Kweli binadam tumefika mwisho leo Waislam wanapondana nakuona huyu yuko sawa huyu hayuko sawa kweli wakat wote twaifuata Quran kweli jaman....Mungu tunusur na balaa hili
@arkaanahmed1231 Жыл бұрын
Lahawla hi ndio tabia zama shiia na masufi
@Khalid-mf3iu Жыл бұрын
Waona mabohora hufanya na wao hufanya
@mussakhamis-g8c Жыл бұрын
MAWAHABI MASKINI HAWAJUI WATU WANAVYOWAPENDA WATU WEMA
@ummusalim1991 Жыл бұрын
Hata haipendezi watu wanavyofanya fujo na zahma SubhaAllahh😢
@Khalid-mf3iu Жыл бұрын
Vimbele mbele kila mmoja ataka kuonekaniwa
@hassanaboud8442 Жыл бұрын
Mbona vihoja hiizz what this
@Dukaree Жыл бұрын
Ovyoooooooooooo........let's make Dua for Palestinians Uliza maoni ya waislamu kuhusu palestine Insha Allah palestine 🇵🇸 will be free with u or without u (mashehe wa serikali ya kenya)
@Khalid-mf3iu Жыл бұрын
Upuzi tu huu....yani watu huubabaikia mkono waubusu tu...mtu mwenyewe hata hakuangalii ..
@salmaali7080 Жыл бұрын
Hamukosi lakusema mashaallah
@mansurtwalib4821 Жыл бұрын
ww Khalid huna adabu waona watu wote ni kama ww
@Khalid-mf3iu Жыл бұрын
@@mansurtwalib4821nimekosea wapi
@mrafm7285 Жыл бұрын
Mtaendelea kuwa watumwa wa watu mpaka kiama amali njema ndio itakayokubeba siku ya qiyama siyo sharifu Wala ukoo flani na mkiambiwa ngumi nje nje
@muhammadsheekh7993 Жыл бұрын
Hiyo ni fursa adhimu ya kuongelea maswala ya wtu walamu sio kupiga twari na kul a na tuna mengi yatusibu kuongelea
@babubabz4507 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@mussakhamis-g8c Жыл бұрын
Lazima tuwapende watu wema
@abdulrazakmohamed7713 Жыл бұрын
Hivii kwly ni uisalamu jamani
@Khalid-mf3iu Жыл бұрын
Utajionea vituko visoisha kwa hawa watu
@Khalid-mf3iu Жыл бұрын
Kuna wengi wana itikadi hapo yani ati wakimgusa huyo au wakimbusu mkono huyo sharifu kama wana maradhi basi yatapoa
@MuhammadMuhammad-lq2um Жыл бұрын
Hiyo eti yako tu ni kuwa huna hakika na unacho kisema
@MuradH57 Жыл бұрын
mgeni anapokelewa kwa vurugu hivyo? aibu aibu watu wa lamu
@Khalid-mf3iu Жыл бұрын
Wamemfanya kama Mulla wa kibohora utaona watu wanavopapatikia kumbusu mkono....ilhali hta mwenyewe saingine hakuangalii yani ww ndo uiname uubebe mkono uubusu
@salmaali7080 Жыл бұрын
Mwaangaliyanini basssiii
@mussakhamis-g8c Жыл бұрын
KAMA HUYU KAPOKELEWA HIVI KWA MAPENZI HAYA IMAGINE ANAKUJA RASOUL AS WATU WANGEMPOKEAJE KWA MAPENZI YAO??