MANGEKIMAMBI Kuhusu ZUCHU Kutangaza KUACHANA Na DIAMOND Kwa BARUA Nzito

  Рет қаралды 10,881

2GETHER online

2GETHER online

Күн бұрын

Пікірлер: 22
@salamalsawaqi1206
@salamalsawaqi1206 2 ай бұрын
Hakuna lolote hawa ndo maneno yao tumeyazowea hiyo ni kiki tu na Amani sialibeba mabeki siku chache mtawaona tena kwenye lain❤🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@mlimaMT
@mlimaMT 2 ай бұрын
Zuchu if you are looking someone to marry you apana sio diamond 😂😂..amechoka na kula ugali anataka something different 😂😂.
@IbrahimIssanofoumou
@IbrahimIssanofoumou 2 ай бұрын
Mali za kifremason hhhhhhhhhhh duu mtoto ana dharawowa😅😅
@bibitogo7789
@bibitogo7789 2 ай бұрын
0:37 Kiki zaidi ya upumbavu
@ramadhansalim9431
@ramadhansalim9431 2 ай бұрын
Kiki zao hzo sikuna nyimbo zuchu yuataka kuitoa yakuhusu ku betrayed mikundu Yao wote
@TaarabChannel
@TaarabChannel 2 ай бұрын
Kwanza munajua hawajawahi kua kwenye mahusiano Hawa!!! Labda hit and run tu ila hawajakua lovers kama nazua waje wanisute
@KanyanaMima-h7p
@KanyanaMima-h7p 2 ай бұрын
Nikweli
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 2 ай бұрын
😢😢tunataka habari za raisi yupo wapi
@KanyanaMima-h7p
@KanyanaMima-h7p 2 ай бұрын
Kiki tuu zakitoto
@uwimana6533
@uwimana6533 2 ай бұрын
Mwanamke mbaya akitongozwa na mwanaume star anaona kapata bahati kubwa ,kuliko wengine zuchu umri umenda ,daimond siomuaji 😂😂😂😂
@AishaNgoyi-vi2ku
@AishaNgoyi-vi2ku 2 ай бұрын
Siku akiachwa ndo ataamin anajiita mtt wa unguja kwamba amemuweza mondi 😅😅
@aishaz1
@aishaz1 2 ай бұрын
Wewe mzuri umemzidi na nini ata pa kula ni shida kwedaa mtagojea sana kaeni kwa kutulia mambo bado
@uwimana6533
@uwimana6533 2 ай бұрын
@aishaz1 alokwambia nani ananja mwenye nihuyo amekubali kutongozwa na Boss wake kisa tamaa ya kimaisha alokuanayo kipindi anasainiwa wasaf alikua kama nautapimlo 🤣🤣 kutongozwa na domo aliona kama ndoto akajua ataolewa ,ukiona mwanaume amepita nawanawake wazuri kumshinda zuchu, ujue huyo mwanaume anakutumia hakuna mapenzi 🤣
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 2 ай бұрын
😂😂😂Uchawa ambao auna faida pakulala ana ila hakifa wanazikwa chini wote nilijuwa bosi wako zucha atapaa​@@aishaz1
@Hgd-jk6lh
@Hgd-jk6lh 2 ай бұрын
Wanafiqi hao
@faizamohamed6993
@faizamohamed6993 2 ай бұрын
Ya ni kiki zao tu
@sabrinaali9750
@sabrinaali9750 2 ай бұрын
Hamukuona mama dangote alikua na Aliya kwenye arobaini ya Dida.
@AsiaAthumani-ew1gv
@AsiaAthumani-ew1gv 2 ай бұрын
😂😂na Ile familia ya mam dangote Kam inamfagilia San Alya hivi😂😂
@faizamohamed6993
@faizamohamed6993 2 ай бұрын
​@AsiaAthumani-ewhata akifagiliwa ni bure mwisho haolewi na ataachwa tena kama alivyoachwa mara ya kwanza akafuatwa zuchu.hii itakuwa ni kiki tu ya hiyo wimbo ya nimechoka
@mishwanwanmish8803
@mishwanwanmish8803 2 ай бұрын
Kikiii
@RehemaAbdalla-m9q
@RehemaAbdalla-m9q 2 ай бұрын
Pesa ndo inamchanganya mond na family yake, Zuchu kama nikweli ulikua unadet nae boss wako,hapo KAZI ACHA,watakuumiza bure,
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 2 ай бұрын
Billion ya kulipa anayo kisha alipie na nyimbo
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
WASANII HAWA NI NDUGU WA DAMU KABISA UMESHAWAHI KUJUA??
10:15
THE THIRD TV
Рет қаралды 720 М.
UTABIRI HUU ALIO UTABIRI MWALIMU NYERERE UMETIMIA KWA ASILIMIA 100%..?
9:13
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН