I will vote for wajakoyah as a protest vote(ofcourse I would be horrified if he actually won! And carried through some of his zany policies!). Politicians who have been a part of the system for over 30years are never going to change anything. They are too heavily invested in the current corrupt system to change it. If Martha was top of the ticket I would have been a different case. Kama ni ku N'goa sangari, n'goa na mizizi yake yote, la sivyo, nitavuka na wajakoyah bila pingamizi! I say Hail to the king, hail wajahkoya the 5th.6th,7th and to the nth degree!
@AwesomeExperiencez2 жыл бұрын
Yes we vote wajackoyah we have nothing to lose anyway
@cyrusnguri84432 жыл бұрын
ADY mOrAN
@hassanaliebrahim98222 жыл бұрын
Manifesto ya wajahkoyah 99% 1%yaku kubali ni ALLAH na utashinda in'sha'alah
@AwesomeExperiencez2 жыл бұрын
Wajackoyah ndani....we vote him in
@Dr.zaidi42 жыл бұрын
Manshaallah!!
@florankuene25192 жыл бұрын
We need new president of KENYA,Tumewazoea awa wengine SanA..Wameishi kwa serikari wametufanyia nini...KENYA we need to change...
@sophiawambui12252 жыл бұрын
Mimi nitavote for wajackoya mapema... Kwani Iko nini? We have nothing to lose as Kenyans, we have lost everything in the hands of those magaidi, recycling them over over with the same unfulfilled promises. If we continue this way we are going to lose our sanity... Tingiza miti hata si mti, ng'oa hata mizizi ikiwezekana... Wajackoya the 5th🔥🔥
@chrisgitaka25532 жыл бұрын
Hiyo ujinga of voting the same robbers every 5 years hata mimi nimekataa. I vote wajahkoya or decide to spend the day relaxing with family. It's really sad the kind of leadership this country and the wider African continent has produced. Bure kabisa, a majority of those governors belong in jail.
@majorwindowsmusic2 жыл бұрын
Rais sisi tunajua wajackoyah
@chichiresian96452 жыл бұрын
Hakuna kukashifu .. ni vision yake . Afadhali kuliko zile Sera tumeuziwa tangu Jadi. A hazitimizwi.. at least ako na change na idea ya kuinua uchumi
@betsyakoko68102 жыл бұрын
Ku supply nyama ya ubwa ulaya ni kuinua uchumi seriously
@chichiresian96452 жыл бұрын
@@betsyakoko6810 sure as long as inanunuliwa na pesa inaingi kwa mfuko wa mkenya ... kwenye nyama inaenda haijalishi.
@mtaanitvkenya80082 жыл бұрын
@@betsyakoko6810 sasa kwani anasupply bure? 😂Fikiria bana
@quanahmad33932 жыл бұрын
@@mtaanitvkenya8008 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mtaanitvkenya80082 жыл бұрын
@@quanahmad3393 😂😂😂ako sawa kila kitu😂hapo kwa kufikiria ndio anadraw the line
@shabbirmalik81232 жыл бұрын
Mti mwenye matunda hurushiwa mawe
@simonkuira91212 жыл бұрын
It's time we open our eyes...no more suffering...wajakoya for president..we will vote for you...!!
@venjablacks74972 жыл бұрын
Tingiza mti..........go go go wajackoyah
@marknjorogemw87662 жыл бұрын
Citizen is soo corrupt thank God I have a phone na nimesoma I'll vote for him Ata kama ntakua peke yangu
@AwesomeExperiencez2 жыл бұрын
Me too..tena na rauka
@chrisgitaka25532 жыл бұрын
Me to..
@nibeeboy64822 жыл бұрын
news ya citizen hupendelea baba,,,NTV is more neutral
@wlkmwlkm33812 жыл бұрын
Am with u
@jacksonmathenge28002 жыл бұрын
citizen ni watu wa azimio ......not the stuff but the bosses the whole royal media stuff will prolly still vote for wajakoyah no lie Wajakoya will shock all this other aspirants ...mark my words...
@thepalaceinteriorandexteri702 жыл бұрын
Even Jesus was crucified. People were asked if they want Christ or Barnabas they said Barnabas. So watu huwezi jua wanapenda nini. Wajackoya the fifth
@muemasammy43092 жыл бұрын
Where is jesus here????
