Hakuna aleishinda wala alioshindwa ikiwa hoja zilijibiwa kabla ya nikash Sh. Hajji upepo alijibu Sh.Diwani amewafundisha balagha na maani pia hawajakubali nalakushangaza nina alikua ref ndio akawapatia wao kikombe cha ushindi.
@rachidmuhammad3356 Жыл бұрын
Sheikh jibu hoja 19 za bachu acha rawama
@ismailseleman2952 Жыл бұрын
Kiukweli shekh umekosea Haukuongeakwahekma waowamefikisha vile walivyoweza
@omarally6819 Жыл бұрын
Endeleeni kuwafanya wapumbavu hao wafuasi wenu, ambao wakati wana kufateni wanafumba macho na masikio. Nasio sisi kutupumbaza kwa upumbavu kama huu na uongo wa wazi kama huu. Hamuoni ata hayaaa!
@aliali-gw5pq Жыл бұрын
Afadhali babu kwa kuwaliwaza wajukuu zako maana kule tanga mliumizwa
@AbdallahMikidadi-cd1km Жыл бұрын
Sisi watu wa twarika kazi yetu kukohoa maa Shaa Allah
@teedosuleish6155 Жыл бұрын
Mnaocomment hua hamjasoma ni wabishi tu
@abuuamourmuhamed1934 Жыл бұрын
Hahahahaaaa twarika hahaaaa
@yyyyyy4144 Жыл бұрын
jibu wewe yale maswali 19 ya barazanji acheni twarika kukohoa kama muna nimonia
@hamudy0073 Жыл бұрын
ajabu ni eldoret mjadala ulikuwa hujielewi la kujibu na marungi jee umeacha mwenye ?hao wanaokusikiza wajuwa kuwa wachonga marungi na kula mgokaa au mwenye hakemewi na wafuasi wao ni kama pastor akifanya dhambi ni sawa tu ?
@fahadbabuy Жыл бұрын
Watu wa Twariqa🙆🏽🙆🏽🥱hii dini ukivaa kanzu tu basi unajiona ulamaaa😂😂😂hamna mpango wowote munashindana upumbavu ata wavuta bangi wasingebishana
@FarahJey Жыл бұрын
Semeni nyinyi watu wa bidaa ndio munavyo julikana, wateni kujipatika jina la utwarika,marina yenu ni ahlul bidaa
Hao wasomi wenu wajibu hizo hoja kwa dalili wacheni porojo.
@husseinadam1278 Жыл бұрын
jibuni hizo hoja mlizopewa Kwa dalili za Quran n Sunna kama mnaweza
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Ww una akili hakuna hoja aliotoa kwa quran wala kwa barzanji hoja ametoa kwa kitabu chengine muogopeni mungu
@jumamahmoud9271 Жыл бұрын
@@fikafikan8484 wewe kweli mgonjwa maana sheikh sabas aliulizwa je haya aliosema sheikh muhamed bachu yamo kwenye kitabu cha barzanji akajibu ndio sasa wewe unasema hoja hazikutolewa kwenye kitabu cha barzanji na hali yakua sheikh sabas mwenyewe amekiri kua yale yote yamo kwenye barzanji.
@husseinadam1278 Жыл бұрын
hakuna tofauti na biblia kwa uongo
@faisaloaljabry6400 Жыл бұрын
Sheikh dini si kitu chakufanyiw ushindani tukatafuta aliye shinda na aliye shindwa. Tunakiri kwamba ziko hadithi dhaifu katika vitabu vingi hata kama hatutakiwi kuzifuta katika hivyo vitabu lakini hazifai kutumiwa naiwe hicho kimehaririwa na mwanachuoni wakutegemewa katika enzi zake. Hakuna hakika kaziweka yeye hadithi hizo au mayahudi na manaswara na mashia wamezipachika wafanikiwe katika wayatakayo.
@faisaloaljabry6400 Жыл бұрын
Naona ni makosa ukiona kitu kisicho faa kisha wewe ukitumie. Tena kwakuwafundisha watu. Allah atuongoze tuijue batli na tuikemee tusibaki katika hila zakubishana nakutafuta mshindi hiyo ni fitina ya shaitwani. Allah wa rasulu aalamu
@prochesernest5439 Жыл бұрын
Wewe umeumia njoo Kwa Yesu kristo mwokozi upone. Hachana na njia isio sahii
@FarahJey Жыл бұрын
@@prochesernest5439 Wewe kama ni myahuda, toka hapa na ukristo enda kanisani,au ingia kwenye uislamu