Mapya; WAZIRI MASAUNI ARUDI TENA FAMILIA YA KADA CHADEMA MZEE ALI KIBAO | FAMILIA YATOA UJUMBE HUU

  Рет қаралды 10,508

Baharia TV

Baharia TV

Күн бұрын

Пікірлер: 35
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Ай бұрын
Moyoooo UNAUMAAA SANAAA. JAMANIII NAO WAFEEEEEEE NA WATESEKEEE HASWAAAA
@SamweliZaburi-fk3qj
@SamweliZaburi-fk3qj Ай бұрын
Hizo hela hazina maana wakati mamia ya watanzania wanalilia wapendwa wao waliouawa na kutekwa na jeshi la police
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh Ай бұрын
Mmbwa wakubwa watandikwe albadri
@LucasShagembe
@LucasShagembe Ай бұрын
Hiyo nigia yakupotosha familia
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Ай бұрын
Wausika WAPOOO NA WANAJULIKANAA WAUWAWEEEEEE NAO
@ZainaKisengo-f6r
@ZainaKisengo-f6r Ай бұрын
Msiache pesa chukuweni ni Kodi zetu kanunueni nyanya
@shillabajumuzi
@shillabajumuzi Ай бұрын
Jamani hiyo pesa haisaidii kabisa bado Hina uma sana
@hassanalikombozanzibar1192
@hassanalikombozanzibar1192 Ай бұрын
AHLULBADIR ni dua hatari na ni mujarab hii dua ni hatari sana musifanye mchezoo inapukutisha mpaka alie toa watu pia na yeye hatokii hii dua ni hatari, mimi niliwahi kukisoma hicho kitabu
@susananyasani6526
@susananyasani6526 Ай бұрын
Fedha hazirudishi Maisha ya Mwanadamu baada ya kumuwa
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Ай бұрын
LAZIMA WAUWAWE KIKATILI NAO WATESWEEEE
@shersaid7988
@shersaid7988 Ай бұрын
Kisomo fanyeni
@JeromeMtunga
@JeromeMtunga Ай бұрын
Kisomo kiendelee kila alieshirk akutanenayo tumechoka kusikia kila siku mauwaji
@HamisiSella
@HamisiSella Ай бұрын
Wauweni ao washenzi pigeni kisomo
@donaldmachisu3626
@donaldmachisu3626 Ай бұрын
Walikataa kufanya sala ya pamoja wakati wa tukio la Tundu Lisu, naunga mkono kisomo kifanyike juu ya hili likijumuisha na wote waliotekwa na kupotezwa ili Mungu ndio ashughulike nao
@janeshija6638
@janeshija6638 Ай бұрын
Na bado akina SOKA NA WENZIE tunawataka muwalete.
@SylvanusMillanzi-w7h
@SylvanusMillanzi-w7h Ай бұрын
Hawa wauaji wanauendeleza umagufui lakini Sasa mwisho e😢
@ThomasAssey-uq2ur
@ThomasAssey-uq2ur Ай бұрын
Kama watu waua na kulipa milioni Tano?!!! Wengine waliuliwa na kulipa ubunge miaka iliyopita kweli shida zetu zitatumaliza? Kupokea tuu malipo ya milioni Tano ni kumdhalilisha marehemu
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh Ай бұрын
Wanajariukuliziba kuwa kwao ungo hstufanganyiki tumewachukia sana tutakutana kwenye masanduku ya kura
@JohnJohn-fs8ex
@JohnJohn-fs8ex Ай бұрын
Mwandishi unatumia vibaya neno "kuweza"
@sadiqadam7971
@sadiqadam7971 Ай бұрын
Kisomo pale pale kmmke
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo Ай бұрын
Wewe unamatatizo na matumizi ya neno weza
@DannySanga-gh1oj
@DannySanga-gh1oj Ай бұрын
Watanganyika ni wapumbavu sana yani tunauza utu wetu Kwa milioni tano,si ujinga huu
