Napokea mwaka huu ndoa yangu.upendo wa Mungu ukatawale
@NaomiIsobwa9 ай бұрын
Amina
@helenachoma56799 ай бұрын
Nipe Haki yangu Yesu
@helenachoma5679 Жыл бұрын
Naifunika Familia yangu kwa Damu yako Yesu Namfunika Eric kwa Damu yako Yesu
@brigthasteven3543 Жыл бұрын
Ninajitoa na kukataa spiritual husband .in Jesus name
@angeldenis8262 Жыл бұрын
Amina.napokea
@helenachoma56799 ай бұрын
God am here 🙏🏿 Bless my sister Odetha Choma
@hawamwilay7368 Жыл бұрын
Ameni napokea kwa jina la yesu
@helenachoma5679 Жыл бұрын
Usinipite Yesu katika maombi hayaa
@claudinemuhimpundu7940 Жыл бұрын
Amenn
@abigaelmwadena2262 Жыл бұрын
Ameen ameen. Mungu azidi kukubariki Mutumishi wa Mungu
@helenachoma5679 Жыл бұрын
Najifunika kwa Damu yako Yesu
@helenachoma5679 Жыл бұрын
Damu ya Yesu inifunike
@helenachoma5679 Жыл бұрын
Kwa Jina la Yesu
@bonamrema12010 күн бұрын
Asante Mwenyezi Mungu kwa mahusiano sahihi na ndoa takatifu
@MkisMwinuka Жыл бұрын
🙏🙏
@beatriceanthony2951Ай бұрын
Ehh Mungu naomba unifungue maisha yangu nipate mume bora. Amen
@TumainiMwankenja-kb7zs Жыл бұрын
Asante Yesu kwa kunifungua
@minasemindu30793 жыл бұрын
Napokea kuvalishw pete mwaka huu kwa jina lipitalo majina yote YESU
@helenachoma5679 Жыл бұрын
Navunja anga la giza katika nyumba hii
@magdalenajoseph4958 Жыл бұрын
Amina nimefunguliwa Tumbo lilikuwa linaniuma kupitia maombi haya sisikii maumivu Tena thanks loard
@joycemaina49759 ай бұрын
Asante Mungu kwa kunipa mwanzo mpya
@lulumkongwe99872 жыл бұрын
Asante YESU kwa kunifungua kifungo Cha jini mahaba, maana nimekua heartbroken kwenye mahusiano lakini wakati unaomba kuhusu kukataliwa nimelia sana naamini MUNGU amenifungua na mwaka huu lazima niolewe kwa jina la YESU.
@happynessbenedictor5743 жыл бұрын
Namshuru MUNGU kwa ukuu wake Muda si mref nitaingia kweny ndoa
@RachelMallya-gx1sv Жыл бұрын
Mm napokea mchumba mwema siku ya Leo mwenye akili ya maisha
@helenachoma5679 Жыл бұрын
Navunjaa anga la kipepo
@salmajumwa90332 жыл бұрын
Ameen 🙏😭 naona Mungu anitendea majabu mwaka ujao nikifunga ndoa🙏🙏🙏
@RachelMallya-gx1sv Жыл бұрын
Amin naenda kuolewa
@jenipherkamugisha46873 жыл бұрын
Amen...naona ndoa yangu miezi minne ijayo kwa jina la Yesu
@bonitv44822 жыл бұрын
Amen naamin Mungu alieyaleta mahusiano haya atayasimamia
@jeniejoram6513 Жыл бұрын
Ameeeen 🙏🙏
@RehemaRobert-i3x Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@mariammasamba81042 жыл бұрын
Ameen nimefunguliwa kwa jina la Yesu nampokea Mume sahihi ktk maisha yangu navunja mahusiano ya Muda mrefu yasiyokuwa na malengo kwa jina Yesu🙏emeen I believe God
@constanceq62444 жыл бұрын
Thanks My Lord, Nimefunguliwa kwa mahusiano ya kupata mchumba kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth. Amen
@marimuSaidi-of8bo Жыл бұрын
Maombi ya menisahidiya jini mahaba katoka mama mung nimwema alikuwa kanifung vituving mama saiv nimefunguliw😂😂
@floranimbona52602 жыл бұрын
Amen nimepokeya katika jina la yesu kristo
@helenachoma5679 Жыл бұрын
Navunja anga la giza katika chumba changu
@neemamwenye2088 Жыл бұрын
Amen.
@ellys73662 жыл бұрын
Amen napokea ndoa kwa jina la YESU 🙏🙏
@luluanosisye872 жыл бұрын
amen napokea kwa jina la yesu
@Besmile273 жыл бұрын
Asante Yesu
@priscajonas19783 жыл бұрын
Amen Amen napokea kwa jina la Yesu aliye 🙏🙏🙏
@beatriceanthony2951Ай бұрын
Ehh Mungu naomba uniponye tumbo langu
@gizerakiwona62163 жыл бұрын
Ahsante yesu kwa ufunguo wako kwangu.
@gizerakiwona62162 жыл бұрын
Ni mwaka Sasa toka nimeomba haya maombi na Mungu amenitendea. Ahsante Yesu. Ahsante mtumishi.