@elvisbuyabo57832 жыл бұрын
Wajackoyah the fifth,,we should think without the box,,to restore our economy
@bensonmusioka41852 жыл бұрын
Wajakoyah the fifth,actually his manifesto yake iko sawa,kma hii ya 🌿 iko sawa azn it will a cash crop like tobacco 🛷 na zinginezo
@Whatiz-Real2 жыл бұрын
Anaother magufuli in Kenya
@jakadidacomedy31622 жыл бұрын
Wajackoya to the world
@erickik2542 жыл бұрын
the journalist was bias in choosing interviewees (those propagating negative energy). Wajackoyah has done much research in and outside the country, and he can transform this country faster. Wengine ni PR with colourful manifestos
@alimahmoud3582 жыл бұрын
Nyinyi wakenya acheni kuzungumza kingereza mnajidhalilisha .hao wazungu hata cku moja hawazungumzi luha za kiafrika acheni hizo
@reubennangat21872 жыл бұрын
Majackoya uko sawa
@kennethkimani59842 жыл бұрын
I will vote him
@ndambiribrian4682 жыл бұрын
Roots party,,,, Gospel of Jah
@sebicana36342 жыл бұрын
nimependa hiyo ya working days
@mathewsoneya69822 жыл бұрын
Yeah- you will have one more day a week to spend but in Isiolo- with no wajackoya to smoke since it will all be on the Nairobi expressway..and keep in mind the country will be full of snakes and dogs being cared for by people high on "wajackoya".
@janejudy41612 жыл бұрын
Vote yangu ni yko sir tuko pamoja
@auxgenmahewa57772 жыл бұрын
ROOTS PARTY.... Mizizi 😂👊👊
@memeflixfam2 жыл бұрын
M nimeona tu omosh😂📽😂
@hassanfarid24992 жыл бұрын
🤣🤣
@Gabymtotowamama2 жыл бұрын
Apo sawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jayelikanah10742 жыл бұрын
Wajackoya the 5th
@menyamajidi47442 жыл бұрын
Wajakoyh Ako sawa
@pointblank67692 жыл бұрын
Excuse me Mr Full of Shit Reporter, our leader does not advocate for nor do he himself engage in smoking of bhang, we are talking about industrial hemp. Tafuta unga na ustaarabu wacha kuharibu manifesto yetu.
@AGeeez2 жыл бұрын
Hiyo ndio manifesto pekee natambua
@sabinagitau97542 жыл бұрын
Yes please we can
@niyiterest49682 жыл бұрын
Waja ako poa course hata sasa watu wanatumia kwa fiche but wakipewa ruhusa hawatavuta, I will marry him once he becomes prezo
@kenya-id9gt2 жыл бұрын
wajackoya the fifth ...nyinyi na dini zenu kwendeni uko
@starlife35502 жыл бұрын
Wajakoyah azeeke pole pole akuna kitu anatwambia
@quanahmad33932 жыл бұрын
Hio take it to your nyanyez
@Mohame5082 жыл бұрын
I well vote for wajakoyah
@officialsaddmfalme53812 жыл бұрын
Wajakoya prezoo wangu
@abdurahimabdulkadir39262 жыл бұрын
Ufisadi watu wanaiba mali ya wanainchi na hawafanywi lolote Kisha wanaendea zingine kukopa zikija zaliwa mbona hao hawaji wakakashif mbona hawatafutwi Hawa watu wakaregesha pesa na kufungwa
@gracembai23572 жыл бұрын
Wajakoyathe5th ✅ Wasituletee. Eti wanakashifu?? Si waanze kukashifu Ile pesa wanaletewa kanisani na wanasiasa na Ni pesa yetu ya dawa, Barabara,maji,ungan na kathalika
@alexpato98282 жыл бұрын
Ahhhaaa
@nelsonwaliaula45272 жыл бұрын
You old people you need to change your kind of perception
@nick_ke2 жыл бұрын
Exactly 💯
@husna345622 жыл бұрын
🤣🤣🤣chebukat kaz anayo
@benokari19322 жыл бұрын
Mapastor ndio corrupt sana morning ae ll 4t 4 wajackoya
@nibeeboy64822 жыл бұрын
huyo ni Omosh hehe
@euniceombogo57122 жыл бұрын
Better ya Wajackoyah than ya Ruto
@khamisicjuma48322 жыл бұрын
Anaongea ukweli wajackoyah
@mwangijoseph44622 жыл бұрын
Waaah
@abdirahmanahmed24422 жыл бұрын
Basi itakuwa taifa zenye mali tajiri lakini wote ni wazimu afadhali akili kuliko mali akili ni neema za mungu tazama wanyama ukitaka kujua hiyo Bangi ni adui wa akili hiyo ni unyama
@elllyjaoko42252 жыл бұрын
wewe uelwi jua kwanini anahalalisha for commercial,,is because Kenya is poor..Wacheni ujinga apa Kenya Muna tu rudisha nyuma.changa with the economy Kenyans
@profjiknyolal61082 жыл бұрын
Hakuna!!!