@carolinamgando6026
@carolinamgando6026 Ай бұрын
Ndungu zangu Watanzania ,mnakumbuka ,ile sheria iliyopitishwa na Bunge Dodoma ,ya kuua ,na wasichukuliwe ,sheria?ndiyo inafanyakazi sasa,
@MICHAELTARMO
@MICHAELTARMO Ай бұрын
Hivi hao waandishi wa habari wanajielewa? Kwa lugha wanazotumia. Kutoa taarifa?
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn Ай бұрын
Baharia tv kupeleka mbele na nyuma picha inaboa. CCM na serikali yake fedha mbele kwa mbele! Sativa, Ali Kibao, Nunua makada: Kitila Mkumbo, mbunge Waitara, "mchungaji" Msigwa, mpe Lissu pesa, gawa pikipiki nchi nzima! Mwisho wa picha benki kuu imeishiwa hela (dolla)!
@SamweliZaburi-fk3qj
@SamweliZaburi-fk3qj Ай бұрын
Masauni ajiuzulu tu maana hawa police wanaoua na kuteka watu wapo chini yake na pia inawezekana kuna mkono wake
@Husseinndogo
@Husseinndogo Ай бұрын
Inaniuma sana ilanawao wataijua tanga
@AmiriAbdallah-g5x
@AmiriAbdallah-g5x Ай бұрын
Kisomo lazima hata ajitetee haiwezekan. Hata arudi mara kumi na hata atoe fedha haisaidi na haizuii kisomo maana hajaombwa kajipendekeza. Watavuna walichokipanda.
@estambuya3901
@estambuya3901 Ай бұрын
Wanajichunguzaje? Hao wauwaji.
@allynassoro8448
@allynassoro8448 Ай бұрын
Jamani huyo Masauni Kuna jambo alolitafuta mbona kakazana
@SalumKombo-sf5gs
@SalumKombo-sf5gs Ай бұрын
Jamani kisomo lazima msiache hiyo ndio kiboko acha wafe kama kideri ninawahusu
@hoseamwambambale3503
@hoseamwambambale3503 Ай бұрын
Uo ni unafk apo anafanya kazi kujisafisha tu
@allynassoro8448
@allynassoro8448 Ай бұрын
Au Kuna kitu anataka kukificha
@thadeusmateru1356
@thadeusmateru1356 Ай бұрын
Shilingi laki tano kwa uhau wa binadamy ni nini
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Ай бұрын
ZAMBIIII KUBWAAA. KWANINIIII HASAA MNAMUUWA KISA SIASAA? HIII NI NCHI YETU SOTE SASA KWANINIIII MUUWEEEEE NA NINIII MLE UGARI? JIUWENIIII TUWAONEE. MNABAKIA HAPA DUNIANI KIVIPIIIII? UNYAAMAAA MKUBWAAA SANA. AIBUUU KUBWA
the balloon deflated while it was flying #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 35 МЛН
Wait… Maxim, did you just eat 8 BURGERS?!🍔😳| Free Fire Official
00:13
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 7 МЛН
ЛУЧШИЙ ФОКУС + секрет! #shorts
00:12
Роман Magic
Рет қаралды 22 МЛН
Nog veel overlast door regen in Spanje: 'Overal modder'
2:39
NOS Jeugdjournaal
Рет қаралды 56 М.
Hulp Gaza wordt nog moeilijker, Israël verbiedt hulporganisatie
2:59
NOS Jeugdjournaal
Рет қаралды 52 М.
Waarom de post steeds trager en duurder wordt
6:38
EenVandaag
Рет қаралды 4,4 М.
Witte schaatsbaan werkt: hier is het eerste natuurijs
2:00
Omroep Gelderland
Рет қаралды 2,5 М.
Blokker in zwaar weer: 'Een klassiek verhaal'
3:32
the balloon deflated while it was flying #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 35 МЛН