MARAFIKI WOTE_OMARY MKALI & CHUCHU SOUND

  Рет қаралды 73,458

OMARY MKALI

OMARY MKALI

Күн бұрын

Пікірлер: 92
@SadickAmiri
@SadickAmiri 7 ай бұрын
leo ninausikiliza huu wimbo tarehe 10 march 2024
@bigmzazee2961
@bigmzazee2961 3 ай бұрын
niko hapa 2024 18 august tufurahie maisha jaaman maisha yanaenda mbelee
@ismailhanya2327
@ismailhanya2327 17 күн бұрын
Mao Santiago,!!!!!!!!Team ya watu💪💪🇹🇿
@SethJohn-x9f
@SethJohn-x9f Ай бұрын
Jamani kifo siyo rafiki kabisa
@ABDULRAHIMMAKAKA
@ABDULRAHIMMAKAKA 3 ай бұрын
Nauskiliza huu Wimbo leo tarehe 21 August 2024
@Ramadhaniomary-kr3le
@Ramadhaniomary-kr3le 5 ай бұрын
Mungu muweke pema peponi mau Santiago rapa chuchu
@ismailhanya2327
@ismailhanya2327 3 ай бұрын
Aug 26 2024 Hatar saana!!!watu walifanya kazi ambazo zinaendelea kuishi💪💪💪
@MartinSwai
@MartinSwai 5 ай бұрын
Leo Julai 4 2024 ikiwa ni birthday yangu pia, wapi Aboubacary Sadiq na kati ya radio one ilikuwa balaa kwenye dj show na wikiend show
@hamzaahmed69
@hamzaahmed69 3 ай бұрын
Ama kwa hakika chuchu walijua kutupa burudani ya Aina yake mwaka 2001 ilikua hatari Sana omari mkali alikua juu sana
@athumanhmagoma4453
@athumanhmagoma4453 3 ай бұрын
Huu wimbo haushi hamu ni balaa mzee omary mkali sijaziona nyimbo za pam sound nakumbuka ulikua matata sana pale siza lion hotel,kijiweni nambuka nilikuwepo siku marehemu rukia mcheza shoo alipoolewa na muuimbaji mmoja sikumbuki jina mkawapigia mziki wapi jonico flawa maua
@ansilaulotu7178
@ansilaulotu7178 5 жыл бұрын
Omary Mkali Mtoto wa Soko Matola Mbeya, mtoto wa Mzee Mkakile
@BayoTheGreatTz
@BayoTheGreatTz 5 жыл бұрын
Hivi Omary mkali ni mtu wa Mbeya
@kaisarimbisso7579
@kaisarimbisso7579 4 жыл бұрын
Omary Mkali ni kipajo Cha juu kilichosahaulika. Kama Mwinjuma Muumini, ni watu muhimu hawa kwa muziki wetu. Tuwatunze
@Dukeduncan010
@Dukeduncan010 7 жыл бұрын
haitatokea ramadhan madoweka ilikuwa nuksi hatariiii
@jameskarata9451
@jameskarata9451 2 жыл бұрын
Kutoka lushoto Tanga Tanzania hii nyimbo naisikiliza leo tarehe 26/10/2022
@hakunamatata8065
@hakunamatata8065 7 жыл бұрын
dah kipindi chuchu ipo juu na mwanangu papii kocha na band yake Fm academia wapo juu vibaya sana
@sadikiyusufu1048
@sadikiyusufu1048 4 жыл бұрын
Hakunaga tena kama hz nw tunaimbiwa nyimbo za kukimbilia jogging
@malickkasuga7435
@malickkasuga7435 3 жыл бұрын
Nasikiliza 2021 nyimbo tamuu sanaa
@mjusega3611
@mjusega3611 3 жыл бұрын
those good old days wayback nikiwa handsome boy kinoma nilitesa sana wanawake but now nimekua babu. 2000 minaki sekondari kisarawe
@lucasrobertlukindo1624
@lucasrobertlukindo1624 5 жыл бұрын
Rip Gabby Katanga man rasco hapa arusha
@sophiamgoto7310
@sophiamgoto7310 7 жыл бұрын
huu wimbo naupenda sana...asante kwa kutuwekea humu.
