Sawa msemaji wa Singida unasema "Simba academi 😮😮😮" tutaonana Jmos inshaallah Simba itashinda
@johnvedastus307914 сағат бұрын
Mm ni Yanga ila Singida big star hamna uwezo kuifunga simba, mechi yenu juzi na fountain gate mhuuu, acha rongorongo mpira hauchezwi hivyo. Wewe jipe moyo tu 😢
@IsmailhassanOmar18 сағат бұрын
Kila mtu anajifanya Ahmed Ali Basi jamani doooh😂😂😂
@emmanuelmayunga151818 сағат бұрын
Kumbe nawew umeona😂😂
@SwaumuIbrahimu-n3k18 сағат бұрын
Yaani weacha tu
@IsmailhassanOmar15 сағат бұрын
@@SwaumuIbrahimu-n3k nakufananisha Jina na mamaangu mdogo kutoka bunju
@SwaumuIbrahimu-n3k15 сағат бұрын
@IsmailhassanOmar mama ako huyo yupo sehem gani
@SwaumuIbrahimu-n3k15 сағат бұрын
Sawa majina yanafanana tuu
@MhabeshiMaluja34 минут бұрын
Wananchi tulicheza na singida zanzibar walikamia sanaa na mechi ilikuwa ngumu sanaaa sasa makoro wanalialia kila siku ndugu ndugu vikoro vinaogopa utafikiri wanacheza na mamelod singida ni timu nzuri lakin ni ya kawaida makoro msilielie sanaaa
Maneno mengi ila angalia usije ukafia uwanjani Muhimu Kwa Simba ni pointing 3 Kwa namna yoyote ile
@tumaini379 сағат бұрын
Kakaaaa…! Hao mashabiki wote watakuwa Mnyamaaaaaa
@HermanWabike10 сағат бұрын
Mnakamia sana mnasababisha rafu na penat halafu mnasema simba inabebwa
@kassimyusuph947016 сағат бұрын
😂😂😂 Simba nidude kubwa,sana kwaiyo jiongereshe Bada yamech kuisha usikimbi2 au ukaenda kuchekea choni ubaya ubwela Simba nguvu moja 🎉🎉🎉
@MerryGaspa4 сағат бұрын
Ongea machache tabora alitaka kuku toa nyonga😂😂😂😂
@vascombembela363217 сағат бұрын
Dk 90 zitazungumza zaidi
@anithawidambe754313 сағат бұрын
HUYU MSEMAJI WA SINGIDA HUWA WANACHEZA RAFU SANA. WAMBIE WACHEZAJI WAKO WAACHE RAFU
@Selemanihariri16 сағат бұрын
🎉
@relaxstarman12 сағат бұрын
Pesa itawatokea puani
@isaackaitira765417 сағат бұрын
Simba haijui na wachezaji wenu wa kuunga unga ngoja tuje tuwafumue hapo ndiyo utajua simba kwa nn inaongoza ligi
@sarahsaimon40954 сағат бұрын
Kweli mechi ya simba vs singida wameikwepa kweli huu mchezo ungechezwa kitambo kila mda kubadilishiwa tu, Ngoja tusubili matokeo tunawategemea sana wadogo zetu
@ANNAKISIGA-pc5qs15 сағат бұрын
Mwaka jana simba ilikuwa mbaya lakin mlifungwa hapo hapo kwenu
@GeofreySolomon-lp7xl12 сағат бұрын
walidraw
@laninjeje829017 сағат бұрын
Mechi ya tabora united vs singida black stars alifukuzwa kocha, Sasa tarehe 28 atafukuzwa Mwigulu Nchemba
@MeshackManoja17 сағат бұрын
Atafukuzwa nani😮😮😮
@taucdulle746011 сағат бұрын
Hao mashabiki unaowasema ni mashabiki wa simba😂😂😂nashukuru kwa kutuongelea…yani huna haja ya kupiga kelelele utajaza uwanja kuiona simba yao ww mwehu mropokaji😂😂😂
@bensonmvula388317 сағат бұрын
mdomo uliponza kichwa
@BashiriIddishabani-i3r4 сағат бұрын
Chezeni mpira tu sio kucheza rafu tunahitaji atakaeshinda ashinde kihaki yote yayote singida0-3simba fullstop
@godfreysagenge616918 сағат бұрын
Huyu masanza naye ni Kishikwambi kwelikweli
@josephbonday851015 сағат бұрын
MTAFUNGWA KAMA MMESIMAMA.....😂😂😂😂HAMNA LOLOTE TAWI LA UTOPOLO FC NYIE
@ChangaraweMichael10 сағат бұрын
Tulieni
@nurdinswalehe3 сағат бұрын
Mbna wakikutana na simba wanaahidiwa hii ikoje
@taseleli918118 сағат бұрын
Mechi ilijaaa rough tu ndo useme mechi ilikuwa bora acha uzwazwa eti wameikwepa how hayo unayoongea leo weka akiba tarehe 28.12.2024 usije badilisha kauli mara Simba ni kama academy mara wana uzoefu mbona hueleweki.
