MAPOKEZI YA HABIB UMAR BIN HAFIDH MALINDI 2023-1445 | HABIB UMAR KENYA TOUR 2023

  Рет қаралды 6,777

Al Ihsaan TV

Al Ihsaan TV

Күн бұрын

MAPOKEZI YA HABIB UMAR BIN HAFIDH MALINDI 2023-1445 | HABIB UMAR KENYA TOUR 2023

Пікірлер: 26
@daudmharami4722
@daudmharami4722 11 ай бұрын
Alhamdulillah
@Fumokale
@Fumokale 11 ай бұрын
MashaAllah mapokezi mazuri yenye nidhamu...hawa ni watu wazima na hishma zao na akili zao..hawangekuja ila kutaka fadhla kwa Allah kwa kumkirimu mwanachuoni...acheni kejeli asije Allah akakurudini kwa maneno machafu munao toa ktk vinywa venu
@omarymussa1638
@omarymussa1638 11 ай бұрын
Masha Allah
@hassansayyid4001
@hassansayyid4001 11 ай бұрын
MashaAllah Amin
@mibsamswedi928
@mibsamswedi928 11 ай бұрын
Mashallah Barakallah Swalawaat
@Fumokale
@Fumokale 11 ай бұрын
Watu wema Allah awakirimu kwa wema na inshaAllah nyote munaompokea Allah atawafanya wema hp duniani na kesho akhira kwa kumtambua mwanachuoni...wenginèwanatambua wakubwa wa vyeo na waimbaji...hp tuko na mwanachuoni ktk wanavyuoni walobakia...Allah amjaalie IKHLAS...amiin
@babuimam550
@babuimam550 11 ай бұрын
Mawahabi mnashida
@positivevibez001
@positivevibez001 11 ай бұрын
Hahhah😅
@HemedMuhammad-zr3my
@HemedMuhammad-zr3my 11 ай бұрын
Karama mwandazimu nyinyi hamujui
@Fumokale
@Fumokale 11 ай бұрын
Chunga mlimi wako aside Allah akakurudi kwa maneno machafu na stihizai kwa mwanachuoni
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 11 ай бұрын
Karama@ kwani ushaongea. Na paka au bado 😂😂
@Fumokale
@Fumokale 11 ай бұрын
Huna adabu..hamujui musemalo mafidhuli
@asifznz
@asifznz 11 ай бұрын
Ahlul kubur hawa
@muhideennoor2458
@muhideennoor2458 11 ай бұрын
Muluambiwa muangalie mwahabi mbona mwapenda umbea
@MaulidShehoza
@MaulidShehoza 11 ай бұрын
Tutakwenda kusimama mbele ya hakimu muadilifu tutajua bayana lakini ww kusema ahlul qubur na hauna uhakika naunacho sema utaenda ulizwa pia
@RayRey-b4x
@RayRey-b4x 11 ай бұрын
MUNGU AKUSWAAAMEHE KWA KAULI YAKO 😢
@karamakarama4639
@karamakarama4639 11 ай бұрын
Mukiitwa mashia musikatae.Ayatollah Umar huyo akiwasili malindi sio?Haya mwambiye awatiye peponi kama ana pepo yake huyo.Kazi kudanganya ummah wa kiislamu tu.Elimu ni mwangaza na ujinga ni Giza,amua mwenyewe sasa
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 11 ай бұрын
Karama@@kama huna cha kusema nyamaza😂😂
@muhideennoor2458
@muhideennoor2458 11 ай бұрын
​@@Ahmadasshii-raazy8888hiyo ni kudhihirisha utupu n chuki zao za kiwahabi
@jamalijaha8726
@jamalijaha8726 11 ай бұрын
Eee karama eee tusitengane kwa madhehebu yetu tupendane kwa uislam wetu sio kila coment anatoa muislam wengine ni makafiri tena wengine ni mayahudi wanaingiza chuki ktk dini yetu
@karamakarama4639
@karamakarama4639 11 ай бұрын
@@jamalijaha8726 hatuwezi kuwa kitu kimoja bana,ukweli usemwe.Kwani hujui kama kuzuwa kwa dini ni UBAYA wamzuilia RASUL wetu?Umoja wa mayai na mawe kwa kapu Moja Kisha wenda mbio kuepuka mvua na umevaa malapa?Haiwezekani mpaka muache kumzuilia RASUL .Kwani c dini ilikamilishwa tu na ALLAH?Haja gani ya kuzuwa?
@karamakarama4639
@karamakarama4639 11 ай бұрын
@@jamalijaha8726 waabudu wa makaburi nyie kisha tuwe wamoja?La hasha.Ayatollah Umar huyo kaja kwenu,mwambiyeni awatiye pepo kama ako nayo khurafi na mzushi mkubwa.Wacheni kujipotezea wakati kwa shirk Al akbar.Leo nakukanya mimi kesho usipotubia utabakia motoni milele.Sasa kazi kwako kama mimi nishakwambia ukweli wa dini ya kiislamu
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 10 МЛН
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 7 МЛН
小丑在游泳池做什么#short #angel #clown
00:13
Super Beauty team
Рет қаралды 42 МЛН
MAULID YA MASJID TAQWA | INGILANI MOMBASA | 1446/2024
2:02:26
Al Ihsaan TV
Рет қаралды 1 М.
swali moja tu lamzuzua bachu na kukimbia maskini
2:40
MUFTI SHABAN. A. MUSA Mombasa Kenya
Рет қаралды 23 М.
HAJARTUL KHALQA | ALI UTHMAN (MURTADHA)
7:43
Al Ihsaan Records
Рет қаралды 4 М.
AL-HABIB OMAR BIN HAFIDH AAMUWA KUIGAWA NEEMA  KATIKA MSIKITI WA KICHANGANI MAGOMENI  TANZANIA
1:51:42
Mapokezi ya Al Habib Omar Bin Hafidh Lamu
17:10
Abu Shuraim
Рет қаралды 5 М.
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 10 МЛН