Ili dunia iwe na amani taifa la marekani liangamie ndoo dunia itakuwa haina vita ira nakupigana nataifa hilo lazima hujitore kufa pia kwasababu nitaifa pia linajiweza ila niwaoga wavita katika nchi yao
@AyubuIssa-np3vc7 ай бұрын
Wemwenyewe una tamani uende ulaya
@AwesabdiMasuo7 күн бұрын
Yup hilo ndilo jambo nililo liuliza jana.kwenye habari zingine.lkn kwanini marekani wamejitolea wazi kuipiga yemen.na kuwapiga hamas kwanini iran isijitole wazi wakati makundiyake yapigwa na marekani
@selemanijafari922511 ай бұрын
Dunia nzima wamerekani wanaharbu kwani hao ni nani haswa mungu aiangamize marekani
@BarnabaBuhoma11 ай бұрын
Awaangamize vipi wakati kule kuna Wayahudi? Halafu Marakani ina uhusiano mzuri na Israeli.. na Mungu alisema “atakaye mbariki Israeli, atabarikiwa. Na atakaye mlaani atalaaniwa. Asilimia kubwa ya uchumi, wameshikilia Wayahudi. Unadhani ni rahisi Taifa la Marekani kutoweka kama mnavyotamani? Marekani isingekuwa na uhusiano mzuri na Wayahudi, isingekuwa hivi.
@BarnabaBuhoma11 ай бұрын
Mwizi akikamatwa, hulipa vyote vilivyowahi kuibiwa hata kama hajaiba yeye. Hata wale Wayahudi milioni sita waliouawa na Ujerumi, utasema ni Marekani. Vita zilikuwepo ulimwenguni hata kabla ya taifa la Marekani kuwepo. Jaribu kufuatilia history ya dunia, uone jinsi nchi zilivyokuwa zinapigana hata kabla ya hii Marekani kuwepo. Leo kila vita, mnasema ni Marekani. Urusi imepeleka majeshi yake Ukrain huku yakifanyika mazungumzo ya amani hata kabla moto haujanza kuwaka. Moto umewaka, mnasema ni Marekani. Mjiangalie nyie!
@MirajiMiraji-v2j8 ай бұрын
@@BarnabaBuhoma uko gizani wewe
@golebenson45974 ай бұрын
@@BarnabaBuhomaacha uwongo mungu yupi alisema ivyo
@BarnabaBuhoma4 ай бұрын
@@golebenson4597 Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo ndiye aliyesema hivyo…Bila Shaka wewe sio mkristo
@issadullah207411 күн бұрын
Wahuni wamedhulum sana kadola chali wakafanye ushoga uchumi wao upande piga mashoga wote
@RamadhanRamdhan-i2c4 ай бұрын
Mmarekani anatakiwa afutwe kabixa ndyo kutakuwa na amani na mwisho wa migogoro ulimwenguni itaisha lkn kama marekani Bado yupo Bado usalama wa dunia utakuwa mdogo
@MahadSatar11 ай бұрын
Waasii ni wepi kwani kati ya mtaka haki na wanao dhulumu mbn munatuzonga
@SaidiNgaeka9 күн бұрын
🇮🇷🇮🇷🇮🇷💪💪💪💪
@babuloliondo7410 күн бұрын
Yemeni anahaki ya kujilinda
@HeboniBabu8 ай бұрын
America aijapata msukosuko nchini kwake inatakiwa kupiga tena kama osama ndio atakuwa anahadabu
@SaidiNgaeka9 күн бұрын
piga awo
@dicksonaugustino185011 ай бұрын
Mlipuane hapo tuone nan zaid.
@AlawiyAlly11 ай бұрын
Hawawezi hao kulipuana hata kidog
@SalmaAbanoor11 ай бұрын
Kaende kaende mpaka muisrael asimamishe vita na aondoke kwa ardhi ya mpalastine
@ahamaddungurus18 күн бұрын
T b c
@babuloliondo7410 күн бұрын
Kafuata nini marecani uko
@alexicvangervac820111 ай бұрын
3rd world war is calling every one want to pick up the phone😢