@Josephtibu-l9e2 сағат бұрын
KESHO SINGIDA TUNEWAPIGA GOLI 2
@CharlesAlly-jp1ms18 сағат бұрын
Hata kuongea hujui
@FrankFanuel-r3k14 сағат бұрын
Masanza kunywa soda nakuja kulipa 🙏🙏🙏🙏
@Chikophehussein14 сағат бұрын
😂Punguza kejeli dakika 90 ndio znaongea
@ilhamabdulbaking.ramadhan242115 сағат бұрын
Kias wamuige Ahmed Ally mana ndo chuma na muongeaj mzur kisha awo manen mengi vitendo sifur acha tuwafunze nini maana ya simba wao si wanasema simba academy tutawaonyesha sasa
@danielmwalufingo97115 сағат бұрын
Mbona usemaji wake ameiga 4:16
@abuaiman249616 сағат бұрын
Zwazwa Tu,hifadhi clip
@Isayajonh96IssayaJonh96Man16 сағат бұрын
We.usicheze.na.simba
@musalucas349014 сағат бұрын
Mmmmmh wewe huwezi kushinda hiyo game unakula chuma mbili bila tunza hayo maneno
@SamsonSamsoni-q9s15 сағат бұрын
🦁🇹🇿♥️♥️♥️♥️♥️♥️💪💪💪💪💪💪🙏🙏
@Visionaria_HD12 сағат бұрын
Hivi alokukimbia ni nani mbuni ww, kwani sisi ndo tunajipangia ratiba ndio maana mkifungwa mnasema tumebebwa
@ISSASINAMBE17 сағат бұрын
Watu hawaji Kwa sababu wanafahamu kuwa hiyo ni timu B ya timu Fulani ivyo mmewagawa wanasingida
@ChangaraweMichael10 сағат бұрын
Sema wewe ndio hauji
@majaliwabwitonde690039 минут бұрын
Kesho mnashuka kolo nyie
@abubakarbajun350316 сағат бұрын
Huyu kengeeeee nini unaliwa we we naniii anakuopa a muozaa menoooo we we
@bwagizoselemani843413 сағат бұрын
Wewe huna kitu bwana singida mbn ni kawaida tu
@joshuahamis273814 сағат бұрын
mwaka mtaumaliza tu vibaya
@dawayao283716 сағат бұрын
Ile ya utopolo kwann mlipeleka zenji? 😂😂
@zachariasumisumi490713 сағат бұрын
Usijimalize kk
@josephbonday851015 сағат бұрын
HAMNA UBAVU WA KUCHEZA NA SIMBA SC 🇦🇹 NYIE.TUNAJUA YANGA WAMEWAFANYA KAMA TAWI LAO NA ZA NDANI KABISA MMEPEWA FEDHA ILI MKAMIE.MTAINAMISHWA KAVU KAVU,Ndegelec nyie
@halimalachpat192715 сағат бұрын
Wakati mnafunga 11 Simba wamelala?punguza majigambo