@fridajosephyusif4364
@fridajosephyusif4364 3 жыл бұрын
Mao santiago naye amefariki
@edwinsaenda3324
@edwinsaenda3324 3 жыл бұрын
Bado naaikiliza 2021
@FRANKMWOMBEKI
@FRANKMWOMBEKI 4 жыл бұрын
Dj chalz. Africa Bambaataa. The way alivyokuwa anaumix hataree na nusu
@muhibuadinani5245
@muhibuadinani5245 Жыл бұрын
Daah Namkumbuka Dj Makei na Sister Farida ndani East Africa Radio kila ijumaa miaka ya 2001 siyo mchezo
@MartinSwai
@MartinSwai 5 ай бұрын
Farida alishaded
@SAMJIKASSIM
@SAMJIKASSIM 3 ай бұрын
sista farida, daah kitambo sana
@kelvinmrope4620
@kelvinmrope4620 4 жыл бұрын
Kulikuwa na mutu mubaya mutu wa kazi Gabii Katanga drums
@deocresemmanuel5763
@deocresemmanuel5763 7 ай бұрын
wimbo waga hauchuji.mzuri sana kweli wakongo walikuwa wapo vyema.omary mkali yupo wapi siku hizi?
@athumanhmagoma4453
@athumanhmagoma4453 5 жыл бұрын
Hii dedication kwa Mdogo wangu tulikua waudhuriaji wazuri pale ukumbi wa sinza kijiweni about 18 years past hataee
@erasmusshauritanga4444
@erasmusshauritanga4444 5 жыл бұрын
Ok ok unamaanisha Imasco center Kumekucha au Vatican City hotel.
@alliemboya4150
@alliemboya4150 5 жыл бұрын
Kweli kabisa wimbo ulitoka 2001, enzi hizo nipo darasa la sita...ila ujumbe wake unaishi mbaka leo
@sunriseradiotz
@sunriseradiotz 7 жыл бұрын
balaa....watu wenye muziki wao walifanya kazi bana...............baraka sunga hapa, Arusha ni moto!.
@davidjulius9032
@davidjulius9032 6 жыл бұрын
Kuna mtu hapo anitwa #King Jiovann ni sheeda
@franklyimo577
@franklyimo577 5 жыл бұрын
dah sawa kabisa wachache sana walikuwa wanaelewa gitaa lake la solo, na ndio alikuwa kiongozi wa bendi ya chuchu sound
@paulkapalata
@paulkapalata 5 жыл бұрын
Jamani jamani jamaniiii 😭😭😭 nyakati hizi kamwe hazitajirudia tenaaaa!!!!!
@allenmarco9320
@allenmarco9320 6 жыл бұрын
aaaah bwana chuchu umerudi tenaaaa rudi tenaaaaa............. nimemiss sana hawa jamaaaaa walikua na burudaniiii safiiiiiiiiii
@tatumohamed399
@tatumohamed399 6 жыл бұрын
Allen Marco kama unanipenda nenda kwa baba ukatoe ng'ombe tuishi kama mke na mume. Mambo ya chuchu sound hayo
@allenmarco9320
@allenmarco9320 6 жыл бұрын
@@tatumohamed399 nimekupenda bureeee nitafuteeee 0718575251
@ramadhanimadoweka6458
@ramadhanimadoweka6458 7 жыл бұрын
Hizi nyakati zitarudi kweli? naukubali sana wimbo huu
@paulnyingo7316
@paulnyingo7316 7 жыл бұрын
wapi Gaby katanga na Mao santiago
@paulnyingo7316
@paulnyingo7316 7 жыл бұрын
joniko flower hatari
@yusuphbalali9037
@yusuphbalali9037 7 жыл бұрын
Ramadhani Madoweka Zi rudi wapi? ndg yangu Ramadhani Madoweka.
@salummohammed9121
@salummohammed9121 7 жыл бұрын
Natafutia sauti nzurii kma hizi aaaaaa ewe acha tuu
@davidjulius9032
@davidjulius9032 6 жыл бұрын
Paul Nyingo #paul Nyingo ukumbuki kama Gabi Katanga alishafariki kitambo sana!?
