Kumbukeni amri kumi za Mungu, cheo chochote kisikufanye uvunje amri kumi za Mungu , kuna maisha marefu tena ya milele baada ya maisha haya ogopeni sana kupoteza au kuwaza kupoteza uhai, Ambao Mungu kamjalia ndugu yako, shindaneni kwa hoja kwa nini mnawaza na kusema mabaya?
Mi naona Mheshimiwa Zito anajua anachofanya, hajakurupuka kama waonavyo wengine, pia ni kichwa kimoja kinachochangamsha,bila kuwa na watu kama Zito tutasinzia Sana na kujisahau,wacha alichemshe Taifa.
@justinekashiriririka86904 жыл бұрын
Huyo ni Zaid ya Magufuri akisema Dunia inasikia Mwambieni Magu aseme nae Dunia imsikie kama anaujanja huo
@Ndu-wa.uroony24 жыл бұрын
Ataanzia wapi sasa kwa mfano?
@bilalzuberi98754 жыл бұрын
Mbona hatuoni mapokez yoyote unayosema!
@emmanuelzwallo39334 жыл бұрын
Ulichoandika Ni tofauti na kinachoonekana.huu Ni wizi wa wazi
@regantv56574 жыл бұрын
Kama inch imeweza kuzibiti madili feki nakukusanya kodi kutoka kwawananchi inakuaje tukopeshwe alafu tulipe kwariba vyanzo vyote vyapesa serikali imevizibiti kwalugha nyepesi pesa zipo ndiomaana hata huku mtaani hela haionekani ninavyoona serikali iache kuangaika namikopo itumie pesa zilizopo...
@daudmalangisa13654 жыл бұрын
Wamsamehe hajui atendalo
@ahamadially83514 жыл бұрын
Aaaah sio kweli kapokewa na ndugu zake acha uongo
@anzurunimakala53994 жыл бұрын
We we in kicha zitto no MTU wawatu anajielewa
@josefumnama37804 жыл бұрын
@@anzurunimakala5399 huyu mbona mzarendo ila wasio mjua ndio wanachonga
Kama tunapesa za kutosha yanini kukopa wanaotoa pesa nao wanataka riba tuwe makini
@emmydzoo87294 жыл бұрын
Tatizo anaiga maneno yawanasiasa waelewa
@sophiatayai74784 жыл бұрын
Lymo media huwa wanaporojo nyingi na niwaongo sana.
@dbmsoftball80564 жыл бұрын
Zitto bado anaunyani akilini, hata hafai
@mosallah49074 жыл бұрын
Watu wenyewe wapo?
@ceciliajimmy56524 жыл бұрын
Maana nyingine ya "nyoko " ni "mama yako " hivyo kwa lugha ya Zitto bado hujamtukana. 😂😂😂
@josefumnama37804 жыл бұрын
Hahahahajahaa we nooom
@bimachalles34224 жыл бұрын
Uko vizur hongera Kk zito tunakusubir kigoma
@elizabethandrea44664 жыл бұрын
Hata Mapokezi Askofu YALIANGAMIZA Mamia Ya WATU Yalikuwa Hivi au,hivyoTusiiteNi BARAKA
@marchadesmgarula47374 жыл бұрын
Elizabeth Andrea video
@fredchaki95914 жыл бұрын
Safi zite watakujua atutaki kutawaliwa bill kufuta misingi ya kisheria na katiba na kuzingatia haki za binadamu
@samusonibalazingiza36894 жыл бұрын
Mbona mapokezi siyaon japo nishujaa
@abdulrahmansalim97734 жыл бұрын
Hakuna mkopo wizi wa Mali za umma na gangster kitumbo Cha haramu.
@brackmondchayna73944 жыл бұрын
Ruyagwa💪💪💪from kigoma
@jumaigoti86384 жыл бұрын
Mbona zito nikasisimizi tu.wala mm haniumizi akili.
@stevenkamos3284 жыл бұрын
Juma Igoti kuna anaekuumiza akili!!
@josefumnama37804 жыл бұрын
Basi ww ni kitembo
@ernestlaiza33064 жыл бұрын
@@josefumnama3780 haha watu mnatabu sana
@azizawadh59734 жыл бұрын
Kwani kakuita humu
@samwelieliasy96534 жыл бұрын
Mshenzi 2
@idrisaseiph34994 жыл бұрын
Kabisaa han kaz
@kasumilikamilius72454 жыл бұрын
Huyo mchwara nani ataenda kumpokea mana hana sifa ata kidogo ya kua kiongozi kwenye nchi ya tz
@azizawadh59734 жыл бұрын
Kama wewe
@azizawadh59734 жыл бұрын
@@kasumilikamilius7245 lakini ni kiongozi
@shebaminde76564 жыл бұрын
Sasa hayo mapokez yako upande gani? M siyaoni hapa au yatakuja badae?
@deusmauka96264 жыл бұрын
Masrahi ya Taifa kwanza , vyama baadae, aache upuuzi ataumia.
@edwardmagori66304 жыл бұрын
Msaliti.....
@jitabojilala61624 жыл бұрын
Eti dar yazizima
@danielkwilemba47154 жыл бұрын
Media ya upinzani ....inafanya kazi kwa masilahi ya wapinzani tu.
@rasnchimbi4 жыл бұрын
Kama TBC kwa ccm?
@adolphinakaiza33264 жыл бұрын
Nyooooooo!
@francesmachelela67324 жыл бұрын
Inamana zito anataka selikali isomeshe Malaya anaebeba mimba akiwa shule asiishie kufukuzwa hiyo niadhabu ya kitoto yamfaa kitanz afutwe kwa sura ya dunia kabisa
@nyeguyemachozijacob74434 жыл бұрын
Kila Mtanzania anayo haki ya kupata elimu ,,,awe mzee kjana au mtoto anapaswa kupata elimu ni haki yake kwan taasisi ya elimu Tanzania inaendeshwa kwa kod ya wananchi ,haohao wananchi ndo wanaobezwa kupewa elimu Je ebu fikilia huyo usemaye ni Malaya angekuwa mwanao ungesemaje ? Tumuogope Mungu na tujifunze kusamehe nasi tutasamehewa Mungu awe nawe mzalendo wa nchi yetu
@bonnymakuke77584 жыл бұрын
kwani mkewako ulimkuta bikra!! fara nini maraya aanze mkewako zito yoko sawa
@alghafryabdullah91484 жыл бұрын
Acheni huu bwana wakuandika headline ambazo sizo zinazo trend kwenye video huu ni wizi wa mb. Zetu
@efrinkana27784 жыл бұрын
Achen kuandika headline za uongo hiv nyie mpaka mfanywe nn ili mseme ukwel
@nsiamassawe30754 жыл бұрын
Majambazi Wa mb hamna mashiko
@changeme40374 жыл бұрын
Wewe ni mwana ccm pubavu
@zakayothomas36174 жыл бұрын
Nyoko
@janethkilonzi42604 жыл бұрын
Sisemi kitu Kwa kwel
@innocentpeter64094 жыл бұрын
kabwe bwege tu
@henryndosi11144 жыл бұрын
Mwandishi kanjanja wewe
@wemamtafya18314 жыл бұрын
Eti msafala wa gari nne
@salimabddala37584 жыл бұрын
HAYO MAPOKEZI YAKO WAPI?
@christophermalongo15774 жыл бұрын
Iskaliyote
@jumajulius49034 жыл бұрын
Nyie wandishi wasenge sana mnaandika mambo ya kijinga acheni uongo wa kijinga kudanganya mapokez yako wap