aahaaa nimeelewa vizuri kabisa sns ni channell pendwa
@lazaroletion7 күн бұрын
Nimeona hii habari sijaelewa kizungu, nikasema apa niende kwenye SNS ,nimeamini umetafsiri na kweli nimeikuta 🔥🔥🔥🔥🔥
@AsyineHansy7 күн бұрын
Hapo nimeelewa Nilikua sielew sharia ya kijeshi 🎉
@cidewashington6707 күн бұрын
Dunia inaendelea kuchangamka kwa kasi kwelikweli
@BeniJohn-xd3cn4 күн бұрын
Dunia inajifunza nini hapa ujasiri mkubwa wa wateule wa Korea kutetea haki yao❤❤❤❤
@blueboybajos68808 күн бұрын
yan jamaa anafanya makosa anavoiendesha inchi alafu anazingishia vitusho kutoka korea kaskazini😂😂😂
@Jeff_Tz7 күн бұрын
Umeona jamaa alivyokataa mwnaajeshi hapo hahaha KongFu Noma
@PUTINN3657 күн бұрын
Hahaaa ee
@EmilyTembo-pg6tg7 күн бұрын
Nadhani wa kusifu na kuheshimiwa ni mwanajesji ambaye amejiepusha na vurugu
@Jeff_Tz7 күн бұрын
@EmilyTembo-pg6tg Sifu wanajeshi wa Nchi yako tu ndio Sifu. Hao wengine hawatuhusu sie. Safi hasa alivyopanguliwa😂😂😂
@princekarani78367 күн бұрын
Bro jamaa alivyomgeuza uyo mwanajeshi kuna kitu anajua,uwezi mgeuza mtu ivyo kirahisi alafu chap chap,yuko vizuri
@fatumaramadhan91717 күн бұрын
😂😂😂😂
@nellymans-f1v7 күн бұрын
Hawa si ndio walikuwa wanamsimanga kila siku kuwa mr kiduku ni mbabe san ooh wanawafinya watu wake.haya ss nao wameyapata hayo
@Megadreamzfx17 күн бұрын
Kiduku atawanyoosha 😂
@elias.e.urassa7 күн бұрын
Hi sheria nzuri ❤
@djbestseries56345 күн бұрын
Awezi kufanya ivyo bila sababu
@RamadhaniSadati-b2o7 күн бұрын
Ingekuwa inchi ya kiarabu hapo tayari vita
@salama11137 күн бұрын
tukisikia yetu nuu yawenzetu midomo juu ndio hii😂😂😂😂
@PhilsNyamai7 күн бұрын
Hao ndio wanafunzi Sio Wana funzi wetu Tanzania wasio jielewa hawa
@abidandastanmaliyatabu13737 күн бұрын
Wanafunzi wa tz hawafundishwi elimu ndiyo maana hawajielewi kwenye maswala kama haya ya kisiasa; wanafundishwa mataputapu ya elimu ndiyo maana hawawezi kuchukua hatua
@AsheriChonya7 күн бұрын
hahahaha dah aiseee
@IBRAHIMU-z2u7 күн бұрын
Duuuuuh Trump ampe ushauri mshirika wake korea kusini
@YohanaPetro-xv9tp8 күн бұрын
Anamuogopa kiduku Anaenda Kuihalibu ENCHI YAKE
@juressemabili51337 күн бұрын
Nikama Congo Nord-Kivu washa fanya ivo
@johnnkelebe73607 күн бұрын
Kimewaka tayari,,.. Dunia inaelekea sehemu ngumu sana.
@sonnyr18998 күн бұрын
Kim John apo umempa fursa ATAKUPIGA vitu vizito. 😂 Mmareka atafanya nchi yako kuwa kama kuleeee kwa KISTUL
@hajjiomary23837 күн бұрын
Tafuteni message ya Nelson mandela .inyosema ukiona nchi in vita au misukosuko isioeleweka ujue marekani kaitembelea
@jumakassim87187 күн бұрын
Swadakta
@hilarymtepa98117 күн бұрын
Malizia " marekani alimtembelea jirani yake" ulisahau huo mstari.