@meshacklucas8089
@meshacklucas8089 3 жыл бұрын
RIP gabi katanga &rapa matata mao Santiago....sijui jonico flower yupo wapi
@williummtaki1736
@williummtaki1736 9 ай бұрын
Na omar mkali, hicho kikosi kilikuwa moto chini
@timothybanda3219
@timothybanda3219 6 ай бұрын
Jonico yupo fm academia sasa hivi
@hamidupembe8974
@hamidupembe8974 2 ай бұрын
Pamoja,,Sana🤝
@hamidupembe8974
@hamidupembe8974 2 ай бұрын
Omari,,mkari,,hogera,,Sana,,mm,hamidu,,tulikuwa,,pamoja,,kwa,,mzee,,chura,,mm,,kitwa,,
@peteronono9618
@peteronono9618 3 ай бұрын
Hautakuja kupigwa tena mziki mzuri kama huo Mao Santiago,omari mkali,yusuph chuchu,mangostino,waziri sonyo ,Gabby Katanga,joniko flower (maua)all time heshima kwenu.
@ismailhanya2327
@ismailhanya2327 3 ай бұрын
Hahahaaa!!!Hawa wa 2000 watuache kwanza
@thadeiandrea877
@thadeiandrea877 2 жыл бұрын
Bungoni msipasahau ndio ukumbi wao imasko
@chilledpalangale9628
@chilledpalangale9628 5 жыл бұрын
chuchu sound daaa ktambo sanaaaa
@dickinsonkessy3893
@dickinsonkessy3893 4 жыл бұрын
huu ulikua moto sio mchezo jiji lilizizima maana kailifanyika hapo kunamtu anaitwa GABBY KATANDA alikua kwenye drum hatariiiiiii
@GeofreyMwechiwe-my3sh
@GeofreyMwechiwe-my3sh Жыл бұрын
namkumbuka dj ommy ndani ya redio one alikua anapiga sikuya ijuma
@bonnychamhene3023
@bonnychamhene3023 6 ай бұрын
R.i.p dj ommy
@modestsharia7127
@modestsharia7127 2 жыл бұрын
Max bar ilala King Johvan sikia mkono huo!
@thadeiandrea877
@thadeiandrea877 2 жыл бұрын
Ukumbi wao imasko bungoni simchezo yani nilikua sikosi
@rashidmbelikwe4433
@rashidmbelikwe4433 Жыл бұрын
Mziki mzuri chuchu sound 2001
@RollenLyimo-ph6wx
@RollenLyimo-ph6wx Жыл бұрын
Chuma NI fire iyo
@rashidibrahimshemlugu7845
@rashidibrahimshemlugu7845 5 жыл бұрын
gabii katanga yeroo masai
@chilompadimoso1710
@chilompadimoso1710 4 жыл бұрын
Hakuna kama chuchu Sound ilikuwa sio mchezo kulala nje kawaida tu
@fridajosephyusif4364
@fridajosephyusif4364 3 жыл бұрын
😂😂😂
@maujamadary
@maujamadary Жыл бұрын
Nomaaaaa
@allynayomo485
@allynayomo485 6 жыл бұрын
King jovan alikuwa anapiga solo
@ansilaulotu7178
@ansilaulotu7178 5 жыл бұрын
Gabby Katanga? Drums alipiga nani?
@allynayomo485
@allynayomo485 5 жыл бұрын
@@ansilaulotu7178 marehemu gabby katanga alipiga drums huyu alikuwa mmasai
@norbertsongo9060
@norbertsongo9060 5 жыл бұрын
King Giovanni aliimba tu, wameimba watu watatu tu uyo anaemfata mau ndo Giovanni
@fredyshayo5345
@fredyshayo5345 2 жыл бұрын
Hiyo T shirt ya FUBU ilikuwa balaa sana 😅
@fridajosephyusif4364
@fridajosephyusif4364 3 жыл бұрын
Rip mao santiago
@obeydmwemezi3663
@obeydmwemezi3663 2 жыл бұрын
2022...tuppo happpppppper😍
@sunriseradiotz
@sunriseradiotz 5 жыл бұрын
khatari!....
