No video

MAPYA! BABA WA MTOTO YUNIS ANAYEPONYA WATU ATEMA NYONGO, ALIA MWANAYE KUBANIWA - "TUMEANZA KUACHWA"

  Рет қаралды 16,416

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 83
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@patrickmutombovox7568
@patrickmutombovox7568 3 ай бұрын
Amjambo MZEE Atiamo, Nilitaka KU kwelezea kama, IYI neno ya sister Yunis, SIYO neno ya kidunia APANA. Na tusi endeleye kukumbuka wala kujiuliza ma swali namuna MINGI, LAKINI tumu atche Mama Mtakatifu ATU linde mu NAMNA lake KWANI IYI NI maneno Super Natural 🙏🙏🙏🛐🛐🛐
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 Жыл бұрын
Baba yunus kanisa katoriki nimakini kuliko unavyo elewa linataka usibitisho wahali ya juu sana halifanyi kazi kwa mihemko. halitaki maswali yatokee hatasisi wakatoriki tutauliza yule ni nani dunia ina mambo mengi kuliko unavyo elewa tena ungeacha kulisema kanisa acha kabisa !!!!
@theresiakaruhanga364
@theresiakaruhanga364 Жыл бұрын
Sasa hapo Mzee unaharibu, wewe kabisa unajua kanisa letu halikurupuki, hata askofu Wala kardinali hapaswi Hadi hapo kanisa litakapojirudhisha bila shaka yote kwamba hii ni nguvu ya Mungu. Hupaswi kulalamikia Muachie Mungu aliyeanzisha kazi hii ataikamilisha.
@user-no8gj7fw7k
@user-no8gj7fw7k 4 ай бұрын
Mungu azidi kumtumia kwa huduma ya uponyaji kupitia Mama Yetu Bikira Maria naaamini
@restitutanjau2585
@restitutanjau2585 Жыл бұрын
Baba Yunisi hamjaachawa,kanisa lina utsaratibu wake kuwa tu mvumilivu na mnyenyekevu .Muda utafika ambao Mungu amepanga kanisa kuamini
@hanningtonmwinga8651
@hanningtonmwinga8651 Жыл бұрын
Ndugu mtangazaji, naomba kama itawezekana, uongee na ndugu Julius, anitumie maji ambapo nilmitumia hela tarehe 22/09/2022, na hadi leo tarehe 1/11/2022,SIJAPATA hayo maji.Nikimpigia simpati na hafungui kwa whats app.Naomba ndugu unisaidie, kama itawezekana.Hannington Mwinga,Mombasa, Kenya.
@shalomkubali4884
@shalomkubali4884 Жыл бұрын
Eti bikira maria 😂😂😂😂😂😂😂😂 watu bhana
@mcback4384
@mcback4384 Жыл бұрын
Ushetani wa viwango vya kuzimu
@mecktildatushabe7898
@mecktildatushabe7898 Жыл бұрын
Yesu ndiye njia yw kweli na u
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 Жыл бұрын
Sasa Jamani simumpeleke Muhimbili 😢
@gh7naa
@gh7naa Жыл бұрын
Sanamu la wazungu wamelichonga ibrahim kavunja masanam
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Kanisa Katoliki kina utaratibu wa matukio kama haya, miujiza sio mafundisho makuu ya Kanisa. Acha Kanisa ifanye kazi yake, usilazimishe,acha kulalamika.
@fatumakwekwe3211
@fatumakwekwe3211 Жыл бұрын
Mungu aliye mujaalia yunis kuwa na nguvu ya kuponya yu hai kwa hiyo songa mbele usiwe na hofu yoyote
@stellah3844
@stellah3844 Жыл бұрын
Baba Eunice Wewe endelea kumsaidia mtoto afanye kaz ya Mungu alopangiwa achana na hao washaona kanisani kwao Sadaka zimepungua
@fr.deolyakunga4984
@fr.deolyakunga4984 Жыл бұрын
Baba Julius, asante kwa Huduma Zako kwa Maelfu ya Watu. Ila, MGONJWA NDIYE HUMTAFUTA DAKTARI; na Yunis ni Chimbo cha Mungu ili kudhirisha Uwezo wa Mungu. Huyo mtoto Yunis ataishi miaka mingi sana. /Nabii hapati heshima nyumbani kwake..(Marko 6:4)!
