Hakunaga kitu kinachoumiza kama kumuongelea mtu vibaya alafu yeye anakaa kimya😅😅😅
@eben_ezer88539 ай бұрын
Ila Mange ni real friend tuseme tu ukweli pole wema
@chizashungu83649 ай бұрын
Tunaomba aendelee kumchukia kwani kusapotiwa na Mangi kimwambi ni Nuksi kubwa.Hana faida yoyote,sisi mashabiki wa Diamond Platnumz tunamuomba aendelee kumchukia tu.Hana faida yoyote hapa duniani na wala hana madhara......wanaomchukia yeye ni wangapi? Yeye apambane na hali yake Diamond Platnumz siyo level zake.
@mouzarashidd9 ай бұрын
Asante sana umenirahisha walahi. Yani kila kukicha ni Diamondplatnumz. Halafu huyo Mange kimavi wanamuona waajabu hali mwenye hajielewi.
@Bahati479 ай бұрын
Nux which Nux where?
@mdouharoon669 ай бұрын
Umeongea mzee huyu kigagula hatusumbui kwa kila kitu
@elishaelishaedward94549 ай бұрын
Nakubaliana sana na wewe uppo sure kabsa
@didajabir67259 ай бұрын
😊
@fasterwalker14649 ай бұрын
Sema Mange hapo nakuona we mshamba huwez kuingilia mahusiano ya mtu hujui wema alimkosea nn mbk bwana Simba kufanya aliyoyafanya
@rehemakitara99789 ай бұрын
Vry true,tna mjinga haswa
@elishaelishaedward94549 ай бұрын
Sure uyu Dada wenge jingi anajitiaga kila kitu anajua jau sana yani
@fasterwalker14649 ай бұрын
@@rehemakitara9978 Mapenzi hayaingiliwi maana Matokeo yake baadae wakarudiana Tena yy mwenyewe mange akawa bado anakinyongo hafu watu wakawa wameeelewana
@misanamohamedi84389 ай бұрын
itakua alimtaka akapigwa chini
@VenerandaMutojo9 ай бұрын
Dar naikumbuka sana hii dai alionyesha mazarau sana nasikuwai kumwombea mema dai na joketi walimwumiza sana wema 😢😢😢😢
@wema36199 ай бұрын
Tulio Isoma Kwenye Gazeti Hii Story Enzi Hzo Tujuane
@mwikamwika48519 ай бұрын
Mpumbavu kweli huyu kimavi huyu mange kimavi mavi
@hassanguzo80269 ай бұрын
Pole maraya mnuka mdomo 😂😂😂😂😂
@gerraldgready80519 ай бұрын
Uzur ww sio MUNGU ila ingekua ww ni MUNGU ingetusumbua sana unahukumu bila kujua wala kumsikiliza diamond kwann alifanya iyo usijisahau sana ww ni binadamu tena wa kawaida sana, huwezi jua aliyopitia mtu mpaka anakua ivyo.
@maryamtanzania97439 ай бұрын
Mange mbona ulikuwa mzuri sana
@chire45749 ай бұрын
Ata mm nikachukia sana Iyo Siku..but ilishapita
@Mariam-fm8vq8 ай бұрын
Mange ww ni msema kweli ndio maana nakukubali ❤❤❤
@sheilacruz64589 ай бұрын
Final chriss fleva karudi tulikua tumekumiss sana
@silviasaleh46679 ай бұрын
Wema was so pretty shem
@linnerphilip42609 ай бұрын
Huyu nae ukimfuta wew Mungu kwam
@benjo_brighter9 ай бұрын
Sema zamani mange alikuwa ana vinyama kidogo 😊😊
@happynesssamwel42499 ай бұрын
Ila wema alikuwaga mzur jaman
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM9 ай бұрын
Kwenda zako mange ,hâta ukimchukia haumuongezei lolotte ,mungu anamuona
@reginaakumba95099 ай бұрын
Kabisaa
@tumainimwaifunga38849 ай бұрын
Hana adabu kabisa, fikiri anamkataa mtoto wakati DNA ni wake. Hata mi namchukia mno
@saadabakar77509 ай бұрын
Kama mange yeye ana adabu angemdhalilisha mama wa Wema .ambae anasema kilimkera alichofanyiwa Wema.
