Hiyo ndo Tabia zao wote wawili mjini shule kijana.😂😂😂 Wanajuwana wote wawili ndo wanafiria inje ya ndoa 😂😂😂
@zybiancarozz5512Ай бұрын
Wueh kizungu nacho😮
@YucraKanyesuАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 icho kingereza sasa
@khamisomar_19943 күн бұрын
Siku watu wakiuwana ndio mutajuwa au hamjui
@RahemaJumanyАй бұрын
😂😂😂😂ila huyu
@AdelaMwanandenj17 күн бұрын
Ila jamani kaka wawatu alikuwa anampenda kweli mpenz wake
@stevenjoshua5866Ай бұрын
Ku baba ake kidhungu kidhungu 😂😂😂😂 nimecheka
@MarthaLwinga-f1q20 күн бұрын
Uyo rafiki akee ni mnafiki San na huyo dada hakuna na Nia yakuj nivire uyo rafiki mnafiki mfyuuu et naiyon Nguvu ya lakin tatu nyokoo😢
@veronicangwale7159Ай бұрын
Me sitaki haya mambo 😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
@ByamunguGentil-su8oxАй бұрын
Watu hatu lali kwajiliyako ivan 😂😂I’m from 🇺🇸 saizi ni şah 1:58 night
@maryamoTanzaniaАй бұрын
Ila aivani mchawi sana😂😂😂
@HapygideonАй бұрын
😂😂😂😂😂hicho kingereza Cha wapi
@AmosSniper20 күн бұрын
Malaya ni Malaya, Tena alomuoa check tumbo,, lazima aliwe
@FazohMediaАй бұрын
Kwani mpaka unajifanya Mzungu huwa hakufuatilii😂
@EstherJuliusLukindo15 күн бұрын
Dada mnafiki sana ameshindwa hat kumtumia.rafiki ake sms kwel
@musaernest3490Ай бұрын
Daaaa hatari sana mmefanya mpaka nimeingiliwa bando,😂 umbeya huu
@Shekhahamed-v2f18 күн бұрын
Jamani mabiti mtakufa kwatama
@BrendahMwausegha-cf4kwАй бұрын
Sitaki malafiki siwataki ngoo😢😢
@MeryCalorАй бұрын
😅😅 huyo rafiki nae jau anajua kushawishi 😅
@vicenttunzo8612Ай бұрын
😂😂
@SiwemaMbalinga-qf7ecАй бұрын
Yani hadi dakika yamwisho anamwambia mwenzie kama nakuona.unavochekelea nalaki3 hiyo kaitoa wapi
@DavidYusuph-q9cАй бұрын
Hivi ivan ana mpenz kweli mbn anafurah kuharibu
@amosmahona433Ай бұрын
kiingereza 😂😂😂
@MsuyaMgeta11 күн бұрын
Mbn hiki chumba kila siku ndimo unafanyia kila challenge,alafu hy hotel kila mtu anaingia tu kwenye room
@RahemaJumanyАй бұрын
Hata hawa kitu na shem wake Nina wasiwasi kama wanadate coz picha linaanza walikuwa wameshikana mikono kipindi wanaingia apo ndani ndy Ivan kawastop eti shem wangu😂😂😂😂
@MoannaMziguaАй бұрын
😂😂😂😂Ivan Ivan nakuita tena ningekua Mimi ningekimbia mana ningekutambua tangia mwanzoni. I come from from America? Really???
@SwumuMvungАй бұрын
Kama mngereza kweli 😅😅😅😅
@MrSokwe23 күн бұрын
Mwanamke mwenye akili timamu kichwani hawezi kumfanyia challenge ya namna hiyo rafiki yake.
@JasmineMsofeАй бұрын
Eti ngoja nijifunge vizuri maana nawajua akili zao yani uyo rafiki noma😅😅😅😅anaachanisha watu anasepa na elfu 50
@stephenernestkaforongo7585Ай бұрын
Yan kwa English hyo mm ningeelewa tu hli ni game🤣🤣🤣
@AllyIsaya-l2pАй бұрын
Oyah bro na mimi nataka hyo challenge I'm serious
@Maua-mj7pmАй бұрын
Jaman kingereza😂😂😂😂
@HamissaAbassiАй бұрын
Hayu rafiki mjinga Sana yn ameshindwa hata kumtumia mcg mwnzie kuwa huo n mtego daah wanawake mbn tunakuwa hivi jmn
@lucasgedy2500Ай бұрын
Nyie nao mumezidi tamaa
@augustinealoyce9064Ай бұрын
Ila we mshikaji unaharibugi sana mahusiano ya watu. Ila ni njia ya kuonyesha upendo wa kweli kwa mpenzi wako sasa swala ni kwamba mwanaume ndie kapenda kweli halafu mwanamke ni hola aisee inaumiza sana hapo Party hamna 🤣🤣🤣🤣
@RashidMgeniАй бұрын
Kwamba huyo mdada alikuwa hamjui Ivan au😢
@SabihaibrahimRajabuАй бұрын
Anavoongea huyo bwana tuu ivan mimi najua kama simzungu ni mswahili