Maneno haya ya MAKONDA yamewaliza wengi "Pamoja na mapito magumu na mazito lakini naiona nuru yako..

  Рет қаралды 12,479

Middle simba

Middle simba

Күн бұрын

Пікірлер: 54
@jemimasalvatory3318
@jemimasalvatory3318 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu ni mwingi wa neema na rehema. Congratulation Mh. P. Makonda
@josephvenus3259
@josephvenus3259 4 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu Paul Makonda na watoto wako wakakue ktk hekima na maarifa na wakiwapendeza wanadamu na zaidi Mungu Baba.
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 4 жыл бұрын
Conglatuation Mr and Mrs Makonda
@heriethkilaini8802
@heriethkilaini8802 4 жыл бұрын
Hongera sana mwenyezi mungu awatangulie
@abbycherry8464
@abbycherry8464 4 жыл бұрын
Hongera xana,glory to God!!!!
@marykokalewanga384
@marykokalewanga384 4 жыл бұрын
Hongera sana Mheshimiwa Mungu bado yupo upande wako!
@emilymideva8783
@emilymideva8783 4 жыл бұрын
Woow that's great hongera sana paul makonda God makes away where there is noway 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤.
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 4 жыл бұрын
Daaaaaah Hongera makonda 🔥🔥🔥🔥🔥🙏 chukuru mungu
@jeylanisomo4122
@jeylanisomo4122 4 жыл бұрын
Hongera hongera, my brother, mimi nakupenda sana Naitwa jeylani somo niko huku, STATE, NIGEPENDA NIKUTANE NAWEW NIKIJA DAR ES SALAAM, UNA SAMJE?
@dushudofficialnurudin9753
@dushudofficialnurudin9753 4 жыл бұрын
God nd muweza wa kila jambo lako kila hatua DUA Hongera sana mr makonda mungu aitangulie familiya yako LIKE kwa kumtakia kheri na baraka mr makonda
@stephanowillium8455
@stephanowillium8455 4 жыл бұрын
Love sana makonda
@vailethkinabo7961
@vailethkinabo7961 4 жыл бұрын
Huyo ndio Mungu tunae mtumikia hongera kaka
@masungajacob2628
@masungajacob2628 4 жыл бұрын
MKONDA MUNGU AKUBARIKI SANA
@kulwaramadhani4727
@kulwaramadhani4727 4 жыл бұрын
Hongera sana kwakuwa bb wangu mimi wasalim pacha wenzangu
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 4 жыл бұрын
Amen 🙏 mungu awakuze Glory be to God amen 🙏 🏃‍♂️ 🏃‍♂️
@sadahmzee2916
@sadahmzee2916 4 жыл бұрын
Hongera sana
@abdulkmanucra7845
@abdulkmanucra7845 4 жыл бұрын
Hongr
@malikzafarani172
@malikzafarani172 4 жыл бұрын
Nakubali
@jimyjastini9995
@jimyjastini9995 4 жыл бұрын
Hongela makonda 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@eliasshilungu3404
@eliasshilungu3404 4 жыл бұрын
Hongera sana the #bigest Man
@kingpowa941
@kingpowa941 4 жыл бұрын
Nice one keep
@baranmohamedmbashir5299
@baranmohamedmbashir5299 4 жыл бұрын
Hogera sana makonde
@godfreykurumwa1166
@godfreykurumwa1166 4 жыл бұрын
Safiiii baba keagan
@amosmoses7800
@amosmoses7800 4 жыл бұрын