@childofgod83658 ай бұрын
That's Diamond dancing? Waaa true money and time can change people
@teddymosha13769 ай бұрын
Nimejua Leo Asante mange
@BlackKing89-l1u9 ай бұрын
Kweli watanzania wanajuaga kujizimaga data…kumbukeni Wema wa kipindi hiki alikuwa Malaya balaa..Mabwana kila mahali..na Diamond alikuwa anamfumaniaga…lakini leo ooo Eti Wema Anaroho nzuri, kwanini diamond kamfanyia hivyo🤣🤣
@ashurahatibu50699 ай бұрын
Sasa we umejiuliza alikuwa malaya mbona ye muda mchache tu akawa na jojo
@aishaahmed50289 ай бұрын
Ni kweli kabisa wanajua lakin kwavile hawampendi dai ndio wanajitoa ufahamu
@hopefully70909 ай бұрын
@@ashurahatibu5069shangaa dai alilala na rafiki wa wema wote wanajisahaulisha
@hopefully70909 ай бұрын
@@aishaahmed5028hapana dai kalala na rafiki wa wema wote
@hopefully70909 ай бұрын
Msijitoe akili tena wema alikuwa akadate hao ili dai atakate
@othmanibnabdullah9 ай бұрын
Kweli hii haikuwa sawa
@shyfettymtunda46199 ай бұрын
Dah!!Ila hakufanya vizuri kumuaibisha mbele za watu.Sio kwa kumuaibisha vile binti wa watu.Inauma😢😢😢
@johnmwasilu70879 ай бұрын
Alikuwa tayari na Jokate
@shyfettymtunda46199 ай бұрын
@@johnmwasilu7087 Hata kama jamani, hakikuwa na sababu ya kumuaibisha vile.Kwani angepokea hiyo hela ndo wangerudiana? Mie nilivyo na machozi ya karibu ningelia jamani kwa hiyo fedheha.🤣🤣🤣🤣🤣
@LuluMalima-j1w9 ай бұрын
Kweli diamond mfujaji jamani, , Wema we love you always. Africa men please change, mtuthamini your women
@fannyfarrah9 ай бұрын
Umerudi 😊 Alafu utuekee link ya hiyo story ya mwaka Jana kwa wenye walipitwa.
@macdonaldmassawe62779 ай бұрын
Yeye anajua walikosana kitu gani? Penzi lako linanisumbua kwann nipokee pesa yako 😮
@ArnaudAkanakimana-cr4sq9 ай бұрын
Mange nimwehu yawema namond ayajuwi wema alimkosea saana mond namond alikuwanampenda sana wema ata namimi siwezi kuzichukuwa mond yuko vizuri
@mandyuwimana77359 ай бұрын
Utahangaika, maisha yako yote. Mwehu we
@barakakusa76068 ай бұрын
Kumbe 🤔🤔🤔 hata mim nimechukizwa sana na dharau alizofanyiwa Wema the best
@BigZhumbe9 ай бұрын
Bange Kimavi atakua ilikua anamtaka yeye Mondi. Makasiriko gani ya kudumu, hata Wema hamchukii hivyo Mondi
@MsAggie59 ай бұрын
Mange hapendi waafrika yeye ni wazungu tu hawezi kumpenda Mondi hata Dunia iishe 😂
@MrTop-wj7no9 ай бұрын
@@MsAggie5nani kakuongopa?
@MsAggie59 ай бұрын
@@MrTop-wj7no wanawake wengi waliotoka afrika wakifika Kwa wazungu wale wanaopenda wazungu hata iweje waafrika wenzao hawapendi Ku date nao, pia hata kama awe Malaya kiasi gani Mondi sio type ya mange hapendi vitoto huoni anavyo mchamba Zari? Sio wanawake wote wanamshobokea huyo Mondi wenu 😂😂
we mang kama mond asingekuwepo sijui ungezunguzia nani maana maana wengine wangekupeleka mchakamchaka bila huruma
@MansourKalokola9 ай бұрын
Hii industry bila kulitaja jina la diamond hakuna kinachoweza kuendelea trust me hii kitu ni ya miaka mingi sana lakini ona impact yake
@m___ck7999 ай бұрын
I missed Creeze's voice ❤
@sonnyr18999 ай бұрын
Duuuuu
@JohnHanga9 ай бұрын
Kwnn ulimtuma wema wkt wema anajuwa mondi asingepokea hela zake?bc kwa taarifa zako mondi alikugundua mapema sana
@surusuru19949 ай бұрын
Asate mange❤
@NicholausKalolo9 ай бұрын
mond mjinga sana ache zalau bila wema tungemjuwa
@asiamerey90819 ай бұрын
Ila Wema mzuri jamni
@naimarishedy15238 ай бұрын
Yaani Daimond kwa Hilo 😮😮😮😮😮🤲atamlipa Wema
@niyonkuruaristide-q1l9 ай бұрын
#nawaza by diamond platnumz verse 2
@shamsiarashid40159 ай бұрын
Mage alimpenda sana wema
@chizashungu83649 ай бұрын
Kimwambi amepagawa,apambane na maisha yake.Wabongo wengi tunajielewa hatulishwi matango pori.Yeye anachukiwa mpaka Motoni.........Diamond Platnumz siyo level zake wala Diamond Platnumz hajui kama mangi kimwambi. Bado yupo hai.