@SlowlyGGG2 жыл бұрын
Bangi mtu Yu avuta kwa kujitakia ...lakini shida tuliyo nayo Sasa hivi inaumiza toka watoto wadogo Hadi wakongwe
@SlowlyGGG2 жыл бұрын
Bangi mtu Yu avuta kwa kujitakia ...lakini shida tuliyo nayo Sasa hivi inaumiza toka watoto wadogo Hadi wakongwe
@masangaben70892 жыл бұрын
🤓🤓🤓ati staff za fisi
@ngangamburu69382 жыл бұрын
Nyinyi wacheni wajakayo ni wegu kabisa
@shawn-the-first.16432 жыл бұрын
Hapo tu
@jmofficial50632 жыл бұрын
On learned people will vote for him
@khamisicjuma48322 жыл бұрын
Wow
@redickomondi79732 жыл бұрын
This guy is high on something. Keep giving him the hype
@lonelykid44852 жыл бұрын
huyu jamaa ako na jokes 😂
@gabrielkones47032 жыл бұрын
Atuonyeshe mbwa zake na nyoka for example...,
@elllyjaoko42252 жыл бұрын
mbona munachambuanga manifesto wa wengine na munaaribu ya wengine.Tangazeni news vizuri hii Kenya si yenyu ni ya watu wote na tunataka haki yetu
@DoricasTendeti2 жыл бұрын
😁😁😁😁😁 vusiru
@samuelbaya50992 жыл бұрын
Huyo ni Melevi na hajielewi wapi ametoka na wapi anaenda
@musamsangi7742 жыл бұрын
Hii ni project ya Raila kuteka vijana
@puritymwangi98802 жыл бұрын
I supposed Wajakoyah Tuko jobless cc youths even majuu wazungu hua wanafuga nyoka,mbwa na ngozi ya hyena ✓√ the fifth Prezzo Wajakoyah
@aminaagnita67572 жыл бұрын
Uuuuuwiiii my GOD
@GENZNEWS12 жыл бұрын
sasa wamelipa mpaka waislamu kumshambulia
@wayando2 жыл бұрын
Protest votes will all be for Wajackoyah
@starlife35502 жыл бұрын
Nyoka itatugeuka
@jimlenny96722 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@ngangamburu69382 жыл бұрын
See mzee edeni mlale
@mohamednagib25942 жыл бұрын
His English is literally flat for a professor. Alafu pia huyu msee ni kama kichwa iliruka....waaaaaaaaaaaaaaaa Kenya ina mambo.
@alexisjulian50842 жыл бұрын
Bangi ipandwe
@claracaren38902 жыл бұрын
Afadhali kuliko uongo za UDA na azimio
@betsyakoko68102 жыл бұрын
Well eat dogs meat that's the best keep snakes and keep at home good for you
@justinasige21652 жыл бұрын
@@betsyakoko6810 we shall ...badala ya uongo ya azimio na uda....shenz type
@evelynmbele84362 жыл бұрын
Kji8
@nicholasabaya28622 жыл бұрын
Mbona apeleke state House isiolo???
@muemasammy43092 жыл бұрын
Just a waste of time
@samsonmunga57822 жыл бұрын
Mmetumwa nyinyi I know you are supporting azimio la mawe🚮🚮🚮
@gutezfashionhouse37912 жыл бұрын
Tingiza miti
@richardkegege84352 жыл бұрын
I think is better to talk about the reality in life. Will the living conditions of people in kenya allow them to work 24 hours a day?
@moseskemei5598Ай бұрын
😂
@williamngigi62342 жыл бұрын
Proof that watu wa church huununuliwa na wanasiasa wakupuuza wajackoya... Kenya sisi sio wajinga😂😂😂
@nick_ke2 жыл бұрын
Imagine these hypocrites they're allover wajackoya moreso the " church leaders" . We have a rotten society and the only thing they can say is weed is bad
@woulteretapar43032 жыл бұрын
Afadhali ojakoya than ruto
@jeaninnemso2 жыл бұрын
🤔🤔wuueeeeh !
@Zack-w3r2 жыл бұрын
Madness
@mashinloomzee58442 жыл бұрын
mbona miraa amusemi na pia ni haramu na pia imealalishwa wanafik nyinyi
@marybuteka23762 жыл бұрын
Tutaishi aje na snake farming tutatembea wapi? Maybe wachawi ndo wanashangilia hizo sera zake,kama n bhangi watoto watatembea Bila nguo kwa kuvuta baghi Bila kupingwa
@jacksonmathenge28002 жыл бұрын
wewe toka hapa
@alimalala82862 жыл бұрын
ume kutana na wangapi bara barani wenye wamelewa bangi!? Na pombe jeee