Amani ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe kwenu studio! Nimebarikiwa sana na uchambuzi wa somo la juu hili. Roho Matakatifu aendelee kuwa Mwalimu na kiongozi katika maisha yenu.
@MICHAELNGANYA6 ай бұрын
Tunabarikiwa SAN
@justusmakusa83156 ай бұрын
Be blessed
@VeronicaYakobo6 ай бұрын
Barikiweni sana..
@joseph-masija6 ай бұрын
Someni vitabu vya roho ya unabii sio vitabu vya waandishi makafiri walivyoandika na kuweka vinukuu Vitabu wasabato hawana mara havipatikani lakini lesson haikauki - Huu ni mchezo mchafu. 2: mnaomba mmekaa? Hilo pia ni tatizo lingine
@NtemiNkuba6 ай бұрын
Mungu anasikia maombi hata kama ukiomba umelala
@NtemiNkuba6 ай бұрын
Kitabu gani hakipatikani?
@simonbundala63826 ай бұрын
Amani ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe kwenu studio! Nimebarikiwa sana na uchambuzi mzuri wa somo hili. Roho Matakatifu aendelee kuwa Mwalimu na kiongozi katika maisha yenu.