@khamisrubea50839 ай бұрын
Ukitoa pesa kwa mwenye akikuacha akishughulikia wateja wengine unajihisi vibaya sana nazidi ukikuta wateja wengine
@KiboChacha9 ай бұрын
Zamani wema alikuwa mrembo sana sana jamani
@itNeza9 ай бұрын
Afu leo Huyo huyo Wema anatoka na Kajitoto Enzi hizo kalikua Hata hakajazalika. Wema kawa Takataka leo😎
@hopefully70909 ай бұрын
Whozu hajazaliwa?wewe ndio takataka unamuitaje binadamu mwenzio hivyo?
@itNeza9 ай бұрын
@@hopefully7090 Ohhh Sijataja Jina ila kwahivyo we ulotaja inaonekana Unajuwa Takataka ni ipi ilosemwa na Kweli inaonekana kuwa takataka, Poleni Takataka. 😎
@niyonkuruaristide-q1l9 ай бұрын
Nawaza hawa kina Kimambi bwana wangekuwa wagawa ridhiki hivi kweli ningejulikana si wangenizima sisikiki #nawaza by diamond platnumz
@MJ-rr6dy9 ай бұрын
tunakumbuka hilo bifu, wema alipata bwana mwingine na gari alimnunulia, mond akampata jokate, waliachana, na hata zari alipokuja hawakuwa pamoja, mond alichokose kutombembeleza, hata ukimchukia mond haitakusaidia, utatukana kuna siku utachoka
@johnmwasilu70879 ай бұрын
Kabisa Mondi alikwisha move on na Jokate kwahiyo hakuwa na time na Wema. Kwani kuna ubaya gani Wema kuzodolewa wakati yeye alishapata bwana mwingine aliyemnunulia gari kali?
@MJ-rr6dy9 ай бұрын
labda kama ana bifu jingine na mond, km hilo mbona lilifuatiliwa na mpaka kuja jokate siku zilipita sn mond na wema kuachana
@MsAggie59 ай бұрын
Walikuwa washaachana labda angepokea tu hizo hela kuonyesha respect. Wema alikuwa hajatulia na a
@jimmyhabarugira42329 ай бұрын
Mondi ali vumiliya mengi sana kipibdi hicho alikuwa anapigiwa sim nama PDG Wema anamuwacha Mondi kitandani anaondoka
@johnmwasilu70879 ай бұрын
@@jimmyhabarugira4232 Wema alilidharau hata gari alilonunuliwa na Mondi aina ya Nissan Murano sababu tu alinunuliwa gari kali na bwana mwingine na akamuacha Mondi.
@aishaabdul92879 ай бұрын
ila diamond angepokea tu hiyo pesa jamani alimtia aibu sana wema
@GubraCity-dm5sx9 ай бұрын
Mange ulikua mzur thaana😊
@susans44909 ай бұрын
Mnapenda kumpa air time
@geraldnjau71868 ай бұрын
Ni wimbo gani ulikua unaparfomiwa hapo niache (niende nie niende nie )
@kabwelerywamwatumu50789 ай бұрын
Mange Kimange una roho mbaya😢😢!Unajuaivo sababu ya Diamond kukataa kutokea hiyo hela?ulijua walichofia?Mimi sijui sababu ya wewe kumkataa Diamond, Diamond mwenyewe hana mda na wewe ata kidogo.
