Kamwe huwezi kueleewa maana ya hii ngoma.Marioo pambe sana broo..Maana ya hii ngoma ipo kwa undani zaid.🎉
@KelhamOg-o5qАй бұрын
Mario weye nakuona mwaka wa 2026 unabeba grammy kbx Coz unajuwa sana
@JamaliAlly-zy1ffАй бұрын
How many fans understand in Somalia this song
@ChenchiKingАй бұрын
Let’s Go Ngoma Zote Ziko On🔥🔥🔥🔥
@Hawa-z5rАй бұрын
THE MATTER OF FACT ALBUM HII HAINA NGOMA KALI KAMA NAIROBIIIII ALOOOOOOOO KUNA VTU VIMEPIGWA UMOOOO
@Alikan.Ай бұрын
Mwanangu marioo. Kwanini kwenye hiyo Vers ya "dar es salaam heshima pesa" usingemalizia na hii Vers ya "Shikamoo makelele" yaani mwanangu ingeniga kishenziiii. Kozi ingekuwa hiviii "Dar es salaam heshima pesa, shikamoo makelele" Unaionaje hiyooo kaka
@adamswafi5149Ай бұрын
Mjini hakuna cha kuokota ukikiona usiiname🔥🔥🔥
@stanleymartin2943Ай бұрын
Ndio nyimbo yangu mm hii aisee ubarikiwe sana
@Itsali-q8eАй бұрын
Usikojoeee hapaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥
@officialrichmondchibu2212Ай бұрын
Nam ba 9 track. Am watching this usikojoe hapa faini milioni😂😂
@fundiseif1096Ай бұрын
Dar es salaam by marioo 🔥🔥🔥umetisha kinoma kaka 🙌
@Side-k4yАй бұрын
BAD NATION for life ❤❤❤❤
@HadijaAmri-wy1ky29 күн бұрын
Hii ngoma nikali bhn❤❤❤❤🎉
@shamokey250Ай бұрын
unyama brother umeuwa umu
@zalelbalawy2459Ай бұрын
Nani amerudia hii ngoma Zaidi ya mara mbili
@SpizzookeАй бұрын
Dar es salaam kila bebe ako singoo🙌😇😅😅😅
@stellahlinusi8215Ай бұрын
Hahaha
@SudiMagogaАй бұрын
Kweli katoto ka elf mbili noma
@AsifiweDawsonАй бұрын
Hii album ni kali sana dah izo apo 👊👊
@shawn-the-first.1643Ай бұрын
SHIKAMOO ,MARAHABA WACHANA NA HIYO KELELE Heshima pesa❤
@Akilimbilicomedy77Ай бұрын
Mjini hakuna chabule fanyazi naombani like kwenye hii ngoma jamani 🎉🎉🎉❤❤❤
@donglakxytz5773Ай бұрын
ukiiyacha ile goma la wangu na xalio humu duuuuuh👍👍👍
@janjazАй бұрын
wewe mario wewe, daaaaaaaa aiseee nimeipenda hii... daaaa
@Kizzamusic29 күн бұрын
Hii ndio nyimbo kali albam zima ya #marioo
@M_Supreme779Ай бұрын
Tuna kiwashaaaa Bad nation
@mathiasbosire7927Ай бұрын
I love the beat
@SleepyEyewear-ml6ffАй бұрын
Iyi umeuwa sana@marioo❤
@BenjaSamsonАй бұрын
Yani mario nakukuubali na watanzania wote msanii namba moja❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@geohmakersevenАй бұрын
Elewaa tu mjini akuna chabure tunaokubaliana ilii like nyingi