Hii ni Hospitali ya mfano nchi Tanzaniavkwa huduma zake.
Пікірлер: 13
@joyceduma45824 жыл бұрын
Mko vzr sana! Mungu awape mafanikio zaidi
@geazysanga4 жыл бұрын
Mungu awatie nguvu ktk utume huu madaktari mana ni kalama toka kwa mungu imekuwa hospitali nzuri inayo jali maskini inasifika kila kona ya inchi ya Tanzania
@furahinmbilinyi7296 Жыл бұрын
Naipenda xana hii hospital
@adelinachengula85193 жыл бұрын
Mko vizuri
@madosasanga94244 жыл бұрын
Tunafurai sana ss watu Wa makete
@petersanga75974 жыл бұрын
Ikondaa juuuu Sannnnn Rais Magufulii Juuuu Zaid mungu Akuongozeee vizuri sannnn magufulii Juuuu NINGEPENDAAA UONGOZEE MIAKAA 20 hivi auuu yote Tyyuuu ...... Nakuomba BABA Magufulii Ungetembeleaa 'na wilaya yetu Ikondaa Ccm ChamaLaoo
@Myright8885 жыл бұрын
Kizuri mnoo
@eizerbitz67152 жыл бұрын
Huyu aliyefanya sauti hajui R wala L atumie wapi. Ameshusha hadhi ya makala. Hongereni