@pichunakichuna21119 ай бұрын
Daah mimi nigekua wema singewahi kuogea na Dee tena
@salehally-y8p9 ай бұрын
Sasa wewe mange uliyemzalilisha mama wema na daimond nani bora.
@belyseirakoze53719 ай бұрын
Yo maskini wema ni really sweetheart iyi show kipind inatokey roho ili niumaga hadi basi 😢😢😢😢😢😢
@rajabvuaimussa70499 ай бұрын
Hata na sisi tuna mchukia Mange Kimambi maana kesha wazalilisha wengi , Yaani mshenzi sana ku dadeki mbwa wewe !
@zabibuparker4729 ай бұрын
Hao mahakimu wa Istragra
@d-manb-free34789 ай бұрын
Haha mimi Ex wangu siwezi kuchukua na kipindi kile Wema alikuwa anapewa Pesaro na wenye maokoto
@hezronjoseph4059 ай бұрын
Sisi wasafi tulifulahi Sana,😂😂tulichoka usaliti
@elishaelishaedward94549 ай бұрын
Sasa we unampunguzia nn Diamond Platnumz pamoj na kunchukia kote unajifany dada mkumbw unalazimisha udada Kungulu wewe cikupendi we Lidada una jitia kilakitu unajua .
@FAUSTAMBAGA9 ай бұрын
enzi izo kaka anavaa necktie
@hassanbakari45259 ай бұрын
WEMA NI CHAKULA CHA ASILIMIA 80 YA WASANII MAARUFU BONGO,,,JINA KUBWA LKN HAMNA KITU,,,NA HII NDO MATOKEO YAKE,,,UNARUKA RUKA,,,BADAE UNAAMUA LIWALO NA LIWE
@agwalubifaridah70799 ай бұрын
So what!!
@hassanbakari45259 ай бұрын
@@agwalubifaridah7079 KAMA NA WW NI MAMA URUMA,,ENDELEA ATA USIACHE MWAYA..
@MassoudAlly-c9e9 ай бұрын
Sababu za kipumbavu mbona kuna wasanii kibao wanafanya ujinga na ndio anawasifia aka kadada kashamba mno alaf kanajikuta kajuaji hakuna
@RoverRoom9 ай бұрын
😢😢😢Hawezi kuoa hata apate Jini mapenzi diamond hawezi kuoa hata zuchu😂😂😂
@MsAggie59 ай бұрын
Maagano 😂
@michelselemani50418 ай бұрын
Langue ndo Nani??
@HansChuma9 ай бұрын
Huyu Dem nae kama anataka kuliwa Ndogo maana dah anapenda watu wamuongelee kwa mgongo na wamtu Et ananuka mdomo huyu dem chiz xana mbona yy alikua ananuka Uchi watu wapokimya kumchukia mtu sio ndio kumpunguzia mwenzio matatizo kavu kweli huyu Dem madem washenz xana uheshimiwe wewe nan
@Super-Diamond-Studio9 ай бұрын
Mango Endelea Kuchukia saaana Sisi Tunamupenda sana...Kwani Yeye alikua amejua Simba Alifanyiwaga Kituko Gani Mpaka simba akaushie iyo Pesa...
@ashurahatibu50699 ай бұрын
Nimecheka ivyo acheza anaangalia kando
@SaraMAVE-jt2mx9 ай бұрын
Wema alikuwa pisi kali enzi izo hakustahili kuwa nadaimond
@HanceBablo-ot8sz9 ай бұрын
Uyo diamond ni mshamba tu kama washamba wengi
@claudineali35619 ай бұрын
Ongera dada mange.Diamond aombe musama kabisa🎉❤
@svt39 ай бұрын
@ Claudineali3561: kwa lipi? Kwa kosa gani?😏😏
@bosssyedmund87858 ай бұрын
Wema mnampendeaga nin?🤔🤔
@festoedward19029 ай бұрын
Kwani mange ni nani
@MsAggie59 ай бұрын
Dada WA taifa 😂😂😂
@nancyg86649 ай бұрын
Rais wa Tanzania
@Gersah6 ай бұрын
😂😂😂@@MsAggie5
@theatlastz679 ай бұрын
Kwani wewe nan? @ Mangi kimambi
@johnmwasilu70879 ай бұрын
Mange aache mambo ya kitoto. Kila siku yeye Diamond. Mbona hajiulizi Mondi hamjibu wala hana time naye?
