Mbunge mteule wa eneo bunge la Teso Kusini Mary Emaase na ambaye pia ni mwanamke pekee kati ya wabunge 6 waliochaguliwa kaunti ya Busia, ameahidi kumaliza miradi aliyoanza katika muhula wake wa mwaka wa 2013-2017.
Пікірлер: 3
@hellenajulu254 Жыл бұрын
Thats my Aunty,a super woman. So so proud💪💪
@keriga7465 Жыл бұрын
Business am happy for you 😊 mlikuwa UDA that's good 👍....Bottom Up...KAZI NI KAZI 😄