Kwako Mh.Magufuli Mheshimiwa mimi kula yangu utaipata iwapo tu utajibu masuali yangu haya - Kwavile wewe ni msema kweli. Na unadai unamuogopa Mungu : ___ 1. Uliahidi milioni 50 kila kijiji. Je! Ututajie kijiji Angalau kiMoja ulizowapelekea. 2. Utuambie hizo ndege. Ni nani alieizinisha ununuzi? Na zimenunuliwa kwa Kiasi gani. Na hadi muda huu zimeingiza faida Kiasi gani. Utuambie sababu za kuzuiliwa ndege zetu mala kwa Mala zikienda nje. Mbona zinaMADENI $ 133 milioni ? Utuambie wanaozipanda hizo ndege ni akina nani? 3. Utuambie Uwanja wa Chato wa kiMataifa ulijengwa kwa Kiasi gani. Nani alieizinisha . Na hela ya ujenzi imetoka wapi? Na kwanini Uwanja huo ujengwa kijijini CHATO ? 4. Utuambie zile Trilioni 1.5 mfuko wa hazina ya selikali zimepotea wapi? Au zimetumika vipi ? Na kwanini Ukamtumbua CAG Mzee Musa Asadi? 5. Mh.Laisi Utuambie kwanini vyombo vyako vya Dola vimeshindwa kuwatambua Na kuwakamata " KIKUNDI CHA WATU WASIOJULIKANA " .? kilichokuwa kinawanyonga Laia zako. Wengine kutekwa. Wengine kupigwa lisasi. Kama bado kipo inchini . Unawakikishiaje laia zako usalama wao? Ili Mo Dewji aondokwe Na hofu. 6. Utuambie wale " mafisadi wawili wa ccm " walioekeza nje ya inchi. Uliwachukulia hatua gani? Mbona hatukukuona ukifatilia miHela yao iyo kwenye Account za nje ya inchi? 7. Mh. Laisi unapoongelea COLONA. Kila kwenye kampeni zako. ivi ni Wapinzani ndio walioileta ? Na Je ! Imeondoka kwa Nguvu za mungu wa Chato au Mungu Mkuu wa mbinguni baada ya maombi yaliofanywa kanisani Na misikitini? 8.Mh Laisi ulidai uchaguzi huu utakuwa wa haki Na hulu. Mbona tayali tunaona wagombea wengi tu wa ccm Na wale wa upinzani wakienguliwa ? 9. Mh.Laisi uliahidi Utajenga mashule na MaHospitali hadi wilayani. Ni hospitali ipi iliojengwa hadi muda huu? 10. Mh.Laisi ulisema inchi yetu ni tajili sana. Mbona laia wako wanaishi maisha duni. Hela haionekani. ? Tunaowaona wakifaidika ni vigogo vya ccm / vigogo vya selikali na watu wa usalama taifa. Wanaozi kujenga majumba ya kifahali kila sehemu Bila ya wasiwasi. 11. Kwanini unawatumia wasanii kwenye kampeni zako zote.? Utuambie hiyo mikataba uliofanya na wasanii. .wanalipwa na hela za nani? Suali la mwisho Muheshimiwa 12. Wanasema Ulitembea na shemegi yako. Je ! Ulizaa nae ? Au ulikuwa ukipita pita juu juu tu? KULA YANGU MHESHIMIWA NI KWAKO. UKINIJIBU VISUALI VYANGU IVO. BWANA YESU ASIFIWE ! CCM OYEEE !!&
@mariamsalim8449
@mariamsalim8449 4 жыл бұрын
Congratulations for babies twines!!!!!
@kaskilejg
@kaskilejg 4 жыл бұрын
Middle Simba 🦁🔥🔥✊🏽
@wakahama3814
@wakahama3814 4 жыл бұрын
Good ndugu yangu makonda mungu atakuongoza zaid
@norbertkashindi7069
@norbertkashindi7069 4 жыл бұрын
Hongera! mungu mkubwa
@bomaniguty1760
@bomaniguty1760 4 жыл бұрын
hongera xna bro
@janatahmad7048
@janatahmad7048 4 жыл бұрын
hongera kaka najisikia 😢😢😢mungu ni mwema kwa kwel
@marykokalewanga384
@marykokalewanga384 4 жыл бұрын
Mungu atapindua meza kwa upande wako update Jimbo la segerea mbona tunakuhitaji Mhe wetu?
@kitambimwanakitambi975
