Maotola lumbe je sabato ni siku ya jumamosi au jumapili

  Рет қаралды 893

PASTOR :MAOTOLA LUMBE TV

PASTOR :MAOTOLA LUMBE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 5
@VumiliaNgunda
@VumiliaNgunda 2 жыл бұрын
Barikiweni sana Watumishi was Mungu kwa kazi ya injiri
@chikambirumisha6883
@chikambirumisha6883 5 жыл бұрын
Huyu anaongea suala la sabato kimapokeo. Kibiblia halikp hivyo. Kwanza kabisa neno sabato kwenye biblia unalikita kitabu cha kutoka. Hulikuti kitabu cha mwanzo. Kwenye kitabu cha Mwanzo sura ya pili kweli Mungu alipumzika kazi za uumbaji.siku ya saba ya uumbaji. Siku hii hakuuita sabato. Adam hakupewa amri ya kuishika sabato wala uzao wake. Hata Bora baba wa imani hakupewa amri ya kuitunza Sabato. Kitabu cha kutoka kinaonesha kuwa sabato walipewa wanaisrael.baada ya kutoka utumwani Misri. Sabato ya siku wanaambiwa kwa mara ya kwanza wakiwa jangwani baada ya kutoka utimwani. Sura ya 16 Kitabu cha kutoka inaelezea chimbuko la siku.ya sabato. Siku zinaanza kuhesabiwa tangu siku Mungu aneshuka mana kama chakula. Mungu anamwambia.Musa kuwa anesikia manunguniko.ya wanaisrael.kuhusu chakula. Hivyo anawatershia chakula. Waokote kila siku share ya kutosha mlo.wa.kila mmoja wao..Wasiokote ziada itachacha. Mungu anamwambia Musa na Harun kuwa wataokota mana siku.sita, kila siku jioni watakamata kwale siku ya saba ya kuokota mana waitunza na ewaitakase. Atakayeinaji atauawa. Kwa hiyo waliokota mana siku dita. Hiyo ya sita wakapewa.amri waokote ziiada kwa ajili ya kesho yake. Wanabiwa siku hiyo wadtateh Pili sabato wastarehe kama Mungu alivyofanya siku ya saba katika uumbaji. Alistarehe. Hivyo Wanaambiwa kesho yake wapumzike bila kufanya.lolote. Hii ni.kwa wote na agano.la vizazi vyote vya israel. Kwenye sura ya.20 kitabu cha kutoka Musa anathibitisha kuwa agano hilo linawahusu waisrael.na vizazi vyao vyote kama ishara baina yao na Mungu kuwa kwa mkono wake ndiye awatakasaye. Kutoka 31:13 [13]Kisha, nena wewe na wana wa Israeli, na kuwaambia, Hakika mtazishika Sabato zangu, kwa kuwa ni ishara kati ya mimi na ninyi katika vizazi vyenu vyote; ili mpate kujua ya kuwa mimi ndimi BWANA niwatakasaye ninyi. Katika kumbukumbu la torati.Siku ya sabato inakuwa amri kati ya amri kumi alizopewa Musa. Kumbukumbu la torati.5:11. Hapa jambo hili linawekwa bayana kuwa ni kukumbukumbu kuwa Bwana aliwatoa utumwani Misri kwa mkono wake. Kumbukumbu la Torati 5:15 [15]Nawe utakumbuka ya kuwa wewe ulikuwa mtumwa katika nchi ya Misri, na ya kuwa BWANA, Mungu wako, alikutoa huko kwa mkono wenye nguvu, na mkono ulionyoshwa; kwa sababu hiyo BWANA, Mungu wako, alikuamuru uishike sabato. HIYO NDO SABABU YA KUTUNZA SABATO..AGANO HILI NA AMRI HIZO NI KWA WANAWAISRAEL MBELE YA MUSA. AMRI NA AGANO HILI NI KWA WANAWAISRAEL NA HALINA UHUSIANO WOWOTE NA UUMBAJI. SASA BASI WAKRISTO.WAITUNZE SABATO LA HASHA , WAKRISTO.HAWAWAJIBIKI KUITUNZA SABATO LA SIKU. SABATO NI YESU MWENYEWE.
@chikambirumisha6883
@chikambirumisha6883 5 жыл бұрын
Ibrahim
@abelimalifedha1762
@abelimalifedha1762 3 жыл бұрын
Ndugu, Kitabu cha Kutoka Kinasema, Ikumbuke siku ya sabato, Wanaambiwa Kuikumbuka kwa sababu ilikuwepo. Mungu alipofanya agano na Israeli aliwaagiza kukumbuka uzoefu wa Utunzaji wa Sabato iliyoanza toka baada ya Edeni. Misingi ya amri za Mungu ni ya milele ndio maana Utambuzi wa dhambi ya Kuua(Usiue) ilijulikana hata kwa Kaini kabla hata ya agano la Sinai. Ikumbukwe Hata Agano la sinai halikuwa Kitu kipya katika Uzoefu wa maisha ya Waisraeli kwa kuwa Misingi ya Agano kati ya Mungu na Watu ni ya Milele, wala haikuwa kitu kigeni(Revival)
@godlistenmsaki4116
@godlistenmsaki4116 5 ай бұрын
Asante baba umenena vizuri,nilikua na utata Sana kuhusu sabato,hakika umenijibu,,minaswali dogo,na zile amri kumi zilikuwa Kwa nani?na kama nikwetu wakristo je amri ya nne Hiyo siku ni ipi?
Почему Катар богатый? #shorts
0:45
Послезавтра
Рет қаралды 2 МЛН
Ful Video ☝🏻☝🏻☝🏻
1:01
Arkeolog
Рет қаралды 14 МЛН
Christmas dance |song|Script|Drama|message|prayer|conclusion
14:02
Abhishek ps tech
Рет қаралды 345
Twins Reaction After Diana Came Back😭 -They Really  Cried🥹
20:57
Итоги года спасательного ведомства
2:04
Репортёр73
Рет қаралды 1,7 М.
Почему Катар богатый? #shorts
0:45
Послезавтра
Рет қаралды 2 МЛН