Mapishi 5 za nyama | Jinsi yakupika aina 5 za nyama : nyama kavu ,firigisi ,steki ya nyama.

  Рет қаралды 39,606

Rukia Laltia

Rukia Laltia

Күн бұрын

Пікірлер: 44
@sammasadika8561
@sammasadika8561 4 жыл бұрын
😊🤤🤤🤤mashaallah mapishi hayo dada mungu akuweke uzidi kutujuza mengi🤲
@fatihiasalim8753
@fatihiasalim8753 4 жыл бұрын
Mashallah Mashallah umetoa maelekezo mazuri sanaaa,Allah akuzidishie kila la heri
@faazatiali
@faazatiali 4 жыл бұрын
Mashallah mashallah habibty 😋😍😍😍Zote zaonekana tamu Sanaa, mpaka nimetamani 😁, thanks for sharing 5 delicious recipes, I'll be a chef soon thanks to you ❤️❤️
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
Awwww thank you soo much habibty ooh yaaaaaas definitely 🥰🥰much love habibty 😘
@mamunote3507
@mamunote3507 4 жыл бұрын
Mashallah Mashallah Mapishi yako yote mazuri Thank you
@pluto313
@pluto313 4 жыл бұрын
Can you please do your videos in English? We love your Spinach soup and I make it all the time.
@happynessmolla1781
@happynessmolla1781 4 жыл бұрын
Asante kwa maelekezo mazuri.
@mosesamonga9366
@mosesamonga9366 4 жыл бұрын
Very delicious
@joslyjojo221
@joslyjojo221 4 жыл бұрын
We ni mkalii sana kabisa ubarikiwe
@suhayboali459
@suhayboali459 4 жыл бұрын
Hi ! My sister I'm from Somalia and I'm a new friend thanks 💖💖
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
Welcome to the squad Thank you 🥰🥰
@Mpendwa_Moon
@Mpendwa_Moon 4 жыл бұрын
i love this. masha Allah
@abigailsichi64
@abigailsichi64 4 жыл бұрын
😍😋😋😋
@hanibbishar2429
@hanibbishar2429 4 жыл бұрын
Its sooo nice
@rosemusunga2000
@rosemusunga2000 4 жыл бұрын
Asante sana dear
@jacksaid
@jacksaid 4 жыл бұрын
Dada tunashukuru sana kwa Videos zako unazo posti, tunazipenda na kuzifatilia kwenye channel yako ya youtube, mimi binafsi nina pendekezo sababu wengi hatuelewi majina ya viongo unavyo changanya kwa lugha ya sijui kiarabu au kiswahili, kwaiyo tunaomba kama kuna uwezekano wa kusema viongo katika lugha mbali mbali, especially kingereza ili tujuwe namna ya kuvitafuta kwenye maduka ambayo hawangei kiswahili, ahsante
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
I will do that
@irenejacklineexuper7129
@irenejacklineexuper7129 4 жыл бұрын
@@RukiaLaltia thnx alot dear au uwe unatuandikia kwa kiswahili chini tuelewe zaidi..all in all napenda sana kazi zako keep it up asante😍
@abdijuma4763
@abdijuma4763 4 жыл бұрын
MashaAllah
@siriyangu4724
@siriyangu4724 4 жыл бұрын
Mashallah
@habibaabdallah5403
@habibaabdallah5403 4 жыл бұрын
Asante kwa mapishi mazuri
@fettyally333
@fettyally333 4 жыл бұрын
Umeniacha jumbo ndo nn?mpendwa?
@adilimwabaya8321
@adilimwabaya8321 4 жыл бұрын
Shukran Dada Rukia. una mipango ya kuwerka kwa tovuti lini? naona mwisho ilikuwa disemba.
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
Tovuti ndio nn??
@adilimwabaya8321
@adilimwabaya8321 4 жыл бұрын
@@RukiaLaltia website
@winfridakamuabwa964
@winfridakamuabwa964 4 жыл бұрын
Asante sana
@fatumamohamed4518
@fatumamohamed4518 4 жыл бұрын
asc.søster suali shigo sin mfupa tu haina nyama
@nathaliaernest4342
@nathaliaernest4342 2 жыл бұрын
Naomba kuliza kazi ya mtindi ni no kwenye nyama
@minzamatondo1440
@minzamatondo1440 4 жыл бұрын
Dada rukia au wengine currypowder ni nn🤦‍♀️🤦‍♀️
@belisoloamin3238
@belisoloamin3238 4 жыл бұрын
Mimi cpendi hiyo halufu ya galamu masala labda kwenye biryani nisipoweka vp itakua mbaya
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
Ni sawa ikiwa hupendi
@belisoloamin3238
@belisoloamin3238 4 жыл бұрын
@@RukiaLaltia poa thax cku hizi nimekua mpishi mzuri mkono wako hauongopi
@camiliusswai9157
@camiliusswai9157 4 жыл бұрын
Unapatikana wapi nije tuzungumze jambo?
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
Rukaya.demey@outlook.com
@tayelaur_yn5737
@tayelaur_yn5737 4 жыл бұрын
Could you please also have this in English 😂smh... I wanna try this but I don't get a thing
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
I will do that
@agnesslukumay4348
@agnesslukumay4348 4 жыл бұрын
Napenda unavyoelezea ila hyo pablika ndo nn??cjaielewa
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
Paprika ya unga ulizia supermarkt
@ritachome4496
@ritachome4496 4 жыл бұрын
Agness Lukumay Paprika ni pilipili boga
@zuhuragwanko5373
@zuhuragwanko5373 4 жыл бұрын
Mbona huchemshi
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 4 жыл бұрын
Nice
@mariagekondo7452
@mariagekondo7452 4 жыл бұрын
Recipes naweza kuzipata wap
@fakhrayahya3460
@fakhrayahya3460 4 жыл бұрын
Mummy nyama kwa kuipika hvy tu itaiva bila kuivisha na maji.sorry naomba kujua njaribu
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
Itaiva ndio
Makange ya nyama | Jinsi yakupika nyama yakukaanga.
5:24
Rukia Laltia
Рет қаралды 249 М.
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 25 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 28 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 58 МЛН
DINNER IDEAS/COOK WITH ME‼️AINA YA VYAKULA VYA JIONI #lunch
22:08
jinsi ya kupika nyama kavu /nyama ya kukausha tamu sana
5:20
Asha Yummy
Рет қаралды 74 М.
JINSI YA KUPIKA NYAMA KAVU TAMU SANA
2:57
Hadija Sheban
Рет қаралды 858 М.
MBATATA ZA NAZI NA NYAMA
5:25
Aroma Of Zanzibar & Beyond
Рет қаралды 26 М.
NYAMA KAVU/JINSI YA KUPIKA NYAMA KAVU [BEEF CURRY] WITH ENGLISH SUBTITLES /Tajiri's kitchen
6:23
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 25 МЛН