@SaidZahran-l8d7 күн бұрын
Fact
@msafirisaimoni95617 күн бұрын
USA kawaida sna kashafanya yake
@karim69646 күн бұрын
Hizo ni chokochoko za kutaka Kuingia hapo Ampige kiduku Tuu sivingine
@ahmadmahmoud61398 күн бұрын
Nice
@salehkhalfan73457 күн бұрын
Wale Wazee wa Haki za Ki-Binaadam na Utawala wa Sheria hapo hutowaskia (West) maan huyu ni mshkaji wao
@ChoroTesla7 күн бұрын
Hizo ni internal conflict z kawaida tu umesikia hata mtu kafa?
@salehkhalfan73457 күн бұрын
@ChoroTesla Uvunjifu wa Democrasia na Haki za Binaadam sio lazima mpaka mtu afe.... Lkn pia kw kiwango sawa na hcho kingefanyw na nchi nyengn tofaut na wao lingekuzwa kupita kias Na hata ikitokea kafa au kaumizwa usitarajie BBC itakutangazia
@ChristaSoko-v4v3 күн бұрын
Taarifa kama hii usiangalie bbc
@ChristaSoko-v4v3 күн бұрын
Kinachoendelea Syria kiliaza hivyo
@salehkhalfan73453 күн бұрын
@ChristaSoko-v4v Sawa kabisa, tofaut ni kwmb hapa hawatoingia maan ni mshirika wao ila Syria Super Powers ziko pale zinapigania Maslah yao
@esterkimath12145 күн бұрын
Naye kaona Putin, Trump na Kim wanatrend akaona Nami lazima ni trend😂😂😂
@amanichaula17 күн бұрын
Iwepo na bongo jwtz wasiwe Kama policcm
@RomanMwinyi8 күн бұрын
tatizoo akiii mkewe ana tesaa sanaa watu ndio tatizoo akii ina vunjaaa amanii
@ikulunimahalipatakatifu76427 күн бұрын
UFAFANUZI MZURI ASANTE
@DominickDavid-n3v8 күн бұрын
Anataka aanzishe majaribio ya makombora ya nyuklia wakiwa na wamarekani ndio yaliyo changia urusi nayo kutoa usaidizi kama huo noth corea
@starjay30528 күн бұрын
kama ulivokua tanzania 🇹🇿 asaivi 😁😁🤣🤣
@mtulivu-ir1nq8 күн бұрын
Kumeanza kuchangamka wale wote ambao wanasapoti ushoga na mauwaji ya kiholela wataanza kuvurugana
@robertphilip3857 күн бұрын
Mbona mashoga hata tz wapo
@mtulivu-ir1nq7 күн бұрын
@robertphilip385 ila hatuwasapoti Wala hakuna hiyo Sheria tz tunalaani hayo mamb ya upinde
@BenPeter-vp2cy8 күн бұрын
Kuwa adui wa marekani ni hatari, na kuwa rafiki wa marekani ni kujiaangamiza😂😂😂😂😂
@hopechidera8 күн бұрын
🤣🤣🤣
@KolamuWabene7 күн бұрын
Siyo kweli ,ukiwa adui WA marekani utakuwa rafiki WA MUNGU
@hopechidera7 күн бұрын
@@KolamuWabene Mungu sio babu yako kumuingiza kwa komenti zako za kipumbav...
@levisdiamond47977 күн бұрын
@@hopechiderahahahahaha😂😂😂😂
@levisdiamond47977 күн бұрын
Ahhaahahah watu wengine hamna hakili nimecheka mpaka basi 😂😂😂😂😂
@BenjaNetanyahu7 күн бұрын
Hii dunia, inaenda pabaya sana, tukirudi huko! Watu kutokua na uhuru wa kujieleza, kupinga walio wachache kuliingiza taifa ktk misingi sawa hali wao wakimiliki vingi kutoka kwa masikini walio wengi, wenye kuchukuliwa kama mbuzi na ng'ombe, ni hatari sana, democracy inaenda kufa, ht TZ yameanza, watu kutekwa, kuuwawa, kufanyiwa jambo lolote mbele ya uma.
@mohamedmbalazi7487 күн бұрын
Walishindwa kujisimamia wakawa v8baraka, leo mambo yanawarudia sasa mwenzao North korea katukia anawacheki tu
@Mindset_99-m7 күн бұрын
Then unakuta hawa wanawatishia north Korea na kusema hakuna uhuru pia kuna njaa ni nchi maskini lakin hayajawahi kutokea mambo kama hayo wanayofanya wao.