@dicksonchilalile
@dicksonchilalile 6 жыл бұрын
R.I.P Gabby katanga
@saidishebuge4796
@saidishebuge4796 6 жыл бұрын
Dah ilikua hatar sana enzii hii
@mustafamatandiko7579
@mustafamatandiko7579 4 жыл бұрын
Nasepeli mingi
@kibwanachapawila7873
@kibwanachapawila7873 4 жыл бұрын
Ilikua ni hatari band hii ili washa moto lkn haukuchelewa kuzimika hakika tuta wakumbjka sana.
@costantinavelin7137
@costantinavelin7137 2 жыл бұрын
Vp Omary Mkali hizi zilikua hazina video?
@costantinavelin7137
@costantinavelin7137 2 жыл бұрын
Mimi ni ndugu wa Gabby Katanga niko Arusha tunauliza hizi hazina video?
@feruzihassan8387
@feruzihassan8387 7 жыл бұрын
hakika chuchu hakuna tenaaaaaa,wapi mausantiago?
@pettyzumamhina6583
@pettyzumamhina6583 3 жыл бұрын
Mao ndo huyu kafariki Leo Tena so sad
@khalidvova6601
@khalidvova6601 7 жыл бұрын
wacha bambino sound wacha extra bongo na bendi kadhaa tukiongelea mkusanyiko hatar wa wasanii wakali waliodumu muda mfupi chuchu sound inashika hatam ilikuwa balaa hawa jamaa kuanzia saut vyombo na mpangilio mzima wa mziki...hapana tutawakumbuka kwa muda mref ujao!
@franklyimo577
@franklyimo577 5 жыл бұрын
your very right Khalid, na ni wachache sana walitambua uwezo mkubwa wa chuchu sound, haikudumu kwa muda mrefu, bahati nzur zote nilibahatika kuziona but chuchu sound ulikuwa huwez kufananisha na bambino wala na extra bongo
@Atb300
@Atb300 Жыл бұрын
2023 ❤❤
@hamzaahmed69
@hamzaahmed69 3 ай бұрын
Hatari Sana wallah
@muhibuadinani5245
@muhibuadinani5245 Жыл бұрын
Daah Namkumbuka Dj Makei na Sister Farida ndani East Africa Radio kila ijumaa miaka ya 2001 siyo mchezo
HODI HODI_OMARY MKALI & CHUCHU SOUND
8:49
OMARY MKALI
Рет қаралды 97 М.
SHANUO_OMARY MKALI & CHUCHU SOUND
7:38
OMARY MKALI
Рет қаралды 32 М.
I thought one thing and the truth is something else 😂
00:34
عائلة ابو رعد Abo Raad family
Рет қаралды 12 МЛН
Thank you Santa
00:13
Nadir Show
Рет қаралды 49 МЛН
Deadpool family by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 2,6 МЛН
OSS - Shukrani Kwa Mjomba
6:56
Bongo Fire
Рет қаралды 10 М.
MAPENDO- DOUBLE M SOUND
7:47
NENO
Рет қаралды 234 М.
Mkasi - SO4E02 with Banza Stone
28:09
MkasiTV
Рет қаралды 78 М.
Busu La 2001
11:38
African Stars Band - Topic
Рет қаралды 9 М.
USIONE VYAELEA_OMARY MKALI & CHUCHU SOUND
7:13
OMARY MKALI
Рет қаралды 45 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- DDC- Mfaume waniliza
10:33
Eddie Nassor
Рет қаралды 109 М.
Fumbakasa _ mkono shavuni (officia music video)
10:05
fumba kasa
Рет қаралды 74 М.
Mjengoni Classic Band - Usiku wa Manane (Official Video)
6:47
MJENGONI CLASSIC BAND
Рет қаралды 68 М.
SITISHIKI SIBABAIKI_OMARY MKALI & CHUCHU SOUND
8:22
OMARY MKALI
Рет қаралды 33 М.
ELIMU YA MJINGA-BANZA STONE
8:29
HABARI JAMII TANZANIA
Рет қаралды 727 М.
I thought one thing and the truth is something else 😂
00:34
عائلة ابو رعد Abo Raad family
Рет қаралды 12 МЛН