@Besmile273 жыл бұрын
Amen Asante Yesu nipo huru🙌🏻
@winfridamichael54163 жыл бұрын
Amina nimebarikiw na neno la mungu naamini ntazidi kupokea uponyaj nakufunguliwa kwa damu ya yesu
@actv11522 жыл бұрын
Asante Yesu nimefunguliwa
@thea-i4f4 ай бұрын
🙏🙏🙏
@berthamvungi32652 жыл бұрын
Amen nimepokea naamini Mungu atanitendea sawasawa na mapenzi yake
@jessyjeca3 жыл бұрын
Asante Yesu kwa kunirehemu naomba unipe mwanzo mpya Amen
@faithkapondo53832 жыл бұрын
Amen nmefunguliwa namuona mume wng mwaka huu
@sandramwifunyi67823 жыл бұрын
Amen mahusiano yangu yamerudi kwa damu ya yesu❤️🙏
@neyskitchen2 жыл бұрын
Amen Amen🙏 nimefunguliwa na napokea ndoa yangu kwajina la Yesu🙏
@magdalenajoseph4958 Жыл бұрын
napokea mume katika jina la yeah AMINA
@neemanyimbi23552 жыл бұрын
Nafunguliwa kwa jina la yesu Nguvu za giza ziondoke zinazoharibu mahusiano yangu
@asiamwakilama14183 жыл бұрын
Nabarikiwa na maombi yako yamenijenga
@zawadistamili65493 жыл бұрын
Amen barikiwa zaidi na zaidi dada
@suzancharles16394 жыл бұрын
Ooh dear lord do not pass me by
@esterlyanga26 Жыл бұрын
Amen, be blessed
@gladsleonidas14534 жыл бұрын
Ameen mam.. nimebarikiwa kwa jina la yesu🙏
@anekituah77184 жыл бұрын
Amen napokea kwa Jina la Yesu
@beatriceben86114 жыл бұрын
😭😭🙌🙌🙏 asante Yesu kwa kunifungua
@elizabethgonah48142 жыл бұрын
AMEEN
@malaikamedia83234 жыл бұрын
ameni nimepokea kwa jina la Yesu
@jacklinemwita41734 жыл бұрын
Amina Mtumishi mimi huwa kwenye mapaja na makalio nikiwa naomba panachezacheza endelea kuniombea zaidi
@ramahajji43953 жыл бұрын
Ahsante mungu
@zawadistamili65493 жыл бұрын
Nimepokea kwa jina la Yesu
@serinaserina96393 жыл бұрын
Ameen barkiwa
@florahjohn29803 жыл бұрын
Amen🙌🏽 i'm delivered in Jesus name.
@vumiliawambula17163 жыл бұрын
Amen, ila mm sio msichana m ni mama naomba mme kutoka kwa Mungu
@claudinemuhimpundu94822 жыл бұрын
Amennn🙏🙏🙏🙏🙏
@edissammole29153 жыл бұрын
amen
@asteriaastery60364 жыл бұрын
Amen praise the Lord I receive
@anishamgallah6449 Жыл бұрын
Amen🙏🏾
@janethlukuna81332 жыл бұрын
Kwa damu ya yesu maangono ya kiharali na sio yakiharali ninayakemea kwa jina La YESU wa nazaret
@lepa3tv8324 жыл бұрын
Ameen
@neemanyimbi23552 жыл бұрын
Ameeen 🙏
@dianasehaba11073 жыл бұрын
Amen in the name of Jesus christ
@asteriaastery60364 жыл бұрын
Amen
@emmymwandry99142 жыл бұрын
🙏 NIMEPOKEA.
@gladyvictor90942 жыл бұрын
Nahitaj kuolewa jaman mpaka nkafkia hatua ya kutaka kuondok nyumban nkapotelee mbali dada nisaidie
@doriesammy51194 жыл бұрын
Ameen!
@pamelakasambala95894 жыл бұрын
Haleluyah mama
@marimuSaidi-of8bo Жыл бұрын
Naitwa Mariam mama
@faustersteven7233 Жыл бұрын
Ameeeen napokea KWA JINA LA YESu
@faustersteven7233 Жыл бұрын
Ameeeen napokea KWA JINA LA YESu
@asimwegladness5274 жыл бұрын
Ameen amen
@rehemamakelele42884 жыл бұрын
Nimefunguliwa na nimepokeakwa jina la Yesu
@angeldenis8262 Жыл бұрын
Mungu nipe mme sahii
@linahpasco37753 жыл бұрын
Napokea mwanzo mpy ktk maish yng najisikia kuwa n aman y roho
@neemanyimbi23552 жыл бұрын
Nimetapika kama utezi ulivyokuwa unaomba pia kwenye kuvua pete kidole kinatikisika kikawa kizito kina vuta pia nulivoendelea kuomba nimejiskia kumpiga kelele naskia uchungu moyoni
@atuganilekalinjila83854 жыл бұрын
Mama tusaidie ili tuwe tunaweza kusave na tuwatch tukiwa offline tafadhali