Рет қаралды 5,484
Muhadhara uliotolewa na Sheikh Nurdeen Kishkii , katika ukumbi wa Hanafia Nchini Kenya Tarehe 08/06/2023, Mada ikielezea Maombi ya ya Mwanadamu pindi anapotokwa na Roho? InshaAllah fatilia hadi mwisho upate kuelimika, tunaomba usambaze ujumbe huu na Allah atawalipeni