@juressemabili51337 күн бұрын
Et à de siège ndoivo
@SalumMzee-cw8do7 күн бұрын
Vita vya Panzi neema kwa Kunguru
@Omarimsimbazi7 күн бұрын
没有什么可以继续的了🤣🤣
@lusajomwaipopo50427 күн бұрын
Ingekuwa urus angewauwa wote hao wanaopinga maalekezo yake
@paschalcharles36177 күн бұрын
Haya ndo madhara ya kile kinachoitwa "demokrasia" ya MAGHARIBI
@GeraldElias-s7j6 күн бұрын
Madhara gani sasa wakati nivitu vyakawaida tu mbona ata iran yamewahi kutokea maandamano mkubwa tu au unajisahaulisha
@hamisaally9687 күн бұрын
Bora wawe busy sasa na nchi yao maana kutwa kwa wasaniii wao hadi wengii ujiuwaa kwa maneno yao ya chukiiii
@AsheriChonya7 күн бұрын
ubaya ubwelaaaaa tuuuu marekani SI amelianzisha siria Ili warusi tusipumue? acha na sie Tuliamshe dude huku kwa mashosti zake,,km ulikuwa hujui tafsiri ya ubaya ubwelaaaaa kiundani basi nahis hapa umeanza kumuelewa,,usisahau Mungu miaka hii ya elfu mbili yuko fasta kichizi kwenye upande wa majibu
@homecraft2277 күн бұрын
Wao Korea ya kusini wasije wakafanya kosa kama walilofanya Ukraine
@Jeff_Tz7 күн бұрын
@@homecraft227 Kwa nn
@belitomanuel62407 күн бұрын
Vip kuhuso msumbiji mbona hauwongelei mandamano??
@aminatanzanya74758 күн бұрын
Hata Ulaya kuna Rais mjinga kam huy korea kusini kuna kitu gan mpk aseme hivyo
@Brunotarimo107 күн бұрын
Rais Mwoga Anamuogopa Rais wa Korea Kaskazini
@AsheriChonya7 күн бұрын
vibaya mnoooo
@thabitngangila85627 күн бұрын
Nchi hii ni ya demokrasia?
@BenjaminNickson4 күн бұрын
Waache wawe wanalala saa saa 10 jioni
@SalumMmaka-o6w7 күн бұрын
Ndomana mm nashukuru sana pale serikali ikiwazibit chadema wazungu wanawatumia sana baad ya viongoz kuondoa amani ya nchi saiv tuna ichukia ccm lakini amini nawambieni siku ccm ikishindwa kuizuia chadema tumekwisha
@abidandastanmaliyatabu13737 күн бұрын
CCM ndiyo mnavunja amani ya acha kuongea upuuzi ungea mengine we mja wa mwenyezi Mungu
@djumadjumbe69078 күн бұрын
Kiduku ana wapa joto watu
@mndambokilavo25027 күн бұрын
Saa nane usiku unasubiri watu walale halafu unalisanua hii nimefurahi sana hivi vitu vilikuwa vinaonekana afrika tu sasa naona vimerudi kwao rais anang'ang'ania madaraka kwa hali yoyote ile na kusingizia nchi nyingine
@crayonmaze99707 күн бұрын
America ameshafanya fitna yake
@silvesterkachewa8647 күн бұрын
Dhambi ya ubagizi ukishaifanya haikuachi salama
@RitbayRitbay7 күн бұрын
😂😂😂😂mtu wowote anaebadu asiekua Allah akili huwa haipo
@GeraldElias-s7j6 күн бұрын
Allah ndo jini gan tena 😂😂😂
@RitbayRitbay6 күн бұрын
@@GeraldElias-s7j Allah yule alikuumba ww kutokana na manii ukawa kibur saiv ikawa humjui alikuumba kwa pande la damu na akamleta duniani hujui chochote saiv unajua kuvaa suruali ndio wamsahau Allah hashindwi kukurejesha ukawa mvuja mavi wakubebwa kwaio usihadaike na pumzi dakika hzo zinazibwa ukaishia muhimbili kwenye friji pale
@AmaniMathod7 күн бұрын
YETU MACHO.....MIMI NIPO RUSSIA....