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 Жыл бұрын
Baba Yunis endeleeni kufanya kazi ya Mungu
@gwanda27
@gwanda27 Жыл бұрын
Kanisa halifundishwi Cha kufanya kuwa mvumilivu muda ukifika kanisa litamchukua na kuwa sehemu ya mafundisho kwa watu na kanisa wewe kuwa mvumilivu,jifunze kwa Padre pio pamoja na kutengwa na kanisa aliendelea kuwa mvumilivu lakini mwisho kazi yake ilidhihirika,kanisa linapitia changamoto nyingi linaogopa kuingia katika nguvu za giza na kuziaminisha kwa waumini wake upesi hivyo kanisa lazima lijaribu kwanza mambo hayo!.
@maureenmasoni1276
@maureenmasoni1276 Жыл бұрын
Just thank God for what God is doing through your child, If someone is not clean why should he go there?
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Baba yunus naamini mama bikira maria aliyempa uwezo huo wa kumpa nguvu yunus kwa kuwasaidia waja wake naamini kila jambo linapangwa na mungu mungu atampa nguvu zote yunus na atasonga mbele tu
@lameckmkama9770
@lameckmkama9770 Жыл бұрын
Kabla ya yesu kurudi tutaona na kusikia mengi wengi watapotezwa Kwa miujiza
@nasrasway7143
@nasrasway7143 Жыл бұрын
Pls naomba number niko South Africa nataka Kuja
@niyomugabojohn8329
@niyomugabojohn8329 Жыл бұрын
Wazee wa Kanisa, walimusilia uivu Yesu badae wakamuuwa.
@kerencikuru6039
@kerencikuru6039 Жыл бұрын
Mungu ni kubwa yunis enda mbele ndani ya uduma Mungu atakulipa mtoto wetu
@marykennedymarwa1641
@marykennedymarwa1641 Жыл бұрын
Haya mambo yanatokeaga tu Tanzania ,🤔 mbona sehemu nyingine havitokei ????
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 Жыл бұрын
Kwasababu sehemu nyingine hakuna upako.
@greenlife7189
@greenlife7189 Жыл бұрын
Ni kwa sababu hujui historia ya kanisa na yanayoendelea ndani ya kanisa.
@fransiscondyanabo9154
@fransiscondyanabo9154 Жыл бұрын
Wivu mwingi Sana tatizo Tanzania mungu nimuweza yote
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 Жыл бұрын
kaka nikumbushie baba Eunice maji ya Italy please 🙏🙏🙏🇰🇪🇪🇺
@tajilimtoto5009
@tajilimtoto5009 Жыл бұрын
Soma neno
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 Жыл бұрын
@@tajilimtoto5009 neno tunalisoma
@JacintaNafula-ed1wl
@JacintaNafula-ed1wl 4 ай бұрын
Yule mtoto yunisi acha watu wamuamini kwa kua ametumwa na bkira maria.mama wa mkombozi.
@DevidiMajaliawa
@DevidiMajaliawa 20 күн бұрын
Nataka nije nipatie namba plz
@salma0000
@salma0000 Жыл бұрын
Loliondo part 2😂😂
@amour5535
@amour5535 Жыл бұрын
Hahahahaha umeonaeeeeh
@salma0000
@salma0000 Жыл бұрын
@@amour5535 😂😂😂
@niyomugabojohn8329
@niyomugabojohn8329 Жыл бұрын
Wewe Baba, mbona unarazimisha watu wakubali Mambo yako na Unisi na Bikila mariya?!.. Wewe Turiya Bikila Mariya akipiganie mwenyewe,.
@muuu9505
@muuu9505 Жыл бұрын
Km haulalamiki mbona umeita waandishi?
@mayowangimba9553
@mayowangimba9553 Жыл бұрын
Wanatafuta fedha tu,mungu wanamna hiyo hayupo,muache kuaminisha watu uongo huo
@nasrasway7143
@nasrasway7143 Жыл бұрын
Naombeni number nataka Kuja kigoma pls
@jokepenis2016
@jokepenis2016 Жыл бұрын
MUNGU hutumia mwizi,muaji,na jambazi,mbakaji na akamwokoa na akawa nabi na akawa nabi,mfalme Daudi,mussa,na wengineo kwenye bibilia
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 Жыл бұрын
Huyu mtoto sidhani kama anayeonana naye kama ni Bikira Maria labda ni malaika anyetumwa na Mungu
@zinabal-dubae3551
@zinabal-dubae3551 Жыл бұрын
Hizi zama za mwisho hakuna tena miujiza
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Жыл бұрын
WEWE BABA YUNISI ACHANA NAO HAO WANAWIVU JUU YA HUYO MTOTO.KAZANA KUSALI MUNGU ATAYAJIBU YOTE KWANI HAWAONI WATU WANAPONA? HAWAJAUMWA WATAKUJA TUU. KAZANA KUMWOMBEA HUYO MTOTO? NAMI NAMWOMBEA.
