanya interview yuko high high anataka kuondoka na yeye kuvumiliana kungekuwa na shida gani? Tatizo hawa hawa askari akifanya haya kwa kuwa wewe ni Simba unaona kama ni Sawa ila angefanyiwa mtu wa Simba ungesema kaonewa. Hapa bado mtu atadai katiba mpya ukimuuliza iliyopo ina shida gani hajui maana hajawahi kuisoma 🤣
@estonhaule9253
@estonhaule9253 7 сағат бұрын
Ukija vibaya unakula za uso
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 3 сағат бұрын
@@GilbertHonesphory-li7ve anamshtaki wapi sasa kwa mfano na kosa lipi kapigwa katukanwa Simba hacheni makasiliko tunawapumulia kwa nyuma😂😂😂💪
@MangalatzTz
@MangalatzTz 7 сағат бұрын
Utopolo wabovu sana adi goli la mkono😅😅
@asasiame500
@asasiame500 6 сағат бұрын
Na Wewe ni mbovu mbona ushashenyentwa sana na Yanga
@MangalatzTz
@MangalatzTz 5 сағат бұрын
@asasiame500 wew nimekushenyenta marangapi? Nishawahi kukishenyenta goli 6 bila kataa xaxa
@MangalatzTz
@MangalatzTz 3 сағат бұрын
@@asasiame500 masindano Fc 🤣🤣
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
Cerita Malam Jumaat Episod 6 (Part 2) - Apa Dah Jadi Dengan  Kumpulan Cham
40:59
Istiqomah Hijrah Kali Kedua - Manap Mawi Podcast Episode 455
56:04
Di mana Ustaz Auni menuntut Ilmu ?
9:57
Meet My Malaysians
Рет қаралды 193 М.
SYRIA | Kunci Akhir Zaman
13:06
Dhomir TV
Рет қаралды 103 М.
2,000 People Fight For $5,000,000
24:45
MrBeast
Рет қаралды 84 МЛН
Mohamed Salah Genius Moments that Impressed Everyone
6:38
Fouty Comps
Рет қаралды 28 М.