@kitambimwanakitambi975 4 жыл бұрын
Huwa sinaga neno juu ya makonda ..kumpenda tuuu ndo kitu najuaga
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 4 жыл бұрын
Wema sepetu usikate taamaa mungu atakupa kwa wakati wake just believe in God 🙏
@RoseRose-fo8lw
@RoseRose-fo8lw 4 жыл бұрын
Mungu amfungulie kila gumu @wemasepetu anapitia maumivu mno yule dada ampe watoto mapacha watatu
@nehemiamswahili7058
@nehemiamswahili7058 4 жыл бұрын
Mungu n mwema
@ambrosemillanzi2208
@ambrosemillanzi2208 4 жыл бұрын
Middle simba Nakubari
@constanciapeter2497
@constanciapeter2497 4 жыл бұрын
Nahisi machozi ya Furaha hongera Sana baba K, wa kike Mwiteni Posh, au Michelle
@SkideLouis
@SkideLouis 4 жыл бұрын
middle simba piga like yangu
@kabumbabarongo787
@kabumbabarongo787 4 жыл бұрын
Nakushauri urudi kwa WANANCHI tunakupenda kuriko wanafiki mikia, ulitupa UWANJA wa YANGA KIGAMBONI, mm ni pacha hivyo ww na mkeo ni BABA na mama NAWAPENDA wadogo zangu
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 4 жыл бұрын
Mange kimavi Leo uko wapi na huo mdomo wako mchafu mwenyenzi mungu hachezewi ujue.
@ancyrom6929
@ancyrom6929 4 жыл бұрын
Congratulations makonda
@aneleslubagumya2790
@aneleslubagumya2790 4 жыл бұрын
Hongera sana
@emmleandry1766
@emmleandry1766 4 жыл бұрын
Good lucky brother god bless your family
@samwelisam2617
@samwelisam2617 4 жыл бұрын
👩‍👩‍👧‍👧
@mambosasatv9717
@mambosasatv9717 4 жыл бұрын
Uyu jamaa namkubali sna ,
@lameckmichaelmagazi6345
@lameckmichaelmagazi6345 4 жыл бұрын
Eemungu 🙏🙏🙏nikumbukenamimiiii😭😭😭😭
@nasrafita6909
@nasrafita6909 4 жыл бұрын
Hongera sana mr Makonda mwenyezi mungu akubariki wewe na femily yako
@filvobrowbrowning856
@filvobrowbrowning856 4 жыл бұрын
Congratulations 🎉🤩
@nuratkalinga581
@nuratkalinga581 4 жыл бұрын
Usihukumu Mungu alikuwa haja mjaalia ,sasa wale wenye midomo isiyo kuwa na bleeki basi aibu kwao.
@Bayothomusic
@Bayothomusic 4 жыл бұрын
Hatariii nyingine hii hapa👇 kzbin.info/www/bejne/aZ_bnoisj8aqkNk
@akilihabibu4203
@akilihabibu4203 4 жыл бұрын
We mido mpumbavu sana unapenda kuwasemea WATU tutakuaminije?
@CyimSky
@CyimSky 4 жыл бұрын
KISA CHA MTU ALIYEUWA WATU 6 WA FAMILIA YAKE KISA KAOTA NDOTO kzbin.info/www/bejne/nJyQqqOrf9d0ndk
@habibasallah8139
@habibasallah8139 4 жыл бұрын
Subira ya futa heri
@teresiamgimba760
@teresiamgimba760 4 жыл бұрын
Hongera sana
HOUSE GIRL EP 47  | S3 | LOVE STORY 💞💕
24:57
BUSATI TV
Рет қаралды 11 М.
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 6 МЛН
Человек паук уже не тот
00:32
Miracle
Рет қаралды 3,2 МЛН
Try Not To Laugh 😅 the Best of BoxtoxTv 👌
00:18
boxtoxtv
Рет қаралды 7 МЛН
Elza love to eat chiken🍗⚡ #dog #pets
00:17
ElzaDog
Рет қаралды 17 МЛН
ASAGWILE AUAGA UKAPERA
3:27
GOSPEL LEO
Рет қаралды 1 М.
ALICHOKISEMA ALLY KAMWE BAADA YA MECHI DHIDI YA AZAM FC
5:36
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 6 МЛН