@greenlife7189
@greenlife7189 Жыл бұрын
Kanisa lina utaratibu wake, fuatilia kuhusu watoto wa Fatima, fuatilia kuhusu Mt. Benadeta huko Lordes ufaransa. Kanisa lina utaratibu ambao lazima ichukue muda kujiridhisha kabla ya kuthibitisha.
@mayowangimba9553
@mayowangimba9553 Жыл бұрын
Kama ana mungu kwanini anasahau alichokisema jana na umsemee wewe? Acheni njaa kwa kumsingizia mungu
@viterinzinda453
@viterinzinda453 Жыл бұрын
Basi,kama hawapendi kubalika hiyo goroto,usikue nashida,mwace kazi zamutoto itajisemeya, wakati utafika watakubali!!
@wachafujikoni9222
@wachafujikoni9222 Жыл бұрын
Baba yunis endelea kumsaidia mtoto kwa huduma hii ya mungu, usihofu kwani kila kazi inachangamoto yake hivyo hiyo ni changamoto tu na yote yatapita, kuwa imani tu
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Жыл бұрын
Mmmh
@LomayaniLukumayi
@LomayaniLukumayi 2 ай бұрын
Yunis... Nibari...na..maji
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
Yawa! Baba Yunis mwachie Mungu.
@aplokimo405
@aplokimo405 Жыл бұрын
Inamaana wanadharau
@foka255
@foka255 Жыл бұрын
Uongozi umekushitukia mzee unajaribu kuleta usanii wa loliondo kwa kummezesha maneno mtoto
@aplokimo405
@aplokimo405 Жыл бұрын
Mtaweza kuchuguza mungu?
@nasrasway7143
@nasrasway7143 Жыл бұрын
Mapastor wengi wachawi wanagopa
@anthonywilliam6510
@anthonywilliam6510 Жыл бұрын
Tatizo lipo Kwa paroko
@angelailunga7582
@angelailunga7582 Жыл бұрын
Bikra Maria tena 🤭🤭😰😰watu huangamia kwa kukosa maarifa huyo bikra Maria alivo mzaa yesu habari yake ikaisha jaman Mungu ni mmoja usiabudu miungu mingine Mungu wetu ni mwenye wivu
@yusterngoye3282
@yusterngoye3282 Жыл бұрын
Hatumwabudu Ila tunamheshimu Kama Mama wa Mungu, lakin paia tunaamini kuwa hakuingiliwa kimwili na mwanaume yeyote wewe unasemaje sio Bikira? Lisilowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu linawezekana tunajivunia kuwa na Mama Maria .
@ellyitete938
@ellyitete938 Жыл бұрын
Bikra maria hbr yake iliisha
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 Жыл бұрын
@@yusterngoye3282 Yusufu alikuwa nani????
@aishaally3663
@aishaally3663 Жыл бұрын
@@ellyitete938 mm naomba namba iri ipate maji kwaza
@yohanaanton7437
@yohanaanton7437 Жыл бұрын
Ndugu yangu uwe na Amani Uwe na subira. Utii ni bora kuliko Sadaka. Kanisa katoliki linautaratibu wake. Kumbuka hata Maisha ya Watakatifu mf. MTAKATIFU Padre pio Mungu alimjalia Neema ya Madonda ya Yesu lakini Kanisa lilichukua mda kuchunguza. Khy kuwa na subira
@gh7naa
@gh7naa Жыл бұрын
Aende majospitalini
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 Жыл бұрын
Mwenye Afya hamuitaji Daktari.Bali walio wagonjwa.Nenda ukawaambie waende kumuona mtoto wataponywa.Sio yeye aende.
@gh7naa
@gh7naa Жыл бұрын
@@saimonijonas4356 na sanam la maria lilikuja kuponesha hv sanamu la italy wamelichonga mnaliabudu limechongwa na mzungu akienda mahospitalini ndio vizuri watu watamuamini wengine baba zao wana fanya mambo ya uchawi kusingizia dini maria hawezi kumtokea mtu Mmungu ndio wa kuabudiwa
@teachingtruthmission2140
@teachingtruthmission2140 Жыл бұрын
HIII AJABU SANA MAMBO YA BIKILA MARIA HAYO ...YANI IMANI HIXI
@zariadunia6328
@zariadunia6328 Жыл бұрын
Utashangaa RC ndo watu wa bikira Maria wengine hawamuongelea sana
@mecktildatushabe7898
@mecktildatushabe7898 Жыл бұрын
Yesu ndiye njia yw kweli na u
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 15 МЛН
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 12 МЛН
BMG TV:  Mtoto Yunis Ogot aanza kuongea, akiri kutokewa na Bikra Maria
37:07