@msafirimaulidi50548 күн бұрын
Naon soldier kazungushwa km katoto
@SaneMwezi8 күн бұрын
Raia wote wanamafunzo
@OmerSuley-gl7go7 күн бұрын
Wanajeshi wenye heshima ao hawapigi raia
@levisdiamond47977 күн бұрын
Hajazungushwa kaheshimu isionekane anapigana naye we vipi
@MailesSezero-l4c7 күн бұрын
Watu wanajali haki za raia
@alexmaungo28517 күн бұрын
Wananchi wa Korea wengi ni wanajeshi ni vile hawana silaha kama hao walioajiriwa jeshini
@inocentlema55748 күн бұрын
Embu nieleweshe kwan kuitangaza iyo sheria haipiti bungeni
@AFRICA_D6697 күн бұрын
Au wana mpango wakujitenga na marekani
@vincentcharles43857 күн бұрын
Yaani hata ukijikwaa wenzako wanasema mamaaa,we unamtaja Marekani 😂
@AFRICA_D6697 күн бұрын
@vincentcharles4385 sasa hujui marekan haikubalianag na mifumo ya utawala wa kidicteta inataka uhuru wa raia
@fauzishabani26227 күн бұрын
Dunia imechafuka
@EmmanuelNyinyigwa-m1o7 күн бұрын
Kim atawamaliza
@omondiowino78758 күн бұрын
Ukiangalia jinsi mambo yanavyoendelea duniani na usome Biblia kunakitu utaelewa...
@Dmax-f58 күн бұрын
Kweli kabsa👍👍
@hopechidera8 күн бұрын
The beginning of the end...
@SalumSanaa-oc8cw8 күн бұрын
Mtaalam wa bibilia hii dini inanichekesha sana yani unaenda kupiga mziki j2 kanisani unakunywa na soju kidg unasubiri kwenda mbinguni mkuu mnapotea ohooooo hii dini wasanii inawafaa sana hii wanatoboa fasta 2 akina lil wizy wote mbinguni mashoga shoga ao dah mnafeli mtaalam wa Bible
@SalumSanaa-oc8cw8 күн бұрын
Yani wee unavoijuwa Bible mpk leo upo kwenye ukristo akili zko kdg hamna hamna mana m2 yyte mwenye taaluma na Bible anajuwa km ukristo hamna jambo paleTAFAKARI MKUU
@hopechidera8 күн бұрын
@@SalumSanaa-oc8cw kua na adabu na dini za wengine. Kama dini yako inakufunza matusi tu na ugaidi usitulelee roho yako chafu ya kumwaga damu hapa,mnasumbua dunia kila kona. Dini yenu mashoga wanajaa kama mchanga wa bahari wanafki nyie...
@salumualoyce56208 күн бұрын
Ni vitisho gan ambavyo North Korea wamevifanya hivi karibuni mpaka rais wa Korea Kusini atangaze Martial Law?
@anny199888 күн бұрын
Mtumwa wa Marekani huyu bwana wake kamuamrisha😂😂😂
@thelonewolf44298 күн бұрын
Nikisingizio tu hio Hakuna anaemtishia amani
@johnnkelebe73607 күн бұрын
Ukibaraka wa marekani umemponza, Wakorea hawamtaki ndio maana kuitangaza nchi iwe chini ya amri za kijeshi.
@Dacos477 күн бұрын
Rais amekosa influence kwenye nchi ndo ameamua kutumia nguvu ivoo
@MohamedMwishawa8 күн бұрын
Waoga haoo😂😂😂
@lexq-sm6lq8 күн бұрын
Wakina Jumong wame fungiwa nao!!😢
@healingclinic6987 күн бұрын
Naona dalili ya Tanzania kufika uko pale CCM watashindwa kuokolewa na Police wanaweza kutumia mfumo huu ili kusalia madarakani
@peteremmanuelymatwimatwiem32588 күн бұрын
Sema huyu rais Nimjinga mjinga tu nilimuona mapema sana
@GeraldElias-s7j6 күн бұрын
Nchi yako yenyewe bado ni omba omba kwao halafu we mla tembele na bamia unatokea kusiko julikana unaanza kuwaponda matajil 😂😂😂😂