Get Ready for Marioo Album "The Kid You Know Album" Arrive on December 9th 2022. Follow @MariooOfficialMusic The Album is out now you can stream and download here - nyimbo.link/marioo-thekidyouknow
Пікірлер: 6
@nyimbompya Жыл бұрын
"The Kid You Know Album" nyimbo.link/marioo-thekidyouknow
@coolbertjustuce9286 Жыл бұрын
😋😋album tam sana
@peteraron5712 Жыл бұрын
Una zengua mzeee taree 9 ni sasa we jau
@peteraron5712 Жыл бұрын
Jjj
@salimskass160 Жыл бұрын
Nimekuja n shauku utub kuliskiza goma flani ivi, lonely nikiamini ni bonge la hitsong only to meet this disappointment. Bruh weka ngoma zote kwenye social platforms, huku kuchelewa chelewa anxiety ya mafans yako itashuka kusababisha goma lipate mapokezi yasiyoendana n hadhi yake. Frankly I'm disappointed as your fan. Utawezaje kutumia nguvu nyingi kuipush album, alafu unafeli kuiapload in time?? Umeniangusha, ckutegemea hili kutoka kwako. Frankly I'm disappointed ukizingatia kipande cha dkk 2 kilichoaploadiwa beats zake zinatoka hadi off key, ajabu!! Lastly, fans wako tunakupenda n tunategemea makubwa zaidi kutoka kwako, ila jiadhari sana n watu wanakuaribia reputation yako. Please delete that Off key shit, it is directly reciprocal of your image we have in our minds. Respect bruh
@nyimbompya Жыл бұрын
Album itakuwa kwenye Platform zote Ijumaa tarehe 9.