@Khalidniya3809 ай бұрын
Kwani huyu Mange Kimambi anajiona nani kwenye Bongo Fleva?
@BIGBOSS-hl3bu9 ай бұрын
Siwezi kutoa hukumu Kwa ushahidi wa upande mmoja no mondi nawewe sema wema akikufanyia Nini ili tupime wenyewe😂😂😂😂
@Jurbeg9 ай бұрын
Ukweli kwamba wema niyezebeli mama wama kahaba 😂😂😂
@Sakinaamani-o1t9 ай бұрын
Kisha anasema yeye ndo kapigwa matukio
@salimjumaa81809 ай бұрын
Sema Mange nae alikua ki2 na nusu kipindi hicho ila ssa wee kapauka hataree😂
@SallmaXg9 ай бұрын
Umeona eti eeeh 😂😂
@ASHAKHAMISMUSSA9 ай бұрын
Ivi wema mkubwa hlf anajitia kazaliwa 1990 kwa hy yeye na zuchu wanakaribiana miaka😮😮😮😮😮
@agwalubifaridah70799 ай бұрын
Sasa ndo ulie kituko wewe mchewww
@emmadaud5 ай бұрын
Wacha dharu
@JanetAhmad-v3h9 ай бұрын
Sasa huo mange😂😂😂 sasa umchukie umupende ya nini hiii dunia kuna chuki kuna kupendwa mchukie sasa hivo hivo
@alidaamur-vp9uj9 ай бұрын
Daa inauma kwl 😭
@georgebataze66259 ай бұрын
Wema alizingua, alikuwa anachepuka na watu wazito Diamond akalijua hilo ndio maana alimfanyia hivyo. Mapenzi yanauma bana
@Nihadshighadi9 ай бұрын
Daimond ndio alianza kucheat,wema akalipiza
@johnmwasilu70879 ай бұрын
@@Nihadshighadina baada ya kulipizia sasa alikuwa anataka nini tena kwa Diamond?
@agwalubifaridah70799 ай бұрын
@@johnmwasilu7087nyie choko mnajiona mcheat pekee yenu?
@Nihadshighadi9 ай бұрын
@@johnmwasilu7087 alikua anataka roho yke
@lodvee17179 ай бұрын
Diamond hawezijibu...we know this story na Mapedezye😅
@shabanizena26129 ай бұрын
Kwani kuacana ni ugomvi jamani😢uyu mondi shenzi sana
@svt39 ай бұрын
@shabanizena2612: ila Wema nampa mama yake sheria yaani karibia kila wanaume wote wasanii walisha muvua Wema chupi🤔🤔
@rosestigeneriksson83879 ай бұрын
Diamond ni mchawi
@idrissansereko64039 ай бұрын
Lakini Mangé kimangi ni mtu Gani ? Ebu nyie waadishi mtujuze
@KhalidyBoscoJr9 ай бұрын
😂😂kwani we ukimfuta mpaka huko kwa mashetan yako yeye anapungukiw nn yaan ndio maan unakondeana na hujui😂😂
@alfredyfredrick89559 ай бұрын
sasa huyo mange kama anaipenda familia ya wema kwanini alivujisha video ya mama wema akiwa anat*mbw* kwenye APP yake na ikasambaa sasa alie mzalilisha wema ni nani kama sio yeye mwenyewe? kila siku anapost mavideo ya watu huko kuwadharirisha sasa na wao wamchukie ataweza kuishi? yaani huyo mange mpuuzi sana hata mimi namchukia ni bora kipindi kile alipokua ana deal na siasa lakini alipoanza ku attack maisha ya watu na kuwapost kuwadharirisha na video zake nilimchukia completely
@kurumwagodfrey70529 ай бұрын
Mchukieee tyuuuu maana ww ni nuksi
@brendazayumba2359 ай бұрын
Kumbe
@mwanjumajongette81879 ай бұрын
MUNGU ampe hitaji la moyo wake aki Wema
@eddsonjeremiah66699 ай бұрын
Tofautisha personal issues and carrier.mbona asemi nae alivyogongwa hahahahahaha
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM9 ай бұрын
Mondi baba lao
@kimah98559 ай бұрын
Ati akuheshimu wewe ndo nani? Weh hakuna kitu mbaya mondi alifanya hivi ila alikuwa ana dance